HERI MTU ANAYEAMINI - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 169
HTML-код
- Опубликовано: 2 фев 2025
- Philippians 1:6
Being confident of this, that he who began a good work in you will carry it on to completion until the day of Christ Jesus.
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#HERI_MTU_ANAYEAMINI
#PAMOJA_NA_WEWE
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
CLEDO MUSIC
Audio Producer : Papi Clever
Pianist : Merci
Video Director : MUSINGA
Assistant Director : CHRISPEN
location : AKAGERA RHINO LODGE
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
HERI MTU ANAYEAMINI
158 NYIMBO ZA WOKOVU
1
Heri mtu anayeamini Mungu Baba na Yesu Mwokozi! - Blessed is the person who believes in God the Father and Jesus the Savior!
Heri mtu aifuataye njia nzuri ‘endayo mbinguni! - Blessed is the person who follows the good path that leads to heaven!
Usifiwe, Yesu Kristo! U Mwokozi mzuri kabisa! - Be praised, Jesus Christ! You are a perfect Savior!
Usifiwe, Yesu Kristo! Bwana, nitakuona mbinguni. - Be praised, Jesus Christ! Lord, I will see you in heaven.
2
Kwa furaha tunakusanyika kusikia maneno ya Mungu, - With joy we gather to hear the words of God
Na mbinguni karibu ya Yesu tutamshangilia daima. - And in heaven next to Jesus we will always rejoice with him
3
Kuamini pasipo kuona inafaa katika safari. - Believing without seeing is worth the journey
Siku moja atatuchukua, tutakaa milele mbinguni. - One day he will take us, we will stay forever in heaven
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
USIFIWE YESU KRISTO
1
Heri mtu anayeamini Mungu Baba na Yesu Mwokozi! - Blessed is the person who believes in God the Father and Jesus the Savior!
Heri mtu aifuataye njia nzuri ‘endayo mbinguni! - Blessed is the person who follows the good path that leads to heaven!
Usifiwe, Yesu Kristo! U Mwokozi mzuri kabisa! - Be praised, Jesus Christ! You are a perfect Savior!
Usifiwe, Yesu Kristo! Bwana, nitakuona mbinguni. - Be praised, Jesus Christ! Lord, I will see you in heaven.
2
Kwa furaha tunakusanyika kusikia maneno ya Mungu, - With joy we gather to hear the words of God
Na mbinguni karibu ya Yesu tutamshangilia daima. - And in heaven next to Jesus we will always rejoice with him
3
Kuamini pasipo kuona inafaa katika safari. - Believing without seeing is worth the journey
Siku moja atatuchukua, tutakaa milele mbinguni. - One day he will take us, we will stay forever in heaven
🎉🎉🎉wimbo mzuri
God bless you nukuri bakozi b'Imana izabaduhere ijuru pe
Tuzamubona mwijuru❤ n'umucunguzi mwiza pe
Ndanabakunda 😂ndi mu Rwanda
🎉beautiful song, aho muri harasa nomu Rumonge 🇧🇮 😍
Kenya well represented 🎉🎉🎉nyimbo za wokovu kweli💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aksanti sana kwa nyimbo nzuri
Nyimbo nzuri yakusogeza mtu mbele za Bwana,be blessed any Kenyan in the house of God please help me to receive this blessings 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏♥️♥️
Hallelujah 🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉 be blessed
@@JACKLINEMUENI-vh5lc you also as well
very nice, they're blessing, may God keep you your families one day tutapatana and thanks for singing in kiswahili , language for everyone 🎉🎉🎉🎉🎉
I second you my dear. Japo am a Zambian, am in love with these guys and I don't want to miss any of their songs.
Mungu awabariki
Mu mutumikiye bwana Jésus ,eko zuri sana
I now believe that there are some christians who still fear the Lord in their songs in this wicked generation, God bless you my brethren.
Remnants
Nyimbo ina ni bariki sana
Producer ako sawa
Herimutu anaye amini mungu baba na Yesu mokozi.heri mtuu ayifuataye njia nzuri iendayo mbinguni. Haleluyaaaaa barikiweni
Amen yesu tutakuona mbingini
-Kwafura tutakusanyika kusikia maneno ya Bwana...
-Kuamini pasipo kuona...
-Usifiwe Yesu Kristo BWana nitakuona Mbinguni...
Data abahe imigisha.
Mbarikiwe.
Asifiwe yesu Kila Saa Kila siku
Kenya diaspora 🇰🇪🇦🇴 wooiiyeee 🎉🎉🎉
Kweli Jesu asifiwe sana
Inspiring ❤
Huu wimbo ni mzuri sana inanifanya nimpende Mungu Zaidi ata wakati maisha inakaa nikama Haina mwelekeo God bless
Feeling blessed 🇰🇪
Am watching from Kenya Nairobi
Hallelujah be blessed in Jesus name
Amen and amen 🙏
Asante sana for your songs
Mubaliki namie natamani nixhilikiane na nyie kuyimb 🧤👋👋 Mung awabalik
Oh praise God. Asifiwe Yesu Kristo milele👏
Hallelujah
God in heaven can give you power to be always together just the trio
❤❤❤❤❤urazo cane
I'm blessed
Zambia we are too praising God,nice one guys
Amazing God bless you 🙏
Powerful ❤
May de almighty God bless you brethren..
One of my favorites ❤,🇰🇪
Nothing will keep us on course like a sincere devotion for Christ 🙏😞🙏
God bless y’all 🙏 so very much
Nice songs forever
Tamu sana hi .....be blessed 🙏🙏
God blees you brethren. From Kenya Kwale
Am being blessed with this melodies each and every day .... Glory be to God. May the good Lord continue to bless you people I love you all .
I love ua songs,inanitia moyo
Amen
Groriy to the Almighty God 🙏
Hallelujah 🙌
Halleluhya Halleluhya Jesus.. Thank you Jesus... love ❤❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah god bless
To GOD be glory
Ninzuri ❤sana ubarikiwe
Usifiwe Yesu Kristo,kweli U Mwokozi mzuri kabisa..much love from 🇰🇪
These servants of God are worshipping under open heavens,be blessed🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I wish Kiswahili was my Native language,😢 gusa ntakundi ❤❤❤❤
It's so easy 🌞
@@BillOnyamasi really ??
Kuamini pasipo kuona,inafaa katika safari, Glory be to GOD, more grace to your ministry 🙏
Hongereni aman kwenu
Fire 🔥 fayaaaaaaaaa
May God bless you
Hallelujah 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ninzuli nyimbo kweri
Yoooo usifiwe Yesu wangu 😭😭😭
Powerful Preaching my Brothers and Sister. Am seeing Heaven. Shalom
I praise the Lord my God for your coordinated talents friends. Sister Dorcas you are a blessing to bro Papi. Brother Merci, i bless my God the way play the keyboard and the way dance for God. Keep it bro. You are an inspiration to me. From Zambia
Hallellujahh
Amen . Listening to you songs give me hope that God will fulfill my desires. Honor and glory unto God
U mwokozi mzuri kabisa 🙏
Amen Amen 🤝🏼🎉🎉🎉
Usifiwe Yesu Kristo🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥
Nabarikiwa nikiwa Kenya💥
Asifiwe Yesu Kristo...
May the Almighty God continue to shower His blessings and grace to your singing career. ^🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dorcas na Papi clever ndabakunda cyane
Imana ijye ihora ibaha imigisha
Kenya wooow love it
Wow ! ❤ Nice 👍
Ni heri kuonga ndugu njiani pa kwenda mbingu. Tukinyong’onyea sana kwa kuwa tu peke yetu, kushirikiana kwa ndugu kunaturudisha moyo, na Mungu atupa nguvu tukiyainua macho.
2Twafungamana rohoni, tulio wa nyumba yake, huoni ulimwenguni kushirikiana kwetu. Na tuna Mwokokozi mmoja, imani ni moja pia, watoto wa baba ‘moja twashika sheria yake.
3Furaha ya ulimwengu haitatuvuta tena, Twaona kung’aa kwake ni bure na bila kisa. Lakini tukikusanyika kwa jina la Mungu Baba, atuandalia kweli karamu ilio bora.
4Tukivumilia hata ukomo wa mashindano, mbinguni tutawaona wakristo wapenzi wote. Hatutatawanyika huko, tu wote umoja kweli, milele tuta’pokaa nyumbani kwa Baba yetu.
Amen 🙏, dear Gracious Lord help us to trust the process of restoration in our lives. Someone reading this comment may be going through difficulties in their lives, I pray that may they not loose hope but restore their faith in you to trust the process that you're working things out for them and soon will testify your doings in their lives..in Christ Jesus..Amen. much love from Kenya 🇰🇪 ❤
Amen
Amina wimbo mzuri muno nimeguzwa na huu wimbo mpaka nimetamani kupaa juu Asante mtumishi wa Mungu kazi nzuri uzidi kutubariki Teena nyimbo zako ziko na upako Mungu akulinde milele 🙏🙏🙏
Ameeeeen
Napenda vile mnaimba,I miss to see you one day,b blessed and continue serving God,it is not in vain we will be rewarded
Nawapenda sana
Halleluyah. Praise the Lord Jesus
It's a blessing foreal🎉❤I'm inspired by the song.
God be praised ...Nice one brother papi
Amazing song God continue bless you people for spreading his ministry ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika, mtu huyu ana heri amtumainipo Mwokozi wetu❤❤ Barikiweni sana na kuinuliwa katika huduma ya ufalme wa mbinguni 😊
Kutoka Tanzania, mimi ni mfuasi wenu sana na nyimbo zenu zinanifariji sawa, mzidi kuinuliwa kila wakati watu wa MUNGU.
Are they not from Tanzania?
@@clarencesibanda3333they are from KIGALI RWANDA
@@clarencesibanda3333 Are Rwandese
@@erickkimanijr thank you sir
@@clarencesibanda3333 thank you bro
Amen 🙏
Balikiwa sana watoto wa Mungu ❤❤
Umokozi muzuri kabisa Bwana nitakuona mbinguni Amen Amen Amen
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah nikuona yesu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
💃🏻💃🏻💃🏻❤❤❤NAPENDA SANA M\mungu azidi kuwabalik❤
Usifiwe christo watching from saudia God bless you people
Amen 🎉🎉🎉
Usifiwe saana mungu... u mwokozi mzuri kabisa❤
Usifiwe yesu 🙌🙌🙌
God bless you all.❤
Asifiwe milele ,,kazi nzuri watumishi.Neema yake Mola imjae
Hallelujah 😊
Super voices
Hallo my friends,papi Dorcas, and mecy,,congratulations for your daily morning gospel ,mu barikiwa sana
God bless you guys love you so much watching from Kenya🙌🙌🔥🔥🔥🙏🙏
Apa DRC Lubumbashi town mungu apewe sifa kwa nyimbo
Amen amen mbaye number one
Jina la Yesu lisifiwe milele na milele.
So powerful.. In God we trust
Am so blessed watching from kenya, mungu awatie nguvu katika safari yenu ya uimbaji