Watanzia mbona tuko hivi lini tutathamini vinavyofanywa na serikali ingekuwa imewekwa na mtu Inge heshimiwa na kupewa sifa na wote tungeilinda lakini vya serikali tunaona havina thamani
Sio kilakitu Kuna vyombo vya plastiki vinatengenezwa Tanzania unajua ubora wake Leo Kuna misumari na mabati yanatengenezwa Tanzania lakini hayana ubora kwaiyo kwenye reli sawa lakini mbona kwebizaa zingine mbona hakuna ubora huo