BREAK UP 💔Manzi Wa Kibera’s Old Boyfriend Heartbroken Days before Their Wedding

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 564

  • @nicholas_kioko
    @nicholas_kioko  Год назад +19

    ruclips.net/video/8MjbOFdvhoA/видео.html subscribe to my other channel for exclusive stories

    • @agneskainga143
      @agneskainga143 Год назад

      Kioko umesahau kumuliza Kama ashai Kula mzigo🤣

  • @CHEMABIRR
    @CHEMABIRR Год назад +67

    Kioko tunataka utuletee Arian dashian na Goddy hunch sasa

  • @VerahMwamburi5569
    @VerahMwamburi5569 Год назад +35

    Kioko you are very funny ati mzee amepiga luku ametulia anakaa ako na stress

    • @Ndiko411
      @Ndiko411 Год назад +1

      This is the comment I was looking for 😂😂😂😂nimecheka Hadi mtoto akashtuka

  • @Guled3
    @Guled3 Год назад +46

    To simplify this situation, Manzi wa Kibera has found out the old man has run out of money.

  • @jenipherlucilla8882
    @jenipherlucilla8882 Год назад +30

    I remember the way the son to this mzee spoke bitterly and wept. It's now his reaping time.

  • @faithwanjiru2043
    @faithwanjiru2043 Год назад +6

    Aki seriously unazeeka na tabia za vijana huachi... I can imagine the pain in ua kids heart...

  • @liliannjega6578
    @liliannjega6578 Год назад +49

    I can't forget how his son spoke bitterly and cried

  • @francisndungu757
    @francisndungu757 Год назад +15

    Character development at old age 😢😢i feel for this mzee

  • @faithkamanthe3286
    @faithkamanthe3286 Год назад +8

    Mwa maisha mwaaaa😮

  • @doughtykola7188
    @doughtykola7188 Год назад +6

    Mzee deserves that ,let him respect his love and he cal always start again.

  • @bellahalexiz2610
    @bellahalexiz2610 Год назад +3

    Kapesa kamekua kadogo ,,😢😢😢😢😢 harusi ilikuwa imepangwa aky manzi rudia mzeee aki,,

  • @ashleynatalie3872
    @ashleynatalie3872 Год назад +4

    Chaiiii my heart 😂😂😂 I feel for this our Papa oooh😢😢😢

  • @carolinemalia8189
    @carolinemalia8189 Год назад +8

    Kioko ambia huyu mzee arudi kwa family yake.

  • @lydiagikonyoofficial3884
    @lydiagikonyoofficial3884 Год назад +5

    Ghaaiii kioko instead ya uambie mzee atume message through camera, unamwambia aongee na manzi wa kibera alaf ananza kumtafuta kwa camera😢😢

  • @silviachepkemoi1563
    @silviachepkemoi1563 Год назад +3

    Yoiiyeee😭😭😭 mzee alikuliwa pesa yaani uyo manze hafanyi poa.

  • @tiff7212
    @tiff7212 Год назад +35

    Kioko: Are you heartbroken
    Mzae:sai sina kakitu 😂😂

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Год назад +7

    ATI HEARTBROKEN😂😂😂😂😂 AAAH KENYA WEWE😂😂😂WUEEE
    NIPITIENI PLZ

  • @tomthomas6908
    @tomthomas6908 Год назад +21

    This was a fake story but the saddest😥 thing is this what happens every day in our societies.

  • @faithkamanthe3286
    @faithkamanthe3286 Год назад +1

    She said mzee kila kitui shegendeeeee😮

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Год назад +2

    Men will reach heaven at too tied

  • @ahminho5199
    @ahminho5199 Год назад +8

    Hadi amefima nguo za harusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @elphasmangi8225
    @elphasmangi8225 Год назад +7

    I knew I made right decision when I used my school fees to buy Data 😂😂😂😂

  • @mamawatoto9032
    @mamawatoto9032 Год назад +3

    Mzee bana jiheshimu wachana na mambo ya kutafuta under age ona sasa umebaki ukiwa umesubaa kumbuka uko na familia yako jiheshimu na ww mwenye unashinda ukijiita Manzi wa kibera jiheshimu na ujue miaka inasonga oh utashtukia umeanza kumea.....kichwani bana wacha kukuwa kama nguo yenye Iko kwa soko Kila apitaye anaiguza alaaa kama ni kuona refu fupi yaan Kila aina umeona Sasa kaa chini ufikirie jinsi ya kupanga life yako si lazima ujiuze ndio uishi maisha mazuri ah. So isije ikafika day uanze kusema nani atanirudishia ule ujana wangu bythe ulivuka mipaka Hadi Kwa huyo guka walai umejiachilia sana mtu akikuongereza hata kama hayuko serious wee nibkuingia box mbio mbio oh

  • @Paulinenyashinsky
    @Paulinenyashinsky Год назад +14

    Ety heartbroken 😂😂😂😂😂 kioko wewe achanga hizo. He deserves that😂😂

  • @hl2501
    @hl2501 Год назад +4

    💔💔🤔🤔Mzee rudi kwa boma yako yenye ni halali acha aibu ndogo ndogo

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh Год назад

    Kioko ambia mzae asha tumiwa mapema ndiyo best kujijua namhurumia sana but God ako Alf mxho amsahao manzi wa kibera forever

  • @veronicahndunda7150
    @veronicahndunda7150 Год назад +6

    🤣🤣🤣🤣kioko you funny

  • @emilymula645
    @emilymula645 Год назад +1

    For manzi to disappear - it simply means she wasn't serious with the whole relationship.
    How come this is when she's listening to online in-laws... 🤔🤔

  • @njerikimani3367
    @njerikimani3367 Год назад +4

    Mimi natakaa kuchekaa 😂😂😂😂😂ety amepigaa lukuuu😅😢😢

  • @catenjoroge8158
    @catenjoroge8158 Год назад +1

    😂😂😂😂 kgaiii malehemu baba ya wenyewe wuiiiii akiii😢😢

  • @scholachannel158cheptoo7
    @scholachannel158cheptoo7 Год назад

    Huu kula huu babu na hasara juu...pole mtarudiana inshalla

  • @rispermuthoni8525
    @rispermuthoni8525 Год назад +2

    😂😂😂😂ati ako na heartbreak arrgghhhh

  • @syombuajackiemusyimi4442
    @syombuajackiemusyimi4442 Год назад

    Keep up bro

  • @AnneOtieno-hi8uj
    @AnneOtieno-hi8uj Год назад

    Ata sina say surely,kwa heshima mzee chunga boma yko jamani😢😢😢😢😢😢

  • @gshugsua9531
    @gshugsua9531 Год назад +14

    Haha ikiwa weewe ni baba yangu nakutandika paka kinaeleweka ghai imagine peasa imekulrwa na unakuja kuiliya family 😢😢

    • @annwanjiku9637
      @annwanjiku9637 Год назад

      Ukitaka laana piga babako hata afanye ujinga gani.

  • @user-ed2bu1sk8d
    @user-ed2bu1sk8d Год назад

    Akh kioko,oooh😮😮😮

  • @cessirungu
    @cessirungu Год назад +1

    8:40 eti upigwe njekii 😂😂😂uko serious mzee😂😂anyway poree

  • @faithmutua-dj7mi
    @faithmutua-dj7mi Год назад +10

    Mzee anaulizwa kama ako heart broken anasema saai hana kakitu😅😅😅😅😅

  • @sellahsoita5294
    @sellahsoita5294 Год назад +11

    Amevaa colour mob Sana😂😂😂

  • @FlorenceMMutiso-qb7ln
    @FlorenceMMutiso-qb7ln Год назад

    Mzee kubali umeachwa😢😢manzi wa kibera alikua anataka pesa tu

  • @elandaboyz
    @elandaboyz Год назад +2

    Hizi movie tu najua 😂

  • @stephtiffany977
    @stephtiffany977 Год назад +10

    Ancestor amekuwa heart broken n 😂😂😂😂😂rest in peace mzee😂😂😂

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 Год назад +4

    Yaani Ile raha iko hii Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️💔

  • @ezekielndungu12
    @ezekielndungu12 Год назад +4

    Remember this mzee being warned by his son? He should know better.

    • @kaninamargaret8025
      @kaninamargaret8025 Год назад

      HE DON’T ACCEPT HIMSELF THAT, HE IS OLD ENOUGH. NO CHANCE ANYMORE

  • @karosekarose211tv9
    @karosekarose211tv9 Год назад +4

    Yaaan anauliza swali akijijifu😅😅😅😅 surely

  • @annshyreenkaroki
    @annshyreenkaroki Год назад +9

    Life no balance madame wengine aki you heartbreak even the living dead 😢😂😂😂

    • @janecyprian3235
      @janecyprian3235 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @esthermuatha8344
      @esthermuatha8344 Год назад +1

      😂😂😂😂 "eti the living dead" pia wewe Mungu anakuona 😢😢😢

    • @simonmbugua440
      @simonmbugua440 Год назад

      😂😂😂hizi comment aky😂😂😂😂😂😂

    • @elizabethkinyungu6545
      @elizabethkinyungu6545 Год назад

      😂😂😂😂

    • @tessytessa7862
      @tessytessa7862 Год назад +2

      😂😂😂living dead tena💔😅😅this life has no balance😹

  • @annmwikali9986
    @annmwikali9986 Год назад +3

    Anajibu chenye haulizwi😅😅😅😅😅pole mzee

  • @geestargeebee9396
    @geestargeebee9396 Год назад

    Aki this guy reminds me umau wa Makueni. Ati ngewa ya kilui na kingangi… jeez.🤣🤣🤣 never heard of this one. Can you interview Bisengo tafhadali Kioko.

  • @justinamutindi4296
    @justinamutindi4296 Год назад +8

    Sina maono arudie familia yake 😢dunia hii ngumu kweli.

    • @jian_shii
      @jian_shii Год назад +1

      Aliacha familia yake n madharau, , the son vented sana.......soooo, he has no place in the family too..he chose the woman vs family

  • @jandidavedave
    @jandidavedave Год назад +1

    She was totally after money...utakuwa kama ikonya wa muranga... that was a lesson ...you didn't learn...Tena urudi Kwa mke wako bila anything ###

  • @valentinechepchumba4390
    @valentinechepchumba4390 Год назад +21

    Aki heartbreak+ old age 😢too bad😂😂💔

    • @rosewanjala2538
      @rosewanjala2538 Год назад +1

      😢🤣🤣💔

    • @moureenndege
      @moureenndege Год назад +5

      He deserves juu last time mtoto wa mzee alisema babake aliuza shamba aka akaenda kutafuta madem

    • @mercymakosi5391
      @mercymakosi5391 Год назад +1

      Plus msoto😂😂😂😂😂

    • @jennykabisa3589
      @jennykabisa3589 Год назад

      ​@@moureenndege 🤣🤣 pole sana itabidii ajisanye aelewe umri na dunia kaa sio acting

    • @Milan..M
      @Milan..M Год назад

      😢😢🤣🤣

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 Год назад

    Kioko utafanya nikufe insfaa anihite beb wait

  • @joggy96
    @joggy96 Год назад +4

    Hii generation haina huruma una hurtbreak your ancestor huogopi curses 😂

  • @thabitaogega5032
    @thabitaogega5032 Год назад

    Hizo colour zote si angetafuta rainbow avae basi 😁

  • @selfloveself5596
    @selfloveself5596 Год назад +1

    Hii ni kiki tu

  • @linetmuindu8910
    @linetmuindu8910 Год назад

    Waaa niseme nini navile siwapendi

  • @jojo47322
    @jojo47322 Год назад +1

    @luku safi 😅😅wacha za ovyo nanii

  • @faithkamanthe3286
    @faithkamanthe3286 Год назад

    Kijana fundiiiii😮😮

  • @Backson254
    @Backson254 Год назад

    Pick waat u planted ad haverst it alone

  • @kerrybruce1845
    @kerrybruce1845 Год назад

    😂😂😂😂😂wacha tu niji-enjoy!!!!

  • @abigchelaa6666
    @abigchelaa6666 Год назад +2

    Kuchezea na ancestors aky ni tricky laana pap😏😏😏😏😏😏🤣🤣🤣

  • @perisngugi-mx8yu
    @perisngugi-mx8yu Год назад

    Utajua hujui mzee Wachana na slay queen

  • @lucykathini7282
    @lucykathini7282 Год назад

    Kioko weeee

  • @tabithawanjira
    @tabithawanjira Год назад

    Kioko mzee amechoka kusimama😮😮

  • @florencemanasseh9949
    @florencemanasseh9949 Год назад +2

    Unataka hivyo juu hadi ulijua tu utaachwa na tulikwambia

  • @hyvonnemwende1611
    @hyvonnemwende1611 Год назад

    Wewe ishia home

  • @-Unruly
    @-Unruly Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂today i watched the whole interview

  • @njokimicii-ni-ndogo8692
    @njokimicii-ni-ndogo8692 Год назад +1

    Ety amepiga lukuuu😂😂😂

  • @user-lm8ui4sy6l
    @user-lm8ui4sy6l Год назад +1

    Kioko mwie nthino ndi tei

  • @ericmuthauramurithi174
    @ericmuthauramurithi174 Год назад

    Marehemu mtarajiwa

  • @modestawakhu
    @modestawakhu Год назад +2

    Mzee amepiga luku😂

  • @lydiasikira452
    @lydiasikira452 Год назад

    Salama sana kwa kuniangalia😂😂😂😂😂

  • @rahabkimani2583
    @rahabkimani2583 Год назад +3

    Ety amepiga luku😅😅😅,wachanga jokes saa zingine😅

  • @Huku-south-africa
    @Huku-south-africa Год назад

    Where is osongo

  • @purryrecipes
    @purryrecipes Год назад

    Contract imeisha ya mzee

  • @janenyambu424
    @janenyambu424 Год назад +5

    Kamzee kameachwo😂😂😂nilijua tu kitakuramba mzee😂😂😂anyway heal😂

  • @elizabethmoses3975
    @elizabethmoses3975 Год назад

    You said you don't care hàta watu wakiongea.. nini mbaya sasa

  • @RichardWafula-fg2yx
    @RichardWafula-fg2yx Год назад +3

    Aki pesa zimeisha😂😂😂😂😂😂❤

  • @HOLYVYRAS234
    @HOLYVYRAS234 Год назад

    hello nichlous am still waiting for you respoce

  • @violetandayi2458
    @violetandayi2458 Год назад

    Kioko unajuwa kuchimba sana weee 😂😂😂😂😂

  • @LASTBORN6163
    @LASTBORN6163 Год назад

    Huyu kuka wa watu ako sawa kweli

  • @carolinemusimbi725
    @carolinemusimbi725 Год назад +2

    Kitamramba anacheza na Mzee kwanza mkamba kitamramba 🤣🤣🤣🤣

  • @jimmykajimmy9622
    @jimmykajimmy9622 Год назад

    Kafesa saai ingine kanarudi chini sai ngine kanarudi, akiniita fefi ni sawa

  • @eddahmzee5237
    @eddahmzee5237 Год назад +1

    Manzi wa kibera amemaliza contract yake na Mzee

  • @dehain1848
    @dehain1848 Год назад +1

    Mzee is heartbroken 💔💔😂 plus kukuwa broke na kuzeeka weuuh feel for you 😂😂🥺🥺💔💔

  • @rosemarywairimu9635
    @rosemarywairimu9635 Год назад +3

    The prodigal son 😂😂😂😂😂😂

  • @teresiandana791
    @teresiandana791 Год назад

    Niko kwa luku Mimi but pole sana umau

  • @charlesmutunga1542
    @charlesmutunga1542 Год назад

    Alaa!!sa pia huyu tutachangia pia...madem jooo

  • @angelicawamuyu
    @angelicawamuyu Год назад

    Whaaaarathiiis😂😂😂😂 mzee ako na stress ya mapenzi mimi ni nani? Na niseme nini?

  • @user-fj2mq7xl5m
    @user-fj2mq7xl5m Год назад

    Aki manzi wa kibera utarogwa na uyo mzee wa kitui

  • @charlesyulemmoja3682
    @charlesyulemmoja3682 Год назад

    Aka tima kanisa pole pole sana mzee

  • @alvinmandu6321
    @alvinmandu6321 Год назад +3

    Mnavunja mbaka wazee roho 😢😢hii huruma ilienda wapi

  • @clarajeah7582
    @clarajeah7582 Год назад

    Maisha no maya

  • @ruthkherry.8078
    @ruthkherry.8078 Год назад

    Guka:huyu mansi wa kibira😅😅

  • @virginiahgicheru4299
    @virginiahgicheru4299 Год назад

    Wah i actually thought Manze wa Kibera had settle for a good gig...kumbe she had settled for this less....waaah...

  • @lydiagikonyoofficial3884
    @lydiagikonyoofficial3884 Год назад

    Tunakula tuchipus 😅😅manzi wa kibera weweeee

  • @verahnyarera7692
    @verahnyarera7692 Год назад

    Aki kiboko wewe Mr. Alot more unachoma aty mzee amepiga luku😂😂😂😂😂 but I feel for that mzee character development at his age naah😢😂😂😂

  • @eunicevlog4025
    @eunicevlog4025 Год назад

    Rip mzae 😂😂😂😂 pesa kwisha na urudi shag👋👋👋👋👋

  • @cucuturuganojoanwanjiku4227
    @cucuturuganojoanwanjiku4227 Год назад

    After hiyo arusi kubwa na maringo vile mnapendana .ama alikula pesa ikaisha .diyo maana alikuacha

  • @bibianekagoni3450
    @bibianekagoni3450 Год назад

    Wakibera...sema tu mzae aneshota 😅