Mapacha wa Huba: Watoto, Wachumba wetu wanatuchanganya, tunabadilishana nafasi na watu HAWAJUI - PT2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 окт 2024
  • Christina na Regina Mroni ni mapacha wanaofanana sana (identical twins) na maisha yao tangu wakiwa watoto yamekuwa ni kuchanganya watu wengi. Wanasimulia maisha yao na jinsi ambavyo maisha yao yapo tofauti na watu wengine. Wanasimulia pia maisha yao ya sanaa ya uigizaji na pia urembo hasa kwa Regina aliyeshiriki Miss Tanzania 2006
    #ChillnaSky #Part2

Комментарии • 451