BI HARUSI AZUA GUMZO UKUMBINI |NI BAADA YA KUINGIA NA VAZI LENYE STYLE ILIYOLETA MASWALI KWA WAGENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2023

Комментарии • 11

  • @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
    @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj 5 месяцев назад +4

    Vazi baya

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 5 месяцев назад +2

      Leta la kwako zuri😂😂😂😂

    • @janefrolakalinga5664
      @janefrolakalinga5664 5 месяцев назад +2

      Acha wivu leta vazi lako zuri roh mbaya tu

    • @leahmanase1034
      @leahmanase1034 5 месяцев назад

      Ulitaka ashone kitenge au? Ushamba unakusumbua😂😂😂 tafuta hela acha makasiriko

    • @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
      @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj 5 месяцев назад

      @@leahmanase1034 vazi linachora, hadi nguo ya ndani

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd 5 месяцев назад

    Hiyo nguo nzuri tu mbona acheni wivu hapo niukumbini kuweni waelewa fungeni ndoa zenu mvae vizuri kama mwataka.

  • @kindnessphilbert849
    @kindnessphilbert849 5 месяцев назад +1

    unasema Bwana amekutendea afu unamuaibisha kwa kuvaa nusu uchi..aibu ikushike😭😭

    • @mwanuekalenga-ec5cu
      @mwanuekalenga-ec5cu 5 месяцев назад

      Kwani duka la yesu liko wapi... nyinyi binadamu wenyewe kwa wenyewe na mambo yenu...

  • @user-fh7mk9tf2e
    @user-fh7mk9tf2e 4 месяца назад

    Unamwambia bwana umerudi unaenda kuvaa nguo nusu uchi pepo mchafu WW

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 5 месяцев назад

    Kwa nini usivae nguo nzuri mama una watoto wawili mume umepata sasa unava nguo hiyo unatafuta nini mume mwingine au YESU atusaidie jamani