MWAMBA KATIA TIMU KENYA AMEKUWA MAARUFU KULIKO RUTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 275

  • @carolyneaketch1653
    @carolyneaketch1653 13 дней назад +27

    We are proud of him... Our African leader. May God give him long life. Much❤❤❤❤ from 🇰🇪

  • @jacklinenyanchama2866
    @jacklinenyanchama2866 12 дней назад +15

    I'm A Kenyan but soooo proud of Ibrahim, with lots of,❤❤❤❤❤❤❤

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 13 дней назад +25

    Wakenya nawapenda Sana huwa wana uzarendo na hawabagui viongoz wa Africa nzima ukifanya vizur hata kama ni rais wa Tanzania lazima wakupe maua yako 💉✍️✍️

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 13 дней назад +20

    Kabsa ata mimi naona ni raisi wangu❤❤❤❤❤#mungu tunakuomba umlinde ibrahimu

  • @MbwanaAli-o9g
    @MbwanaAli-o9g 13 дней назад +38

    Mkuu tunampenda Simba wa afrika mungu amlinde milele amiin

  • @LOVELYAggie
    @LOVELYAggie 13 дней назад +17

    MY PRESIDENT IBRAHIM TRAORE🎉🎉 KEEP UP MUCH LOVE FROM KENYA,,MAY GOD PROTECT YOU

  • @patrickkwibe4431
    @patrickkwibe4431 13 дней назад +18

    Huyo Jamaa Traore anatambaa afrika nzima ❤❤❤😂😂😂

  • @JumaAmos-be3so
    @JumaAmos-be3so 13 дней назад +6

    Umeleweka vyema kaka kwa ufumbuzi wako,❤Traore Ibrahim kiongozi bora Africa

  • @SihabaMsechu
    @SihabaMsechu 13 дней назад +14

    Mungu amlinde na kumtunza Traore wetu

  • @AMANiMAGOLO
    @AMANiMAGOLO 13 дней назад +9

    May God protect him ...much love from 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤

  • @pamelakinya002
    @pamelakinya002 13 дней назад +10

    We love you man of God 💗💗💗💗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @charlesmujuandakigasia
    @charlesmujuandakigasia 13 дней назад +4

    Endelea nakutuletea hizi habari ubarikiwe ndugu , from kenya with love

  • @AyubMuthee-r1l
    @AyubMuthee-r1l 12 дней назад +2

    Am a Kenyan 🇰🇪 bt I lve TRAORE more than.........!! I can't even explain my lve kwake ,my Lord bless you with unstoppable blssng and long life ❤❤❤❤

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 13 дней назад +8

    Mungu ampe maisha marefu awatumikie watu sote kwa jumla tunampenda kweli Ana onyesha uzalendo wa nchi yake na sio tamaa zake binafsi binafsi.

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 3 дня назад

    Mungu akulinde kamanda Ibrahim,maana watu wazuri kama wewe hawadumu kabisa,namkumbuka sana baba Magufuli,angekwepo mpaka sasa Tz ingekuwa kama Ulaya, Ibrahim mungu akulinde sana 🙏

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 13 дней назад +20

    Kwa kweli mm ni mama lakini mampenda sana huyu mwanangu mwamba

    • @ماريافيدال
      @ماريافيدال 11 дней назад

      Tupo wengi dada. Me naambiwaga si uhamie uko. Wengine wanauliza iyo plofil picha Yako ndo mme wako😂 Yani status what's up ni Kila siku nampostigi

  • @mussajuma645
    @mussajuma645 13 дней назад +6

    Shukuran sana IBM & UKUU wa MWAFIRIKA kwa kutujulisha yanayo jili dunian na ELIMU mnayotoa MUNGU AWABARIKI SANA🙏🏽. AFRIKA NI DAMU MOJA

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 13 дней назад +10

    Tunampenda ❤❤❤❤Baba yetu

  • @anithamkoma5930
    @anithamkoma5930 12 дней назад +5

    Mungu alinde Traole, ingewezekana kua na rais moja barani...

  • @MsengiShila-v1t
    @MsengiShila-v1t 9 дней назад +1

    Pamoja sna mkuuu TRAORE

  • @juniorinyanda9527
    @juniorinyanda9527 13 дней назад +6

    Ibrahim you are the king all African we love so much may God protect you

  • @AdamAbdallah-e9t
    @AdamAbdallah-e9t День назад

    Nakupenda sana brother dah Asante sana yaani unamtambulisha vizuri sana

  • @hakizimanaelie8916
    @hakizimanaelie8916 13 дней назад +3

    Hongera sana ukuu wa mwafrika huyu mwamba ni zawadi tuliopewa na Mwenyezi Mungu Africa nzima twajivunia kuwa Ibrahim Traore.Endelea kuamusha wafrika wote katika lugha zote ili tuweze kukomboa bara letu teule bustani la Edeni tulilo zawadiwa na Mungu . Africa nzima tuombee muheshimiwa amri jeshi mkuu Rais wa Afrika Ibrahim Traore Mwenyezi Mungu amupe maisha marefu. Afrika nzima waeke mabango yake kwenye mabarabara ,matatu ama(daladala) wenye nguo nakadalika 🇧🇮

  • @ZainulJuma
    @ZainulJuma 9 дней назад +1

    Nampenda sana TRAORE

  • @mnimpezagira
    @mnimpezagira 13 дней назад +8

    God bless him and protect him

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 4 дня назад

    Hongera ndugu mtangazaji unaelezea vzr

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 13 дней назад +6

    Asante kwa kutujuza habari traore,respect

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina 12 дней назад +1

    Ibrahim traore nampenda sana mungu akubariki atawale vyema asinje akadanganywa na walimwengu from kenya 🇰🇪 mombasa

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 5 дней назад

    Uyo mkaka wageli kutana namakoda tanzaniya igempitisha makoda urahisi wagechapa kazi african ❤❤🎉🎉

  • @inamahorosauda5983
    @inamahorosauda5983 13 дней назад +13

    Kijana mwenye hanamazarau munyenyekevu anapenda waraira wake amekataa ukoroni mungu amurinde mirere amepakwa mafuta namungu

  • @marymusembi9876
    @marymusembi9876 13 дней назад +6

    May God protect him day n night in my prayers always, God's His shield, defender n protector

  • @JosephMaina-i9v
    @JosephMaina-i9v 12 дней назад +1

    Nampenda sana Ibrahim Traore my president keep it up kijana mdogo and may God bless you.

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 13 дней назад +17

    Nilipata nafasi kusafiri kwenda Kenya kipindi ambacho Magufuli ndio yuko moto sana katika utawala wake! Nilishuhudia hivyo hivyo hayo Matatu (Daladala) za Nairobi zina picha za Magufuli mwanzo mwisho.
    Kama Mtanzania nilijisikia raha na faraja isiyoelezeka.
    RIP MAGU!

  • @JOSHUAONSARE-s5i
    @JOSHUAONSARE-s5i 9 дней назад

    Much respekt Captain Ibrahim Traore,,,,you deserve honour 🫡🫡🫡

  • @nelsonomusa8304
    @nelsonomusa8304 13 дней назад +11

    Am from kenya his Excellency my president triore

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi 13 дней назад +6

    Mimi nampendasana kwa uwamziwake wakujitoa kukomboa taifa ❤🎉

  • @feswal22
    @feswal22 11 дней назад

    Viva Ibrahim 🔥🔥

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 7 дней назад

    Big up kamanda Traore

  • @SarahIngaiza
    @SarahIngaiza 13 дней назад +2

    May God continue to protect him 🙏 much love from Kenya

  • @HajiMahmoud-o6x
    @HajiMahmoud-o6x 13 дней назад +3

    Hongera sana kaka kwa uchambuzi nakufuatilia sana hata mimi asa ivi nigetamani kuzaliwa BUKINABE we acha tu ❤

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 13 дней назад +4

    Safi mwalimu 💚💚💚

  • @SihabaMsechu
    @SihabaMsechu 13 дней назад +2

    Wish you life long Captain,,

  • @QaisqaisQais-s2z
    @QaisqaisQais-s2z 13 дней назад +2

    Mungu akuongezee umri mrefu Simba wa Africa kenya tunakupenda ❤

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana 12 дней назад +1

    🇰🇪🇰🇪we are proud of Hon Traore🥰🥰

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 7 дней назад

    From 🇧🇮 ata mimi na mpenda ❤❤🎉san

  • @gerardochiengokumu7071
    @gerardochiengokumu7071 13 дней назад +27

    Mimi ni mkenya lakini Ibrahim traore ndio rahis yangu

    • @machindafadhili3186
      @machindafadhili3186 13 дней назад +7

      Sio wewe tu Bali ni Afrika nzima ❤❤❤❤❤❤

    • @AMANiMAGOLO
      @AMANiMAGOLO 13 дней назад +4

      Kabisa

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 13 дней назад +6

      huyo ni rais wafrica sio wa burkinafaso ...muriti wa magufuli

  • @muhubirijxson6483
    @muhubirijxson6483 8 дней назад

    As a kenyan, so proud of Commander Traore ✊✊✊

  • @mogrosso3500
    @mogrosso3500 13 дней назад +4

    I’m burkinafaso now❤i was congolaise but now ouagadougu 🇨🇩🇧🇫❤❤

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 13 дней назад +14

    Huyo magufuli wa pili yuko vizuri.

    • @BoniphasLukas-w7n
      @BoniphasLukas-w7n 12 дней назад

      Huyu nizaid yamagufuri huyu had vita anaweza sio maneno tu shekhe

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 11 дней назад

      @ ni kweli

  • @georgeadimo4864
    @georgeadimo4864 13 дней назад +2

    Simba
    Simba
    Ibrahim traure
    My love for you Ibrahim traure bravo
    Thomas Sankara juu

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 13 дней назад +3

    Ubarikiwe sana

  • @msafiritalentmedia1085
    @msafiritalentmedia1085 12 дней назад

    Mungu akupe maisha marefu piga kazi isaya kwa kutuelumisha kuhs ukuu wa mwaafrica

  • @abudoeugenio6903
    @abudoeugenio6903 13 дней назад +7

    Uyo ni Simba wa África ✊✊✊✊

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 13 дней назад +5

    TUPONAE SIMBA WETU WA AFRICAN MUNGU AMLINDE AMEEN☝️☝️☝️🤲🤲🤲♥️

  • @bogalechtafari378
    @bogalechtafari378 13 дней назад

    Aksante Kwa kazi hii unayofanya Isaya, Mungu akubariki, Mungu ambariki Simba Traore na Sahel movement iunganishe Afrika yote kuwa na msimamo Mmoja wa kujikomboa 🇹🇿🇷🇼

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 12 дней назад +1

    MUNGU akubariki the best present of Africa

  • @mercykangai2128
    @mercykangai2128 13 дней назад +3

    God protect our son Ibrahim Traore Amen 🙏

  • @VeronicaMabonga
    @VeronicaMabonga 2 дня назад

    My favourite president I love you ❤❤❤

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 13 дней назад +2

    Mungu akubariki

  • @RiyazimanaHalima
    @RiyazimanaHalima 12 дней назад

    Kazi nzuri

  • @Corneliuskirwa-n2u
    @Corneliuskirwa-n2u 11 дней назад +1

    Am kenyan🇰🇪🇧🇫🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇫🇧🇫🇧🇫❤️❤️❤️

  • @MwidaniAbdulmalik
    @MwidaniAbdulmalik 13 дней назад +6

    Huyu ni kiongozi na simba wa Afrika
    na kama mtu anataka kuwa Kiongozi anwe kwenye kikombe kimoja na Traore na ndie Kiongozi wa kweli ndio nembo na sura ya Afrika kumekucha sasa Kenya tunampenda sana kwa mapenzi ya Mungu. 🇰🇪🇰🇪🤲🤲🤲

    • @HemedMpate
      @HemedMpate 13 дней назад +2

      Sio kenya tu africa nzima anakubalika nilikata tamaa alivokufa gadafi mugabe kwame mkuluma nyerere sankara na magufuli jambo jema mungu katujali wapo hawajaisha 10:41

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 12 дней назад

    Mungu amlinde kampten Ibrahim Traore

  • @kaifakilala8224
    @kaifakilala8224 12 дней назад

    Rais wa afrika ❤❤❤

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 13 дней назад +11

    Hata kwenye Gari yangu nimemuweka TRAORE

  • @SifatyAlly
    @SifatyAlly 10 дней назад

    Allah amlinde tuna mpenda sana

  • @petersonnkoroi
    @petersonnkoroi 12 дней назад

    Very true we love traore

  • @kulwawilson586
    @kulwawilson586 9 дней назад

    Mungu amlinde
    Mungu atuinilulie viongoze wengine kama huyo, viongozi wanaojua thamani ya watu wao na rasilimali zetu. Tunautajiri mwingi Africa ila hao manyang'au😖 wanautumia vibaya

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 13 дней назад

    Ibrahim tunakupenda bure ❤❤ from Kenya

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 13 дней назад

    Kazi njema asanate kwakijuwa kama haya makundi hayahusiani na usilamu

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 12 дней назад

    Nikweli tunapenda sana❤❤❤❤

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda 12 дней назад

    Tunakuelew sana kak

  • @Miami-h1b
    @Miami-h1b 13 дней назад +3

    Kaka pokea hongera kutoka kenya

  • @OfficialKingflavour
    @OfficialKingflavour 13 дней назад

    Huyu ni shujaa bana napenda sana Ibrahim ❤❤❤❤

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 13 дней назад +3

    Wewe jamaa Mungu akusaidie upate redio ili hata raia asiyekua na simu kubwa apate elimu hiyo safi sana

  • @OmariMwasina
    @OmariMwasina 10 дней назад

    Is the king 👑 of Africa

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam 12 дней назад

    Ibrahim traore karibu Tanzania

  • @Bosswellcarlos
    @Bosswellcarlos 12 дней назад

    Kweli tunampenda sana simba wa Afrika

  • @Bosswellcarlos
    @Bosswellcarlos 12 дней назад

    Kweli Ibrahim Traore ni Rais wa Afrika Nzima Watake Wasitake Ibrahim Traore Ndoa Kusema Bro

  • @thomasmackenzie8766
    @thomasmackenzie8766 13 дней назад +2

    Traore , the president of Africa ❤🎉🎉🎉

  • @sketchbabu
    @sketchbabu 13 дней назад +2

    Simba wa Africa. Bila shaka.

  • @AnnaNzilla
    @AnnaNzilla 12 дней назад

    Mungu.akulinde.ibrahim.uwe.mkubwa.wa.africa.utetee.heshima.ya.africa

  • @johmangistics8507
    @johmangistics8507 6 дней назад

    Traore is hero of Africa and world history

  • @roseshijedi8744
    @roseshijedi8744 12 дней назад

    Mungu ampe maisha marefu asaitie watu

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 4 дня назад

    Traore 🦁 of Africa

  • @JumaAmos-be3so
    @JumaAmos-be3so 13 дней назад

    Great leader

  • @anny19988
    @anny19988 13 дней назад +4

    Hata mimi kuna siku nimepanda daladala ina picha ya Traore hapahapa Bongo

  • @papaamularfins599
    @papaamularfins599 13 дней назад +1

    KING OF AFRICA🌍🌍🌍 CAPTAIN IBRAHIM TRAORE 👑👑👑

  • @hassandaudibalagha4248
    @hassandaudibalagha4248 13 дней назад +1

    Wazi

  • @linusdavis9072
    @linusdavis9072 13 дней назад +1

    Traoure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @janmusquera
    @janmusquera 13 дней назад +5

    Kutoka Kenya,hapo ni ukweli.Captain Traore siku zote.🙏🏻🙏🏻

  • @AnnaNzilla
    @AnnaNzilla 12 дней назад

    Mimi.ni.mkenya.na.ninampenda.sana.ibrahim.raisi.wa.b

  • @snaijohn5779
    @snaijohn5779 13 дней назад

    Ni kweli

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 13 дней назад +3

    Wengine wana hofia uhai wao 😂😂

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 13 дней назад +2

    Binafsi yangu nampenda Sana Simba huyu wa Afrika

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 12 дней назад

    😂😂😂amekasirika kisa hajaalikwa Marekani kwenye kiapo ameona ajiunge tu na mwamba wa Africa👏👏🙌

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 13 дней назад

    Saf sana huyu kiongoz ipo siku na kwetu atapatkana🇹🇿

  • @Bonfece-g3z
    @Bonfece-g3z 12 дней назад

    wow

  • @FrankeIgiraneza
    @FrankeIgiraneza 13 дней назад

    Komera cane

  • @agnesmaizah3834
    @agnesmaizah3834 11 дней назад

    Kenya tunatambua Ibrahim Traore🎉🎉🎉🎉