Mungu mkubwa mungu halali hatimaye baada ya miaka 34 kumpoteza Sankara mungu kawalipa bukinafaso kuwaletea mtoto wa bukinafaso mwana wa africa mzalendo wa kweli sijuwi lini na sisi watanzania tutafutwa machozi ya jpm
Best african leader we will vote you for the somali president also or even better you deserve to lead the whole of africa based on you principles and conduct
Nikupe habari za chini za ndani Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone unyama wa huyu mwamba anajua sana
Kwa mwongo mmoja Afrika Mungu ametujalia viongozi wawili bora na imara wenye maono, misimamo dhabiti wazalendo kwa bara letu la Afrika, mzalendo kweli JPM sasa ni Ibrahimu Traore. Hawa viongozi wawili ndio wanasema Afrika ni tajiri hatutakiwi kuombaomba. Hawa wengine akili zao ni tegemezi ni vibaraka wa mabeberu.
Hao wote wanasubir kwa Mwamb John Pombe Joseph Magufuli, kile kichwa kilikuw ni shida Huwez kudangany kwa kitu chochote kile kuhusu nchi yake, na alikuw yuko very active than any other president to take quickly decisions 🦾🦾🦾
Hapa kwetu hakuna mwenye uchungu na nchi hii, zaidi ya kuangalia ajenge nyumba kali na gari afu madem wakali, cjui watakumbuka vp kuwa nchi hii waliyopewa jukumu la kuilinda mipaka na raia wake haiko salama, kwani kwa asilimia kubwa ya watanzania tunaugua magonjwa ya akili kutokana na msongo wa mawazo na sonona ya mda mrefu sababu hasa ni maisha kuwa magum na mazito... Kwa sasa hivi vijana wengi wanakosa ajira wanapata msongo wa mawazo na kuwa na hali ngum kimaisha, wanakimbilia mapenzi ili kujifariji, huko nako wanavurugwa wanakuwa sasa na hali mbaya zaid ya mwanzo. Ndio unasikia wanajiua au cjui huyu kamuua mkewe au yule kamuua mmewe, hali kwakweli c shwari, maana mazingira sio rafiki sana kujikwamua... hali imekuwa ngumu mno.. Itoshe sasa tuseme ukweli, hata wakituua lkn tuvikomboe vizazi vyetu vijavyo. Traore ana fikra nzuri ya kutuambia kuwa tunaweza kuifanya Afrika ikawa salama na ya furaha tukiamua kuacha kuchumia tumbo na kuwajibika kujenga usawa kwa kila mwafrika, kwa amani kabisa.
mwenyewe haki hata ajapo kufa hatakufa Hakika Bali ataishi tena,Ni Thomasi mwenyewe siyo hatia,wakimkuzia Vita atapisha tuu tena,Kwa maana nafsi ya mtu itaishi milele
Wa tz tutabakia kusoma historia za wenzetu wenye uzalendo wa kweli kwa Mataifa yao.Siye uzalendo wetu utabaki kwenye unafki,umimi,uoga kujipendekeza nk.Acha vidume vya W'Africa wavuke kwenda kanan siye tubakie na michezo ya kubahatisha,kuangalia simba na Yanga hadi akili zitakapo turudia.
Ibrahim you would look better in green . With all respect. I am a portrait painter living in Utah, United States. No offense meant at all. I’m 0ne of your biggest supporters
Mungu mkubwa mungu halali hatimaye baada ya miaka 34 kumpoteza Sankara mungu kawalipa bukinafaso kuwaletea mtoto wa bukinafaso mwana wa africa mzalendo wa kweli sijuwi lini na sisi watanzania tutafutwa machozi ya jpm
Inatakiwa na sisi huku kwetu tupinduliwe
Bado mbali sanaaa
SHUJAAAA WA KWELI. Na KIONGOZI WA KWELI AFRICA 🌍 ndio HUYU SASA! MY ROLE MODEL LEADER EVER!💪💪💪
Basi ni yeye Sankara karudi kwenye mwili mwingine Mungu siyo wakucheza nae kweli
Hakika
Tunamsubiri kurudi kwa Magu Tz
@@ericapingi8354 kabissa
Asante sana zungu safi sana Lete mavitu tusanuke vichwani humu❤❤❤🌹🪴🏂
DAH! HUYU SHUJAAA Wanguu WA AFRICA 🌍💪💪
Safi sana siku Moja itokee hapa
Naona umechoka na amani,kama unataka vita nenda Kongo
hahahhaah
Live mwamba
DAAH! SHUJAAAA WA AFRICA 🌍💪💪 shujaa Wanguuuu!! Oyoooo! Wapi Like????💪💪💪💪💪💪😊😅😅😎
Ipo siku tutashinda real African man keep it up
Mimi n sehemu ya Hawa wafrika wanaojitambua
Mungu na wajibu wake waja wake yupo kalibu nawaja wake
Kama mungu amemleta badali tunaomba awalete badali watu wa 2 GADAFI nakipenz chetu MAGUFULI🤲🤲😭
😢Hakika ni kweli
Traore the king of Africa
Mungu ibariki Africa
Best african leader we will vote you for the somali president also or even better you deserve to lead the whole of africa based on you principles and conduct
Ipo siku magufuri atarudi kwenye mwili wangu
😂😂
😂😂😂Yan nilikua sitak kucheka ila nimecheka Asante 😂😂😂
@@halimahalima8818😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nikupe habari za chini za ndani Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone unyama wa huyu mwamba anajua sana
Kwa mwongo mmoja Afrika Mungu ametujalia viongozi wawili bora na imara wenye maono, misimamo dhabiti wazalendo kwa bara letu la Afrika, mzalendo kweli JPM sasa ni Ibrahimu Traore. Hawa viongozi wawili ndio wanasema Afrika ni tajiri hatutakiwi kuombaomba. Hawa wengine akili zao ni tegemezi ni vibaraka wa mabeberu.
Vipi MUAMAL GADAFI
@@chussehussein3944 Sahihi M Gaddafh ni mmoja wao. Hawa wengine ni vibaraka wa mabeberu.
Uko sawa
Safi sana 👍👍
Hao wote wanasubir kwa Mwamb John Pombe Joseph Magufuli, kile kichwa kilikuw ni shida Huwez kudangany kwa kitu chochote kile kuhusu nchi yake, na alikuw yuko very active than any other president to take quickly decisions 🦾🦾🦾
Aiseee wakamsaliti kabisa alooo
Hero of Africa ❤
Hapa kwetu hakuna mwenye uchungu na nchi hii, zaidi ya kuangalia ajenge nyumba kali na gari afu madem wakali, cjui watakumbuka vp kuwa nchi hii waliyopewa jukumu la kuilinda mipaka na raia wake haiko salama, kwani kwa asilimia kubwa ya watanzania tunaugua magonjwa ya akili kutokana na msongo wa mawazo na sonona ya mda mrefu sababu hasa ni maisha kuwa magum na mazito...
Kwa sasa hivi vijana wengi wanakosa ajira wanapata msongo wa mawazo na kuwa na hali ngum kimaisha, wanakimbilia mapenzi ili kujifariji, huko nako wanavurugwa wanakuwa sasa na hali mbaya zaid ya mwanzo. Ndio unasikia wanajiua au cjui huyu kamuua mkewe au yule kamuua mmewe, hali kwakweli c shwari, maana mazingira sio rafiki sana kujikwamua... hali imekuwa ngumu mno.. Itoshe sasa tuseme ukweli, hata wakituua lkn tuvikomboe vizazi vyetu vijavyo.
Traore ana fikra nzuri ya kutuambia kuwa tunaweza kuifanya Afrika ikawa salama na ya furaha tukiamua kuacha kuchumia tumbo na kuwajibika kujenga usawa kwa kila mwafrika, kwa amani kabisa.
,,
HUYU SHUJAAA WANGUU 💪🤝😅😅 dah! Aisee hata Mimi NiTAKUJA KUMPINDUA Raisi Wa NCHI HII 😅😅
Rutten comander traore thanks for your speech for represented african nations please doing for remembering forever after all matters
Huyu jamaa namkubari sana anamawazo kama magufuri wetu😭😭😭
Son of Africa freedom fighter ❤
Naqbali sana make kizur kikipotea bas jua kitakuja
Daah noma sana
Leo mmenifurahisha
Our leader tukoboe
Mimi binafsi nikipenzi cha wazalendo wote wa Africa. Na upo siku tutashinda.
ata apa tz mungu atamludisha magufuli kwa namna yake
Amina
Amen ❤
Amena
Sankara yupo mbali sana ukimlinganisha na huyu jamaa
Kuanzia leo mimi ni raia wa Burkina Faso
You go Ibrahim//
Africa 👍❤️
Mbona hamripoti maovu ya CCM ndani ya hi inchi acheni unafki hii TV
Upewe maua yako
Kweli kabisa
Njaa mbaya na unafki/ ushamba..ndio hali halisi ya kwetu
Wanajeshi wetu waoga
Wanajeshi wetu , wapo kimaslai sana siyo wazalendo kabisa ,kama hili swala la mkataba wa Dp word , wamekaa kimya kama wao nchi haiwahusu
Umeona eee
Ila tunatami kijamaa kimoja kutoka huko jeshini kizalendo kipenda haki kisimame kiungane na traore
Viongozi wa Afrika bila kuwafanyia hivi afrika tutakua omba omba miaka yote Hadi mwisho wa dunia
Rise, Burkina Faso... Rise!!!!
Ibrahim's traoreee
Ichii hii n mapinduzii to
Ipo siku nami ntatoa ruto namna hii
❤
mwenyewe haki hata ajapo kufa hatakufa Hakika Bali ataishi tena,Ni Thomasi mwenyewe siyo hatia,wakimkuzia Vita atapisha tuu tena,Kwa maana nafsi ya mtu itaishi milele
Kwanini na apa kwetu isitokeee jamani majizi yamezidi
Sankara level nyingine kabisa
mfuatilie huyu mwamba kaka
Sankara atabaki kuwa kioo Cha o mwamba alitisha
Hata Magufuli alisimamia hoyuba hiyo hiyo 😢
Chester ya ccm ripoti wewe inatosha sikiyo la kufa halisikii dawa sumu mliyonyweshwa hamtaweza kuiacha mpaka iwaathiri ndo majuto yatakuja
Wa tz tutabakia kusoma historia za wenzetu wenye uzalendo wa kweli kwa Mataifa yao.Siye uzalendo wetu utabaki kwenye unafki,umimi,uoga kujipendekeza nk.Acha vidume vya W'Africa wavuke kwenda kanan siye tubakie na michezo ya kubahatisha,kuangalia simba na Yanga hadi akili zitakapo turudia.
Mwamba kweli kweli ivi ndi inavo takiwa
Sankara karudi ktk mwili wa Traore
Hii huitwa Rencarination
kumbe Lumumba atarudi siku moja viva Africa 💪
tolekaaa
Ulikua kimya sana jamaa angu
☝🇹🇳🤝👍
Ibrahim you would look better in green . With all respect. I am a portrait painter living in Utah, United States. No offense meant at all. I’m 0ne of your biggest supporters
Ndaro wa burikinafaso
@ndaro njoo hapa
Weee zungu hicho kichwa cha habari...umetuingiza chakani
Tunatamani pia Tanzania ipinduliwe tumechoka
Capt.traore inabidi aombe ulinzi urusi immediately,wanafiki watampoteza akifanya masihara.
Makamanda hao wapewe heshima yao juu ya ukombozi
Ndiyo maana aliweka bunduki chini akipigwa risasi
kama nawaelewa hivi
Tusimsahau pia JPM, naye alikuwa na fikra kama hizo.
Ndaro huyo au Basi
Na tz je
Huyu jamaa ni mwamba na ana akili sana na huyu ndiye kiongozi thabiti
Vipi magufuli angekuwepo ?? ......samia suluhu hana suluhu ya watanzania
Tunamtaka jamal April atupe habari hizo daimond jamal April yuko wapi?
Nipo hapa niambie
Mbona hamsemi ukweli kwamba huyu Ibrahim ni mtoto halali wa Thomas wa kumzaa,???
Sasa nimemuelewa mrusi
Kenya pia natamani kutokee mtu kma hyu tumechoka
Ibra5
Nivizuri kuitegemea Urusi kabisa
Nani twende kongo
Watanzania tunapenda sana andaa makala kuhusu nchi zingine wakati kwetu tuna matatizo mengi sana 🤣🤣🤣🤣
Hao ndy viongozi wanao takiwa
Hapo viongozi bora magufuli na gadafi huyu mupya
Mwamba
Traole mtu wewe apoo badoo