Kwa benki kama kadi zako zimeunganishwa na huduma ya online transactions basi unaweza kulipia. Kama haijaunganishwa, nenda benki watakupa fomu utajaza baada ya 24 hrs itakua tayari
Rudi tena kwenye dashboard ya aliexpress. Kisha bonyeza kwenye sehemu ya kutrack mzigo wako. Maana ni lazima upigiwe na simu. Pengine inakua bado haijatoka kwenye customs
Asante dadangu uko vizuri Sana
Asante Masoud, tafadhali subscribe, Like na Share hii video 🎊
Asante kwa darasa madame
@@azizyusuph4185 shukran 🙏
kwenye bidhaa zenye kodi ,
vp kodi huwa kubwa ?
Na je nawezaje kupata branded products kwa sbb nimeangalia Alibaba na AliExpress sijaona.
Branded kivipi? Sijaelewa
Nimekuwa subscriber wako wa buku (1K) 😅🎉
Asante 😜😜😜😜 Em ngoja kwanza ninywe soda nipoze koo
Asante mama mdogo Mimi shida yangu nimeandikiwa dawa lakini apa hakuna nisaidie kuagiza pesa ninayo
Dawa gani?
Asante Kwa kushare maarifa👍👍
Shukran sana
Silas wigos um here ❤
Sawa😁asante ila subscribe basi
Naomba namb zako nashindwa kulipia ali express mwisho kwa malipi ya visa nmb na crdb nazo pia unaweza kulipia
Nasaidie
Kwa benki kama kadi zako zimeunganishwa na huduma ya online transactions basi unaweza kulipia. Kama haijaunganishwa, nenda benki watakupa fomu utajaza baada ya 24 hrs itakua tayari
@joycejoes sawa unaweza kunipa namb yko kwa ajili ya maelekezo mengne
Je lazima akaunt ya benk iwe na usd au zinajiconvert uko uko ilipia?
@@azizyusuph4185 zinajibadilisha zenyewe.
Good
Karibu sana
Asante nimeelewa ila ninaswali
Karibu, uliza tu
Good content Joy 😍
Thank you! 🤗
Bidhaa zinafik mkoa wwte tz?
Popote pale ulipo tz 😃
3:11
Dada naweza pata mawasiliano yko unipe darasa juu ya hilo
Ndio, nitumie message instagram @joycejoes_
Na vip kma sina adress na natk kuagiza mzigo
Huwez kuagiza mzigo bila ya address
@OmerSuley-gl7go nikisema adress au anuani - simaanishi ile ya P.O.BOX Aau SLP. Ni mahali unapopatikana au kuishi
Je kwenye sehemu iloandikwa Zip code unajaza nini?
Mimi huwa naandika 255
Could you do for shein love
Hello, Thank you. Ndo nilikua kwenye hatua za mwisho mwisho nafikiri nitaweka video mwezi huu huu
Also love, you used your physical address on where you stay or? Did alibaba provide you with a courier 🚚 guy or you had yo organize one for yourself
Aliexpress provides courier services. For Alibaba, you have to chat with your supplier about what courier company you would want to use
Samahani nikuulize ni mkoa wowote inawezekana kufikishiwa mzigo mfano mimi niko mara
Na ZIP code ni lazima uweke code ya posta??
Mzigo wako unafika. Hapo kwenye zip code, mimi huwa naandika 255 na unafika kikubwa ni kuandika adress yako sahihi mkoa, wilaya, kata na
@@joycejoes okay asante sana
Shukran 🙏🏻
Mimi nimeagiza na Mizigo nimeambiwa umefika
Lakini sijajua wapi naenda kuupokea wamenambia ipo tayari kupokelewa order yangu a hawajanipigia mpaka leo
Aliexpress? Amekwambia nani
@@joycejoes Yes Aliexpress
Rudi tena kwenye dashboard ya aliexpress. Kisha bonyeza kwenye sehemu ya kutrack mzigo wako. Maana ni lazima upigiwe na simu. Pengine inakua bado haijatoka kwenye customs
Dada can we chat private kama hutojali?
Instagram @_joycejoes
Currently does it work the same?
Yes it does. Just write your proper adress, and the delivery guy will call you when he is in your area.
Naomba kama kuna uwezekano dear naomba unisaidie namba ako
Njoo instagram @joycejoes_
Hongera sana my dear sisi wengine tunataka kuagiza lakin hatujui ata jinsi ya kufanya
Sista nisaidie namba yako maana huwa napata kigugumiz san katika hayo masoko
Sawa
❤
Morning deare, naomba yako ya whattsapp mimi nipo zambia ,
Njoo instagram @joycejoes_ ina profile picture kama hii🥰
Address ni nini??
Adress ni anuani. Kwahio unajaza mahali unapoishi au unapofanyia kazi
Naomba nama yako ya whatsapp
Good