IZI NDIZO SABABU ZA MESHACK WA WISCONSIN KUFA INAUMIZA TIZAMA MAAJABU YAWATOTO KUSOMA BIBLIA, FINAL

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 55

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 26 дней назад

    Amina shetani wa uzushi na than,kwa watumishi wa MUNGU washindwe,na neno litaendelea 🙏💪.

  • @ZawadiDaudi-js7wl
    @ZawadiDaudi-js7wl Месяц назад

    Mali ya Bwana YESU KRISTO akuinue sana

  • @HappyKunambi
    @HappyKunambi Месяц назад +5

    Amen Mungu atutie nguvu nilikua natamani sana kujua chanzo cha hili mana watu wamesema mengi sana ambayo yalikua yananiuma sana kiukwel kuhusu mtume

  • @workwithmadeleine8623
    @workwithmadeleine8623 Месяц назад

    Asante sana kwakufundisha vijana Biblia ubarikiwe sana Mungu azidi kukuinua na kuwalinda na kuwapa mwisho mzuri

  • @nestorypesambili7341
    @nestorypesambili7341 Месяц назад +2

    Alitufundisha, kusoma neno, kufunga na kuomba Kwa bidii hapa Tanzania, nitamkumbuka daima.

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 Месяц назад +3

    Obedience, my people obedience God need obedience. God need us to obey him. This is reason satan attack us. Satan have right to attack us when we Don’t respect God Rules hallelujah if we don’t obey we can lose our life like the way that God servant !!! we have to put attention in obedience.
    Thanks Lord Jesus to make me listen this I learn something here amen

  • @RahabOpumbi
    @RahabOpumbi Месяц назад +3

    Praise God. I was present In Kenya. This man of God prayed for me .May his soul rest in peace.Glory to God.

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Месяц назад

    Asante Apostle MaliyaBwana yaan tumeelewa kumbe kikubwa kilicholeteleza kifo cha Mechak ni kutokuitii sauti ya MUNGU

  • @patrickkilonzo-r6l
    @patrickkilonzo-r6l Месяц назад

    AMEN BWANA YESU KRISTO AKULINDE MTUME

  • @UkweliTopic
    @UkweliTopic Месяц назад +3

    Wow this was so deep kweli. May the Lord guide you all.

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 Месяц назад +1

    Huyu mzee wa kanisa was a clean person,he prayed for me in kenya and i got heald ,watu waache domo baya

    • @queensgambit5496
      @queensgambit5496 Месяц назад

      Am Kenyan I only watched him online. When he died I was shook waited for some days before I could ask God what happened. That day he said he received eternal life he was glorified into heaven. Jesus said he searches the hearts of men and Meshack truly was seeking the Lord in his heart. Shalom

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 Месяц назад

    Ubarikiwe sana mtumishi mali ya Bwana pamoja na mtangazaji mpovizuri.

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Месяц назад +3

    MUNGU akubariki mtume ulifanya kazi kubwa sana

  • @queensgambit5496
    @queensgambit5496 Месяц назад

    Am going to walk in Obedience. Help me Jesus.

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 Месяц назад +2

    Yani anayo sema Nikweli sana, mie Roho mtakatifu alivyo Niambie ni some Nilushie walawi, yani sio Rahisi kusoma neno ila kwa Sasa niko vizuri.. kama Huna Roho mtakatifu hiwezi kumuelewa mtumishi but he speak truth amen

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 Месяц назад

    Amen Mtumishi wa Mungu.

  • @NellyKombe
    @NellyKombe Месяц назад

    Amen ubarikiwe mtumishi

  • @EdithNeddy-hs9xv
    @EdithNeddy-hs9xv Месяц назад

    Amen ubarikiwe

  • @ElizabethLyimo-bc3st
    @ElizabethLyimo-bc3st Месяц назад

    Mungu kweli anatisha

  • @EstherChadi-xe7se
    @EstherChadi-xe7se Месяц назад

    Amen Amen

  • @ShindiMlondani
    @ShindiMlondani Месяц назад

    Amena Amena ❤❤🎉🎉

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo Месяц назад +1

    Bwana akitupa maono tutii sauti yake

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa Месяц назад

    Amen 🙏

  • @ZionZion-b5d
    @ZionZion-b5d Месяц назад

    Jamaica Mtumishi Mali ya Bwana asante kwa taarifa nitiwa Moyo sana kujifunza umuhimu wa kuzingatia sauti ya Mungu harmful Mtume una Moyo safi kabisa yaani your so Innocent wanaokuchafua Mungu awaaibishe kabisa ni mkarimu sana Mtume Mungu akutunze Mungu akupe kibali kingine cha kuja Tanzania 🇹🇿

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 Месяц назад

    Amina Amina Amina 🙏🙏

  • @LidyaPeter-nl9bt
    @LidyaPeter-nl9bt Месяц назад

    Amen

  • @graceamisi9096
    @graceamisi9096 Месяц назад +2

    Kaka jambazi unajua kuoji sana maswali mazur

  • @Wikyebato_lusema
    @Wikyebato_lusema Месяц назад

    Mungu awabariki sana tuuuh

  • @Kaskilejohn_sk
    @Kaskilejohn_sk Месяц назад

    Best interview ime tulia sana 🎉🎉

  • @tundalawokovu
    @tundalawokovu Месяц назад

    I like it

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 Месяц назад

    Ahaaa kube mtume ata ni mwalimu kufudisha watoto bibilia,ni maajabu haya,ataeda bali huyu mtumishi

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 Месяц назад

    Chanel yenyewe inaitwa kaka jambazi😢😢😢

  • @SadikiKisubi
    @SadikiKisubi Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @Isaac_Nehemia
    @Isaac_Nehemia Месяц назад

    Dah hii imenigusa sana

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi Месяц назад +1

    Sasa aliyekufa ni mwingine halafu mnatutisha eti ni mali ya Bwana,nilianza kulia sana!

  • @officialsifa341
    @officialsifa341 Месяц назад

    Asante sana kwa interview hii na umeuliza ma swali mazuri sana👏🏽 Watu wanakuwa haraka ku judge bila kujua full story🙌🏾😢 Gone but never forgotten kaka yangu Mechack😢🙏🏽 Forever in our hearts🙏🏽❤️

    • @robertmrema5408
      @robertmrema5408 Месяц назад

      Jamani kuweni waelewa mtume meshac Mali ya bwana ajafariki

  • @bintilusambyalouise110
    @bintilusambyalouise110 Месяц назад +1

    Only God knows kama mnaombaga ya kweli depends na maneno unao toaga mdomoni mwako mtumishi anatukana sana 😅🤭

  • @ElizabethLyimo-bc3st
    @ElizabethLyimo-bc3st Месяц назад

    Kutokana na kutokutii kwake

  • @furahasefania5926
    @furahasefania5926 Месяц назад

    Jamani si amni kama amekufa

  • @MahraKhan-gd7pb
    @MahraKhan-gd7pb Месяц назад

    Asante mtangazaj kw kaz nzr ila tafuta zile maiki za kutegeshà hiyo maik nzit hiyo😂

  • @farajasimon
    @farajasimon Месяц назад +1

    Jamani mbona mbona mna tuchanganya. Ivi kweli kafariki?! Au alie post video ndo katuandikia title wrong?! if that's the case then fix it🙏🙏🙏

    • @THEGOLDENVOICETV
      @THEGOLDENVOICETV  Месяц назад +1

      Meshack wa Wisconsin na sio huyu mtumishi tunae hojiwa

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 9 дней назад

      Ooh hapo nimekuelewa maana moyo wangu ulikuwa unaugua sana juu ya hii title, asante Yesu kupitia mtumishi Meshack unapanda mbegu iliyo njema kwa watoto

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Месяц назад

    Jambazi! Ni nn?

  • @EsperanceEsperance-oi5dn
    @EsperanceEsperance-oi5dn Месяц назад

    Mungu wangu mbona watoto wa baba yangu wamejiharibishaa bado mapema 😢😢

  • @Chaxboy228
    @Chaxboy228 Месяц назад

    😢😢😢😢😢 RIP MESHACK

  • @KizaJacqueline-dw8eh
    @KizaJacqueline-dw8eh Месяц назад

    Amen 🙏