- Видео 167
- Просмотров 152 855
Joyce Joe’s
Танзания
Добавлен 17 янв 2015
Hi 👋
KARIBU SANA KWENYE DUNIA YANGU.
Hapa ni mahali ambapo na-share na ulimwengu ufahamu wangu, maisha yangu, mafanikio yangu na elimu yangu pia.
Hivyo basi, mimi ni CONTENT CREATOR na MFANYA BIASHARA.
🎹 HERE WE LIVE LIFE TO THE FULLEST🫶

Sead Ramović: Kocha Mpya wa Yanga SC Aahidi Kuandika Historia Mpya!
Sead Ramović: Kocha Mpya wa Yanga SC Aahidi Kuandika Historia Mpya!
Просмотров: 215
Видео
A prayer to my boy child 🥰 #tanzania #mixedbaby #daressalaam
Просмотров 2721 день назад
A prayer to my boy child 🥰 #tanzania #mixedbaby #daressalaam
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO | PROF. Jay Aombwa samahani
Просмотров 11321 день назад
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO | PROF. Jay Aombwa samahani
🔴 MANGE KIMAMBI AINGIA LIVE | ATEMA CHECHE | DIAMOND AMFUNGULIA MASHTAKA AKIWA MAREKANI
Просмотров 13 тыс.21 день назад
Mange aliingia live kwa masaa 8, hii kwake ilikua ni furaha baada ya yeye kurudishiwa account zake 2 zenye followers milioni 1 kila moja. Sasa, aliongea mengi ila kubwa ni kwamba Diamond Platnumz, Gigy money, professor jay n wengine kama 3 ivi juu ya kutaka wamuombe msamaha kwa kuwaandika kwenye app yake
Matajiri wanapoishi Dar es salaam | Where the Rich live in Dar |
Просмотров 30Месяц назад
Matajiri wanapoishi Dar es salaam | Where the Rich live in Dar |
UMELALA NA KUAMKA USIKU? | Jifunze Jinsi ya Kulala Tena Bila Shida #lifestyle #afya #usingizi
Просмотров 942 месяца назад
UMELALA NA KUAMKA USIKU? | Jifunze Jinsi ya Kulala Tena Bila Shida #lifestyle #afya #usingizi
JINSI YA KUKATA NA KULIPIA TIKETI YA SGR - MTANDAONI - ONLINE | TRENI YA UMEME #tanzania
Просмотров 9792 месяца назад
JINSI YA KUKATA NA KULIPIA TIKETI YA SGR - MTANDAONI - ONLINE | TRENI YA UMEME #tanzania
FIRST TIME - ELECTRIC TRAIN IN TANZANIA 🇹🇿 | VISITING WOMEN PRISON IN MOROGORO | Vlog #morogoro
Просмотров 802 месяца назад
FIRST TIME - ELECTRIC TRAIN IN TANZANIA 🇹🇿 | VISITING WOMEN PRISON IN MOROGORO | Vlog #morogoro
MO DEWJI NA ELON MUSK WANAFANANA? | WAFAHAMU HAPA
Просмотров 142 месяца назад
MO DEWJI NA ELON MUSK WANAFANANA? | WAFAHAMU HAPA
JINSI YA KUTUMIA BLENDA HII YA SILVER CREST | UIMARA NA UBORA 🥕
Просмотров 1,3 тыс.3 месяца назад
JINSI YA KUTUMIA BLENDA HII YA SILVER CREST | UIMARA NA UBORA 🥕
NAMNA YA KUEDIT VIDEO CAPCUT ✂️ | COLOUR GRADING | Ep 01
Просмотров 113 месяца назад
NAMNA YA KUEDIT VIDEO CAPCUT ✂️ | COLOUR GRADING | Ep 01
JINSI YA KUPIKA SOYA NYAMA | STORY KIDOGO | SOYA PIECES 😚 | MAANDAMANO
Просмотров 5163 месяца назад
JINSI YA KUPIKA SOYA NYAMA | STORY KIDOGO | SOYA PIECES 😚 | MAANDAMANO
JINSI YA KUOKA / KUKAUSHA MIHOGO KWA OVEN
Просмотров 414 месяца назад
JINSI YA KUOKA / KUKAUSHA MIHOGO KWA OVEN
CHORA EYELINER NAMNA HII | SIMPLE MAKEUP 💄
Просмотров 155 месяцев назад
CHORA EYELINER NAMNA HII | SIMPLE MAKEUP 💄
KUTOZWA USHURU / KODI ALIEXPRESS? INAKUAJE BAADA YA KUAGIZA? UKWELI HUU HAPA
Просмотров 595 месяцев назад
KUTOZWA USHURU / KODI ALIEXPRESS? INAKUAJE BAADA YA KUAGIZA? UKWELI HUU HAPA
Review: UNAZIJUA HIZI SUFURIA? KWANINI USIZINUNUE?
Просмотров 226 месяцев назад
Review: UNAZIJUA HIZI SUFURIA? KWANINI USIZINUNUE?
JINSI YA KUPAKA SUNSCREEN | UNAPAKAJE SUSNCREEN?
Просмотров 6356 месяцев назад
JINSI YA KUPAKA SUNSCREEN | UNAPAKAJE SUSNCREEN?
KUSAFISHA NA KUPANGA JIKO LANGU - DOGO | CLEANING MY TINY KITCHEN ✅
Просмотров 226 месяцев назад
KUSAFISHA NA KUPANGA JIKO LANGU - DOGO | CLEANING MY TINY KITCHEN ✅
JINSI YA KUFUNGUA WHATSAPP ILIYOFUNGIWA - PART 2 !
Просмотров 4547 месяцев назад
JINSI YA KUFUNGUA WHATSAPP ILIYOFUNGIWA - PART 2 !
🛑Live - Yanga vs Mamelodi - Kizaazaa 🤪
Просмотров 337 месяцев назад
🛑Live - Yanga vs Mamelodi - Kizaazaa 🤪
UKIFUATA HAYA- INSTAGRAM ACCOUNT YAKO ITAKUA SALAMA!
Просмотров 267 месяцев назад
UKIFUATA HAYA- INSTAGRAM ACCOUNT YAKO ITAKUA SALAMA!
JINSI YA KUJISAJILI NA KULIPIA MANGE KIMAMBI APP |
Просмотров 7 тыс.7 месяцев назад
JINSI YA KUJISAJILI NA KULIPIA MANGE KIMAMBI APP |
Madereva was BOLT ni MATAPELI???? | IMEKUAJE?
Просмотров 158 месяцев назад
Madereva was BOLT ni MATAPELI???? | IMEKUAJE?
UNAHITAJI HIVI VYOMBO JIKONI KWAKO | KWANINI UWE NAVYO?
Просмотров 288 месяцев назад
UNAHITAJI HIVI VYOMBO JIKONI KWAKO | KWANINI UWE NAVYO?
SINGLE ROOM TOUR | MPANGILIO WA CHUMBA KIMOJA 💡 #roomtour #daressalaam #tanzania
Просмотров 4,6 тыс.8 месяцев назад
SINGLE ROOM TOUR | MPANGILIO WA CHUMBA KIMOJA 💡 #roomtour #daressalaam #tanzania
Story Time: HAPPY BIRTHDAY MY BABY👦🎉
Просмотров 108 месяцев назад
Story Time: HAPPY BIRTHDAY MY BABY👦🎉
DAIMA MBELE 🔰
Nice🎉
Thanks 🤗
Apa umezingua
Sasa tumeelewa nn kwa maelezo ya hivo
Mpumbavu ww unampigania nani na hao wanaokupa pesa ni wapumbavu vile vile
uwo nd UBAYA
Kwenye kunletea number ya malipo inasumbua nshachagua mpaka seat inaload
Itakua mtandao jaribu tena
Nicancel nianze procedure upya?
Jaribu hivyo, na pengine usikute treni imejaa
@ tren ni ya jumanne na kwenye seat haikunionesha kam imejaa au niache njarb badae tena
Huna contents,unaongea upumbavu tu. Akil yako isha collapse
Huna contents,unatuongea upumbavu tu. Akil yako isha collapse
Msenge ww,huna akili. Unaongea upumbavu unawajaza upumbavu wajinga wapumbavu wenzio,uliliwaga na Kikwete nn!!
Ya kwang ina kuja ujumbe huu YOU NEED THE OFFICIAL WHATSAPP TO LOG IN
Bado siielewi
Huelewi wapi tena
Hivi huyu Mange kimavi anamusaidia nani? Huyu Jamani ana kichaa? Ulikuwa unatukana kila mtu wanakunyamazia sasa katafute kazi ya kuosha wazee
Kafie huko acha kutuchanganya
Mbwa wa wazungu wewe laana inaanza kulutafuna nguruwe mwitu.
Njoo wewe uwe raisi
Mungu aendelee kukuadhibu
Address ni nini??
Adress ni anuani. Kwahio unajaza mahali unapoishi au unapofanyia kazi
Na vip kma sina adress na natk kuagiza mzigo
Hivi ww mwanamkee unajua mm uwagaa skuerewaagi
Hii taraka traka mavi kabisa 😅😅😅
Haaa😂ujue unaweza kua na masaibu yako halafu ukaenda kuyamalizia kwenye msiba usiokuhusu?🤣🤣🤣
Pombe kali na Bangi mbichi ukitumia hujala msosi inaweza kusababisha vidonda vya tumbo
Hello
👋
Wewe na hizo pombe unaboa
POLE SANA USICHO KIJUA SISI TUNAMAPENZI NA SAMIA TUNAMPENDA SANA NA HATUNASHIDA NA MACHOZI YAKO UNAPATA TABU SANA HATUNASHIDA NA CHECHOTE ZAIDI YA AMANI TU KWAHIYO WW NI FORENA WA NNJE KAA HUKO HUKO TUACHE
Waaaacha usinambie😃 hii ni mpya
Wewe pambana na siasa za Marekani achana na siasa za Tanzania, siasa za Tanzania tuachie wenyewe. Mpiganie Trump aliyekoswa risasi huko..
Mpuuzi tu huo na mnafiki hivi akitukana watanzania hua anajisikiaje mama wa watu katulia yeye analeta maneno ya chombo eti inaniuma ichomowe yaani wewe ningekuwa mimi ndio unanambia maneno ya shombo ningekunyoosha na anaelia kweli hawezi kuongea zaidi ya kwikwi wewe ni mnafiki tu
Sida nini dada
Hujui kuelezea
Sawa
Yan damage umeniliza san kwa uyu samiyq na mwanawee
😭😭
yani huyu mxhenzi hajapata mtu akampakua vizur
This lady is drunk but she is revealing some truth. She was selected but she refused ma sharti that goes with the politicians. She does want to be rich by shedding tanzanians blood as does most politicians. Although she drank but she is stressed because she understands that refusing to join the secret society and declining the offer, she will be in trouble. Only few people will understand her point.
Fact
Nakuombea usiipate maisha yako yote ili uwe na adabu ng'ombe wewe
😂
Pombe si maziwa 😂
Sio ☕️
Pumbavu aka kabulicheka mmekatoa wapi? Kwenda kule Swine!!! Mkubwa
Kilio leo😢😂 wamekuweza
😭😭😭🤲
Kila rais mbaya tu,, acha maujinga yako bhana
Vipindi vipi bhana, acha kumsema Rais wetu wewe,, SSH ataongoza tu...mbona China Xi anaongoza siku zote na wapo zaidi ya 1B
Akaongoze ndani kwako🤪
Karare
Kumbe hiki ndiyo kilimsababisha aombe msamaha
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
Wewe ni mmalekani Tanzania ikiuzwa inakuuma nini mama kumi tena ...mama samia piga kazi aendelee kulia zaidi ya hapo
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
Huyu. Mange ni mzima kweli...... 😂😂😂😂😂
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
Nabadoo loho Yako uchafua bulandii zawatuu unajua waliipajee bulandi
🔴MANGE KIMAMBI AOMBA MSAMAHA? LIVE ALIYOINGIA JUZI YAMLETEA MATATIZO ruclips.net/video/GxZ8FClFBOE/видео.html
Wapeni wazanzibar nchi yao halafu samia ataenda kutawala zanzibar
Kwani zanzibar ipo wapi? Zanzibar si ni nchi tu na ina raisi wao? Sisi Tanganyika yetu ipo wapi?
Wacheni ubaguzi.. sote ni wamoja.. huyu bado halia kabisa na kumbe analia na pombe...
Ni kweli ❤❤❤❤
😄😄😄
Mimi ilikradi napumua hayo mengine hata hayanihusu woiii😢
Kama hawa alimuuza adamu basi hata ss ndo hivo,tukubari jamani wanawake hatuwezi mengine tuwachie wanaume tu hata ktk makanisa au miskitin imeandikwa jaman .
Kweli