alichokupa Mwenyezi kamwe wanadamu hawawezi kiondoa, wanafiki wanaaibika kila kukicha, unawaumbua kwa kipaji, napenda kazi ya akri yako, napenda tabia yako na kamwe usibadilishwe na wanadamu maana ata wao hawajakamilika, yawezekana Mwenyezi anapenda unavyoishi Baraka ndomaana adi leo upo ivyo ukiwaumiza roho zao wanafiki maana hawakutaka ata ubakie ivyo bali uwezo wa Bwana, wewe ni Baraka ishi kama Baraka, elezeka kama Baraka inshort napenda. P1 SN MPAMBANAJI
Kipaji unacho! Tena kikubwa tu! Uwezo wa kufanya mziki mzuri unao! Tena mkubwa tu! Watanzania tunajua yote hayo! Fanyia kazi mapungufu yako mzee ambayo yanakushusha kimziki! Maana kipaji bila nidhamu na unyenyekevu ni ngumu kuwa juu! Utashushwa tu Kama sio na fans Basi wadau kwenye tasnia kamwe hawawezi kukuweka juu! Hii ngoma Ni Kali Sana! Tulimiss aina hii ya mziki! Melody kali, message ya kijanja, sauti ndo usiseme na beat ndio daah! Noma Sana! Hongera kwa hii kazi nzuri!
The song is a complete masterpiece, Baraka The prince should always get reminded that no matter how talented you are..Respect and humbleness is always a key to success, This guy is amazingly talented though when he opens his big mouth, you won't even remember that he is this talented at all...
Barakah da prince uliibuka kipindi ambacho ndio naanza kuyajua mapenzi,, nyimbo zako nilizipenda Toka pale.. itoshe tu kusema you're my favorite artist.. nyimbo zako zimebeba kumbukumbu zangu zote za mapenzi yangu ya mwanzo kabisa (sweet memories).. KEEP IT UP BRO.. NAKUKUBALI VIBAYA MNO. Nyimbo zako zitaishi kwangu hadi nitakapotoweka
Bonge moja la ngoma! Melod sasa daaah umeua hatarii! Nimeiona hii ngoma ITV nikaja chap hapa RUclips niione tena. Aisee sichoki kusikiliza good music! Keep going up Baraka.
Nimeusikiliza huu wimbo mara 10 wewe mjaluo mwenzangu unajua,alafua unajua,alafu unajua Tena alafu unajua Tena na Tena🔥🔥🔥💪from now on this is my ringtone ❤️❤️❤️❤️
Nilikuaga namkubali Sana huyu mwamba sema anadharau sana mpaka kwa mashabiki..... Hapa nimepita bahati mbaya tu nimeswipe nikakuta imepiga ila sikuiz sitakag hata kumsikia..... Mshenzi Sana huyu
Sincerely, Barakah de Prince is one of the talented artists that Tanzanians are proud of but I heard he is so rude and that's what is hindering him from reaching greater heights. Much love from Kenya 🇰🇪
Sio fitna kk.. Mm mwenyewe nilikua shabiki mkubwa wa baraka ila nilipoona dharau zake zilifanya nijiengue.... Saiz akitoa wimbo hata sishtuki na huu nimekoment tu kwasababu niliweka automatic play nikakuta nimempa view.... Nimeboeka Sana
Nakubaliiii umekaa kimya sna Najua Umejipanga Sasa bx Price...yake...FANYA MATUSI Tyu...wawekee na za Kudance wakanyagane Club n Bar Fanya Kitu Wahuni..Wanakubalii Amini....Kwamba japo unaimba ila Amazing.🔥🔥🎧🎤 H.O.P JOH
Watu wawili wenye talent wamekutana. Baraka hawezi kupotezwa na mtutu yoyote mpaka aamua tu kuacha kuimba. Joh Makini Izo ndio kazi zake na hajawahi kuniangusha.
Jamaaa kiukwel unajua Tena saaaana...!!! Sema nini dharau acha Yani Hawa wakina mario, Hamornize Rey vani wote hawafui dafu kwako hvo jirekebishee utafika mbali saaana mda bado unao
We lijamaaa una kipaji sema hii nchi. Muziki uko chini ya diamond na serikali ina mwabudu huwez ona talent kama hii ukipata eatime dah baraka your so amazing as q chief
Kuimba unajuwa ila utawakosa mashabiki jitaidi kuongea vizuri kwenye enter vio,sisi atumpendi nyinyi ila tunapenda maneno yeno ya msik, você é um homem calmo,kwa kiswaili ni wewe kijana mkimwya,ilifika atua ya kutupunguza mashabiki zako uku Moçambique,jali kazi na mapato yako.
Kazi nzuri kijana ukimya wako na maneno ya shombo kwa king hiki kitu nilikitalajia kuwa uko njiani kuachia ngoma yes ngoma nzuri kumweka Jon makini umeuwa kabisa video kali sana 🙌Ivan mdundo wa utu ya king🤔🤔lakini safi
Amuombe radhi ya Nini ? Nyinyi wasenge wasenge ndio mmekaririshwa miziki yenu ya kijinga jinga timu nyoko na timu nyoko. Mwacheni mwana afanye muziki mashabiki wa kweli tupo
Bonge la Video Bonge ngoma Baraka Tulimiss mziki huu wanao tamani upotee kimziki washindwa kwa uwezo wa alie kuumba na kukujaria kipaji.Tunakupenda sana wale wanao kuchukulia poa achana nao .wakaushie ikiwekana jifanye hata mjinga kwa kuwachora gonga mangoma makali tupia mitandaoni mziki wa sasa unauzwa word wird.!

Pl
L
Bongee la ngomaa
Amina
Good message

Point.
Hajashushwaa kiburi kinamsumbua huyu jamaa
Matako ww kumbe ulitk Kiki Kuma wew
umeongea tunamkubali sana jamaa sema amna aliekamilika
Nasikia hakubali kushuka
BARAKAH THE PRINCE wa 'Siachani Nawe' live kwenye beat na JOH MAKINI balaa la wimbo 'Nusu Nusu'
Baraka unajua sana bob acha utemi kuna wajinga wengi sana unawakalisha hebu tulia kdogo
Barakah The Prince Nave Disappoint 🔥🔥🔥🔥
Tunao Mkubali Barakah The Prince Ngoga Like Apa Tujuane 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Baraka kwakipaji tu hapana wakumufikia sema alilogwa pakubw akashushwa
Fanya mziki bro,tena waheshimu wakubwa wako ufanikiwe.....
Msimamo sio kiburi brother be positive acha mawazo ya kiswahili🤐
We ni noma Sana Bro
Punguza kiburi jeneza halina mataili
Jap Weng wanapond ila nakupenda xna mshkaj Wang barakah umetish xn nilimiss saut yak
The song is a complete masterpiece, Baraka The prince should always get reminded that no matter how talented you are..Respect and humbleness is always a key to success, This guy is amazingly talented though when he opens his big mouth, you won't even remember that he is this talented at all...
Mzeee baba
Barakah da prince uliibuka kipindi ambacho ndio naanza kuyajua mapenzi,, nyimbo zako nilizipenda Toka pale.. itoshe tu kusema you're my favorite artist.. nyimbo zako zimebeba kumbukumbu zangu zote za mapenzi yangu ya mwanzo kabisa (sweet memories).. KEEP IT UP BRO.. NAKUKUBALI VIBAYA MNO. Nyimbo zako zitaishi kwangu hadi nitakapotoweka
🤣🤣🤣🤣
Music with feelings
Kumbe ulikua unaitaji kiki kwa kumtusi mtu ndio utoe nyimbo chunga mdomo kuna maisha badae.
Bonge moja la ngoma! Melod sasa daaah umeua hatarii! Nimeiona hii ngoma ITV nikaja chap hapa RUclips niione tena. Aisee sichoki kusikiliza good music! Keep going up Baraka.
UnaJua sana mwamba iLa punguza madharau na kiburi, ili ufike mbali
Msenge Mnyamwezi sana yani, Sijui nini anakosea.. Daaahh 🔥🔥🔥
Nimeusikiliza huu wimbo mara 10 wewe mjaluo mwenzangu unajua,alafua unajua,alafu unajua Tena alafu unajua Tena na Tena🔥🔥🔥💪from now on this is my ringtone ❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤
@@mburawambulanga3500 Song beer yawa
From Caribbean Jamaica🇯🇲🇯🇲,, Tanzania 🇹🇿 is the best In music who appreciate that give me a like please
Pure Kenyan not Tanzanian.
@@titomwiti2590you've your own artists like Kaveve kazoze, stevo etc, this is a pure Tanzanian talent born and raised in Mwanza.
Wakenya kila kitu mnataka kiwe chenu😂😂😂😂😂
Nilikuaga namkubali Sana huyu mwamba sema anadharau sana mpaka kwa mashabiki..... Hapa nimepita bahati mbaya tu nimeswipe nikakuta imepiga ila sikuiz sitakag hata kumsikia..... Mshenzi Sana huyu
Msanii wangu bora namba moja katika aina ya mziki anaouimba✌
Bongo ukiwa na misimamo yako utaonekana una kiburi endelea kusimamia unachokiamini your so talented muziki wako utaongea ata uweje
Ata wasemejee da princ kazaaa chal Ang mziki unaujuaa
Pure R&B stick there you kill it Joh Makin was on point the chemistry is amaizing
*Ulipomtukana tu Alikiba basi ata sikupendi teeeeeena,ata uimbe vipi hunishawishi PRAY FOR ALIKIBA*
Mpumbavu ww, ondoka kwenye page ukasikilize nyoooo!
Kiburi na dharau vinakucost but ur so talented man🔥🔥
Mbona useme ukweli 😂😂😂
Stop this kind of comment
@@k.kswitzerland4168 kabisa
Kuwa positive bhn msimamo sio kiburi😀🤐
Jaman🤣🤣🤣🤣
Uwezo ulionao ndio unakufanya ujitambue kuwa wewe ni nani jiamini siku zote za maisha yako blood
Barakah na MTU MAKINI kama Jo MAKINI✌️can't stop listening to this song+254🇰🇪
Kazi nzur
I love the somg, melody, i can't get enough of this song.....i repeat over and over again😍😍
Same here😍😍
@@abdallahomary4316 same here too
Rudi ukaombe msamaha kwa KING ww without that hutoboi
Najivunia Kipaji chako mdogo wangu, Mungu azidi Kukuinua mbele za adui zako. Big Up.
Bora uwe na kiburi kuliko kujizarilisha au kuzalilishwa na mwanadamu mwenzako kisa pesa
Tuna jua tulicho fata kwako ni mziki mzuri dharau na issue zingne hazi tuhusu congratulations for this masterpiece ♥️🔥
Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Sincerely, Barakah de Prince is one of the talented artists that Tanzanians are proud of but I heard he is so rude and that's what is hindering him from reaching greater heights. Much love from Kenya 🇰🇪
sure
It's not true,ni kwamba hapendi maujinga na akiongea watu wanaona kwamba he's rude lkn hapana ni wivu tu
@@lilianodhiambo9721 nani amuonee wivu huyu? ana kauli mbaya tu huyo nani amuonee wivu yeye ndivyo alivyo
Mwanamadharau Katisha sanaaa Bonge moja la Tallent Lakin Sasa mmmh....,
Wimbo mkali sana . Naomɓa mungu siku moja awezeshe tufanye collaɓo
Kaka we ni msaniii mkubwaaaa saaanaaa Tanzania na EAST Africa tena saaanaaa ila Tu. Punguza zarau bro..... Maisha ni watu na watu ni maishaa...
Barakah you are my mentor since form 2,hits zako zote ukuwa 💯💯🔥
safi sana.
What a Song!
When Joh is involved song MUST BE 🔥.. Big Time Homeboy
Joh Makini always mistari yako inanikosha 😂😂
This guy is purely talented 🤞
Haya Wajaluo navwote kutoka kanda ya ziwa njoo tu support homeboy
Prince at his best
John at his excellency
It’s just beyond perfection
And to be honestly if it was all about sound then Baraka got his
Nilichogundua Team kiba hamjapenda dogo kumchana msanii wenu.
Piga like hapa kama wewe ni fans WA kijana wetu wa nguvu Baraka price
Baraka yupo sawa ila watu ndowa baya inaitaji
This guy...knows wat iz music...Kep going brka..
Huyu jamaaa anajua music ,sema ,,fitina tu anafanyiwa
Sio fitna kk.. Mm mwenyewe nilikua shabiki mkubwa wa baraka ila nilipoona dharau zake zilifanya nijiengue.... Saiz akitoa wimbo hata sishtuki na huu nimekoment tu kwasababu niliweka automatic play nikakuta nimempa view.... Nimeboeka Sana
You songs reminds me of someone I used to love. We made memories through them. Keep flying high🔥
Baraka de plice unakipaji lakini ujinga unamingi kumiburi chako cha kuwatukana wasaindizi wako bado unalipia 💔🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I have listed to this banger 13 times can't get enough of it ...
Yaan Mimi ndo balaa I've listened this 100 times still I can't get enough of it,baraka and Joh are the best,this song is🔥🔥🔥🔥
Kama Utaweza Kutafuta soko nje ya Bongo Utatisha sana Mzee , Maana Huku Mambo Uliyaharibu mwenyewe!
Jamaa anajua sana sema tabia tu🤗💥💥
Unajua sana mkali wng hata binadamu wakupinge vipi mungu kakupa kipaji kikubwa xnaa 🔥🔥🔥🎼🎼🎼🎻🎻🎻
Welcmome back baracka king of vocals in east and central africa
Daah baraka unakipaji sanaaa
Mziki mzuriii sana. Baraka The Prince anajua sana.Damn nice vocals nice rap flows by Joh. Biti ni kalii sana
Nakubaliiii umekaa kimya sna Najua Umejipanga Sasa bx Price...yake...FANYA MATUSI Tyu...wawekee na za Kudance wakanyagane Club n Bar Fanya Kitu Wahuni..Wanakubalii Amini....Kwamba japo unaimba ila Amazing.🔥🔥🎧🎤 H.O.P JOH
Barakah kiling it..💪 Joh Makini 🔥🔥🚀
unajua sana the prince mengine muachie mungu🙏 fanya unacho penda
usifanye kwajili ya watu
Waooo wimbo mzur
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😘😘😘😘♥️♥️♥️
Watu wawili wenye talent wamekutana. Baraka hawezi kupotezwa na mtutu yoyote mpaka aamua tu kuacha kuimba. Joh Makini Izo ndio kazi zake na hajawahi kuniangusha.
He's back with another one
Kuna wakati unaweza kuwa na msimamo ila msimamo ukizidi unaonekana kama jeuri au kibri ila Kila mtu anaamini anacho amini tu
Much love from Rwanda🇷🇼❤❤Baraka the prince nakupenda since my childhood
Unajuwa xnaaaaasaa ndomana walikuchukuwa unajuwa ila unisimamo Yako kaka endelea ivoivo
Favourite artist baraka the prince 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥GOOD SONG
Ngoma Kali kbx.ila bro mbona umefulia sikuizi hausikiki Kama siku zanyuma Yani siamini.
Prince has the talent... pure gifted!!!
Jamaaa kiukwel unajua Tena saaaana...!!! Sema nini dharau acha Yani Hawa wakina mario, Hamornize Rey vani wote hawafui dafu kwako hvo jirekebishee utafika mbali saaana mda bado unao
Good to see you make a comeback with such a Hit, much appreciated by your No.1 🇰🇪🇰🇪 super fan
Goma hatari... Talented boys doing them big things....God bless,,@MettyBee Gospel Artist straight outta Kenyan massive
good job guy,,luv from +254🇰🇪
Hit song
We lijamaaa una kipaji sema hii nchi. Muziki uko chini ya diamond na serikali ina mwabudu huwez ona talent kama hii ukipata eatime dah baraka your so amazing as q chief
I love the sound right from the beginning 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪.Sasa kiburi kisicho na maana ndo uache 😊😊😊😊
Ni mjaluo kiburi ni lazima 😁
@@isaachayes9783 😀😀😀😀
Goma kalisa baraka ni wapekehe sana kipaji tanzania Africa 👑🥇🥇🏆💪💪🥂🥂🥂💥💥💥💥💥💥💥💥🦏
Tanzanians 🇹🇿don't know how much sudan 🇰🇪 love you ❤
Baraka is back so🔥🔥🔥🔥 muda utaongea
Next time joh usifanye hivo ngoma Kali weka mashairi Bora hii ni mistari ya kawaida sana.
We missed you man,,continue unstoppable kindly'
Kuimba unajuwa ila utawakosa mashabiki jitaidi kuongea vizuri kwenye enter vio,sisi atumpendi nyinyi ila tunapenda maneno yeno ya msik, você é um homem calmo,kwa kiswaili ni wewe kijana mkimwya,ilifika atua ya kutupunguza mashabiki zako uku Moçambique,jali kazi na mapato yako.
My super vocalist🎹🎵🎶
Much love from 🇧🇮🔥
Ba&Jo mmeuwa 👊👊🔥
Return of Good R&B bonge moja la nyimbo Good melody , every thing Good
One of the best vocalist in twn
Wewe mwimbaji mzuri kila nyimbo yko kwangu inanikonga ila unadharau sana hicho ndo shida yko
Can't get enough...listening this truck.. What a Hit song ..! Nice one Much love ❤️from Cape Town ❤️
me too
Hii ngoma ungeifanya na msodoki ingekua More best than now,kulingana na sauti ya dogo nzito kiasi.
Amazing song,baraka always the best from🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wewe ni muimbaji mzuri sana, ila mziki wa bongo ukifanya dharau na kujiona wewe ni Bora ya wengine huwezi panda juu
Kenya accepted it💕
Nyimbo imeimbwa kiufundi sana aisee unajua sana yaaan hawa vijama walokuja kwa nguvu za soda hawakufikii kabisa kwa ufund wako
We missed you bro Baraka
Kazi nzuri kijana ukimya wako na maneno ya shombo kwa king hiki kitu nilikitalajia kuwa uko njiani kuachia ngoma yes ngoma nzuri kumweka Jon makini umeuwa kabisa video kali sana 🙌Ivan mdundo wa utu ya king🤔🤔lakini safi
Mike Melo AKA Mr Layan approves this to be a hit song 🔥🔥🔥
Brother ni bola umuombe msamah alikiba maana Sio Kwa ujinga ulioimba
Amuombe radhi ya Nini ? Nyinyi wasenge wasenge ndio mmekaririshwa miziki yenu ya kijinga jinga timu nyoko na timu nyoko. Mwacheni mwana afanye muziki mashabiki wa kweli tupo
Just chilling at Kenya then Boom,,,baraka does that banger was looking for😘😘😘😘😘to 1 million +views
Bonge la Video Bonge ngoma Baraka Tulimiss mziki huu wanao tamani upotee kimziki washindwa kwa uwezo wa alie kuumba na kukujaria kipaji.Tunakupenda sana wale wanao kuchukulia poa achana nao .wakaushie ikiwekana jifanye hata mjinga kwa kuwachora gonga mangoma makali tupia mitandaoni mziki wa sasa unauzwa word wird.!
this man is God gifted. congratulations for an amazing work. vitu zingine ni weakness za kawaida. Keep pushing pushing!!!!!
True bro!
Unajua sana Tatizo una kiburi sana baab,mpaka naona unavyopotea kwenye game.invest kwenye biashara nyingine mapema ushauri wangu