Hongera Mwanzo Tv plus, kwa uandishi mzuri wa kichwa cha habari. Nimependa uandishi huo kwamba: "TUNDULISSU MGOMBEA UENYEKITI WA CHADEMA ANAHUTUBIA WATANZANIA MUDA HUU" Hongera kwa uandishi uliyotukuka na unaoeleweka vizuri. Kuna waandishi vibakuri na vyanzo vyao vya habari wanaandika kichwa cha habari lakini ukiifungua habari yenyewe kusikiliza unakuta ni tofauti na kichwa cha habari kinavyoeleza! Kwa mfano wengine wangeandika "TUNDULISSU ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU" Asanteni.
Laaa!!!! aisee hii hotuba yaani ni kama anaitoa raisi wa nchi, naamini ipo siku tutakuja kusherehekea elimu aliyonayo huyu mh. Lisu, uhai wa chaðema ni mh. Lisu kuwa mwenyekiti wa chama.
Vyama vingi vya upinzani tanzania vipo kwaajli ya kuitumikia ccm,wakiwatumia viongozi wa vyama pinzani kulaghai watu,fikiria mtu kama mbowe anahodhi cheo na kukifanya mali yake,ati mpaka atimize miaka 60 sijui😂😂😂😂 ujinga huu hata ccm haijawahi fanya
Huyu mwamba ni mwenyewe, hata akishinda yule Bwana tutamshinda mahakamani, Watazamaji wanasema ni Bingwa wa kununua, kuhusu Ile Rushwa Bartazary cha Mtoto.
Hakika sijutii kumuunga mkono na kuzunguka majimbo mengine kwa ajili ya kuonana na wajumbe wa baraza kuu ili tuunganishe nguvu ya pamoja na mwisho ya siku Mhe. Tundu Lissu ili awe Mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa.
Tundulissu ndiye mtu sahihi anaetakiwa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa. Hivyo Tundulissu anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.
Ukomo wa madaraka imeingizwa kama oproopaganda ya kuchafua washindani wako! Mbowe aliokushangaa ukiwa Mwanasheria wa chama haikuwahi kupeleka hoja hiyo, sasa utaliletaje hilo kama hoja?
Lakini Mbowe anasema ukomo wa madaraka ni mpk watu wakimchoka 😂😂 hata kama hoja haikuletwa lakin hii ni tafsiri potofu ,miaka 21 hamna jipya miaka 5 atafanya nini
Hotuba imetolewa vizuri utadhan ni rais wa nchi hongera sana mheshimiwa Mungu akubariki
Great and an influencer to the Nouveau géneration 🎉🎉🎉
Asante sana muheshimiwa lisu, hakika wewe unafaa
Bg up sana tundu lisu
❤ I real appreciate you, be blessed my brother, mungu aendelee kukupigania katika shughulizako, happy new year to you my brother lissu🎉
Nakubali
Uko sahihi sana Mungu Akupiganie
Mungu awe na wewe maisha yako yote
🤝🤝🤝🤝
Ni sahihi
Hongera Mwanzo Tv plus, kwa uandishi mzuri wa kichwa cha habari. Nimependa uandishi huo kwamba: "TUNDULISSU MGOMBEA UENYEKITI WA CHADEMA ANAHUTUBIA WATANZANIA MUDA HUU"
Hongera kwa uandishi uliyotukuka na unaoeleweka vizuri.
Kuna waandishi vibakuri na vyanzo vyao vya habari wanaandika kichwa cha habari lakini ukiifungua habari yenyewe kusikiliza unakuta ni tofauti na kichwa cha habari kinavyoeleza!
Kwa mfano wengine wangeandika "TUNDULISSU ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU"
Asanteni.
Sahihi kabisa ni ukweli usio pingika Hawa ndugu zetu Mwanzo tv plus wapo makini Sana.🎉
Mungu akuongoze tupo nyuma yako
Laaa!!!! aisee hii hotuba yaani ni kama anaitoa raisi wa nchi, naamini ipo siku tutakuja kusherehekea elimu aliyonayo huyu mh. Lisu, uhai wa chaðema ni mh. Lisu kuwa mwenyekiti wa chama.
Mwamba ana hoja za msingi sana
Dunia,inataka,ukweli.
Kila la kheri shujaa "TUNDU ANTIPAS LISSU" huna baya,tuko nawewe mamilioni ya watanzania
Vyama vingi vya upinzani tanzania vipo kwaajli ya kuitumikia ccm,wakiwatumia viongozi wa vyama pinzani kulaghai watu,fikiria mtu kama mbowe anahodhi cheo na kukifanya mali yake,ati mpaka atimize miaka 60 sijui😂😂😂😂 ujinga huu hata ccm haijawahi fanya
Tuko nawewe
Huyu mwamba ni mwenyewe, hata akishinda yule Bwana tutamshinda mahakamani, Watazamaji wanasema ni Bingwa wa kununua, kuhusu Ile Rushwa Bartazary cha Mtoto.
Hakika wewe utakuwa kiongoz bora. Mbowe apumzike
Hakika sijutii kumuunga mkono na kuzunguka majimbo mengine kwa ajili ya kuonana na wajumbe wa baraza kuu ili tuunganishe nguvu ya pamoja na mwisho ya siku Mhe. Tundu Lissu ili awe Mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa.
Tundulissu ndiye mtu sahihi anaetakiwa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa.
Hivyo Tundulissu anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.
Hakika sijutii kumuunga mkono.🎉
Mtangazaji usibane pua unaboa ongea tu kawaida kwa koo ,wewe ni mtangazaji mzuri usiige ambao hufanani nao
Ukomo wa madaraka imeingizwa kama oproopaganda ya kuchafua washindani wako! Mbowe aliokushangaa ukiwa Mwanasheria wa chama haikuwahi kupeleka hoja hiyo, sasa utaliletaje hilo kama hoja?
Lakini Mbowe anasema ukomo wa madaraka ni mpk watu wakimchoka 😂😂 hata kama hoja haikuletwa lakin hii ni tafsiri potofu ,miaka 21 hamna jipya miaka 5 atafanya nini
Mjinga wewe
Ujinga unawasumbua wengi! Hakuna hoja hapo!
Tundulissu yuko sahihi.
Lissu yupo sahii Hauwezi kudai mabadiliko wakati wewe ujabadilika
Acha uvuvuzela Lissu ni kiongozi sahihi.