Joshua Assey & Walter Chilambo - Ametenda (Lyric Video) #4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 авг 2022
  • Lyrics Video for "Shammah" by Joshua Assey & Walter Chilambo
    Follow Joshua Assey
    Instagram: / joshua_assey
    RUclips: / joshuaassey
    Digital Branding: Mavin Inc.
    Instagram: / mavinmagmt
    Ametenda Lyrics Ft. Walter Chilambo
    Njooni muone,huyu MUNGU ametenda tena
    Njooni muone huyu BWANA amefanya tena
    Mahali nikipoishia ameanzia, ameanzia
    Vifungo vilivyonifunga ameondoa ameondoa
    Kachukua mizigo iliyonilemea kaenda nayo
    Hakuona sababu ya mimi kuendelea kubaki nayo
    Aaah aaaah aaah rahaaa kupendwa nae aaah raha
    YESU wangu ni mwema aah
    Ni mwema, ni mwema,
    Ni mwema ni mwema
    (Ni mwema ni mwema)
    Ni mwema ni mwema
    (Ni mwema mwema)
    Ni mwema ni mwema
    Njooni mwone ametenda tena
    Aaaah aaahhh ahhh
    Njooni mwone amefanya tenaa
    Mhhh toka mawio hata machweo yake
    MUNGU Aameumba uzuri,uliokamilika
    Akisema neno ooh,basi jua ndivyo ilivyo
    Akisema umebarikiwa basi jua hivyo ndivyo
    Akisema neno bwana hakuna wa kumpinga aah
    Na anasikia maombi yoyo yeye ni mwaminifu
    Uuh uuh uh aaah raha raha kupendwa nae aa raha
    Ni mwema aaah
    Ni mwema,ni mwema
    (Ni mwema)
    Ni mwema,ni mwema
    (Ooh ooh)
    Ni mwema,ni mwema
    (YESU ni mwema)
    Ni mwema,ni mwema
    (Ra,ra,ra)
    Ni mwema,ni mwema
    Njooni muone ametenda,bwana amefanya
    Ni mwema,ni mwema
    Mara nyingine ametenda oooh ooh
    Ni mwema ni mwema )
    Njooni muone amefanya tena
    Aaah amenibariki YESU ooh
    Njooni muone amefanya tena
    Eeh amefungua milango
    Njooni ametenda tena
    Ametenda tena ra ra ra
    Njooni muone amefanya tena
    #JoshuaAssey #Ametenda #AmetendaEP #walterchilambo
    2022 Love Music Brand Company Limited
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 44