I felt very proud of Simba! Congratulations to Sakho. Charming to his teammates! Good cooperation. Very happy moment, It is joyous! Bravo Sakhoooo and all Simba players.
Sakho anaupendo sana kwa wenzake kanikumbusha Mendy wa Chelsea baada ya kufika kambini akitokea kwenye Michiana ya Afrika fujo zilikua kama hizi watu wa Senegal 🇸🇳 wapo poa sana😍😍
Daaah simba raha sanaa unajua had nmecheka life style ya mchezaj sakho daah nmefirahia sana namna alivyo mpongeza Kapombe maana ndo assist yake ya hilo goal # NGUVU MOJA KWA PAMOJA
➡️Dejan Georgijevic/ Goals/Skills/ Dribbling/ touches/ straika mserbia wa Simba huyu apa . ➡️Angalia uwezo wake kwa kugusa linki hii apa chini. 👇🏾. 👇🏾. 👇🏾. ruclips.net/video/YBCsNatIN-I/видео.html
raha sana jamani, mmewaona mpaka maaskari wa kiarabu wanapiga picha na Sakho, ila Onyango kama hakupenda vile au alikuwa anafanya nini kule chumbani, hongerani kwa upendo huo
I felt very proud of Simba! Congratulations to Sakho. Charming to his teammates! Good cooperation. Very happy moment, It is joyous!
Bravo Sakhoooo and all Simba players.
You're speaking a lot more frankly from either Mali, aren't you ? I do appreciate you fam for your brotherly 😍 support to SIMBASCTZ 🦁
Mungu akubariki Sana SAKHO pia Mungu ibariki Simba nguvu Moja
He is so unselfish. Team player ....congrats sakho
very proud of simba sc and everyone MUNGU ibariki TANZANIA
wallah raha saaana simba damdam ILoVE YOu SO MuCH SiMBA 😘😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘😘
These guys got 2much love 4each other! I like this
Sakho anaupendo sana kwa wenzake kanikumbusha Mendy wa Chelsea baada ya kufika kambini akitokea kwenye Michiana ya Afrika fujo zilikua kama hizi watu wa Senegal 🇸🇳 wapo poa sana😍😍
Phili sakho nawamiss sana daaah.
Aseee, raha mnooo. Mungu aiongoze SSC.
sakho anampenda Sana Peter Hadi Raha kafurahiii alivyomuona mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂
Tujuane kama kuna mtu aiyangalia hii kitu mpaka leo talehe 23-19-2023
Hard work pays abundantly. Hongera sana.Inapendeza sana.
Pape ousmane sakho❤️Sénégal 🇸🇳
sakhoooo mtuuu huyuuu
Daaah simba raha sanaa unajua had nmecheka life style ya mchezaj sakho daah nmefirahia sana namna alivyo mpongeza Kapombe maana ndo assist yake ya hilo goal # NGUVU MOJA KWA PAMOJA
Simba sc nguv moja
I love you so much Mr Senegal
Sakhoooo simba nguvu moja 🔥🔥👊
Raha sana unyaman 😁😁😁
Nafurahi nacho kuona.
Hahaha l like it ,,it's for all Africans that's why it's too heavy. ( All Africans even my brothers young Africans,
Excluding them
Kulalalalalalalala kama umeangalia kwa furaha adi mwisho gonga like apo
Daah Safi sana wanangu wa Simba , huo upendo ni fireeee
Haya mambo yanapatikana Simba tu🤣🤣🔥🔥💪
Naipenda sana simba upendowangu kwa simba hauna mfano, simba nguvumoja
@@petermusa4745 tupo pamoja nguvu moja
Hata yanga mayele nae kapewa tuzo ila hajaamua tu kuikodishia gari itembezwe ahhahaaaaa hatari sana
I admit sencirely, l no longer miss Morrison, Banda and sakho keep me happy ..l see brother hood in them
🤣🤣me too
Mashaaallh hd raha❤️
Bonge moja la hotel 🔥🔥🔥🔥
Alafu anatokea mtu mmoja iv anasema ooh Simba wanakaa bwenini
Unyamaaaa mwingi 🔥🔥🔥🔥
Unyamani raha sana 🦁🦁🦁
dogo hajafeli..mungu ana maguvu Sana...ila SEMA sakho tuzo kaweka kwenye rambooo hahahah...big up Kwa Huyu chaliii anapambana Sana.
🤣🤣🤣nahisi aliiweka kwenye rambo baada ya kufika kambini ili kuondoa usumbufu wakati wa kuitoa si umeona rambo imetupwa mana yake haihitajiki tena
Yupo simple sana
Tumeleta VAR,tumeleta golden boot bado kombe tu ...🤣🤣🤣....Simba nguvu Moja..💪
pamoja Kaka
Aisee kumbe hivi vitu niraha sanaeeee
Ni zaidi ya familia kwa upendo huu .simba nguvu moja
Jamani usisahau kumshukuru kapombe pls
SIMBA nilidude likubwasana lisilo namfano, naipenda simba achainiue maana sio kwaraha hizi.
Utopolo hamtokuja kuigusa mpaka mwisho wa dunia 😭😭😭
🤣🤣🤣
🤣🤣 dah
Sio poa unawataja vpi utopolo bro wakaushie
🤮🤣
Onyango sijamuelewa. Au anaona aibu, vijana wanamsumbua Mzee.
utakuta alikuwa anapiga punyeto afu wakamshitua
Kaingiza demu kambini
🤣🤣🤣
Sio hivyo huyo ni center beki so haelewi kinachoendelea hapo. Ndo maana hapo asilimia kubwa mastreka wanaopongezana ni mastreka 🙆♂
Onyango kavusha kinyogoli
this loveee
Hadi Raha Simba on 🔥🔥🔥
Raha sana mpk najikuta natoa machoz tu
Hataree
Raha sana😍😍😍😍😍
Nguvu moja
Mambo ya mguu 🔥🔥
Sakho unyamae🤙🤙🤙❤️
Mnyamaaaaaaa
matola guuuaaaardiola 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
My people ,my team,I love Sakho love to the team mates.
Great memory....
Simba nguvu moja ,nyeupe kama tishu
Sakhoooo
yani Banda na sako 🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuwa Simba raha JAMANI
Sema huyo babu onyango mbn kama hana furaha Sana sijapenda
Hahahaaa
Hahaha😀😂
😂😂😂😂 hamna ndo alivyo
Onyango anahofia namba yake kwa ouatarra
Alikuwa na demu ndani
Mimi ni yanga damu Ila nimenaindi kichizi
Peter your lucky to have that guy aise
Daah hivi vituko vya kiulayya Ulaya, ama kweli SIMBASCTZ TAIFA KUBWA and CHAMA kubwa, BONGO bahati mbaya
Amia ulaya
@@hildamapunda1509 nihamie mar ngp
Ahmed Ali ananongwa eti kizitooo because for all African
IF FACT SIMBA IS ON 🔥😍 PEACE AND LOVE
🎉❤ibou diop et
Hizo ndio history za mnyama Simba barani africa
➡️Dejan Georgijevic/ Goals/Skills/ Dribbling/ touches/ straika mserbia wa Simba huyu apa .
➡️Angalia uwezo wake kwa kugusa linki hii apa chini.
👇🏾. 👇🏾. 👇🏾.
ruclips.net/video/YBCsNatIN-I/видео.html
sako siarudi tuu
Iloveee u simbaaaaa
Sako jamniiiiiii
Sipati picha kama angekuwepo molissoni😁😁😁😁😁😅😅😅
Woiwoiiwoiiii yaan tungecheka zaidi ya hapa
Jeri Jeri Banda laha sana
Too respect sukho
Simba raha sana
Babu onyango kamwambia peleka ujinga wako kwa watoto wenzako huko mm nina Bibi yako humu
Hahahahahhaahhaahahahahaha
😂😂😂akili huna
😂😂😂😂😂
M-bet bhana imenoga sana pale mbele
Uyo babu onyango naee limezeeka halijui ata kufurahi Tena limeniuzii si lirudi kwao😎
Onyango alikua na dem nn😂😂😂
😆😆 amini
Kauzu kweli
😀😀😀😀
raha sana jamani, mmewaona mpaka maaskari wa kiarabu wanapiga picha na Sakho, ila Onyango kama hakupenda vile au alikuwa anafanya nini kule chumbani, hongerani kwa upendo huo
Alikua ananyandua😀😀
Onyango cjui alikuwa anapiga nyeto🤣
DU COURAGE 🤍👍
♥️♥️
Sio poa , na sema hivviii sio poa hicho kiatu
Kwa sasa Sako amekomaa msimu ujao inatakiwa aende timu kubwa kama Yanga ,al ahaly, Zamareki muda WA kukaa kwenye vyuo umeisha
Hahahah!! hatare sana
Jamani hata aib huna tmu ka yanga kwel
Upendo mwingi saaaaana
Acha kabisa
🥰🥰🥰
Onyango alikuwa na demu kabisa😂😂
Changamoto ni lugha wanangu ila show show
Wow
Mbn alivaa nguo za peter banda
Jamaa ake sana
Anampenda sana ni mshikaji wake kinoma ndo maana umeona alikua anamtafta sana jombaa kaa kw kulirax
Wanapendana
Ushkaji
Si Jerry 😂😂yeye TOM
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah ahm ahm ahm
Mgoli ule hata Ronaldo hajawahi kufunga
👊
Anavunja uti wa MGONGO
Onyango dizain ka anakunja hv
😂😂😂 Watu bhna wachunguzi mbn sikuon hiyo sehem
Simba ni chuo kikuu, kwaio Sakho inaonekana kapata GPA kubwa , sasa akatafute kazi Yanga
Kabanda nikapole jamani
Ukiwa na Simba ni raha tu
❤️
Mwamba kweli kweli sina mashaka nae
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unyama mwingiiiii
Wuuuuuuu
Onyango hataki miyeyusho🤣🤣🤣🤣
Sio hatak miyeyusho ndo Wakenya wengi walivo, watu wa mwila
@@nuruworldinsight2957 Wako vipi? Mwila ndio nini?
Onyango amemaindi😂😂😂😂
Onyango amemaindi😂😂😂😂
@@stn4873 kuwa na ROHO ya kisununu
Jaman Raha ninayohisi ni hatar
Hiyo hotel meionaa😂😂
Had Raha
Kipato huleta majivuno, na hasa kwa mwenyekujitambua.
Onyango sijakuelewa au ndio jiroho
Oqopa mataper sakho auzwiiiiiiiiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyeupe kana tishuu 😂
Msemaji wa simba hajui english
HOW CAN YOU PUT IT IN THE RAMBO BAG THE FIRST PLACE? TELL SIMBA TO BUY YOU A BAG.