Mbunge kutohudhulia vikao vya ndani ambapo yeye ni mwakilishi wa wananchi huwa ni tatizo binafsi nafuatilia saana but naona kwa mbunge kwenda kwenye vyombo vya habari ni kosa pia alipaswa kuomba ladhi kwa wananchi kwa kosa la kutohudhulia vikao vya jimbo na mko thus over
Kongole Mwamba, Jembe, Simba Mh Makonda kweli nakupenda endelea kuchapa kazi Mrisho kashushuka sana hakujuii vizuri na jinsi ambavyo unajua kujieleza na kuongea yeye abaki kubwabwaja na siyo kuongea au kujieleza next time akae pembeni kabisa na aanguke chali hapati tena nafasi tunamwambia kwa heri akaanze kilimo. 2025 kwa hili tumemsoma hajui kitu chochote
Mungu ni mwema sana makonda...amekupa watu wakujibie tulia makonda mungu yupo anatumia watu
Na kweri akae kwa kutulia..ulimzarau lema lakini kwa sasa mungu amemjibu lema kupitia makonda..
Mbunge kutohudhulia vikao vya ndani ambapo yeye ni mwakilishi wa wananchi huwa ni tatizo binafsi nafuatilia saana but naona kwa mbunge kwenda kwenye vyombo vya habari ni kosa pia alipaswa kuomba ladhi kwa wananchi kwa kosa la kutohudhulia vikao vya jimbo na mko thus over
Looo!!!! Kawezwa sana huyu Gambo.
Kongole Mwamba, Jembe, Simba Mh Makonda kweli nakupenda endelea kuchapa kazi Mrisho kashushuka sana hakujuii vizuri na jinsi ambavyo unajua kujieleza na kuongea yeye abaki kubwabwaja na siyo kuongea au kujieleza next time akae pembeni kabisa na aanguke chali hapati tena nafasi tunamwambia kwa heri akaanze kilimo. 2025 kwa hili tumemsoma hajui kitu chochote
Naona ataanguka Uchaguzi. Hamilto huyu Gambo. Amejikuza kupindukia.
Gambo kiazi tu
Malisa, Gambo aliposema mimi sio afisa tarafa alimaanisha yrye sio mtendaji au muajiriw wa serikali
Nauona mwisho wa Gambo sasa
Shida ya kupeana vyeo bila ya ushirikishwaji wa wananchi (kupita bila kupingwa)
Mbunge ni sawa+ madiwani ila kwa vile watu hupenda kujikweza.
Wabunge wote wa mchongo mjipange mwaka huu.
Gambo uchawi unaisha sasa
Mmmmh!
Makonda ebu mpige spana huyu jamaa GAMBO kiburi kimezidi !!!
wewe ni muakilishi was RAISI
Gambo+majimbo+kuwika gimbi !
Waduduuuu watu wachugaaaaaa mnasemajeeee?
Malisa yeye nani
Jitasmini gambo...aiwezekani wote wakakunanga wewe
Mm
Nyie woote wajinga