BIGWA EPISODE_24 (STARRING CHENDU, ANKO_ZUMO, MKUZA, NYAU AND MAINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024
  • Bigwa ni Series yenye maudhui ya kitanzania inayoweza kuku elimisha kukuburudisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii )

Комментарии • 56

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 часов назад +3

    Haki chendu unavimbanga kweli

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 часов назад +3

    Jamani zimepita ep 2 au tatu sijamuona mganga mwanamke nimemmic mno namkubali yule dada

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 14 часов назад +2

    Mkuza samaleku..chendu na mkuza mna kitichenu mbinguni nawapenda pire❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 часов назад +2

    Nimekuona leo mganga wangu dada mganga nakupenda sana uongeaji wako

  • @OfficialMicky-nv4re
    @OfficialMicky-nv4re 18 часов назад +4

    Chendu tunaxhuruku cna🔥🔥🔥🔥🔥 na tunazidi kuangalia bingwa maxukud

  • @Jaydenny-jx1te
    @Jaydenny-jx1te 14 часов назад +3

    Mmeweza sana🎉🎉🎉

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 18 часов назад +3

    Yapendeza sana kazi nzuri chendu❤❤❤❤❤❤❤congratulation

  • @ndabirabemwajuma2136
    @ndabirabemwajuma2136 19 часов назад +5

    Leo nimewahi wakwanzaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 часов назад +2

    Hahahaa chendu na vimbanga vyake

  • @BonifasPaskal
    @BonifasPaskal 17 часов назад +3

    Najikutatu naipenda ❤jamani hii kazi nzuli sana mauwayenu chukueni 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @tausifautini407
    @tausifautini407 14 часов назад +2

    Chendu we balaaaa😂😂😂

  • @Saidmayombya-z3g
    @Saidmayombya-z3g 15 часов назад +2

    Huyu gumbwa nae. Eti nakushuruku mungu akubakili😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 14 часов назад +2

    Hichi kijiji cha chendu mtihani

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 17 часов назад +2

    Wanaokubaliiii...2po...Nigeria...npo..like...chenduuu...ana2peleka Las Vegas

  • @mavoejr3072
    @mavoejr3072 17 часов назад +2

    Filamu yetu pendwa kwa hewa bigwa napenda sana Ako ka mzk kakisukuma

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 18 часов назад +3

    Nyiee chenduu mafiaa❤❤❤❤❤😂😂

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 14 часов назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mii kwanza nicheke comment bdae anaitwa chendu mdigo kamili

  • @StephMbilinyi-v7l
    @StephMbilinyi-v7l 18 часов назад +3

    Hongereni kazi nzur🎉🎉🎉

  • @mwajumaally1041
    @mwajumaally1041 13 часов назад +1

    Mi mwenyewe nashuruku sana😂

  • @zakariawilliam-3816
    @zakariawilliam-3816 13 часов назад +1

    Chendu uko sahihi kabsa 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SisuSela
    @SisuSela 18 часов назад +3

    One one give like from kondoa

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 17 часов назад +3

    Ankoo zumo❤❤🎉🎉

  • @JanuarySepetu
    @JanuarySepetu 18 часов назад +3

    yan mkuza bwana anaenda kuandaa kabur amesahau kama zumo n ndugu yake na chendu😂😂😂😂

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 17 часов назад +2

    Chendu yaani mambo yako ni motooo mnoo 😂😂😂huwezekani kwa kazi za uchawi....kongolee

  • @ShakiraRichald
    @ShakiraRichald 18 часов назад +3

    Kwan hili tambiko la chendu litaisha lini mbn watavunjika migongo sasa me nachoka sasa😂😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 17 часов назад +3

    Mtoto wa zuu utaona mengi

  • @GetrudaMashaka
    @GetrudaMashaka 17 часов назад +2

    Wa mwisho leo❤❤❤😂😂

  • @IreneManji-fm5hv
    @IreneManji-fm5hv 19 часов назад +5

    Wa kwanza leo nipeni like jamani❤❤ namkubali sana chen

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 17 часов назад +2

    Chenduu...bongo...la cinema

  • @MkumboKahongo
    @MkumboKahongo 18 часов назад +3

    Hatari sana

  • @SashaBeib-jk1im
    @SashaBeib-jk1im 19 часов назад +5

    😂wa Kwanza apa nafrah sna kumuona anko zumo ndan ya bigwa ila chendu❤

    • @SashaBeib-jk1im
      @SashaBeib-jk1im 18 часов назад

      😢sasa kavungwa
      1.nashuluku sanaa
      2.Mungu akubakili sanaaa
      Dah

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 17 часов назад +3

    Mkuza una roho mbaya kama sura yako kiukweli ww haugopi unaeza uaje ndugu yake na chendu au kautaka tena😂😂😂

  • @Sajdayusuf
    @Sajdayusuf 15 часов назад +2

    Kuna vile nimemchoka mkuza😢

  • @NkelaNkela
    @NkelaNkela 18 часов назад +3

    unatisha mkuza du

  • @LazaroThomasnghumbila-ir5ol
    @LazaroThomasnghumbila-ir5ol 17 часов назад +2

    Haka kasitail ka kutembea nikiboko kila mtu anamuinamo wake😅😅😅

  • @khairatsaid7634
    @khairatsaid7634 18 часов назад +3

    Yaan watu wa bigwa kazi wanayoo wataumwa mgongoo🤣🤣

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 18 часов назад +3

    🔥🔥

  • @KingR7Oficial
    @KingR7Oficial 18 часов назад +3

    🎉🎉🎉

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 17 часов назад +3

    Nakushuruku Sana mungu akubarikili sana😂😂😂

  • @HawaBedui
    @HawaBedui 54 минуты назад

    Yan mkuza anafnya mmbo bila hat kufkiria aaah hana baya kaka😂😂😂😂

  • @TumainAmosi-l1n
    @TumainAmosi-l1n 2 часа назад

    Mi nampenda sana chendu

  • @KIBELITI-OG
    @KIBELITI-OG 18 часов назад +2

    ❤❤❤

  • @JacquelineErick
    @JacquelineErick 13 часов назад +1

    I love you all 🎉🎉🎉🎉

  • @FaridaMousa-xy2rk
    @FaridaMousa-xy2rk 16 часов назад +2

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @shakwikindolo
    @shakwikindolo 10 часов назад

    embe we boga 😂😂😂😂😂😂 htr mkuza ND hy

  • @FilimonJohn
    @FilimonJohn 13 часов назад +1

    Alooooooo

  • @TwahaMohamed-n8v
    @TwahaMohamed-n8v 11 часов назад

    Mkuza dah!!! Jau sana

  • @MauwaArfahn
    @MauwaArfahn 24 минуты назад

    Na ndio maana Kuna watu hawaendi kwao walipo zaliwa kwa sababu ya Yale yanayoendelea kwenye miji km haya na Zaid ya haya kazi nzuri wapendwa

  • @StahimiliNdondole
    @StahimiliNdondole 48 минут назад

    Ni hatariiiii

  • @ndabirabemwajuma2136
    @ndabirabemwajuma2136 19 часов назад +5

    Nawombeni comment zenu ❤❤❤❤🎉🎉😂

  • @UstinaMayemba
    @UstinaMayemba 2 часа назад

    💐💐

  • @MkumboKahongo
    @MkumboKahongo 18 часов назад +3

    Nauliza hivi hiki Kijiji cha Bingwa ndo kipo hapa Morogoro au!!?

  • @christinaharrison2244
    @christinaharrison2244 16 часов назад +1

    🎉

  • @IreneManji-fm5hv
    @IreneManji-fm5hv 19 часов назад +4

    Wa kwanza leo nipeni like jamani❤❤ namkubali sana chen