Chendu wewe ni Nyoko Mtemi wawatemi kijiji kizima umekipindisha migongo Baba tasnia ya uigizaji ni yako chukua maua yako Baba na MUNGU azidi kukusimamia.🎉
Nikweli shemeji Lakini mm sikufanya masukuti 😂😂😂 ila ukinizadia ntashuruku sanaa huyu mkaka ananifurahisha...ila kipunje ana uko na akili nyingi sanaaa kila kitu kinaitaji subira
Ila chendu wewe nimbaya umeweza kuwainamisha kijiji kizima wapinde mgongo na wameitikia aloo wewe ninoma sana kaka 😂😂😂😂 ila mwanangu nyau simuoni kwenye hii eka eka naeee
Hongereni kwa kazi nzur❤❤❤
Mimi huyo inabamba kwa kwel kazi nzr chendu🎉🎉🎉🎉
Mambo hayoooo,tupe vitu chendu
ohooo welcome idi jua kali 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
😅😅😅Nacheka kama mazuri mana matafany kibiongo
Nakubali mkuza ko uko tayari anishike makalio ,maina nakuona mbali pamoja producer Chendu
Chendu wewe ni Nyoko Mtemi wawatemi kijiji kizima umekipindisha migongo Baba tasnia ya uigizaji ni yako chukua maua yako Baba na MUNGU azidi kukusimamia.🎉
Hongera sana chendu kwa kazi yako nzuri.endeleza hii itakufikisha mbali sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Anko zumo karibu BIGWA
😂😂😂😂😂😂😂😂anko ZUMO ndani ya mjengo karibu
Mko vizuri team chendu 🎉🎉🎉🎉
leo wa 6 mm naomba like zangu
Wapili jmn kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hongera sana kwakazi nziri
❤❤❤rahaa
Maua yenu jaman🎉🎉🎉
Team imekamilika hadi anko zumo ndani
Jaman mbona mganga hayupo mnatukela utam hkuna sasa Kwa movie
Jaman nan kamuuelewa mkuza Kama nawee umeelewa Kama gonga like hapo
Salaam alaikum OG Chendo please usitucheleweshe ivo tuna kiu sana na iii series.
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Pa1 Sana ndungu zangu
mkuza na maina😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbn utamu unakuja halaf mnaukata jamn😅
Eti kaa uongee na baba ako duu 😂😂😂
Wakwanza leo jamani nipeni like Zang ❤❤❤
Kazi zuli
Leo mmeipost kiuni Sana duuuh
Kipunje mvue kitambaa hicho kichwani ili mupate kumchukuwa demuwenu
Kwahiyo chendu watuwako ndo hawainami😢😢
Iko poa sanaa aiseee.Big up CHENDU GANG
Nikweli shemeji Lakini mm sikufanya masukuti 😂😂😂 ila ukinizadia ntashuruku sanaa huyu mkaka ananifurahisha...ila kipunje ana uko na akili nyingi sanaaa kila kitu kinaitaji subira
😂😂😂 masukudi
Jmn namim like 5 zinatosha
Simpendi mkuza sana
Anaigiza jamani😅
Ila chendu wewe nimbaya umeweza kuwainamisha kijiji kizima wapinde mgongo na wameitikia aloo wewe ninoma sana kaka 😂😂😂😂 ila mwanangu nyau simuoni kwenye hii eka eka naeee
zumoo kama zumoo unyama mwingi
Kipunje nampenda hadi basi😩🤗❤
Wa 3 toka oman
Kwani matambiko ya chendu hayaishi mbona 😅😅😅😅
ila bigwa kunanoga kuliko kule kw simba mweusi❤❤❤
Mnasem tu wakwanza wakwanza masaa ma4 hat like moja hmn mnawaza ukwanza hamuwaz kupandisha account ya mtu mnampenda
😂😂ila jmn uyo msaidizi wa mganga ananiacha oyi mm siwez ishi bila yeye
Unyama
kunoga
Alooooooo