Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mashallah 🎉 ni Kaz nzur, nimeipenda
Mashallah Kwa kasida nzur Ila hapo mke anatakiwa kurud Kwa mume wa mwanzo
umeimba kaswida yakufundisha mzuri kuona inafuraisha🙏🙏🙏🙏🙏👍
Maa sha Allah kheri, kaswida saafi,ujumbe mzuri mno.
😢kaswida nzur sn MashaAllah mpk mwili umenisisimka
Mashaallah qaswida Ina ujumbe mzr Sana pongezi kwa mtunzi na wasomaji👍👍
Mansha Allah kaswida nzuri
Kuwa naakili ndowa halali niile ambayo umefunga nae ndoa kwaidhini ya alla
Masha Allah nzuri sana but mm sijui hapo ipi ndoa halali lakin mm kiupande wangu yakwanza
Fantastic Maashallah kazi nzuri sn ni kasda yenye mafunzo mengi na mazuri sn.
Mashaallah ❤❤❤❤
Ma sha-allaah kasda nzuri
Mmmmmmh si angefanya subra kias jaman
Mashallah ujumbe nzuri
hujamb
😀😀🌷💏
Mke achague IMA kumrudia mumewe wa kwanza kwa au andelee NA huyo wa pili maana zote ni halali na atakaa eda
Mashallah kazi Safi sana
Mashallah allah atufanyie wepesi
Mashallah ina mafunzo hongereni sana 👌
Mashaalla kwa kasda nzur
Ma Allah mungu yuponasi
Mwenzangu kama mm sirudi namganda mwenye garii akaaa nijilie Raha na utamuuu heee🙈
Hhhhh Sabrina weee
Kwakwel me sirud kwa mme WA kwanza kwan yy alikuwa wap mpaka namaliza EDA ntaaminije kama ni yy kwel
😅
Mim sitorud ata iweje atafut chimbo lak na mm nilitafat
Pongez kubwa waislam mm ni RC ila napenda sana qaswida
Iko vizur mashanllah
Mashaallaha mungu awabariki nyote
Mashaallah uyo ustadh wa kiume anasauti
kazi nzur ila mke arudi kwa mme wke wa zaman walee watoto
Mashallah mzuri xnaa
Mashaallah kazi mzr sanaa🙏🙏🙏😘😘
Masha Allah ❤❤❤❤
Ujumbe sasa ujumbe😋
Tuambien hta sis tujue cz htuelew ipi ya halal
mashaallah zuri sanaa
Mashaalha ndoa yakwanza ndohalali
Masaallah tabarokallah banten hadir
Ndoa ya pili ni nzuri maana mnaupendo wa uwazi
Amazing Qaswida with great message to society as We depict reality of Content discused are reflect in community.
Kaz nzur hongeren
Jamani Hamna kaswida nyengine alosoma huyu mdada nimekubali kazi yake
Muume wa kwanza apewe make wakwe kwa sbb yy hajamuacha
Ila eda imeisha et
Mashallah ❤🎉🎉
Hayo si maneno ya mashekhe ni maneno ya mungu
Mashaallwa
Ndowa yapili mshiko upo mashallah itabidi makame nuhusi ashukuru hhh
Muko vizur maashallah
Jmn hii ni kiboko nimeikubali Msomali nitafute unitumie
Nice Allah awazidishie kipaji
Amin usisaha ku subscribe
Nimeipenda sana
Mashaallah nimzuri sana
Maashaallah qaswida zuri mnoo , ina maneno matamu sana
Mashaalla qsda zur
Kazi mzuri Ila samhn kaka humu imo sauti ya chidi zungu au
Mwajefya waa
Mashallah mashallah
Bahatii yataa sUbb,,raaa..mwanguu fesall..miss F mupoon wenzangyuu
Vizur MachaAllah 😘🥰
Masha Allah
Ss ilikuwa mtujuulishe ipi ni ndoa halali maana sisi hatujui.
Yakwanza Ina kuwepo pale pale huyu mume wapili sie tena
c aliambiwa na shem yake kaka yake kafa amekaa eda sasa vip iwe ya kwanza
@@heyumi2340 yakwanza
@@issasaid9656 sawa
Inabd arudi kw mume w kwnz Ila ingept miak minne asingerud kw wa mwnz Sheria ndo iko hv
Jamani wifi kaka angu mungu amuweke
Amin ya rabby
Safi sana👍
Mm Kuna mtu namjua mumewe alipoteaa aliambiwa akae miaka minne ndo alfu akae eda asipotokea na kadhi
Safi ila muwache kushikana
Kweli🤝
Ndoa zote halal
Ishaalaah
Masha alh
Asante usisahau ku subscribe
Hapoo ageludi kwamumew wa kwanz
Iko vizur sana
DUH SHIDA SHOGA
Nakwenu,pia
AP.ndoayahalali.ni.ya.kwanza.kwasababu.kaahidiwa.naenda.kazini.ilibidi.afanyesubra.kwasababu.mungukasema..tuwenasubra.kama.watoto.ndugu.wamume.wap.nanduguwakike.wap
Mashaaallah
Babujiub Allah
Lakini zote ni ndoa na zimefungwa kwa ushahidi
Endelea kusubiri âtrudi tu
Kaswida zote
Yakwnza ndio halali
Safi sana
Ongera
Shekhe tupe faid ipi halali kat yahizo mbili
9:53
Ya kwanza ndio ndoa
Kaswida ndoa ipi yahalali kati yakwanza na yapili team seemu yapili
Mashallah
kaZi nUri
Yapiri ni arari kwasababu wapo wote wakwanz aripo kenda kuvua katokomea ata saram hana kujurisha kwamba yupo ira mitiani imemkuta
Dah nimewakubal mnatisha
❤👍
Ndoa ip halali Kati yakwanz au yapl
13:45 you want to go
Uko alikopetelea Ilikuwa hakuna mawasiliano? Kwa nn asitafute mawasiliano na kusema km yy yupo hai ? Kwa iyo ndoa ya pili ndo halali maana km kaolewa ndo ameshaachika Kwa mume wa mwanzo
😊😊😊😊
🙏🙏
Mtihan msiwe mnapotea wanaume jmn mnatupa dhiki
Mtihan huo jamn
Salali
Aishadudu
Chaama ake
Hhhhhhhh
Du .hiii kasida naipa no 2 yakwanza n ya mama ya hadidh
Yatakiwa mtu akizama baharini akae miaka mitano naskia mwanamke aolewe
Huyu kaka namkubali aloimba albino anajuwa hatari .mungu atusitiri narudi kwababa watoto inauma siwezi kumuwacha aloanza zahabu
😮
😢😢😢😢
Yapili inavinjika anarudi kwa mmewake wakwanza
Mmmh
Yufu kalo
🙏