Lavalava alivyomtoa machozi mtangaziji wa redio U-fm

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 698

  • @zubeydahseif129
    @zubeydahseif129 7 лет назад +9

    Jamani me binafsi kuanzia leo ni team lava lava amna kiba amna nani lava lava nimekukubali sijawah kubal msanii yoyote bongo zaid ya diamond sasa leo umemngoa kiti kaa baba mablessing nakupa utafanikiwa sana sana in shah allah na mwezi huu mtukufu.

  • @victormwakandana3143
    @victormwakandana3143 7 лет назад +7

    This's why Bongo music is on another level, the lyrics always have a true and touching story and this is just one of the best productions by WCB. CEO DP is currently the best in the world, nurturing talent and bringing great teamwork and making money too. Tudd Thomas naye hatubwagi naminyambuliko....Lava lava kama alivyosema, nangoja kuona kipaji

  • @safiyasafiya1522
    @safiyasafiya1522 7 лет назад +4

    Asante lavalava hira kaka pole hii nyimbo aijamuacha mtyu salama kwakweli

  • @agsags4209
    @agsags4209 3 года назад +1

    Anae msikiliza lava lava ! Your voice kills my brother love 💖💖 from Lubumbashi DRC

  • @silvanusokumu8256
    @silvanusokumu8256 7 лет назад +11

    I hope this boy makes it. He seems like a good person and I Love the song...
    Kwa kweli waafrika tunastahili tuzidi kuungana na kuinuana.. mimi nliupenda sana wimbo wake

    • @powellbenard1491
      @powellbenard1491 14 дней назад

      He made it na nyota yake bado yazidi kung'aa 2025

  • @officialbennyflavour4006
    @officialbennyflavour4006 7 лет назад +4

    Big up sana Lava Lava hii hata mimi nimelia kwa 7bu umeimba uhalisia wa life linavyo songa @iamlavalava big up bro

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 7 лет назад +4

    huyu mtangazaji kalia na sheria kabisa hata na Mimi nyimbo imenifika kbs big up lavalava

  • @usherfaheem545
    @usherfaheem545 7 лет назад +21

    huu wimbo huacheni tu, yakikufika utaelewaa tu manaake ukiongea sna utaonekana mnafki Mara ooh team WCB

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 лет назад +3

    Ujue nyimbo kama nyimbo hutokana na mazingira tunayoishi... Mmakonde kanikumbusha mbali huyu mie nimependa nyimbo za mond kitambo sana.... Utasikia eti huyu naye nyimbo zinaujumbe gani.... Mie huwajibu tu ukijua kupenda au nn maana ya kupenda na ukatendwa nyimbo za diamond utazijua tuu zina ujumbe upi wa kuliza au kubembeleza... Sasa huyu Dogo naye anatambaa mule mule... Pole sana mmakonde utakuwa umeguswa kiaina ila yote maisha... Hongera sana Dogo kwa kutoa hisia ya mtu kutumia kuimba.... Mashairi yamesimama na sauti kinanda.... Continue....

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 лет назад +2

    kazi nzur, nimeupenda huu mwimbo, kupitia uyo mtangaji anaelia. nimeuckiliza kwa umakini.
    nimeelewa kwann amelia

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 7 лет назад +4

    Very toacheble song. Big up.👍 Lava Lava from WCB.

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 Год назад +1

    Wow,.. Lavalava kweli anakipaji. The way he is coming up with a song is amazing 🔥 🔥 👏

  • @essiedavid9760
    @essiedavid9760 7 лет назад +18

    jamaniiii hicho kilio it's like a drama lol,,mapenzi yanauma dah😂😂😂

  • @hudamohamhed4897
    @hudamohamhed4897 4 года назад

    Nani anawatch 2020.. lava lava akiwa wcb. Lavalava tunakupenda sana. Saaaannaaaaa... you are doing well

  • @shaonaomary5398
    @shaonaomary5398 7 лет назад

    kweli nyimbo nizuri sana Kama himeingia kwenye moyo wamwezako lazima uliye usimwabiye mwezako anayeliya nipumbavu siyokila mtu ana yeliya kunasabab zakufanya my aliye labda na yeye ameshawahi kupitia so unampa pole siyokumtusi ♥♥♥ I love music very good

  • @ss-pl6yo
    @ss-pl6yo 6 лет назад +1

    Lalva lava wamuliza mwenzako jamani nyimbo Kali Sana hasakama umetendwa walia

  • @tricenaftaly3153
    @tricenaftaly3153 6 лет назад

    Ujumbe huu upo ktk Hanoi hongera sana lavalava mungu akupeitaji LA moyo wako

  • @abuumkuruma5255
    @abuumkuruma5255 7 лет назад

    Daaaah weacha tu makonde sio pekeake at a Mimi lava respect pambana utafika mbali inaniumiza sana hiyo nyimbo

  • @shununamtoni9145
    @shununamtoni9145 7 лет назад

    Great song kwa kweli inagusa kila MTU wa umri wowote big up DOGO

  • @mariamsaidi896
    @mariamsaidi896 7 лет назад +5

    wooow mashallah uko powa bro yangu yani ajab

  • @rahmaabdulrahmaabdul1781
    @rahmaabdulrahmaabdul1781 7 лет назад

    naipenda sana hii nyimbo mdundo maneno iko poa sanaa keep it's up bro

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 7 лет назад +1

    pole saana kaka mungu atakusaidi lnsha allah yataisha tuu

  • @pendoamini9073
    @pendoamini9073 7 лет назад

    big up sana lavalava penda sana wewe yani hiyo sauti tu mi hoi allah akujalie ufike Mbali ila sio usisahau kumshiririkisha mungu kwenye Kazi Zako lshallah.

  • @official_msororo_liker_tz3793
    @official_msororo_liker_tz3793 7 лет назад +1

    nice song
    kwel wcb kuna waimbaji
    👏👏👏
    i appricate to u all
    salute👮👆👆👆

  • @mercydoreenachieng5719
    @mercydoreenachieng5719 7 лет назад +3

    woie hahahaaaaa pole mtangazaji .....mpendapenda uko vizuri kabisa

  • @nassirmohamed8666
    @nassirmohamed8666 7 лет назад

    Daah...kwakwel ndugu yangu Lavalava wew ni mwalimu wa wasanii yaan hii nyimbo na nyimbo zako zote aisee ni za hali ya juu na wewe una kipaji na unajua ndivyo ulivyo. unachokifanya kipo moyoni mwako pia una discipline sana maana nmekuangalia sana you tube katika interview zako na majibu yako ndio haswaaaa yanayotakiwa hutukwazi pia. hii ni comment yangu ya kwanza tangia nmezaliwa hapa you tube. Mungu akujaalie Lavalava.

  • @boscow9380
    @boscow9380 7 лет назад +4

    dogo unatisha sauti niyilele kwenye wimbo ,nilipo achana nademu wangu nilizmia kusikia huu wimbo,nilipomtumia hii wimbo ilimubidi anywe sumu ili mungu ngamjalia uzima.
    lava endelea kufanya kazi na wcb ili uwe nawatu wenye wanajuwa kufanya kazi.

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 года назад

    Am tz Whow listening 2022 lava lava ❤big bro UMEMLIZA mmakonde😅😅 BORA TUACHANE 😭😭😭💯

  • @martinlucas7875
    @martinlucas7875 7 лет назад +1

    kaka,,,nakuamin sana,,,nakutakia kila jema,,,Unajua sana bro,,wimbo wako mzuri sana,,, nzowa hapa

  • @basharimilar5297
    @basharimilar5297 7 лет назад +14

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Dah pole mtangazaji najua yamekukuta pole

  • @assesorjoeofficial9704
    @assesorjoeofficial9704 7 лет назад +6

    lavalava kwangu nambari moja toka kenya 254hongera

  • @jamesjwasai1107
    @jamesjwasai1107 7 лет назад +4

    daaaaah uyuuu mmakondeee jmn khaaa kashndwa kujizuia bt kawakilsha kondez wotee😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @jemedary6271
    @jemedary6271 7 лет назад +11

    kwa mtu asiyejua hisia za kweli ni vgumu sana kumuelewa huyu Mmakonde, lakin iunderstand him, yupo real

  • @amirikishoma1312
    @amirikishoma1312 3 года назад

    Mwamba analia kwa hisia sana goma limemgusa penye kidonda 🔥🔥🔥

  • @paulomizingo1971
    @paulomizingo1971 7 лет назад +1

    Kwakweli huwa sina tabia ya kutoa comments kwenye interview kama hizi lakini kwa huyu msani,imenilazimu tu niandike.
    Lavalava hongera sana, nimeikubali kazi yako yaani hadi nimeona kwamba ulivyoimba hapa ni bora zaidi kuliko kwenye video yako licha ya ukweli kwamba kwenye video huwa tayari kuna mixing ishafanyika tayari.

  • @emanlovelbae0078
    @emanlovelbae0078 7 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂lakini huyo comedian ana mambo🙌🙌🙌🙌😂😂😂

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 6 лет назад +1

    Nakupenda sana lava lava ndugu yangu ipo siku titakutana kwetu kuvuka maji

  • @habibakirungikirungihabiba9407
    @habibakirungikirungihabiba9407 5 лет назад

    Kwa kweli iko good good ndio maana hata kiba alikubali na kuipenda lava lava nakukubali sana tena sana

  • @mohamedswaleh4673
    @mohamedswaleh4673 7 лет назад

    hii ngoma mm naikuba sana ina message moja nzito sana kwenye mapenzi GOOD JOB

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 лет назад

    Lava utafanya vizuri ktk live performance maana hiyo vocal ni superb, born to sing

  • @morrismurithi6669
    @morrismurithi6669 4 года назад

    Ni tourching ukweli 254 🇰🇪 love!

  • @abrahamsimba3315
    @abrahamsimba3315 6 лет назад

    Ebwana noma sana aman sana unaweza sana mtu wangu blessed

  • @kingdyzo
    @kingdyzo 7 лет назад +1

    Hahaha yan cjawah kucheka hvi...ngoma kalii 😆

  • @abubakarmajata6714
    @abubakarmajata6714 7 лет назад

    Naitwa mfalme abuu majata,dah lava lava hyo nyimbo iko pw sana yan imenitonesha kidonda changu.

  • @rizikinash5187
    @rizikinash5187 6 лет назад

    Ulikosea sana kutoweka hiyo mistari.kwa nini haukuiweka kwenye wimbo?ila poa hata hivyo bado huu wimbo ni fire 💟

  • @ibrahimmatage4021
    @ibrahimmatage4021 7 лет назад +2

    Kitakacho kubeba kaka nje ya kpaj chako n nidham salute kwako utafka mbal

  • @Sanga_b
    @Sanga_b 7 лет назад

    mmmm wait for my new bland song mapenzi uchizi ,,,,,nahisi brother utalia machozi ya damu!!!!! nc song blood

  • @ledidii848
    @ledidii848 7 лет назад +5

    bro keep Going n kila la heri na fanaka maishani

  • @Manu-gi4gn
    @Manu-gi4gn 6 лет назад

    pole sana dogo madem watakumalizia chooni

  • @thomasjoseph1390
    @thomasjoseph1390 6 лет назад

    Mungu akuongozee kaka anguu nkupend buree unamkumbuka allah

  • @mariamallyahmadi5895
    @mariamallyahmadi5895 4 года назад

    Nyimbo inaleta huzuni kwel achen tuu mmakonde alie labda yamemkuta kiukwel lavalava anaimba kwahisia sana ongera brother

  • @maxnzarombi5972
    @maxnzarombi5972 7 лет назад +13

    mtangazaji vepeeee? hhaaaaaaa pole sana bro labda yamekukuta

    • @epasinda9980
      @epasinda9980 7 лет назад

      Hakuna mtu ambae hajaumizwa kimapenzi hapa duniani.

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 лет назад

    Ni kweli inaumiza inaliza.thanks broo

  • @chusematheo5893
    @chusematheo5893 7 лет назад +14

    ngoma kaliii imepenyaaaaaaaa

  • @MC_Elisha255
    @MC_Elisha255 7 лет назад

    Tz vipaji vipo nimekapenda ka wimbo you soud good nimeupe mstari unao sema "wanini mshikaki nitatafuta boda yangu"

  • @claudineangel2283
    @claudineangel2283 6 лет назад

    woow very very nice song big up saana lavalava

  • @debymasery4007
    @debymasery4007 7 лет назад +3

    hahhhhaaa huyo mtangazaji kanipa raha kweli😁😁😁😁😁😁

  • @nurloy510
    @nurloy510 7 лет назад

    duuuuh hatari tz. jamani nitafutieni huyu comedian sitaki afe nikiwa. lavalava big up bro.

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 7 лет назад

    Mbona mna mcheka mwenzio jamani! !!eti analia kwa mazuri jamani😅😅😅😅😅

  • @abdulramadhan9928
    @abdulramadhan9928 7 лет назад +89

    inalillah waina illaih rajioun ikisomwa Qur'an MTU hata chozi hatoi ya Allah

  • @multazramazan4665
    @multazramazan4665 2 года назад +1

    Uyo alichapwa tukia ndugu mtangazaji😁😁😁😁

  • @wabogojo
    @wabogojo 7 лет назад +60

    Mapenzi Hayajawahi Kumwacha Mtu Salama

  • @oscartvonline2382
    @oscartvonline2382 7 лет назад

    Nakufeel kaka mtangazaji. Mwenyewe ninayo sehemu ya kipekee ndani ya moyo wangu kwa ajili ya huu wimbo...#tuachane

  • @aishaaisha18
    @aishaaisha18 6 лет назад

    Mm mwenyew maneno yamenichoma yote mvurugano wa mapenz

  • @magrethkomba5125
    @magrethkomba5125 7 лет назад +4

    hiyo nyimbo noma sana ikukute umetokw kubwaga unawez omb dunia ipasuke

  • @talhaahmad7793
    @talhaahmad7793 7 лет назад

    namkubali kinyama,Iam sister lavalava

  • @vistusnyambi3156
    @vistusnyambi3156 7 лет назад

    Aisee broo katendwa huo sio buree,pole kaka

  • @sarahlithoqueen495
    @sarahlithoqueen495 7 лет назад +20

    😂😂😂😂😂😂Huu mchezo wa mapenzi haukuwai kumuacha mtangazaji salama 😂😂daaah unalia kiasi icho .....kweli yashakupata

  • @lizmellissa7954
    @lizmellissa7954 7 лет назад

    lavalava wewe kamkumbusha mwenzako mbali😂😂😂daah!!sio kwa hicho kilo cha uchungu pole sana kaka

  • @mamuuwangu1792
    @mamuuwangu1792 6 лет назад +2

    Huu wimbo ndo ulinifanya nikupende lavalava u hve a piece of heart tho

  • @goodmaction2014
    @goodmaction2014 7 лет назад

    wimbo umenigusa sana tena cku nachukua uwamuz wa kuachana na mweza na wmbo huu unatoka, kaz mzur lavalava kaza ndugu

  • @pendoshamsa9508
    @pendoshamsa9508 7 лет назад +8

    kkkkkkkkkkkkkkkk mtangazaji ananivunja mbavu jamani hahahahahah yaitwa mapenzi

  • @pendotemu6685
    @pendotemu6685 6 лет назад +1

    Mtangazaji poleee so kwakutendwa huko had lavalava kakumbushaa

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 лет назад +62

    Hii nyimbo isikupate wakati umetoka kuachana na dem wako ambaye ulikuwa wampenda kwa moyo wako wote.

    • @salmazena1932
      @salmazena1932 7 лет назад +3

      Mlash Chusa real wallahi mbona kama imelenga ivi lazima utalia Tu wallahi

    • @suthnr3igns992
      @suthnr3igns992 7 лет назад +3

      Mlash Chusa ilinipata braza. tumebreak up leo , lavalava ana release song kesho. get what i mean ?

    • @lizmellissa7954
      @lizmellissa7954 7 лет назад +9

      mlash Chusa hivyo pia sisi madem yaani ukishatemwa ndio hivyo

    • @bettylozie9038
      @bettylozie9038 7 лет назад +2

      Champ Ahmed Umeona nikama amekuona 😂😂😂😂😂 pole ndo maisha hayooo

    • @irenemayala4020
      @irenemayala4020 7 лет назад

      yan acha kabisa

  • @maryshancy8035
    @maryshancy8035 7 лет назад +7

    Dah😭I'm in tears tooo..! That nigga made me to....! All in all be blessed

  • @anuzajmastour6406
    @anuzajmastour6406 7 лет назад +3

    We ni moto bro 🔥

  • @iamnjugunanjuguna5231
    @iamnjugunanjuguna5231 6 лет назад +1

    Oyeh oyeh njuguna from Kenya 😂😂

  • @khalfanmohd5807
    @khalfanmohd5807 7 лет назад

    uyu presenter swaumu ilimkaza 😁😁😁😁😁😁😁

  • @zeediizawadi9180
    @zeediizawadi9180 6 лет назад

    pole sana,kkangu inaonekana umeumizwa

  • @yusraabdalla4848
    @yusraabdalla4848 5 лет назад

    Kuimba unajua xana lava lava...big up

  • @husnahjohnsonhusnah4945
    @husnahjohnsonhusnah4945 7 лет назад +1

    mapenz kweli ovyo 😂😂😂😂😂 pole kaka najua umekumbka past BT worry

  • @rizobabe2082
    @rizobabe2082 7 лет назад +20

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭☹️☹️😭☹️😭😭😭😭 hii wimbo bwana ata my mom she's crying when she heard it 😭😭😭😍😍😍😍😍😍😍😭👏👏👏👏👏👏

  • @mathewkusulakusula2537
    @mathewkusulakusula2537 7 лет назад +2

    love feelings will not totally be perished simply bcoz love is flower DAT grow wthn a person to someone .,.. daaaa choz mzee bb hataree

  • @rizikinash5187
    @rizikinash5187 6 лет назад

    😂😂😂mtangazaji kichekesho mwe,mwe,mwe

  • @fatimaemma833
    @fatimaemma833 6 лет назад

    😁😁😁😁😁😁Mwenzio hadi Kalia jamani balaa

  • @shymotta5132
    @shymotta5132 7 лет назад +20

    Naitwa shy motta watanzia na wakenya mm baada ya lavalava m ndo nae fuatia 😰😰

    • @shadiaali1394
      @shadiaali1394 7 лет назад +1

      CHATU TV hahahaaa aya bhana

    • @nurloy510
      @nurloy510 7 лет назад

      CHATU TV nimetuma ombi langu

    • @shadiaali1394
      @shadiaali1394 7 лет назад

      Ombi gan my

    • @nurloy510
      @nurloy510 7 лет назад +1

      Nimependa huyu comedian. Nitafutie shandy

    • @shadiaali1394
      @shadiaali1394 7 лет назад

      Ila mpenzi io so comedi ni station ya radio

  • @timelessbeauty5677
    @timelessbeauty5677 7 лет назад

    kwani huyo mtangazaji amebwaga ....akakumbuka...hahahahahahaaa so guuud waw

  • @kaizergreen3486
    @kaizergreen3486 7 лет назад

    ila jaman sio siri mtu anaimba kwa hisia mpk me nimehc kulia.. so nice bro

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 5 лет назад

    Ila huu wimbo usipigwe ukiwa ndo umetoka kuachwq utalia mpka kisukuma .yn hata kingeleza kitakuja chenyewe.mm nililia mpk nilijikuta mwimbili inanukia kwangu .. .....big up sana.

  • @BB-xz4ml
    @BB-xz4ml 7 лет назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Arabi nilikuwa cijapitia huku duuuuuh pole baba wa watu jmni mapenzi yanauma uyasikie kwa mwezio penzi sawa na msiba pole baba ila zidi kuomba mungu utapata chako kaka lava lava uko vizuri aisee

  • @totoladinda3028
    @totoladinda3028 7 лет назад

    labda c ridhiki yngu, ndruuuukiiii🏃🏃🏃bora tuachaneeeee bwanaaa kwani ni lazimaaaaaaa? 🔥🔥

  • @africanboyamani8640
    @africanboyamani8640 5 лет назад +1

    Ngoma Kali sana hii

  • @ibrajoel798
    @ibrajoel798 7 лет назад +18

    lava lava aiseeee nisiwe mnafki napenda xana mxaniii anae imba live like u rich rayvany dah nouma

    • @martinmayagila1118
      @martinmayagila1118 6 лет назад

      Naitwa Rashboy dah ni hatari lala nataka kuimba nae mamba xangu hxo apo 0654060800

  • @barakajpilly6900
    @barakajpilly6900 7 лет назад +16

    Mtangazaj inaonekana kidonda chako bado kibich,mapenz hayana adabu bab

    • @immaculatecute4884
      @immaculatecute4884 7 лет назад

      Baraka Jpilly hahaaa...umenichekesha sana eti mapenzi hapana adabu hahahaaa... niokote chini pu!!!

    • @barakajpilly6900
      @barakajpilly6900 7 лет назад

      kwel immaculate we mwenyewe c unaelewa yalvo au bado hayakuadabisha?

    • @immaculatecute4884
      @immaculatecute4884 7 лет назад

      Baraka Jpilly hapo umegonga ndipo mwenzangu.Mapenzi yameniadabisha mara nyingi hadi adabu ninayo mkononi

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 7 лет назад

    😅😅😅😅😅wanaume wote angekua wanalia hivo dunia inge simama tupande yan nmecheka aisee naona nkiku-dream how you cry l love that teardrop😂😂😂😅😅😅

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 лет назад +2

    😂😂😂😂😂dah pole sana mmakonde inaonekana uliuumizwa

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 7 лет назад +1

    Kaaa nimecheka asee daah si kwa kilio hicho baba 😂😆😂

  • @jamilajamaljj7976
    @jamilajamaljj7976 7 лет назад +7

    tobaaa! jamani analia kwa uchungu kabisa

  • @khushipyaar7770
    @khushipyaar7770 7 лет назад

    Sauti nzr maa shaa allah

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 7 лет назад

    Hahahahha 😂😂😂😂😂 vita dhidi ya tuachane haijamuacha salama