"pamoja na machungu, taabu, huzuni, vilio, kuumizwa, kukatishwa tamaa na kupita katika majaribu mengi lakini ninajua siku moja nitakaa pamoja na Yesu na atanifuta machozi, Hilo ndilo tumaini langu siku zote, na wimbo huu ni mpya kila iitwapo Leo Bwana azidi kukubariki na kukutetea dada kwa huduma hii.
sifa zimrudie Mungu kwa ajili ya Dada huyu Mungu ampe maisha marefu tuzidi barikiwa na nyimbo zake
Dada yangu nyimbo zako zinanibariki sana
Hakika ni wimbo makini! Hata mwonekano wako ni makini sana
Wonderful song....amen
All time favourite❤
Melody tulivu mpaka leo mwaka 2019 bado ipo kwenye chati
Umenifariji Sana
"pamoja na machungu, taabu, huzuni, vilio, kuumizwa, kukatishwa tamaa na kupita katika majaribu mengi lakini ninajua siku moja nitakaa pamoja na Yesu na atanifuta machozi, Hilo ndilo tumaini langu siku zote, na wimbo huu ni mpya kila iitwapo Leo Bwana azidi kukubariki na kukutetea dada kwa huduma hii.
Wimbo wako wa tumaini limenibariki sa na mungu akubariki sana nakukupa hekima huzidi kutangaza makuu yake alie kutuma, amen
Ammmmmmmmmmmmmen
wimbo wenye ujumbe wa kubariki sana. Mwenyezi azidi kukufariji na usife moyo ukimtukuza kwa nyimbo zako
Amina mpendwa
Mungu azd kukutumia katika uimbaji usonge mbele
let us strive to enter in God's kingdom
Mungu akubaliki nina jua hata mimi iposiku nitaketi nae.
Barikiwa sana dada
amen
Barikiwa sanaaa
Dada nakuomba kwa neema ya mungu mtafute dada namsifu mwita mfanye wimbo itakuwa poa sana.
Inakonga nyoyo
very. nice. song