Baba Yangu Nakupenda by TeamFamily Voices x Msafiri T, Isaac M (Off. Video) | [SKIZA 6983072 to 811]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024
  • ‪@KalltuniClassics‬ | ‪@onaink‬ | ‪@sidartmedia4463‬ | ‪@johnkabingaombasaakakjohnn4240‬
    Wimbo huu ni maalum kwa wazazi wa kiume kwa lengo la kutambua na kuthamini mchango wao katika malezi ya watoto wao na huduma wanazozitoa kwa familia zao. Maudhui ya wimbo huu yamelenga hasa kuwatambua wazazi wa kiume kama wapambanaji ambao jamii na hasa watoto wanatakiwa kuwapongeza kwa jitihada zao za kila siku kuyafanya maisha yao kuwa bora kimaadili,kiroho na kimwili pia.
    Hakika baba ni wa kushukuriwa pia kwa malezi yake kwetu. Asante sana baba zetu kwa kutulea vyema.
    Mhariri: Mwl. Pst. Davian Buguna
    **********
    Connect with Kall tuni Classics
    / kalltuniclas. .
    **********
    Waveform Credits: www.motionbolt....
    **********
    BABA NAKUPENDA - FR TEILO M. LWANDE, A.J
    Verse 1: Sung by Isaac M
    Mimi niko hapa natoa shurkani zangu
    Kwa Baba mzazi wangu aliyenilea mimi
    Na kunionesha njia ya mafanikio wewe
    Na kunionesha njia ya mafanikio wewe
    Hook/Bridge:
    Baba hukusita - Kunikaripia wewe
    Nilipopotea - njia wewe Baba
    Baba hukusita - Kunikaripia wewe
    Nilipopotea - njia wewe Baba
    Chorus:
    Baba yangu nakupenda kwa kunilea mimi
    Baba yangu nakupenda Mungu akubariki
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Verse 2: written and Sung by John Ombasa
    Mmh! Baba uliteseka sana
    Kila siku we kazini kutafuta riziki ye he he he he
    Hatukuona nyimbani baba
    Ulirudi usiku we he he he he
    Jaho yako kazi ya mikono yako
    Ilitupeleka shuleni hadi tukamaliza masomo
    Sasa tuko tuko kazini tunafurahia
    Shukrani ni kwako Baba.
    Hook/Bridge:
    Chorus:
    Verse 3 - Written and sung by Msafiri Tunga
    Haya ninayo onesha kwa wanadamu
    ndiyo matunda ya matendo yako
    Haya ninayo onesha kwa wanadamu
    ndiyo matunda ya matendo yako
    Akubariki Baba Akubariki Yahweh
    Akubariki Baba Akubariki Yahweh
    Hook/Bridge:
    Chorus:
    Baba yangu nakupenda kwa kunilea mimi
    Baba yangu nakupenda Mungu akubariki
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    Akubariki u wo oo.
    #KalltuniClassics #BabaTunaletaVipaji #KwayaKatoliki #KwayaTamu

Комментарии • 15