MAOMBI MAALU KWAAJILI YA WATOTO-PASTOR MYAMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 40

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 5 месяцев назад +2

    Baba naombea uzao wangu wakwanza ukawe na utii usikivu hekima maarifa navunja maagano ya giza madhabau ya ukoo pande zote kwa mama na baba katika jina la yesu Amen

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 5 месяцев назад +1

    Naweka agano la Mungu Mwanangu akakutane na watu sahihi namtenga na watu wabaya katika ukuaji wake kimaadili ukuaji navunja maagano ya giza bwana ukashughurike na waaribifu waonevu katika watoto wetu kwa jina la yesu Amen 🙏

  • @DynessSamweli
    @DynessSamweli Год назад +1

    Nawakabidhi watoto wangu wabariki katika hatua zote za maisha.

  • @vailethmsemo7171
    @vailethmsemo7171 Год назад +1

    Nawaombea watoto wangu Magret na Lilian mungu awatenge na maagano ya ukoo pande zote

  • @lall2037
    @lall2037 22 дня назад

    Hawa wangu mungu amtangulie uponyaji kwa jina la yesu🙏apate uponyaji mda huu akawe mzm wa afya

  • @EasterJeremiah
    @EasterJeremiah 20 дней назад

    Mngu naomba umu ponye mwanangu Kwa jiina layesu amen

  • @tinnahfamilyjewelandjewell9848
    @tinnahfamilyjewelandjewell9848 2 года назад +3

    Amen

  • @lall2037
    @lall2037 5 месяцев назад

    Nawaombea watoto wangu lukman na hawa mungu awaepushe na maadui kwa jina la yesu🙏

  • @ConsolataMwakibete
    @ConsolataMwakibete 5 месяцев назад

    Nawaombea watoto wangu Freeman na brown Mungu akapate kuwakimbumbuka katika masomo yao Mungu awaondolee mabaya yote wakafanikiwe katika maisha yao

  • @lydiamajula5083
    @lydiamajula5083 14 дней назад

    mwenye Mungu angalia uzao wangu wa kwanz pekee yangu siwez kuulea bali naimb neem yako kamtunz akawe kichwa wala siyo mkia

  • @AgnesNjau-gt2ld
    @AgnesNjau-gt2ld Год назад

    Namkabidhi mwanangu kwako mungu ukamlinde Nakumpa nguvu nahata watakao kuja

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 Год назад

    Mungu afungue ufaham wamwanangu uzaowangu

  • @marymueni7891
    @marymueni7891 Год назад

    Nawakabidhi watoto wangukwako mungu. unayajua mahitaji yao

  • @LizzyMasumbi-lo8ir
    @LizzyMasumbi-lo8ir Год назад

    Naomba mungu awalinde na kila pando la shetani..awakumbuke katik masomo yao...wafungue ufahamu wao...wape hofu ya kukujua na kukuabudu wewe tu...nawakabidhi kweny mikono yako iliyosalama kwa jina la yesu....nawafunika kwa damu ya yesu kristo

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 2 месяца назад

    Amen and Amen more blessings

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 Год назад

    Mungu atimize kwawatoto wetu

  • @MariaMaria-rg9fi
    @MariaMaria-rg9fi Год назад

    Namuombea mtoto wangu Naivera Mungu muepushe na hila za shetani magojwa siyo fungu lake natakasa ushindiii juu ya kuuaji wake

  • @ivahkamala4961
    @ivahkamala4961 Год назад

    Nawaombea watoto wangu afya njema na kufunguliwa vifungo vyote. Amen

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 5 месяцев назад

    Namkabidhi kwa Mungu mwanangu huyo alizaliwa leo hii saa 8 usku akakue kwa kimo na maarifa kwa kumpendeza Mungu na wanadamu akue katika misingi ya dini elimu navunja laana juu yake madhabau za giza katika jina la yesu Amen 🙏

  • @CalistaShayo-sy7pg
    @CalistaShayo-sy7pg Год назад

    Nawakabidh watoto wangu Ethan junior nameshak wakajawe na Iman nahofu yako bwana wafunike kwa damu yako takatifu

  • @lydiamajula5083
    @lydiamajula5083 14 дней назад

    eeeh mwenyezi Mungu kisaidie kizaz changu

  • @TumainiRichard-lh3fu
    @TumainiRichard-lh3fu Год назад

    Amen, mtumishi wa mungu, naomba mungu awakumbuke watoto wangu awakumbuke ktk masomo Yao wape hofu ya kukuogopa mungu, waepushe n roho ya kukataliwa

  • @nonijonathan-mr2rx
    @nonijonathan-mr2rx Год назад +1

    Nawaombea watoto wangu catherine na rehana na watoto wote ambao hawajapata kukumbukwa mungu awasimamie leo mpaka milele naweka agano na mungu naweka agano la afya agano la mafanikio agano la furaha agano la mapendo na amani kwao katika jina la yesu nawafunika kwa jina la yesu milele na milele amen

    • @veronicamalewo4655
      @veronicamalewo4655 Год назад

      +wanangu Elisia na Elisha na wanetu wengine woote watembee na baraka tuu ndio ombi langu kwa baba wasipite kwenye mateso yoyote wazazi siye na wayo tuliyopita eee yesu naomba maisha marefu tupe maisha marefu yenye Amani Nakuamini Mungu amani yako ulitupea bwana Nakupenda

  • @MulambaGloria-jm4us
    @MulambaGloria-jm4us Год назад

    Naombea wa toto wangu Fatu hangi wasindwa Mungu awalinde awalinde nawape kipaji wa mupende nakumutumikia katika maishayao

  • @evemakwega4402
    @evemakwega4402 8 месяцев назад

    Naomba kwa ajili ya mtoto wangu Careen, kila.shambilizi la aduo ambali shetani amiacjia juu hale leo hii leo hii naloseta kuzimu na.kumkboa.mwanangu. nalmba.libali kayoka ya walimu wake, wanafunzi wenzake, masomo yake. NIna.kna division one ya single digits. Asante Yesu.
    Asante kwa ukombozi wa Careen

  • @janemasaba5950
    @janemasaba5950 Год назад

    Pastor niombee watoto wangu kwa mandola zao

  • @blandinaabdul7232
    @blandinaabdul7232 Год назад

    Nawakabithi mbele za mungu watoto wangu mariamu na husein eeeh mwenyezi mungu nakuomba 🙏 fanya jambo kwa watoto wangu

  • @FAUSTA-i9s
    @FAUSTA-i9s Месяц назад

    Ameni

  • @JoyceNchama
    @JoyceNchama Год назад

    Ñawakabizi.watoto.wangu........yesu.wasaidie.neema.nora........ñestoli.nelson.noel.mungu......wasaidie

  • @alfredkabuty9468
    @alfredkabuty9468 11 месяцев назад

    Amen Amen and Amen.

  • @elizabethkaonga2552
    @elizabethkaonga2552 Год назад

    Namwombea mwanangu Juliet awe na afya tele naweka agano na mungu awe Ni mtoto sahii mbele zako awe na hofu na mungu nang'oa mazomeo kwake ameen🙏

  • @rukiasanga5131
    @rukiasanga5131 Год назад

    Amen mtumishi

  • @FAUSTA-i9s
    @FAUSTA-i9s Месяц назад

    Katika jina la yesu kristo namuweka wakfu mwa nangu Alfa akayaishi mapenzi ya mungu na akakutane na watu sahihi na amani yake itoke kwako Ee Mungu muumba wa mbingu na nchi

  • @haikagerald8003
    @haikagerald8003 2 года назад

    Ameen

  • @annamoshy9559
    @annamoshy9559 7 месяцев назад +1

    Bwana naomba Neema yako iwafunike watoto wangu...uwakutanishe na watu sahihi maishani mwao...

  • @MagrethMagrethmalamso
    @MagrethMagrethmalamso 10 месяцев назад

    Amina

  • @FAUSTA-i9s
    @FAUSTA-i9s Месяц назад

    Ameni

  • @annamoshy9559
    @annamoshy9559 7 месяцев назад

    Ameen

  • @nafigasper2814
    @nafigasper2814 Месяц назад

    Amen