MC PILIPILI NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI KWA MBWEBWE..!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 487

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 5 лет назад +74

    Harusi nzuri sana mmependeza sana 👏👏👏👏👌👌👌

  • @babyscosh5459
    @babyscosh5459 3 года назад +6

    Mlipendeza Sana mungu awatangulie jamnan nami natamani Sana mungu anipe mume mwema mungu nibariki na Mimi🙏🙏

  • @tedistabijigita3232
    @tedistabijigita3232 5 лет назад +44

    Mungu niongoze vema ili siku moja iwe hivi kwangu na kwa Mme mwema ulie niandalia, hongereni sana

  • @daughterofgod9185
    @daughterofgod9185 5 лет назад +4

    Am more than happy glory be to Almighty God wawawawa I was so worried for you guys am so so happy Mungu awalinde kipindi chote mzae watoto wema wa kumpendeza Mungu na watu wote katika Jina la Yesu Kristo amen 🙏🏽

  • @rahmaally630
    @rahmaally630 5 лет назад +24

    warembo wazuri wameoendeza sana Allah awasimamie ndoa iwaepushie na husda za wanadamu

  • @sirielsheiza6168
    @sirielsheiza6168 5 лет назад +4

    Hongera sana kwao maharusi mungu awapiganie ktk safari mlioianzisha

  • @agnessraphael2550
    @agnessraphael2550 5 лет назад +1

    congratietions Mr and Mrs Emanuel muishi maisha marefu

  • @saminaedward8805
    @saminaedward8805 5 лет назад +2

    Ozaaaaa!! Mashallah Mmependeza aisee kila lakheri ktk safari yenu ya ndoa amani na upendo vitawale ktk familia yenu MC Pilipili

  • @neemadickson9526
    @neemadickson9526 5 лет назад +61

    Nikiangalia natamani kulia ee mungu nisimamie siku moja niwe hivi Hongera mcpilipili

  • @pendomabula6265
    @pendomabula6265 5 лет назад +7

    Hongera sana Mc Pilipili Mungu awe pamoja nanyi ktk ndoa yenu.

  • @lucasrhema4212
    @lucasrhema4212 5 лет назад +181

    wadada wamedamsh nipeni likes zao 👌👌👌

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 5 лет назад +10

    Hongera Sana bro wengine wapo nyuma ahsante Masanja kwa bakora ubarikiwe street Pasto

  • @donnahcyldion4609
    @donnahcyldion4609 5 лет назад +2

    Hapo Mc mngemweka Dr Chen ingenoga zaidi Walah!!!!!

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 5 лет назад +38

    Woow awesome wedding,wapi likes za mr ad Mrs

  • @khadijaissaissa5824
    @khadijaissaissa5824 5 лет назад +9

    Mashaallah mashaallah zangu jamani 💕💕💕❤️❤️❤️

  • @mwaminmtende1104
    @mwaminmtende1104 4 года назад +1

    Wamependwza👏 Sana harusi imenoga Sana👌👌

  • @nurumunguakutangurirabdull4472
    @nurumunguakutangurirabdull4472 5 лет назад +1

    Dj hovyo sana natamani nimfate humohumo kaniboa kwaya nying mzuri yy sijui ana weka nyimbo gan hazierewek mfyuu dj stupd

    • @cesiliamwapinga9291
      @cesiliamwapinga9291 5 лет назад

      Yaaaani mziki ni o kabsa me nimeboreka sana km yangu vile kweli mfakamia maji hayanyi, nimeona wasaani wengi kuingia wanachemka

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 5 лет назад +1

    hongeren san mungu awalinde kwa kila jambo katika ndoa yenu

  • @daliamtanganaki6687
    @daliamtanganaki6687 5 лет назад +3

    Woow, it's amazing congrats sweet mena and brother pilipili , nawaooo omalicha na mi I lyk de dance moves ooh

  • @veronicamushi4807
    @veronicamushi4807 5 лет назад +8

    mmependez san mungu awape kizazi chenye furah na amani

  • @imaniamani7671
    @imaniamani7671 5 лет назад +9

    Jamani nilikuwa nakuchukia kwa tabia yako lakini leo umeusafisha moyo wangu.MUNGU awatangulie

  • @badrianakokushubila8382
    @badrianakokushubila8382 4 года назад +1

    Mmependeza sana wa dada

  • @fettymunisi4554
    @fettymunisi4554 5 лет назад +10

    Hongera sn kaka Mungu awajaliy kizazi chema

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 5 лет назад

    Hongereni sana... Tu nawatakia maisha mema na yenye baraka

  • @saidaabdala7624
    @saidaabdala7624 5 лет назад +12

    Mc Pilipili Hongera sana. Mmependezaa Mno

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 5 лет назад +3

    Cute mena umenoga sana mungu akawalindie ndoa yenu

  • @shangaagustino8495
    @shangaagustino8495 5 лет назад +3

    Hongereni sana umenoga mungu awape muongozo mzuri ktk maisha yenu

  • @fridajustus103
    @fridajustus103 5 лет назад +13

    Harusi ya kitaifa 😀😀😀😀mmependeza sana

  • @IreneRene-wp8or
    @IreneRene-wp8or Год назад

    Wooo mung awAlnde waweze kudumu pamija

  • @sarahjanedenis586
    @sarahjanedenis586 5 лет назад +4

    Matukio ya muhimu kama haya wekeni nyimbo za kibongo tu achaneni na nyimbo za kigeni kwenye harusi zao hawaweki nyimbo zetu ng'o

  • @asharashidy466
    @asharashidy466 5 лет назад +3

    Hongera san

  • @mwanneseif1105
    @mwanneseif1105 4 года назад

    Hongera hongereni sana

  • @marietajohn2913
    @marietajohn2913 5 лет назад +7

    wow hongereni sana mungu awatangulie zaidi from 254 tunawapenda

  • @nicemuro3424
    @nicemuro3424 5 лет назад

    Wamependeza sanaaa... DJ kaniangusha jamn

  • @mcdondoshatv
    @mcdondoshatv 5 лет назад +1

    mimi ni Mc pia kuhusu Dj nyimbo hayo nimachaguo ya wahusika ya madis wao ndio walichagua hizo nyimbo.pia kuhusu muziki kwa ujumla ukumbi ukiwa mkibwa sound huwainasambaa sama japo hapo naona base ilikua chini kidogo ndio mana mziki unasikika kama makelele.but all in all ilikua njema

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 5 лет назад +4

    Cute sana mena ,grt wedding. Mr nd mrs May lord blz ur union

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 5 лет назад +11

    hongereni sana na mungu wa mbinguni awabariki

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 лет назад

    Mashaallah Allah waone wanao wameingia kwenye khery wacmami amen ongereni maharuc

  • @naomymacha9301
    @naomymacha9301 5 лет назад +6

    Hongera mc mmependeza sana wapendwa

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 лет назад +20

    Filomena umpe mc vizuri si kwa harusi hii! mambo ni moto 🔥

  • @Esty1248
    @Esty1248 5 лет назад +86

    Huyo ndio mwanaume muoaji, sio mtu akuvalishe Pete ya uchumba tena akae miaka miwili hadi ajisahaulishe tena aanze kuregarega kwa wengine

    • @monicajulius905
      @monicajulius905 5 лет назад

      😂😂

    • @subiransasi8029
      @subiransasi8029 5 лет назад

      umenena harafu bado unasema mchumba wa mtu

    • @Esty1248
      @Esty1248 5 лет назад +2

      @@subiransasi8029 yaani watu wengine wanakera, wanavalishana Pete ya kufurahisha na sio ya uchumba.

    • @ndzmah47ali6
      @ndzmah47ali6 5 лет назад

      Kweli kabisaa

    • @deshuaniton698
      @deshuaniton698 4 года назад

      Mumenoga sana

  • @kambonangata8366
    @kambonangata8366 3 года назад

    Nimeipenda hii

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 лет назад +25

    Bismilah mashalaah harus ilinoga. Ila wenye wivu hawatakosa la kusema🤣🤣🤣

  • @mathiasgotald
    @mathiasgotald 5 лет назад +1

    Hongereni sana na Mungu awabariki.

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 лет назад +1

    Hongereni sana mmependeza sana marusi mc pili pili na Filomena

    • @andrewthomas4019
      @andrewthomas4019 5 лет назад

      ongera san mc kwauwamuzi ulio chukuwa kwani ni jambo laheri katika maaisha ya apa dunian

  • @aminahussein7492
    @aminahussein7492 5 лет назад

    Masha allah masha alla bi harusi ana shep masha allah

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 5 лет назад +2

    Barakallah Mena na muwasho

  • @sandrabernard751
    @sandrabernard751 5 лет назад +1

    Hongera ndefu mnooo mke mrembo. Mmenoga mungu akawapiganie nyote

  • @shaurimwinyimkuu3406
    @shaurimwinyimkuu3406 5 лет назад +3

    Hongera sana iwe ndoa ya kheri

  • @salamashabani7922
    @salamashabani7922 5 лет назад

    Maashaallah maashaallah maashaallah👏👏👏IMEPENDEZA SANA MUNGU AWADUMISHE INSHAALLAH

  • @tinalucas2171
    @tinalucas2171 4 года назад

    dooh ndoa kitu kikubwa napat vibe ety hongeeaera mc pilipil

  • @priscamaina4703
    @priscamaina4703 5 лет назад +12

    All the best waiting my time

  • @fluransflurans7369
    @fluransflurans7369 5 лет назад +3

    Jehovah nimambariki na mimi sikumoja iwe ivi

  • @filomenampenda1413
    @filomenampenda1413 11 месяцев назад

    Nice couple ❤

  • @rahmaramadhan2476
    @rahmaramadhan2476 5 лет назад +4

    Huseni Mimi nipo kwenye ndoa miaka 7 nashukuru kwailo mash Allah ila mi nimefunga kiislam zaidi sio kama iyo

    • @halalwaithaka2573
      @halalwaithaka2573 5 лет назад +1

      Allah akufanyie wepesi na akulinde❤️

    • @consolatamaarufu58
      @consolatamaarufu58 5 лет назад

      Rahma Ramadhan hata mimi miaka8 kiislam zaid

    • @alhamud2721
      @alhamud2721 5 лет назад

      Rahma Ramadhan mungu akuzidishie ukae miaka mia katika ndoayakoo

  • @suzanampanda6242
    @suzanampanda6242 5 лет назад +2

    Baraka za Mungu zikawe muongozo wa maisha yenu ya ndoa🙏🙏

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 лет назад +2

    Wamependeza sana japo wamevaa suti na raba hawa wacheza show

  • @mariajohnfelix8509
    @mariajohnfelix8509 5 лет назад +4

    Ni harusi nzuri sana ,mepndeza mno

  • @christinawilliee3577
    @christinawilliee3577 5 лет назад +1

    hilo gauni jaman mungu anakuona umedamshi

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад

    Ila cute mena mrembo mashaAllah

    • @chainbre275
      @chainbre275 4 года назад

      @@gutenolga7031 hahahaha mm au cute Mena jamniiiiiii

    • @lucymollel6509
      @lucymollel6509 4 года назад

      Wachungaji kataeni nguo za migongo wazi kwenye ndoa

  • @superwoman6180
    @superwoman6180 5 лет назад

    Hongereni maarusi

  • @tilsmichael2047
    @tilsmichael2047 5 лет назад +1

    Mumependeza sanaa

  • @happinessmisanga4944
    @happinessmisanga4944 5 лет назад +13

    Jamani Kwa nn wadada wamebdilishana rangi na wakaka pink is for girls ingekuwa suit za blue wangependeza

    • @tunumponda8150
      @tunumponda8150 5 лет назад

      Happiness Misanga mwanaume akivaa suit ya pink means anaupendo sana

    • @janethnkoba5147
      @janethnkoba5147 5 лет назад

      Bc wangevaa wtee dark bluee pink kwa wakaka haijapendza

    • @lamecksaimon880
      @lamecksaimon880 5 лет назад

      Nice

  • @KladesKladseee
    @KladesKladseee 5 лет назад +3

    wow masha Allah

  • @fettymudy8894
    @fettymudy8894 5 лет назад +1

    Mashaallah mungu awape muongze mwema kweny maisha yenu

  • @mikamsumba6943
    @mikamsumba6943 4 года назад

    Hongera sana pilipili

  • @Ztook_these
    @Ztook_these 5 лет назад +9

    Wewe achana na hilo sebene ❤️❤️❤️❤️👌 🔥

  • @esthernyakatu8488
    @esthernyakatu8488 5 лет назад +2

    Nice one

  • @suzanpatrick2289
    @suzanpatrick2289 5 лет назад +1

    looooh c kwa kupendeza huko Mr en Mrs Mc pilipilii hongeraa kwenu jmn

  • @agnesgeorge6818
    @agnesgeorge6818 5 лет назад +15

    Am the next.. congrats and all the best

  • @zaitunijuma3684
    @zaitunijuma3684 5 лет назад +1

    Mmependeza sana

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 лет назад +1

    Nzuri sana

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 5 лет назад +44

    Suit pink sio nzuri hiyo rangi ni ya wadada harusi nzuri

  • @winifridamushi1341
    @winifridamushi1341 5 лет назад

    Bibi harusi katulia saana Hata Sio mcharukajii safii

  • @naomidaniel3161
    @naomidaniel3161 5 лет назад +4

    mc anaonekana anampenda sana mkewe had raha yan

  • @pharessamson7113
    @pharessamson7113 3 года назад

    Mmatisha kaka

  • @musallam00alhrassi57
    @musallam00alhrassi57 3 года назад

    Mashaallah mashaallah

  • @fortunatamjengi4603
    @fortunatamjengi4603 5 лет назад

    Mungu awabariki sana

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 5 лет назад +1

    Waoooo wachezani mmetisha

    • @geesmalls7107
      @geesmalls7107 5 лет назад +1

      Wamependeza xana mm pia nimetami yangu iwe kama hyo bt in islamic way

  • @gracesteven6272
    @gracesteven6272 5 лет назад +3

    Harusi pambe ❤❤❤

  • @ellyreuben1998
    @ellyreuben1998 5 лет назад +2

    Huyu ndiye PILIPILI. Pilipili kali lazima iwashe. washawashawasha baba. Hongera. wenye wivu wamewashwa na pilipili, hapa hakuna kujinyonga, ni kupigwa na mwasho wa PILIPILI.

  • @magrethjohn3700
    @magrethjohn3700 3 года назад

    Ipo vzur

  • @bettybetty8213
    @bettybetty8213 5 лет назад +5

    Congratulations 👏👏👏👏💞

  • @mwajumajuma8865
    @mwajumajuma8865 5 лет назад

    Hongera sana na kila LA kheri ktk maisha

  • @merinajuma7173
    @merinajuma7173 5 лет назад +3

    Mashallah

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 5 лет назад +1

    Lovely couple 😘

  • @halimayusuph6016
    @halimayusuph6016 4 года назад

    Ilipendeza Kwa kweli

  • @esthermwamlima5192
    @esthermwamlima5192 4 года назад

    Uumependeza sana

  • @annachales9623
    @annachales9623 5 лет назад +1

    Kweli hii ni harusi ya kimataifa....... Kwa kweli mmependeza sana

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 5 лет назад +11

    Mungu hawabariki💞💞💞

  • @rukiajuma9668
    @rukiajuma9668 5 лет назад +15

    iko poa sana ila iyo rang ya pink Kwa mwanaume sio nzur

  • @lubatikoseme6613
    @lubatikoseme6613 4 года назад +3

    👏👏👏 MC. Kuna mdada amenuna hapo hadi anakera.. no harusi kama una chuki fake hata tabasamu kuliko kuharibu picha za watu kwa sura ya wivu. Shame on you. Congratulations maharusi

  • @rahmaramadhan2476
    @rahmaramadhan2476 5 лет назад

    Ndoa bomba sana da! Nasubili ya diamond

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 5 лет назад

      Kwa Diamond utasubiri sana

    • @husseinhassan4241
      @husseinhassan4241 5 лет назад +1

      Rahma Ramadhan wewe yakwako tayari au ndio kushuhudia zawenzako

  • @fatumaselfu890
    @fatumaselfu890 5 лет назад +4

    pendeza sana bibi harusi umepambwa simple adi raha 😍

  • @thomasdunde1698
    @thomasdunde1698 5 лет назад +10

    Hongera sana!! Big step you have done

  • @gloriamalisa3033
    @gloriamalisa3033 5 лет назад +11

    to God be the Glory

    • @ajuahaoowbw3230
      @ajuahaoowbw3230 2 года назад

      Hata kam ni wakrsto niwajibu kuvaa nguomkajistiri

  • @2nukhamis447
    @2nukhamis447 4 года назад

    Masha Allah

  • @neemamabiki4496
    @neemamabiki4496 5 лет назад +54

    harusi nzuri wanaoponda wanaona wivu,!

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 лет назад +4

    Wowooo l like the dansa you gonna kill me yoooo hot kinoma pendeza shetani akuwonekana mahali majurani mlikata kuolewa sijui mna pumlia wapi leo m mebaki kusema ohoo amevaha kingodoro 😂😂😂😂😂💘💪🙏🔥

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 5 лет назад

      Hahahahahahahahahahahahahajahhaha umeniChekeshaa

    • @Esty1248
      @Esty1248 5 лет назад

      Maana roho inawauma, hata mastaa hawakuja. Wanaume ni wajanja pilipili kawala waigizaji mwishowe kawaruka na kuoa mwingine 😂😂

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 5 лет назад

      @@loolaa1783 ujawasikia wakipaza sauti za vingodoro sijui shida iko wapi wakanunue vio nao wavae kwani shingingapi ndio wawe wanamtolea mapovu si vinjaha mitahani wanunue wajaze pia nyuma

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 5 лет назад

      @@Esty1248 wanaitwa mafisi wanaume hapendi unjinga ukijifanya kujipitisha wanapita na wewe ona sasa wanawake wote walio pita nae mafichoni wamepaki kutoa mapovu mitadaoni hati ohoo kava vingodoro PILIPILI alipenda ivio ivio hata ange vaha viuma bado ange kua mke wake ajabu hawakufika kwa harusi na ilinonga baya sana mwanamke kujuthamini

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 5 лет назад +7

    Duuh kumbe palinoga hvyo uuwii kweli harusi ya taifa 🔥🔥🔥🔥