Nandy feat Harmonize - Acha Lizame (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июн 2020
  • Music Video by Nandy featuring Harmonize performing (Acha Lizame). The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Alves.
    Listen to Nandy on Digital Streaming:
    BoomPlay: www.boomplay.com/share/artist...
    Audiomack : audiomack.com/nandy
    Apple Music: itunes.apple.com/us/artist/nandy
    Spotify: open.spotify.com/artist/nandy
    Dezeer: www.deezer.com/us/artist/nandy
    Connect with Nandy on Social Media:
    Instagram: / officialnandy
    Twitter: / officialnandy
    Facebook: / officialnandy
    TikTok: / nandytz
    +For More Information Booking Nandy
    Contact : +255 713 334 294
    Email:Officialnandytz@gmail.com
    ©2020 The African Princess.All rights reserved
    #AchaLizame #Nandy #Harmonize
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 6 тыс.

  • @RahzyQueenter
    @RahzyQueenter 4 года назад +84

    254 Kenya hatujaachwa nyuma🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes zikam through.

  • @mamupesa5585
    @mamupesa5585 4 года назад +30

    Hebu na mimi nipe izo like nione zinamaajabu gani maana wengi wanaomba
    Ngoma iko🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PhoustineMakhanu-gx4ue
    @PhoustineMakhanu-gx4ue Месяц назад +9

    2024 wapi likes za nandy❤❤❤

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 Год назад +82

    It's now 2023, and this song is still on a big hit! Wow! Nani pia anafeel this song like me here in Kenya, 🇰🇪, 🇺🇬 and 🇹🇿?

    • @tatuhamisi707
      @tatuhamisi707 Год назад +3

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nandy juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...lets keep liking and viewing her songs....

    • @mosesmukasa4286
      @mosesmukasa4286 Год назад +2

      really.......who knows it but some of them don't know it now stop saying that it's on hitt🙊🙊🙊

    • @mosesmukasa4286
      @mosesmukasa4286 Год назад +1

      really.......who knows it but some of them don't know it now stop saying that it's on hitt🙊🙊🙊

    • @mhhh6349
      @mhhh6349 11 месяцев назад

      Here 💃💃💃💃

  • @muchirifredrick4674
    @muchirifredrick4674 4 года назад +87

    Nandy harmonize 😍😍😍 harmonize for life😍😍 Kenyan love.
    Wapi like za kondegang 💯💯

  • @rhodystv1993
    @rhodystv1993 4 года назад +43

    Team Konde Boy naomba likes zenu... LOVE from BURUNDI

  • @athumanjuma2772
    @athumanjuma2772 3 года назад +90

    Hii hatari sana nimerudia kusikiliza more than 25 times 💥💥💥 like kama umesikia mkonga wa tembo

  • @aliabdalla-pk6jw
    @aliabdalla-pk6jw 8 месяцев назад +4

    Hiyo nyimbo kiboko ya diamond na zuchu ilike this song so much ❤

  • @jahboyleo1763
    @jahboyleo1763 4 года назад +88

    Jamani na mm nnashida na like🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @warrenmwampashi7731
    @warrenmwampashi7731 4 года назад +139

    Nani Kaja Kwa Ajili Ya Kondee Tuuuu

  • @kevinolome8852
    @kevinolome8852 3 года назад +71

    This song is so underrated

  • @lilnajboy3254
    @lilnajboy3254 3 года назад +28

    Nandy haki ya Mungu nakupenda tu bure❤❤❤ Lakini I know you can't love me back ofcourse ,,,But kukosa na kupata yote majaliwa🤣🤣 anyway Love this song🤏🤏🤏

  • @dalilaabeid2528
    @dalilaabeid2528 4 года назад +33

    Ngoma kali sana, konde ww ni mtu hatari sana umeuwa kinoma, Tembo

  • @isladelee7959
    @isladelee7959 4 года назад +29

    Nakukubali jeshi la mtu mmoja THE AFRICAN PRINCESS 👸

  • @somalilaughoutloud1867
    @somalilaughoutloud1867 4 года назад +99

    my somali people like hapa hawa wasee wanadhani hatujui kiswahili😄😄 alafu wacha jua lizame

    • @mohamedally5672
      @mohamedally5672 3 года назад

      Warr yaaa kkkk nimecheka kwa sautii mpaka watu wananishangaa😂😂

  • @danieltesfai2326
    @danieltesfai2326 3 года назад +62

    We need swahili to be a common language in Africa. From Eritrea

  • @jarmullerbwoy1181
    @jarmullerbwoy1181 4 года назад +12

    Kama unamkubali Nandy n Kondeboy plz dodosha like tuendelee✌🤘💪

  • @footballofficial5460
    @footballofficial5460 4 года назад +23

    from 254_ kenya,,nipewe like za harmonize aka tembo

  • @kerrya2128
    @kerrya2128 4 года назад +500

    Am I the only one who thinks swahili is a beautiful language. I just love swahili songs & beats😍it's a pleasure for my ears 🎧bongo hits💕

  • @humphreyshivamba7929
    @humphreyshivamba7929 3 года назад +50

    Harmonize is killing it.🔥🔥🔥 One love Brother, you taking it to the next level. One love from Mzansi 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @essekabisah4139
    @essekabisah4139 4 года назад +34

    Jeshiii !!!! Unapenda vya Giza Giza,🔥nimecoment,like kuudhi wasafi Tu... This is fireee🇰🇪🔥🔥🔥

    • @jayclassic5164
      @jayclassic5164 4 года назад +1

      😂😂😂💪💪🙌🇰🇪🇰🇪

  • @sonniamuchiri4272
    @sonniamuchiri4272 4 года назад +38

    Nandy girl you are my favorite musician... I'm a kenyan

  • @ayanhasan6209
    @ayanhasan6209 4 года назад +217

    Am here Because of kondeboi I really love this man I didn’t come here to beg your likes or Blah blah Im in love with this hit 🔥 love all my African people ❤️🧕 from 🇪🇹 .. ukitaka tena tuta endelea .

  • @faithnjeri3568
    @faithnjeri3568 3 года назад +17

    Kenyans we are here to show our love,,this girl in doing great,,n the dancing is epic

  • @brendakwamboka1901
    @brendakwamboka1901 4 года назад +55

    kama unapenda hii ngoma ♨️♨️♨️♨️💯💯💕gonga like tukisonga🙌🙌

  • @saidbenedict7062
    @saidbenedict7062 4 года назад +124

    Kama umegundua Dada etu Nandy kanenepa as anatingisha msambwandaaa Gonga like twende sawaaaa,👍👍👍👍🤴🤴🤴🤴#ACHA LIZAMEEEE 🌅🌅🌅🌅

  • @patrickgichuki8697
    @patrickgichuki8697 3 года назад +241

    When people predicted that Konde boy will go down forever after ametoka wasafi, he still came back in a big way. I respect Tembo and Simba in equal measures...🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍

    • @tsumaantony251
      @tsumaantony251 3 года назад +4

      And ask yourself why Kondeboy's songs nowadays struggle to reach 10m...And go and look to the views when he was in WCB....

    • @mikemiles2269
      @mikemiles2269 3 года назад +2

      10k???

    • @kutahmoses7629
      @kutahmoses7629 2 года назад +2

      @@tsumaantony251 falasy

    • @sophiemwanina5979
      @sophiemwanina5979 2 года назад

      @@tsumaantony251 jealousy thing.shame on you

    • @tsumaantony251
      @tsumaantony251 2 года назад

      @@mikemiles2269 was 10m

  • @douglasmutembei4613
    @douglasmutembei4613 6 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤ ngoma yetu pale classic 105 Kenya tukiwa na MAINA KAGENI!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bilhawilliam7599
    @bilhawilliam7599 4 года назад +65

    Ladies from kenya, ug, tz, rwanda, burundi, sudan, somalia, Ethiopia usimnyime nandy likes pls

  • @emmampole8131
    @emmampole8131 4 года назад +325

    Jeshii mnyama sana....!! Sijui na mm niombe like🤔🤔🤔...!!

  • @dixonkiplimo4534
    @dixonkiplimo4534 3 года назад +3

    Motooo sana,,,,Konde boy anatesa na hizi verses kali...Nandy na vocals nomare

  • @bhati-5651
    @bhati-5651 17 дней назад +1

    Anajua Sanaa huyu mwambaa❤❤❤❤❤

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 4 года назад +16

    Oyaaaaa konde kama konde amshaaa wanangu wa like piga ndonga goma la tembea wozaaaaaaaa 👉💯✔

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 4 года назад +23

    Tembo wetu jmn 💪💪💪🔥🔥🔥🐘🐘gonga like team konde gang

  • @antonykizigo2650
    @antonykizigo2650 3 года назад +4

    African princess 👸 tunamjua ni mmoja tu big up ✊ Nandi

  • @abellyleonard1551
    @abellyleonard1551 Год назад +2

    jmn kolab nandy na kond inalud ln🔥🔥🔥

  • @abeltuyisenge4794
    @abeltuyisenge4794 4 года назад +45

    Wenye warikuwa tunasubili hili ngoma nipe likes ata 100

  • @shebydarzen3093
    @shebydarzen3093 4 года назад +109

    kama umeona nandy anamiuno feni like nyingi

  • @celebs8369
    @celebs8369 3 года назад +68

    This is my Favourite 😍. Sending my warm hugs from 🇰🇪👍

  • @FarouqPhill
    @FarouqPhill Год назад +5

    Konde Boy mehhhnnnn!!! Has been, is and will always be my FAVOURITE OF FAVOURITES from Tz!!! Hebu pigeni bonge la ngoma collabo ft Aslay na Shetta man. Mtakuwa mmenimalizia kazi!!!

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 4 года назад +63

    Haki sijachoka kutizama hii nyimbo vile Nandy ametingisha uko nyuma 😳 nipeni like zenu from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад +33

    TEAM Nandy gonga like hapa twende sawa

  • @babynuumkubwa5057
    @babynuumkubwa5057 3 года назад +6

    Kama unamkubali NANDY na HARMONIZE pamoja na kkubali wimbo huoo basi gonga like yako hapo

  • @Raynize_Tv
    @Raynize_Tv 5 месяцев назад +2

    Siku hii video ilitoka ndipo babu yangu kafaa😢 nikiiona namkumbuka continue rest in peace grandfather

  • @Inno-qz2ec
    @Inno-qz2ec 4 года назад +37

    Jamani like za konde boy apa👍👍👍...

  • @davidado9632
    @davidado9632 4 года назад +96

    Ni hatari fire hii ngoma kama wewe fans wa nandy au harmonize weka like yako twende sawa 👍

  • @themagadir
    @themagadir 3 года назад +68

    This song was so well written and the tune fitted in so well

  • @officialssimba2181
    @officialssimba2181 3 года назад +1

    Usiku nipe shot nileweshe mukomboti uyu nandy noma unapendaviagizagiza panarahaa yakunyiza .......noma asha tembo aongeye 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @justusamnabi5653
    @justusamnabi5653 4 года назад +57

    wazito wa konde hands up na piga like🖐🖐

  • @saintwavymusic8962
    @saintwavymusic8962 4 года назад +38

    Likes za Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @davisihaji1090
    @davisihaji1090 2 года назад +2

    International video wapi likes za harmonize 🙏🔥

  • @lochucheddymon4065
    @lochucheddymon4065 3 года назад +401

    Sijawai fikisha likes elfu moja my people si upite na likes Yako kwa sababu since in my life Sijafikisha

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 4 года назад +15

    Tunao kesha na hii ngoma hadi iingie trending gonga like twende sawa

  • @mozayena3928
    @mozayena3928 4 года назад +38

    The African Princess ft Tembo 🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jacynyabuto121
    @jacynyabuto121 3 года назад +57

    Ooooh God, this is a it for sure! there's just something about this song❤, can't seem to get enough of it, much love from 🇰🇪

  • @hassanmvung9357
    @hassanmvung9357 Год назад +3

    Wacha lizame jua.

  • @hudsongabriel376
    @hudsongabriel376 4 года назад +23

    Bahati hii ndio maana ya kuitwa tembo🔥🔥🔥🔥🔥

    • @danielmrombo
      @danielmrombo 4 года назад

      Bahati leo anatolewa trending😂😂😂😂😂

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 4 года назад +116

    Tunaenda Kwenye One Million Like Zake Nandy

  • @dorotakurzela9864
    @dorotakurzela9864 Год назад +5

    Queen i Love your song ❤️❤️❤️To much Love from Poland 🇵🇱🇵🇱🇵🇱🌹🌹🌹🌹🍀🍀🍀🍀🍀

  • @FrederickTogba
    @FrederickTogba 3 года назад +66

    Can’t understand what they are saying but I love the song and video.

  • @kakangu7
    @kakangu7 4 года назад +28

    Kweli mchanga hauzikwi, unaubadilisha makazi #🐘 Konde gang
    Leo nataka likes za wakenya 254

  • @joycegacheri5177
    @joycegacheri5177 4 года назад +50

    Yani huu wimbo nimeusubiri ufike Saudi Arabia umefika saa hii 🤩🤩🤩thank you Nandy

  • @thomasmukanga8706
    @thomasmukanga8706 3 года назад +21

    I love their on screen chemistry ❤️

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 2 месяца назад +2

    Am I watching this masterpiece alone in 2024? 😢

    • @khasiani3221
      @khasiani3221 2 месяца назад +1

      Am also watching it and....

  • @FirebwizeGelfas1571
    @FirebwizeGelfas1571 4 года назад +27

    Toto nandy na mzee tembo.. Kazi safi Sana wazito

  • @LegendsOfArt_production
    @LegendsOfArt_production 4 года назад +81

    Binti wa vipindi ... hii ni tamu sana Gonga like kama umependa alivyo chezesha tako pale kitandani 😍😂

  • @sumayyamohamed9577
    @sumayyamohamed9577 3 года назад +15

    Nandy...our Ray C of 2020. The collabo is simply lit!!! 🙌

  • @zippybeibe
    @zippybeibe Год назад +1

    Yaani huyu tembo waah ngoma zake zinahit ikifanya collabo na wabongo hana ubaguzi
    Alifanya na nandy ni moto,,,, marioo nae n kali

  • @willymkr8621
    @willymkr8621 4 года назад +14

    Kama unamkubali nandy zaidi ya zuchu gonga like hapa

  • @abuutz4292
    @abuutz4292 4 года назад +31

    Kama unaamini TEMBO 🐘ameuwa kwenye hii ngoma gonga like

  • @lalojrjr2539
    @lalojrjr2539 3 года назад +1

    Cheche 6m 3weak wote ni wabongo

  • @hawakitoi6840
    @hawakitoi6840 3 года назад +1

    Napenda sana huu wimbo yaani hatar kabisaaa

  • @yassonicmganga5506
    @yassonicmganga5506 4 года назад +23

    Mama unafanya kila siku temboo nadindishaaa...
    MKONGAA😅😅😅
    #JESHIIIIIIII🔥🔥🔥

  • @maxterfx001
    @maxterfx001 4 года назад +62

    Mi ndio wa kwanza kuutazama likes zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @anordsakaya9852
    @anordsakaya9852 3 года назад +1

    Uwepo wenu kuna watu wanafura kama andazi lenye hamira

  • @djtashrastababy2592
    @djtashrastababy2592 4 года назад +3

    Si nakupenda Harmonize walai nmeiwatch Mara 60 already

  • @hamisichenji9892
    @hamisichenji9892 4 года назад +40

    Team Conde tujaze like hapa. Bonge la Song💪

  • @masudiabdul5442
    @masudiabdul5442 4 года назад +75

    Kenyans gonga like 👍..(....Usiku unipe Shoti 💃)

  • @boscoboscoboy3100
    @boscoboscoboy3100 3 года назад +1

    Katoto nandy kanoma chukuchuku and harmonize akisema eti kama umezoeya za gizagiza

  • @catherinemwende8604
    @catherinemwende8604 2 года назад +21

    I can listen to this song more than 3 times a day it's lit 🔥🔥🔥

  • @Dunmediatv
    @Dunmediatv 4 года назад +24

    Nomaaaaah 🔥🔥🔥🔥hiyo Kenya tunaipadisha No.1 on trending Mboom 🔥🔥🔥🇸🇸

  • @joanesjoseph4223
    @joanesjoseph4223 4 года назад +113

    Konde boy kaua tiyar upande wa pili wanatafutana kama unampenda konde sema woyooooooooooooool

    • @kulwambegu9148
      @kulwambegu9148 4 года назад

      Sio mzma levo nyengine ile labda davido au wizkid

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 года назад +1

      Kama haujaona kama kamckopi kuvaa Diamond kwenye Tetema basi hujuwi kukaguwa *tazama alivyo vaa kitambaa chake cha rangi ya njano na miwani yake na kwengine cheupe na mawani meupe vile vile kama sio Diamond kwenye Tetema

    • @mashambwana9849
      @mashambwana9849 4 года назад

      Atabaki copy tu uyo org kwa baba lao🦁

    • @illuminathersunzura1153
      @illuminathersunzura1153 4 года назад

      @@officialmrtop1018 mavaz katengeza diamond? Copy copy we umetoka Nazi tumboni unazovaaaa?

    • @luciousney3655
      @luciousney3655 3 года назад

      Woyooooooooooooooooooo

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 года назад +3

    Awoteeee aisee ngoma nkali sana afu wote wawili wameuwa isipokua kawaida,,kama hii ngoma umeielewa naomba udondoshe like yako hapo chini tujuane # from QATAR +974 🇶🇦

  • @youngnkgamming8255
    @youngnkgamming8255 3 года назад +5

    Nandy kakubali kiss ya harmonize 🤗🤗🤛🤜🤛🤜🤣🤣

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh3956 4 года назад +25

    Nani amemuelewa Konde kwa mara nyingine tena🙋‍♀️🙋‍♀️..... "Acha lizame" iko🔥🔥🔥🔥

  • @brianmtei8022
    @brianmtei8022 4 года назад +19

    humu mama african princess umekimbizaa kinoumaaaa.

  • @zainabumkanitenda5666
    @zainabumkanitenda5666 4 года назад +1

    Nandy unazidi kuwa mlembo

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 4 года назад +2

    Yani sauti ya Nandy kwa collabo inaweza sana yani hongera nice callabo 254 majuu piga like plz

  • @nicholusmutwiri4534
    @nicholusmutwiri4534 4 года назад +25

    harmonize the bongo music nguru, likes zake plizz

  • @dennoh_phennal5754
    @dennoh_phennal5754 4 года назад +640

    Kenyans in the building let's show love to our Neighbors 👇👇👇

  • @alirashid2881
    @alirashid2881 3 года назад +15

    African princess n Kondeboy I salute you guys I really enjoy listening to swahili songs and I love swahili coz some of the words are Arabic
    Much love to Eastern Africa from ABU DHABI 🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @erickwandera1194
    @erickwandera1194 3 года назад +20

    Harmonize is just growing unique every day....kazi nzuri bro.....Mola azidi kubariki kazi yako

  • @hafidhikika6213
    @hafidhikika6213 4 года назад +16

    Msanii pekee wa kike anaeimba nkamuelewa The African princess 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joykathure4981
    @joykathure4981 4 года назад +14

    254 representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ngoma on lit,yani unafanya tembo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥👍

  • @amirymuna2228
    @amirymuna2228 3 года назад +30

    Kama unamkubali African presses gonga like yako plz!!!!!!!

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 4 года назад +45

    Watz,🇹🇿tulioko +254🇰🇪Tuache lizame

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 4 года назад +26

    I like it,Kenyans in the house,acha lizame🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃👇👇👇👇👇👇👇

  • @shikugitati3544
    @shikugitati3544 4 года назад +1278

    Kenya pple gonga like hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍

  • @catherinekimeta8088
    @catherinekimeta8088 Год назад +1

    2023 and I still rewind to listen like 7 times. Who is with me?

  • @vincentdenga857
    @vincentdenga857 3 года назад +53

    I'm Kenyan, but Nandy has been my best female artist.