Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tunamuhitaji Tundu Lissu
Mtaweweseka sana
Sema mpyukaji sio dr
Hela ,mlizopewa za kusambaratisha chandema zinawatesa ,mtazitupa na mtaenda kujimaliza kama YUDA wa Bibilia
Lissu siyo kikazi kipya. Labda useme style mpya na maono mapya.Lissu na mbowe wanatofautiana.kidogo tu kama miaka 6 hivi. Miaka 57 si kikazi kipya.
Mzee Slaa upo sahihi,kama tunamhitaji kuikomboa Tanzania kutola ukoloni wa CCMLisu ndio jibu Mbowe anaiua CDM ingawaje amefanya kazi nzuri kama Musa amwachie Lisu kama Joshua awafikishe Watanganyila katika nchi ya asali na maziwa, nchi ya ahadi
Sila mnafiki sana yeye kipindi lisu anapigwa risasi alikuwa balozi na alihamia CCM hana ushauri wowote huyo ndomaana mama samia kafeka kichwa
Siasa za ukanda hazitakiwi
Zipi?
Slaa haeleweki hana chama
Hofu ni ya nini?kwanini ajiuzulu?mpambano kwenye sanduku la kura
Salaa wewe c mwanachama wa chadema mbona unaipangia chadema mambo yake ya casa,acha kufanya fitna au inakuuma kwa kunyangnywa ubaloziii
Fikiri kabla ya kusema. Dunia inakusoma
Ni kweli @@marieconnect6389
Tunamuhitaji Tundu Lissu
Mtaweweseka sana
Sema mpyukaji sio dr
Hela ,mlizopewa za kusambaratisha chandema zinawatesa ,mtazitupa na mtaenda kujimaliza kama YUDA wa Bibilia
Lissu siyo kikazi kipya. Labda useme style mpya na maono mapya.
Lissu na mbowe wanatofautiana.kidogo tu kama miaka 6 hivi.
Miaka 57 si kikazi kipya.