JAKOBO Series | Episode 02 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 269

  • @wanyabi
    @wanyabi  Год назад +59

    Series Imerudi “Turn notifications on kwa Episode ya 3” 😂😁😁😊🙃🙃

  • @owinmligo6621
    @owinmligo6621 Год назад +16

    Wanyabi nipo na nyinyi mpaka kifo🔥🔥🔥🔥

  • @sixbetussebastian7990
    @sixbetussebastian7990 Год назад

    Duuuuuu aisee safi sana kwamaana mmepangilia swala aisee

  • @youngllytz4940
    @youngllytz4940 Год назад

    Braza jakobo mbona hatow nyengine

  • @daudiwilliam1971
    @daudiwilliam1971 Год назад

    Duuh!! #Wanyabi hayo ni matumizi mabaya ya jina langu. Haki za kibinadamu zizingatiwe basi

  • @ambakisyekayuni9161
    @ambakisyekayuni9161 Год назад +9

    Wakwanza leo like zangu
    😂

  • @nabeelgulam7170
    @nabeelgulam7170 Год назад +1

    Oy mnachelewesha mno...

  • @BSungura
    @BSungura Год назад +5

    wanyabiiiiiiiiiiiiiii mnachelewa sana kutoa jacobo series, nimesubir hadi nimekata tamaaa...ila napenda vituko vya humu mimi Beriiiiiinda

  • @amossijoseph3500
    @amossijoseph3500 Год назад

    Oya wanyabi mbona mnauchelewesha uwo mzigo sana

  • @honestema
    @honestema Год назад +4

    Sasa hapa ndo mmekaa kwenye reli sio manyimbo yenu ya ajabu kama wapiga debe bana, bigup nice work

  • @Charlongrafix
    @Charlongrafix Год назад +2

    Wa kwanza kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @farajatalk
    @farajatalk Год назад

    Iyo ODI MUSHTUKO kingereza chake KNOCKING HEEEE! munatisha na mimi hapa sibanduki ng'ooooo hadi nione mwisho wa JAKOBO

  • @salimmatimbwa1158
    @salimmatimbwa1158 Год назад +3

    Noma sanaa

  • @seriousofficialtz3702
    @seriousofficialtz3702 Год назад +3

    Nikikutan na wew njian jakobo nakuita mamuma na hkuna kitu utkcho nifanya😂

  • @Chadibwa9519
    @Chadibwa9519 Год назад

    😂😂😂😂 jacobo hatari sana asee. Hongereni wakurungwa tupangieni siku maalum kwa kila week ambayo mtakua mnaachia vitu wakuu.
    Napenda sana kazi zenu.

  • @rajabally7108
    @rajabally7108 Год назад +4

    Nomaaa Sanaa,like zenu team Jacob m nimechelewa kucheki.

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 Год назад

    Pesa kitu kingine aseeh eti mi pesa sikupit rabda tumalizane kivingine aaaa Jacobo sasa si kaona ndio frusa dadeki 😁😁😁🤣lakini nimesikia sehemu za siri eti zako Jacobo acha kutukana kileje leje

  • @GiverLiquid
    @GiverLiquid Год назад +1

    Mnajuaa🔥🔥🔥🔥

  • @innocentmria1920
    @innocentmria1920 Год назад +1

    Hii muifanye kila week mara moja itapendeza sana yaan muwe mnatoa kila ijumaa tuu

  • @Onthespot_trendings
    @Onthespot_trendings Год назад +3

    Wazeee mme umiza Sana 😁😁🖐️ jakobo

  • @silent9699
    @silent9699 Год назад

    Umu ndan kuna hatari snaa vipande viwili tu vime nivutia snaaa🚀🚀🚀🚀

  • @birundula
    @birundula Год назад

    Wanyabi sasa naanza kuwaelewa mnachofanya mlipoteza mvuto tulihamia kwa kicheche😂😂 changankeni sasa mschelewe

  • @abdulhalimzaidu
    @abdulhalimzaidu Год назад +2

    First one

  • @Mgunda
    @Mgunda Год назад +4

    Nani kagonga mlango 😂😂 gonga like kama naww unasubiri episode 3 kwa hamu

  • @gilbertgabriel5727
    @gilbertgabriel5727 Год назад +1

    Alie skia sehem za siri hapo nan mwingin 🤣🤣🤣🙌🙌

  • @samuelhealthcare3791
    @samuelhealthcare3791 Год назад +2

    Always napenda sana nyie

  • @khalifatz7007
    @khalifatz7007 Год назад +3

    Oya iwe inatoka Kila siku aisee 🔥🔥🔥🔥

  • @twalbabumohamed8266
    @twalbabumohamed8266 Год назад

    Nyie machizi munajua sana siwapingi .kama kuna MTU anawakubali zaidi yangu agonge like tuone

  • @daudmichael15
    @daudmichael15 Год назад

    😳🤣🤣🤣 daaaaah umesha seti mambo yanakua mamba sio mambo tenaaa😜😜😜📍

  • @roseowen-er2qg
    @roseowen-er2qg Год назад +1

    Unamjua JAKOBO💪 wew!!!!!🤣🤣

  • @aboueid893
    @aboueid893 Год назад +2

    Bonge la dude flani hv la kibabe 🔥🔥🤣🤣🤣

  • @michaelshadrack92
    @michaelshadrack92 Год назад

    Wanyabi mnaznguwa bob jakobo namb tat yak inatok mpaka yesu arudi au

  • @omariisaya7086
    @omariisaya7086 Год назад

    Jakobo fanya kazi kwa weledi

  • @hamisimwinyi9387
    @hamisimwinyi9387 Год назад +5

    Wanyabi wanyama🔥🔥🔥

  • @sebastianjohn9618
    @sebastianjohn9618 Год назад

    😳😳😳😃😃 kifupi umenasa, watakufua

  • @meshackinocent4053
    @meshackinocent4053 Год назад +1

    Mapema tu

  • @kanudamaduhu3345
    @kanudamaduhu3345 Год назад

    Sema mnachelewesha sana nyie #vibwabwizo🤣🤣🤣

  • @akidu_2555
    @akidu_2555 Год назад

    Dah🙌 nyie ni mnajua

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Год назад

    Sema mnachelewa sana kutoa muendelezo

  • @vahidyfilm
    @vahidyfilm Год назад

    Kaliiii Sna hii kitu

  • @abdulimadiko2657
    @abdulimadiko2657 Год назад +2

    Wa pili apa

  • @omariisaya7086
    @omariisaya7086 Год назад

    Unajuwa kazi ya mabega nikuvalia nguo 👗🤣🤣🤣🤣😭🤣

  • @LYOKA_JR
    @LYOKA_JR Год назад

    Iko poa sana,ila msicheleweshe kutoa series ya 3 jaman

  • @shomari_shabani
    @shomari_shabani Год назад

    aisee mwendelezooooooo💪💪💪💪💪💪

  • @godfreymwaisaka1598
    @godfreymwaisaka1598 Год назад

    Mnatisha kama nsyuka mazee

  • @andrewjohn2071
    @andrewjohn2071 Год назад

    Mbona mnachelewa sana jitaidin atlist kila week mnapunguza utamu

  • @AgustinoKiria-iu5oh
    @AgustinoKiria-iu5oh Год назад

    Mnadelay kutoa kitu wazee... sema kazii💥💥

  • @meddykanick104
    @meddykanick104 Год назад

    Fanyeni kwa wakatiiio

  • @kingjoris6370
    @kingjoris6370 Год назад +1

    Nmecheka sana aisee🤣🤣🤣

  • @ednasamweli582
    @ednasamweli582 Год назад

    Mnachelewa sana kutuma jaman

  • @Lahabu-y8v
    @Lahabu-y8v 4 месяца назад

    Namm napenda kuigiza

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 Год назад

    Mnachelewesha sana

  • @nicksonrevelian2014
    @nicksonrevelian2014 Год назад

    Nawakubali saana aiseeh hawa jamaa

  • @delsonmuhungye
    @delsonmuhungye Год назад

    Unamjua jacobo😂😂😂😂😂

  • @francfranc6960
    @francfranc6960 Год назад

    Nakubali jakobo ep3

  • @japhetjerad3678
    @japhetjerad3678 Год назад +2

    Capoza n nikijinga sana ety kwaio tumalize 😂😂

  • @lucykiwori3396
    @lucykiwori3396 Год назад

    Umeua mwanangu tunataka nyingine soon

  • @jamesfabian9774
    @jamesfabian9774 Год назад +1

    😀😀😀😀😀😀, wanyabi nomaaaa

  • @isackboniphace516
    @isackboniphace516 Год назад

    😂😂😂😂 Ila kapoza fala sana

  • @josephmasala5747
    @josephmasala5747 Год назад +1

    Jacob umeua😁😁😁🖐🏼

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Год назад

    Jacob kakasirika kisa kuitwa maamuma na mlango umegogwa🤣🤣🤣🤣🤣 bahati yako umenikuta sina bastola 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alkadhwimsalum1761
    @alkadhwimsalum1761 Год назад

    Ni balaaaaaaaah mama mamaeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ommyyassin3658
    @ommyyassin3658 Год назад

    Tupo sambamba mabroo unyama Sana'a yan

  • @zotto_boy
    @zotto_boy Год назад

    😂😂💥💥Sasa hilo banger song la jakobo mliachie basi

  • @hassannasry9107
    @hassannasry9107 Год назад

    Wanyabiiii mnauwaaaa sanaaaaa 😂😂😂😂😂 mnanimalizia bando mamaaaeee

  • @Rein_foodies3665
    @Rein_foodies3665 Год назад

    bonge la zigo oyaa ni moto

  • @sisye1
    @sisye1 Год назад

    Muko vizuri

  • @kingswaggertz9191
    @kingswaggertz9191 Год назад +1

    Wa kwanza

  • @kawanga0073
    @kawanga0073 Год назад

    Nakubaliiii ila fupi aisee alafu ipo good kinoma chief

  • @Abuuu2
    @Abuuu2 Год назад

    Waa nangoja hiyo ya 3 hii imewembeteza @carpoza

  • @yasiniramadhani213
    @yasiniramadhani213 Год назад

    Dah mnauweka sana

  • @jafarijafari5270
    @jafarijafari5270 Год назад

    Wanyabi mnatupaki sana haditunasahau kama nawanyabi mpooo

  • @zainabrashid3981
    @zainabrashid3981 Год назад

    Mnachelewa laknii mwezi umepita et ila Jacob utakuja kuwa na mwisho mbaya🤣🤣🤣

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 4 месяца назад

    😂😂😂 mafundi wawili

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 Год назад

    Muhuni kamwibia muhuni kudadadec 😂😂😂

  • @kingmsukuma1238
    @kingmsukuma1238 Год назад

    Mapafu ya #mbwa🤣🤣🤣🤣

  • @dianatega9867
    @dianatega9867 Год назад

    Muwe mnawaisha bs

  • @Rashad-zf9yk
    @Rashad-zf9yk Год назад

    Nawakubali kinoma

  • @r.jgospel9769
    @r.jgospel9769 Год назад

    We jakobo wew

  • @kassimamir219
    @kassimamir219 Год назад +1

    Kweli mnachelewa kutoa mnafanya mood inakata zen tunao a episode ikija aina motisha flani

  • @brobrandtz
    @brobrandtz Год назад

    😅😅😅😅 kuna mtu kafariki

  • @ricky-media
    @ricky-media Год назад +4

    Wanyabi for life🤯

  • @iancharles4052
    @iancharles4052 Год назад

    Oyah Wanyabi mnatusubirisha sna

  • @Relaxer02
    @Relaxer02 Год назад

    Jakob ndio kontawa wa mtaa sio

  • @officialwesiderick7354
    @officialwesiderick7354 Год назад

    Ya TATU lini jakobo 😅😅😂

  • @E7BITS_FAMILY
    @E7BITS_FAMILY Год назад

    Wasenge nyie 😂mnakaa mpk tunasahau

  • @peteralute795
    @peteralute795 Год назад

    Mnachelewesha

  • @firdausabed9983
    @firdausabed9983 Год назад +1

    Eps3 tafadhari

  • @amaniemmanuel2627
    @amaniemmanuel2627 Год назад

    Nomaa sanaaa Wakuuuu

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 Год назад

    Jakobo wamekukatia umeme mkuu...
    😂😂😂😂

  • @muddyhassan67
    @muddyhassan67 Год назад

    Jacob miyeyusho sanaaa😅😅😅

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 Год назад

    Caproza unazingua unachelewesha

  • @athumanijoseph3042
    @athumanijoseph3042 Год назад

    mzigo uendelee

  • @daudmwalimu971
    @daudmwalimu971 Год назад

    Daud miyeyusho sana😁

  • @bentalentofficial8281
    @bentalentofficial8281 Год назад

    Unyama sana

  • @bellrajkachafuo7813
    @bellrajkachafuo7813 Год назад

    Aaaah mbn

  • @chapazog1396
    @chapazog1396 Год назад

    Bila jacobo kazi aiendi😂😂😂

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Год назад

    Mnchlw sanaaa da

  • @amzatiradjabupipina8948
    @amzatiradjabupipina8948 Год назад

    Jameni mna tuchelewesha muwe mna tuwaishia vitu

  • @elimbotothomas1604
    @elimbotothomas1604 Год назад

    asante sana kwa kunitoa stress