HII SASA BALAA! ALIYEKUWA KATIBU WA MBOWE AMKATAA HADHARANI, AMTAKA LISSU AWE MWENYEKITI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 218

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 11 дней назад +28

    Kumbe chadema wana watu wengi wazuri sana wa kuzumgumza. Hawa wanapasw kuwa kwenye mikutano ya hadhara mara kwa mara. He is brilliant.

  • @SayiMnyashi-d1y
    @SayiMnyashi-d1y 11 дней назад +7

    One of the brightest person in CHADEMA❤❤💪💪

  • @kennethmwakatobe2832
    @kennethmwakatobe2832 12 дней назад +14

    Umetisha sana mwenyekit .mungu awe upande wenu

  • @JamesMwalilino
    @JamesMwalilino 12 дней назад +11

    Mungu akubariki Chacha

  • @RodanMgata
    @RodanMgata 12 дней назад +15

    Mbowe must go✌️✌️✌️✌️✌️

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 10 дней назад +1

    Hapo Kwa wakaldayo nimecheka sana, Chacha umenifurahisha sana

  • @prospersumka3853
    @prospersumka3853 11 дней назад +5

    Umeongea vizuri sana kaka. 🌹🌹

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 12 дней назад +13

    Jamaa huyu (Chacha) ni very intelligent. Ana busara na hekima sana.

  • @DevisStanslaus
    @DevisStanslaus 11 дней назад +1

    What a presence speech is that of a youngman! Liked.

  • @FilbertMsongela-xt9tq
    @FilbertMsongela-xt9tq 11 дней назад +13

    Hakika neno la mungu linapochukua nafasi katika maongezi huuisha nafsi za watu hadi raha

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 дней назад +1

    NI MWALIMU CHACHA HECHE ANAONGEA 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🌷🌷

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 12 дней назад +8

    Kaka ww uko vizuri sana kujieleza nikweli sasa ni wakati wa mageuzi

  • @geofreydavidmark9857
    @geofreydavidmark9857 12 дней назад +12

    Hi familia ina madini sana wamebarikiwa

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 12 дней назад +20

    Mimi siyo CHADEMA lakini huyu jamaa ni kichwa!

  • @NdiwaweNicolaus
    @NdiwaweNicolaus 9 дней назад

    Aisee chacha you are so smart brother

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 12 дней назад +16

    Wakaldayo wanawadanganya wagalatia wasio na akili waliologwa😢😢😢😢😢😢😢

  • @omaryirro9285
    @omaryirro9285 11 дней назад +1

    Daaaah huyu jamaa duuuuh

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 11 дней назад +2

    Sina la kusema kwako ila mshike sana Mungu wako

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka 12 дней назад +5

    Mungu akubariki sana mtumishi hao mashetani washindwe na wateketekee kabisa!

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 11 дней назад +3

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @AntonyGenon
    @AntonyGenon 12 дней назад +8

    Baada ya uapisho wa rais wa marekani kumalizika siku ya tarehe ishirini. Utabiri wangu wa wakaridayo ni kumpoteza mwenyekiti mbowe katika kifo tarehe ishirini. Kwa kumuita alfa na omega. Kama ujumbe huu mbowe ataupata akemee kauli hizo hadharani na aingie kwenye toba hapo atakuwa salama amen

  • @Frank-t5j1j
    @Frank-t5j1j 11 дней назад +1

    mmesahau malengo yetu
    ninyinyote mnahitajika cheo nikimoja anahitajika mmoja kwann mnauvunja umojawenu

  • @JumaAllyNgoda
    @JumaAllyNgoda 11 дней назад +2

    Yaani huyu ni HECHE Original bado tuna vitu CHADEMA Mungu ibariki chama letu

  • @charlesalfred9923
    @charlesalfred9923 12 дней назад +7

    Well said wiseman

  • @DamasMwakipesile-qm1nc
    @DamasMwakipesile-qm1nc 12 дней назад +3

    Hongera sana kwa ukomavu

  • @DamianiKabage
    @DamianiKabage 12 дней назад +8

    Kamanda hongera kwa maneno yenye busara hao machawa wanatuharibia chama

  • @ZulfaMahamudu
    @ZulfaMahamudu 12 дней назад +4

    nice speech ndio maana naipenda chadema watu wenye ushawishi wapenda haki

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 12 дней назад +15

    Chadema Kuna watu

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 12 дней назад +4

    Sahihi mkuu kwa kweli inshangaza sana

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 12 дней назад +10

    Kiongozi mwingine huyu hapa. Hii nayo Zawadi si kwa chadema tu, bali kwa taifa.

  • @dottomisama1696
    @dottomisama1696 12 дней назад +10

    Amesema kweri kabisa wajumbe wanatakiwa wakige kura kwa kufuata maoni ya wananchi

  • @MasoudMgassa
    @MasoudMgassa 10 дней назад

    Aisee kijana upo vizur sana umejaa hekima unastahi4i kuwa kiongozi

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 12 дней назад +6

    Huyo ndo Tata muraa

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 12 дней назад +6

    Mm niliipenda chadema kwa sababu ya haki. Kwa sasa mbowe na darali wake wakae pembeni wasituharibie chama hao madarali.

  • @StephanoAlmas-z6n
    @StephanoAlmas-z6n 11 дней назад

    Matokeo ya protein za samaki hayo....Akili mingi Sana murah! Piga hao spana mmpaka waitambue heshima ya kanda maalum.

  • @ShomaryMapunda
    @ShomaryMapunda 12 дней назад +7

    Mbowe must go

  • @posentemmanuel1351
    @posentemmanuel1351 11 дней назад

    I appreciate you now chadema members that most of you, are so brilliant and you can not be influenced by individual inducement. We are together with Mr Tundu Lisu.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 дней назад +6

    Huyu kaka anakaa wapi huwa haongei mara kwa mara? He is a brilliant speaker.
    He should be speaking more often.

    • @visionstudios6804
      @visionstudios6804 12 дней назад +1

      Mostly uwa video zake zinapostiwa mara digital ukiangalia kule utamuona.

    • @lilianemmanuel9158
      @lilianemmanuel9158 11 дней назад +2

      Huyo ni kaka yake na John heche tumbo moja anaitwa chacha heche.yeye ndio mkubwa halafu ana fata John heche

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 11 дней назад

      Kumbe ndo maana wanafanana sauti na John heche​@@lilianemmanuel9158

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 12 дней назад +5

    tata umeongea vizuri mwambie m/kiti sauti akupe chips ntamrudishia Hera yake nakuja hapo ulipo

  • @saitotimollel8495
    @saitotimollel8495 11 дней назад

    well said.

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 12 дней назад +3

    Very fact

  • @deborahmsuyah5345
    @deborahmsuyah5345 11 дней назад

    Mungu awalinde sana ninawaombea sana UPENDO TU.

  • @GabrielyMathias-e1b
    @GabrielyMathias-e1b 11 дней назад

    Upo vizuri kaka

  • @nuke6081
    @nuke6081 12 дней назад +4

    Chedama kuna watu wanaushawishi mno actually God fearing people viva chadema.

  • @TedyJack
    @TedyJack 11 дней назад

    Asante mbowe must go

  • @francisjimisha5090
    @francisjimisha5090 11 дней назад

    Verynice speech.

  • @moseslekumok
    @moseslekumok 11 дней назад

    Twende na lisu ❤❤❤✌️✌️✌️✌️

  • @jumaeustace410
    @jumaeustace410 12 дней назад +6

    Chacha kumbe bado umo! Hongera sana kaka.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 11 дней назад +2

    Watu wa Mara kwa kujenga HOJA!!! HONGERA SANA KIJANA, SAUTI YAKO NA UJENZI WA HOJA KAMA JOHN HECHE MAUA SANA.

  • @johnmbitiyaza1254
    @johnmbitiyaza1254 10 дней назад

    Wakalidayo siyo watu wazr aithee😂😂😂

  • @OkaMlawa-y9x
    @OkaMlawa-y9x 12 дней назад +6

    Kama Mbowe ana Washauri wazuri na Anasikia Haya basi Angeacha Umwinyi.

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 11 дней назад

    Safiiiiiii

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 11 дней назад

    Oooo CHACHA! 😮😮😮😊😊😊😊

  • @laurentmoronge5841
    @laurentmoronge5841 11 дней назад

    Smart Brain

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 12 дней назад +1

    Nakuelewa .kijana

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 11 дней назад

    Upo sahihi

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 11 дней назад

    Kijana Njoo CCM Uta saida sana Taifa letu Ume kaaje?Huko Jamani

  • @NyikaKayun
    @NyikaKayun 11 дней назад

    Kamanda upo vizur

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 12 дней назад +2

    Pongezi sana kijana hakika Mungu akulinde tuifikishe Chadema yetu mahali panapositahili hongera kijana

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 12 дней назад +2

    Wajumbe mnajua wanainchi wanamtaka Lissu

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 12 дней назад +4

    Kuna watu wanajua kuongea vizuri sana kwenye chama. Huyu jamaa yuko smart sana. Ni hazina kubwa ya chama.
    Nimempenda kwa hulka yake ya kupinga rushwa kwa nguvu.
    Hawa ndio viongozi sahihj

  • @SteveJohn-p4t
    @SteveJohn-p4t 11 дней назад +1

    Jamaa nimemuelewa sana.
    Hana unafiki

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 11 дней назад +1

    Chacha nimekukubali kaka

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 11 дней назад

    WOTE Wanamchango kwenye chamade na tunautambua mchango wao saizi Tunamtaka Lisu

  • @benderakashindi3834
    @benderakashindi3834 11 дней назад +1

    Uko Sawa.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 12 дней назад +2

    Mwenyezi mungu atakulipa kaka. Sote kwa sasa tunamtaka lisu sio kundi la madarali.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 10 дней назад

    Dah naona Mbowe hupiti jamani

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 11 дней назад

    Lisu ni Fire 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SaidAmin-f7z
    @SaidAmin-f7z 11 дней назад

    Ishi maisha marefu kamanda

  • @NicholousViper28
    @NicholousViper28 11 дней назад

    Heche na Lisu .watapo enda ndo tutaenda, Tarime tumepata shida sabb ya chadema, mpka ndugu yangu alitolewa jicho sbb ya kutetea kura za chadema ,

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 11 дней назад +1

    Chacha nakuunga mkono wajumbe.watuletee Lisu na Heje

  • @amonindelwa4
    @amonindelwa4 11 дней назад

    Huyu jamaa nomaaa awe kiiongozi🎉

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 12 дней назад +1

    Unajitambuwa asante dana kamanda

  • @mongeza
    @mongeza 11 дней назад

    Tanzania ina utajiri wa watu na mali. Mungu ibariki Tz

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 12 дней назад +1

    Hakika nimeamini kuwa Mungu yupo kwa kauri yako kijana hakika Mungu yupo

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 11 дней назад

    mr lissu ndio solution 🤞🏿🤞🏿🤞🏿

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 12 дней назад +2

    Kaka Mbowe nakuomba kwa heshima uliyonayo ndani ya jamii pumzika.

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 12 дней назад +3

    Mbowe pole Jombaa hujachelewa busara zako zinahitajika vinginevyo itakua aibu kwako

  • @annasitaziakamtewe
    @annasitaziakamtewe 12 дней назад +3

    Mbowe atubie hiyo dhambi aliokubali kuitwa alfa na omega,vinginevyo atasdhibiwa na mungu.

  • @annasitaziakamtewe
    @annasitaziakamtewe 12 дней назад +5

    Je,hao wanao mdanganya mbowe wamelogwa na nani.

  • @HappinessMwenda-k7r
    @HappinessMwenda-k7r 10 дней назад

    YESU PEKEE NDIE ALFA NA OMEGA.HAKUNA WA KUFANANA NAYE

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 11 дней назад

    Hii rushwa hii !! Uuuwiiii takukuru wanalipwa mishahara ya Nini? Kudadadeki tz

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 11 дней назад +2

    He sijawai kumsikia huyu bwana kumbe ana madini namba hii Kwa kweli chadema Ina miamba kwelikweli

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 12 дней назад +3

    Mimi siamini mpaka nione mwisho wa hili

    • @josephmarole5159
      @josephmarole5159 11 дней назад

      Na mm ikitokea mbowe kashinda kiwizi kama nilipoona et anashinda Kwa kura 14 za wizi,mm ntaamia ccm

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 10 дней назад

    Umeomba nafasi gani jamani umeiva sana

  • @JastinJonas-u1r
    @JastinJonas-u1r 12 дней назад +4

    KAGERA tunamuhitaji risssssssuuuuuuuuu ,mbowe katosha

  • @suleimanbundala8730
    @suleimanbundala8730 11 дней назад

    Kijana uko sawa kuhusu uliyoyaongea watu wanalalamiikia mali wakati wao wanajilipa mshahara wakati sisi tumefanya mengi bila hata senti moja tumechangia hatujalipwa acheni ubaguzi na ubinafsi huo

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 11 дней назад

    Message inachoma headi kwa moyo kumbe chadema kuna watu daaaah

  • @japhetlaisangai4592
    @japhetlaisangai4592 11 дней назад

    💪💪

  • @adammdolo454
    @adammdolo454 12 дней назад +5

    Umeongea pointi za maana.Ni Lisu pekee atakayeweza kutuvusha.

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 11 дней назад

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 11 дней назад

    Mwenyekiti mkoa, mara, chacha! Daa kura 31 tundu lisu pamoja naye. Daaaa. Maslahi ya wananchi. Ooh anxieties! Hudumia families.

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 12 дней назад +2

    Wakaludayo bana hawako vizuri

  • @mariapopitolo5408
    @mariapopitolo5408 12 дней назад +1

    Maneno ya hekima sana

  • @aloycetlehhematlehhema3466
    @aloycetlehhematlehhema3466 11 дней назад

    Chadema kuna hazina kubwa ya watu wenye akili,upo vzri sana,Tundulisu ndo habari ya mjini..tupo pamoja

  • @japhetkavishe2347
    @japhetkavishe2347 12 дней назад +2

    Huyu jamaa ni kichwa aisee

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 12 дней назад +1

    Sasa hyu anataka damu au nini Mungu atusaidie uchaguzi uwe wa haki, huyu hatakiwi ila anakomalia tuu

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 12 дней назад +1

    SIKUWAHI KUFIKIRIA KAMA MBOWE ANAWEZA KUKISALITI HIKI CHAMA 😢😢😢😢

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 10 дней назад

    Namuona kama ni ndugu yake na Heche wa kuzaliwa,sura na sauti na tukio la kuuawa kwa mdogo wao aliyezikwa kwao.

  • @ThomasMwarukaKeya
    @ThomasMwarukaKeya 11 дней назад

    Mbowe hafai tena Kuwa Kiongozi Mkuu wa CHADEMA Kitaifa.
    Mleteni Lissu na John Heche..!

  • @MkapaMrimi
    @MkapaMrimi 12 дней назад +3

    Huyo ni mdogo wake heche

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 11 дней назад

      Ni mwenyekiti wa mkoa hayo ya ndugu yake nani hayana tija