Toyota IST Road Review Kutoka DAR to TARIME - Mr SABYY | Clearing and Forwarding

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 26

  • @MrSABYY
    @MrSABYY  2 года назад +1

    Kwa unayehitaji KUAGIZIWA GARI nje ya nchi au unayetaka KUNUNUA GARI YA MKONONI ( Iliyotumika hapa hapa Tz ) please tumia no hii Call/Text/WhatsApp +255653953900
    Pia usiache ku subscribe na kutuFollow
    Instagram@mr_sabyy
    Twitter@mr_sabyy
    Asante

  • @FridahMndeme-bn5sq
    @FridahMndeme-bn5sq Год назад

    NIMEKUPATA VIZIRI SANA MR.SABY

  • @emmanuelmeela3065
    @emmanuelmeela3065 7 месяцев назад

    Upo sahihi bro

  • @gelisonmpogozi4881
    @gelisonmpogozi4881 2 года назад +1

    roaring big company,, congrats champ🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Thanks Mr Gelison 🤝🏻

  • @jeremiaalbertbenjamini6646
    @jeremiaalbertbenjamini6646 2 года назад +4

    Hiyo mpaka kwa mteja ni sh ngapi na ikiwa ofisini kwenu sh ngapi

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +1

      Hii bei ya Sasa ni 16.5M Ila mda wa hii video ilikua 14.5M… Karibu ofsn kwetu au whatsapp yetu 0653953900

  • @magnussanga
    @magnussanga 2 года назад +1

    Pamoja sana

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Asante sana, save no yetu kuna siku utatuhitaji

  • @dhuweibbadruddin9895
    @dhuweibbadruddin9895 2 года назад +2

    Habari .naomba uwafahamishe na kuhusu gari Aina ya raum ikoje uimara na kusafiri nayo

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Hello boss, Naomba Nitumie msg WhatssApp 0653953900 🙏🏻

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 9 месяцев назад

    Huyo gari ni TSH ngapi?

  • @official_starboy6427
    @official_starboy6427 2 года назад

    nimesha subscribe vp na kuhusu Toyota Crown kwa kutembea umbali mrefu

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 Год назад +1

    Mpaka ifike IRINGA niandae sh.ngapi?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  Год назад

      Hello, karibu na tutumie ujumbe kwenye no yetu ya WhatsApp 0653953900 kwa maelezo zaidi. Asante

  • @Homelandtv-kf7fp
    @Homelandtv-kf7fp Год назад +2

    Ni 1300 cc

  • @jeremiaalbertbenjamini6646
    @jeremiaalbertbenjamini6646 2 года назад +1

    Gari ipi nafuu kwa safari ndefu

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Hello, Kila gari Ina sifa zake, Karibu ofisini au kwenye WhatsApp yetu 0653953900

  • @vallencymacdonalds4176
    @vallencymacdonalds4176 2 года назад +1

    mfano ungetumia Vitz ingekula mafuta kiasi gani?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад

      Kwa Vitz ya 1290 cc ingekula mafuta ya 350,000 dar to tarime

    • @juliuskiyanga
      @juliuskiyanga Год назад +1

      Napenda sana niwe na gari yangu....halafu nifanye tour za hivi.....napenda saaana.....najichanga nipate ata Vitz

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 2 года назад +1

    Nahitaj harrier 2006

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  2 года назад +1

      Hello , naomba tutumie msg WhatsApp kupitia no 0653953900. Asante na ubarikiwe

  • @jukiboy7012
    @jukiboy7012 Год назад

    🫱🏻‍🫲🏽

  • @DadiChitumbo
    @DadiChitumbo 6 месяцев назад

    Hivi ist Kwa Sasa ni sh ngapi?