SARADINI : NILIKUWA NAIGIZA JINI KWA SABABU NILIKUWA NAMAPEPO WACHAFU NDANI YANGU KWA SASA NIMEOKOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 май 2021
  • #saradini #mapepo #uchawi

Комментарии • 64

  • @d.methuselah9329
    @d.methuselah9329 3 года назад +11

    Safi Sana Madora Tv Mungu Awapandishe

  • @witnessombetu670
    @witnessombetu670 2 года назад +4

    Mungu amekutoa mbali Sana Dada Sara usisahau Mungu alipokutoa

  • @hamisikambi705
    @hamisikambi705 2 года назад +8

    Kuigiza si shida dada tungependa urudi kama awali tlipenda sana watching from Kenya

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Год назад +5

    Sawa ila miaka ya 2008 -09 uliolewaga ndoa ya mkataba pale Tunduma sehem inaitwa mwaka kule juu uwanjani na tajili anaitwa Sompora sijui unajua kama alishaakufa ?? alikuaga na mapesa ya mkataba yule tajili

  • @sulemankhamis1004
    @sulemankhamis1004 2 года назад +4

    Tumeku miss sana saradini

  • @user-dq9bx1qf9e
    @user-dq9bx1qf9e Год назад

    Aaah saradin miss you

  • @dembafofanadembafofana1560
    @dembafofanadembafofana1560 10 месяцев назад

    Fez boas histórias minha mãe

  • @artworkmediatz1
    @artworkmediatz1 3 года назад +2

    Hatari sana

  • @salmaamini5709
    @salmaamini5709 3 года назад +3

    Safiii sn

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu Год назад

    Tuleteeni blandina.the game of love

  • @petersonemilian7275
    @petersonemilian7275 2 года назад +5

    Kumbe ndo huyu dah alinitisha Sana alisababish niende toi kwa shida sana

  • @joshuaonefive6820
    @joshuaonefive6820 3 года назад +6

    Nakukubali dada yangu Sarah, wewe ni mshindi sana.

  • @irenerespicius5079
    @irenerespicius5079 Год назад

    Tabasamu la Saradini halipotei jaman bado tu umzuri😘🌹

  • @mariamumariamu6386
    @mariamumariamu6386 2 года назад

    Nakupenda saladine

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 года назад

    Hahahahahaha Good Saradini😀😀😀😀

  • @mr.sekunde5918
    @mr.sekunde5918 3 года назад +2

    Mtumishi

  • @florianthomas4292
    @florianthomas4292 Год назад +2

    Kumbe mshenzi mwenyew ndio huyu alie kuw ananifanya silali usiku

  • @margaretmuiruri8173
    @margaretmuiruri8173 2 года назад +5

    Nlivokuwa nakuogopa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @goodmusic8389
    @goodmusic8389 2 года назад

    Uko vzr madam mnipe namba ya huyo mdada

  • @kajembembwambo3087
    @kajembembwambo3087 2 года назад +2

    dada sara umependeza kama haujaolewa nipe furusa uwe mkwe wa mama yangu

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 года назад +1

    KUMBEEEE UMEOKOKA? WAAAAAOOOO😀😀😀😀🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mussakifinyu7393
    @mussakifinyu7393 2 года назад +7

    Huyu dada ndio yule Alie ulizwa unamchumba akashindwa kujibu

  • @sophiajamaly3708
    @sophiajamaly3708 2 года назад +2

    Yan Sara auzeekii cjuw unakula nn uko vile vile ❣️❣️🤞🤞👊👊👊👍

  • @wilfredlucas6311
    @wilfredlucas6311 2 года назад +2

    Huyu dada alikuwa ananiogopesha sana na hasa Sugu

  • @alinassor391
    @alinassor391 Год назад +2

    Nilikupenda sana Sara na vile ulivokua ukiwahukumu watu kwa makosa yao

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 Год назад

    Dada alinitisha huyu jamaniii lohhhh

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 2 года назад +1

    Mi niliomb kujua saladin na subira ni mtu mmoja au ni watu tofauti

  • @sandrajorgemmaputa5343
    @sandrajorgemmaputa5343 2 года назад

    Ola tudo bem

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 2 года назад +2

    we mtangazaji nimekupenda kinoma

  • @isaacjackson7667
    @isaacjackson7667 Год назад +1

    Haka katangazaj kaliulizwa ma bahati bukuku kama kana mchumba kaka zingua

  • @husnarajabu4343
    @husnarajabu4343 2 года назад

    Muvi nilikua naipenda japo ilikua inatisha

  • @vitreenandeth3457
    @vitreenandeth3457 2 года назад +1

    Ulipotekea wapi dada saradini mwenyewe

  • @goodmusic8389
    @goodmusic8389 2 года назад

    Nitumien no yake

  • @zanelanixon6406
    @zanelanixon6406 2 года назад +2

    Mbona movie ya saladin haiko youtube

    • @fatumajuma1910
      @fatumajuma1910 2 года назад +1

      Ipo sana sahii dear

    • @shulianondo8406
      @shulianondo8406 2 года назад

      Ipi

    • @shulianondo8406
      @shulianondo8406 2 года назад

      Ipo

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Год назад

      Mmmh🤔ila amezeeka mpk nimemsahahu duh

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 Год назад

      @@kiehbhzh7044 2003 hadi now ni miaka mingapi? Hadi awe vile vile,mm mwenyewe 2003 niko msingi na nimezeeka kuliko

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 2 года назад

    Nimekuelew

  • @denisdavid1203
    @denisdavid1203 2 года назад

    Unajua kutangaza

  • @eddykelly3801
    @eddykelly3801 Год назад

    Ivi na yule ni mdogo wako maana mlifanana sana

  • @princechris195
    @princechris195 2 года назад +1

    Weka movie RUclips ya Saradini

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 7 месяцев назад

    Mchungaji unaongea utumbo sana. Kama wataondoka waache waondoke la sivyo hata mashetani wakiondoka utalalamika. Kanisa lako haliwwezi kuipata wa kwenda mbinguni. Wako hivyo kutokana nawewe ulivyo hivyo. Hilo sito kanisa. Tafuteni jina la kuita hayo mabanda ye😮nu MSIcbhezee jina kanisa. Hilo ni jina alilolitaja Bwana Yesu

  • @vivakimaro5579
    @vivakimaro5579 2 года назад +1

    Ludi mamy tumekumss

  • @najuf8021
    @najuf8021 Год назад

    Saladin ndio yule wa mwanzaa au?

  • @YohanaMoris-rc2pn
    @YohanaMoris-rc2pn 9 месяцев назад

    Saladini

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 Год назад

    Kafanana na mkemwenzangu huyu

  • @malitsabas500
    @malitsabas500 3 года назад +3

    Hatari sana

  • @salmamohd8202
    @salmamohd8202 2 года назад +2

    Walai Sara ww mungu anakuona mie ilikuwa nakuogopa mpka kesho

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy Год назад

    Hamna sema saiz watu wanachukulia kitu cha kawaida tofauti na miaka ya zaman mtu akiigiz jini unaogop industry imekuwa saiz kila mtu anawez kuigiza jini