JAKOBO Series | Episode 03 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии •

  • @wanyabi
    @wanyabi  Год назад +80

    Poleni Wanyabi kwa kusubiri mambo mengine ni nje ya uwezo wetu. Tuendeleeni tulipoishia na mtafurahi 🙏 #Wanyabi

    • @matrixTV.
      @matrixTV. Год назад +1

      Mna chelewesha mzigo

    • @tinnywinner
      @tinnywinner Год назад +1

      Jitahidini itoke kila wiki jamani

    • @blackeagle4441
      @blackeagle4441 Год назад +2

      Jitaidini wakuu mzigo uwe unawah 😂😂😂🤦🏽‍♂️

    • @Davidjoseph1990
      @Davidjoseph1990 Год назад +2

      😂😂wanyabiiii😅

    • @pauloshija3204
      @pauloshija3204 Год назад

      Daah jaman nataman niangalie mda wote🤛🤛🤛💪💪

  • @godfirstkimaro2329
    @godfirstkimaro2329 Год назад +11

    Jakobo one of the best in town itoke kwa wakatiiii maana ni kubwa kulikòoo 🔥 🔥

  • @micky9919
    @micky9919 Год назад +6

    😂😂huyu ngozi kazingua
    ''Et niite ngozi malamoja unifurahishe''

  • @abdullatifkhamis4099
    @abdullatifkhamis4099 Год назад +1

    Kila sik huwa nasem hamuendelez episod wiki ya 2 hii inaingia ya tatu sijui kwann mnakuwa mnatunyima uhondo wanyabi fanyeni kit bwana maan mm nawafatilia sanaaa

  • @ALL.UPDATES-u6n
    @ALL.UPDATES-u6n Год назад

    Hii series ya jacobo uyu mwamba carpoza kauwa sana ila sasa inachelewa kinyama

  • @samuelhealthcare3791
    @samuelhealthcare3791 Год назад +3

    Much respect since . Ila mnachelewa mno mnapoteza watazamaji .

  • @mohamedngotwike7969
    @mohamedngotwike7969 Год назад +23

    Hii idea nzur mno lkn mmnachelewesah mno mpk unasahau ulipo ishia

  • @calvenycachelu9778
    @calvenycachelu9778 Год назад +1

    Hakika nyie mnakipawa ambacho hakipo Tz nawakubali sana wanyabi the one classic Tz toeni ep 100 isiishe leo wala kesho in my life nawakubali msichewe kutoa nyingine

  • @omarykhamisi3222
    @omarykhamisi3222 Год назад

    Noma sanaaa sema nini nyinyi mmekosa uwekezaji tuu wa kutosha

  • @samuelikobela7288
    @samuelikobela7288 Год назад

    sema wanyabi tusifanyiane hv wanetu..mmetuacha ile
    mgombea hewani mjue fanyeni mpango na ile twende pamoja.....

  • @san-africatv7092
    @san-africatv7092 Год назад +1

    Nyie mnajua hongereni sana... hii ni level ya Netflix

  • @YusufuRNgope
    @YusufuRNgope Год назад +1

    Mys brother mbona bado jackob mpsd 4 mnatucheleweshea sana

  • @chamwima4396
    @chamwima4396 Год назад +1

    Oyaaa mmetisha sanaaa aiseee especcially jacobo

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Год назад +5

    Eti niite ngozi mara 1 umenifurahisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @francfranc-fi2iv
    @francfranc-fi2iv Год назад

    Daah nakubali sana hii jakobo pamoja na carpoz na oka ila mnachelewexha sana yani mpk daah .tunaomb bac isiwe inachelewa

  • @IsmailRaja-yy2or
    @IsmailRaja-yy2or Год назад +6

    RUclips doesn't deserve this, but Netflix does, big up guys

  • @immanuelntalawanda
    @immanuelntalawanda Год назад

    Daaa kali sanaaa ,,,,ila mnaichlewesha sanaaa daaa ilpoishia ndo tunapataftaa

  • @mloleclassic-254
    @mloleclassic-254 Год назад

    Mwananguuu sanaaa hiii kalii sanaaaaa

  • @pascaljames2051
    @pascaljames2051 9 месяцев назад

    Bado namba 4 wazee jakobo ya moto

  • @lukiusedward297
    @lukiusedward297 Год назад +3

    Ni nzuri Ila mujitaidi kutoa kila week ili tusisahau fanyeni back to back kila ijumaa au j.mosi nawahakikishia itaenda mbali teacher carpoza

  • @Mask47-dx8ik
    @Mask47-dx8ik Год назад

    Mnachelewesha kutoa kinomaa bana kitu kizuri lakini nyinyi ndo mnazingua

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 Год назад +1

    mnachelewa sana jaman tunasubili ad tunachoka oya jacobo

  • @agustinomwaya4038
    @agustinomwaya4038 Год назад

    Tunaomba muendelezo Mr jakobo musitufelishe safar hii mume ichelewesha sana hii

  • @moseskaiza4448
    @moseskaiza4448 Год назад

    Kweli kabisa ,zinachelewa kutoka. Bt ni Kali sana.

  • @eliymanmvara
    @eliymanmvara Год назад +1

    Nyie balaa asee

  • @fresheggstz
    @fresheggstz Год назад

    Fupi ni tamu ila tuongezee dakika kidogo msicheleweshe sana #kazi nzuri sana

  • @victormbilinyi2998
    @victormbilinyi2998 Год назад

    Nyie waun mnajua nkiwaita mafara mnajua nn namaanisha nyie n zaid good kaz yaviwango story yakiwango cha ramiiiiiiii bigup

  • @frankshayo8889
    @frankshayo8889 Год назад +1

    Oka mnazingua sana asa episode MOJA miezi 6 bwana ina kaaje hii mpaka nimeshau last time iliishia wapi

  • @melishmekae4754
    @melishmekae4754 Год назад

    Jakobo movie kali sana sema wanakaa mda sana hadi tunasahau

  • @asantechota8974
    @asantechota8974 Год назад

    Kwa hiyo kuleta yakobo sehem ya nne mnaona nini bwanaaaaaaaa wew yakoboooooooo🤣🤣

  • @zaburihagai8265
    @zaburihagai8265 Год назад

    Jaman tunaomba mwendelezo wake hiii imekaa poa sana mno

  • @abuuzuberi8886
    @abuuzuberi8886 Год назад

    wazee kimya sana tuendeleze Jakobo

  • @majidkulekule9906
    @majidkulekule9906 Год назад

    Tatizo lenu sijui ni kusudi ama nn!kitu watu wapo na hamu nachoo mnakawiaa kutoaa next episode..why lkn why lkn..ila fresh tu kazi safi kama madam zumaridi kwa urongo wakee wakusema yeye Sirjah

  • @geophreymlewa3863
    @geophreymlewa3863 Год назад

    Tunaziomba epsode za jacob very interesting wadau ziendeleee

  • @Peter235paul
    @Peter235paul Год назад

    Jakobo one of my favourite series ila inacherewa kutoka mwendelezo jitaidini kuwaisha series

  • @christinakatwale
    @christinakatwale Год назад +1

    hatari sana aisee hii episode sema sasa mnakaa muda bila kutuwekea wadau wa WANYAMBIIIIIIII

  • @joaquimselemane2293
    @joaquimselemane2293 Год назад

    Oya wananu I'm from Mozambique, nawakubali sana ila mnachelewesha kinoma!

  • @shadrackyohana4932
    @shadrackyohana4932 Год назад

    Tatizo mnachelewesha sana mpaka tunasahau kama sirizi inaitwa Jacobo fanyeni hata kwa wiki mala moja

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Год назад

    Hahaha safi sana nusu silia nusu comed

  • @geosephatedmund9327
    @geosephatedmund9327 Год назад +4

    Hii Kitu nilikua naingoja kwa hamu saana Zaid ya kumngojea Dem niliyemtumia nauli, Respect kwenu wanyabiiii, Yani ni idea ya tofaut sana asee😜😜😜

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 Год назад

    Pesa na mapenzi vinakwenda sawaaaaa pesa na anasa vinakwenda sawaaaaaaa JACOBO

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 Год назад +1

    Jacobo mamae wewe unaacha kumaliza ya mama unaanza kuchukua namba za nesi sasa

  • @ashileyramson6025
    @ashileyramson6025 Год назад +1

    Hii series isiishe wazee....ni Kali Sana😁

  • @silent9699
    @silent9699 Год назад +1

    Bonge moja la idea na enjoy kinoma yni Jacob ngozi mbala🤣🤣🤣🤣🤣

  • @godifreykimario2547
    @godifreykimario2547 Год назад

    changamoto n kwamb mnaakaaga miezii nd mnatuletea iv vitu. tunavizubir mpk tunakata tamaaa

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni Год назад

    Wanyabi heee achen masihara bas endlezeni hii game jamani mtafika mbali kwakweli daaaa😂😂😂

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 Год назад

    😂😂😂😂😁mhuni kashapita na namba ya nesi dadeki sijui dakitari kwisha 🙌🙌 pesa na mapenzi vinakwenda sawa kabisa 🙄

  • @RamaOmary-rq4tz
    @RamaOmary-rq4tz Год назад

    ✌️✌️😅 ssa mwanangu kapoza iyo no 4 adi mwakani , Ila situnasubili babu good job 👊👊👍

  • @eliymanmvara
    @eliymanmvara Год назад

    Watz hatupendi vya kwetu ila hii Kali sana asee 😅

  • @stevendambwa2937
    @stevendambwa2937 Год назад

    Maninja mko smart sana komesheni vyema ila waisheni muendelezo

  • @PedesheeMatata
    @PedesheeMatata Год назад

    Wajina hapa 😂😂😂😂 wanyabi achiaeni mambo

  • @TeamjoboyTzmk2
    @TeamjoboyTzmk2 7 месяцев назад

    Kwaiyo muendelezo mmeshazingua nyie jau 😢

  • @muhibusaid3427
    @muhibusaid3427 Год назад +1

    Jakobo naomba episode 4

  • @machimachivyamachivya6572
    @machimachivyamachivya6572 Год назад

    naomben jaman muendeleze shoting za jakobo

  • @johnkombo8119
    @johnkombo8119 Год назад +1

    Nice one but mnatulia San Kaz nzuri hope tutapt NXT more than this 🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️

  • @deogratiasbav
    @deogratiasbav Год назад +1

    😂😂 nakufa kwa kucheka tokea 🇧🇮

  • @kulwakasalenge1189
    @kulwakasalenge1189 Год назад

    Kweri inacherewa sana nilikuwa napita marakwa mara kuangalia nakuta bado

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ Год назад

    munatutiyaga tu feelings kabisa mutumaliziye basi ili tulizike na jakobo so nice season 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ jakobo ni so

  • @The_storyteller9
    @The_storyteller9 7 месяцев назад

    Aaaah kimya sana wanyabi

  • @gaspalmligo2906
    @gaspalmligo2906 Год назад +1

    Ngozi😅😅😅😅mtoto wa kambo wa jacob

  • @kwizerajohn3634
    @kwizerajohn3634 Год назад

    Shusha mwendelezo wanangu hili dude ni🔥🔥🔥🔥

  • @rakbeenrakbeen4961
    @rakbeenrakbeen4961 Год назад

    Jaman msiwe mnatucheleweshea mwendelezo Jaman 😂😂😂

  • @loniwiz6034
    @loniwiz6034 Год назад

    Naiyona Kwa ukubwa mnoo nataman itokee midia moja ya TV muingie nayo mkataba ilushwe hewan bonge LA story

  • @josephnyamhanga1360
    @josephnyamhanga1360 Год назад +7

    Kwahiyo wanangu wanyabi mmefanya shooting leo na mkeka wa chief umechanika Chelsea kachezea kwa Brighton 😄

  • @josephmwangu9816
    @josephmwangu9816 Год назад

    ,,,😂😂😂niite ngozi mara moja umenifurahisha

  • @mussakisoki6180
    @mussakisoki6180 Год назад

    😂😂😂😂😂 Nyie wasenge Jacobo inatoka lini

  • @taahirkhamis6533
    @taahirkhamis6533 Год назад

    Jacobo unazingua ukaa mda bila muendelezo

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 Год назад

    kweli bongo nouma unatekwa namtummoja2 ana ata bunduki

  • @darprprime3492
    @darprprime3492 Год назад

    Mama jacoboooo na huu mkanda umeuvaa wewe au wamekufunga hapa hospital 🧐🧐🧐🧐

  • @chrisstech925
    @chrisstech925 Год назад

    Wazee mmepoa sana mpaka nazirudia tena bila muendelezo😂😂

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 Год назад

    Wanyabi bado tunasubiria muendelezo wa jacobo

  • @DamasoDavid
    @DamasoDavid Год назад

    Jakobo imehishiya wapi jameni tume miss jakobo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤪🤪🤣🤣🥰😊

  • @Rein_foodies3665
    @Rein_foodies3665 Год назад

    Nilikuw naisubil kinomaa .....unyama sanaa

  • @hajjimzej4974
    @hajjimzej4974 Год назад

    Wana mnazingua nyie niwakubwa kuliko ila mnazingua mnavochelewesha kazi mnaviyu adimu

  • @raspoetry8396
    @raspoetry8396 Год назад +1

    Bonge moja la series, background music ni fire

  • @iancharles4052
    @iancharles4052 Год назад +1

    Oyah Mbn Mkeka Haujatiki😂😂😂😂Chelsea Kafa😂😂😂Next Epsode @Jakobo@Kafaaaa....

  • @ngulikijana9553
    @ngulikijana9553 Год назад

    Hapo kwenye Ngozi Ntamwambia Huseni

  • @FellyAbnel-wt1yb
    @FellyAbnel-wt1yb Год назад

    Uyo mama jacobo anavichekesho 😂😂😂😂 dar

  • @PASCALAlex-yk7ds
    @PASCALAlex-yk7ds Год назад

    Daaaaaaaa mmeua sana jamani wanyabi

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis5599 Год назад +1

    Jackbo na chief n ndugu

  • @mahengeisaya6371
    @mahengeisaya6371 Год назад

    Unazingua mwanangu Jacob Mpka tunasahau ya lini

  • @johnmasanja1413
    @johnmasanja1413 Год назад

    Daaah huyu jakobo ni zaid ya noma

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Год назад +1

    Chelsea jana kacha mkeka 😂😂😂😂😂 Jacob kazi unayo

  • @bizainabumurisali2113
    @bizainabumurisali2113 Год назад

    Dah wanang mnajua mnatoa watu stress

  • @barakachilambo546
    @barakachilambo546 Год назад

    Sema mabroodaa mnachelewexha

  • @shabanjabiri2087
    @shabanjabiri2087 Год назад

    Mmetisha wanangu ila mnakawia bana

  • @simbilajnrjunior2986
    @simbilajnrjunior2986 Год назад +1

    Chelsea na Brighton Chelsea win
    Manchester city na Leicester city win
    Odds 3 izo
    Hawa wana wanazingua sana yaan ingekuwa kila wiki ijumaa Jacob inatoka ingekuwa poa sana

  • @MagaiThomas-fv2jv
    @MagaiThomas-fv2jv Год назад

    😂😂😂 Jacob na mkeka Chelsea kachana, ,, utajua hujui

  • @emychris8748
    @emychris8748 6 месяцев назад

    “ Nna mwamba wangu asie shinda kamwe “ 😂😂

  • @makambimanuel9267
    @makambimanuel9267 Год назад

    Wanyabi yakob ni mzur sana ila mnachilewesha sana fanyeni wepise wenu

  • @dallahone2274
    @dallahone2274 Год назад +1

    Wanyabi Jakob ase sehemu ya 4 please 🙏🙏🙏

  • @PhilipMathias-h6i
    @PhilipMathias-h6i Год назад

    Nakubali wanyabi tuleteeni paty4

  • @goodluckmaleko6251
    @goodluckmaleko6251 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 ninoma nimecheka nusu nizime wanangu mko fit ila jakobo apana😅😅😅

  • @KhatibuAlly98-gg4zv
    @KhatibuAlly98-gg4zv Год назад

    Wanyabi kweli series n kali ila mnatuweka sana kuisubiri hadi tunasahau

  • @Simbeye8
    @Simbeye8 Год назад

    Oyaa NGOZI anajua balaaa

  • @muleketv255
    @muleketv255 Год назад

    Wanyabi eee jitaidini angalau kila wiki mnaachia episode nyingine

  • @EdwinDwin-js1dw
    @EdwinDwin-js1dw 8 месяцев назад

    😂😂achieni mapema bwanaa

  • @Kwaya_ya_Mt_Yakobo_Mkuu_Mbande

    wanazingua sana ya mzigo mpaka tunasahau uliiahia wap ndo wanatoa

  • @Susaki-k8n
    @Susaki-k8n Год назад

    Mnachelewesha sana

  • @raksulchoki7063
    @raksulchoki7063 Год назад

    Haya sasaaaa mkeka haujatikiii