SHUHUDIA DRONE CAMERA ILIVYO NASA MAMBO KWENYE MSIBA WA SHEIKH NYUNDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 521

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 года назад +84

    Hata tulioko qatar tuna huzuni kompoteza kipenzi chetu shehe wetu Lakin mauti ni mlango kila mtu lazima atauingia yarabi mfanyie wepesi maisha yake ya kibri inshaallah mueke nuru katika kaburini mwake inshaallah wape subra family yake wakati huu wa huzuni inshaallah Pole.sana

    • @husseinmrisho6121
      @husseinmrisho6121 4 года назад +3

      Inalilahi wainailaih rajighun alla amlipe janat firdaus allahuma amin.

    • @abdulmalikshariff9867
      @abdulmalikshariff9867 4 года назад

      fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Ameen

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 года назад

      fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin Dua nzuri ila rekebisha hapo ulipo andika kibri badala ya KABURI ili na mimi ni like

    • @abdulrahmanrajab4369
      @abdulrahmanrajab4369 4 года назад

      Amn

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 4 года назад

      Mie nipo Germany pia ninahuzuni sana innalilah wainna ilaih rajuun

  • @faqrudiinmedia8539
    @faqrudiinmedia8539 4 года назад +25

    Amiin yarabii amuweke janatul firdos shikh nyundo

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 года назад +1

      Sio znz hata sisi tulio kuwepo Dubai tuna huzuni sana kwa kuondo kewa na Shekh wetu kipenzi cha Waislam Nyundo Allah ampe kauli thabit

    • @FatimaFatima-bx8ez
      @FatimaFatima-bx8ez 10 месяцев назад

      Amin amin amin 🙏 🙏 mungu am weekend Mahalia permanently peponi 🙏 🙌 ishaallah 😢😢

  • @nassorhamad5225
    @nassorhamad5225 4 года назад +5

    Allah mpoee sheikh nyundo kwa wema msamehe dhambi zake na uweke pahali pema peponi uliko waweka maswahaba wema am in a rabbi amin

  • @Tips____99k77k
    @Tips____99k77k 4 года назад +10

    Namuomba ALLAH amjaalie sheikh wetu pepo ya firdaws na amuondolee adhabu ya kaburi na atupe pia mwisho mwema sisi sote Amiin

  • @halimaothmann2352
    @halimaothmann2352 4 года назад +1

    SubhanaAllah. Kifo cha shekhe wetu NYUNDO kila muislam akiona mazishi yk machozi yanamtoka Allah tupe hatma njema wajawako Aamin😭😭😭

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 года назад +59

    ALLAH amrehemu na amuangazie nuru kaburini kwake,awape subra familia na waislam wote duniani na tunamuomba ALLAH atujalie mwisho mwema waislam wote Amiin IN SHA ALLAH

  • @felixsunga7059
    @felixsunga7059 7 месяцев назад

    Rip sheikh nyudo am a Christian bt really enjoy and follow the teachings of sheikh nyundo

  • @zubedaiwata5792
    @zubedaiwata5792 4 года назад +17

    Inalillah wainaillah rajiuun,,,yaaAllah muepushe mbali na adhabukali ya kaburi aamiyn

  • @sharifamohammad7776
    @sharifamohammad7776 4 года назад +5

    Allah amjaalie pepo ya daraja ya juu kabisa na amghufurie madhambi yake amuepushe na adhabu ya kaburi na akubali amali njema zake....Ameen

  • @NKOLAJUMANNE
    @NKOLAJUMANNE 10 месяцев назад +2

    Mlezi wa viumbe U pamoja nawew wema ulio fanya utalipwa aamin aamin,, nakupenda sana shekh wang

  • @zahraabdi8772
    @zahraabdi8772 4 года назад +3

    Wallahi nihuzni kubwa kuondokewa na shekhe wetu...Allah amrahamu...kutoka Kenya

  • @NassorMohd-lp1dp
    @NassorMohd-lp1dp 10 месяцев назад +12

    Ni miaka mine sasa Tangu Ututangulie ALLAH AKUJALIE KILA JEMA AKHERA ULIKO.

  • @abdulmtitu7478
    @abdulmtitu7478 4 года назад +1

    Mashaallah!!amesema mtume(s.a.w) ukitaka kujua wewe n mtu wa peponi au wa motoni,,tazama watu watasema nini baada ya kifo chako"mashallah sheikh wengi tunakusema kwa mazuri,na tunakudhania ni mwema inshaallah

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 4 года назад +18

    Inna Lillah Wa Inna Illayh Raj'uun! Allah Akupe kauli thabit wewe,wazazi wetu na umma wote wa Mtume wetu kipenzi,Muhammad (S.A.W).Amiin!
    Hard way,but the only way.😥

  • @mwadawasaidi3752
    @mwadawasaidi3752 4 года назад +19

    Nipo USA 🇺🇸 kiukweli nimeumia sana kwa kuondokewa na Shekh wetu kipenzi nilikuwa nikimfatilia kila anapo fundisha ila kazi ya Allah haina makosa tutamkuta uko inshaallah Pmzika kwa amani baba yetu kipenzi cha watu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 года назад +27

    Innalillah wainnailayhi raajiuun Allah amsamehe amakosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia amin nasi atupe mwisho mwema amin.

  • @rehemasalimini5466
    @rehemasalimini5466 4 года назад +2

    Allah amrehemu shekh Nyundo ampe kauli thabiti amlaze mahali pema peponi kwa mawaidha yake yalitugusa sana ndani ya mioyo yetu kweli ametuachia darsa kubwa sana Allah amuangazie nuru katika kabri lake Aamiin

  • @hassankatram5697
    @hassankatram5697 4 года назад +3

    Allah amjalie pepo na amfutie madhambi yake na pia sisi Allah atusameh na atupe mwisho mwema insha Allah....

  • @sulezanzibar7505
    @sulezanzibar7505 4 года назад +7

    From #Moscow Russia 🇷🇺😭😭
    kwaniaba Ya Wazanzibar wote hpa #Moscow tunatoa pole kwa wana family wote,Allah sw amsamehe makosa yake Amiini,daima Tutakukumbuka 😭😭🇷🇺🇹🇿

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 года назад +26

    Ya Allah mwingi wa huruma mpe nuur katika makazi yake mapya nasi utupe mwisho mwema Ammin wallahi tumehuzunika japo tupo mbali nyoyo zinavuja machozi yahuzni

    • @ahmadmadhi8147
      @ahmadmadhi8147 4 года назад +1

      Inna lillaah wa inna ilaihi rajiuun. Allah amghufurie na amjaalie amani na Nuru katika kaburi lke mwisho ampe kitabu chake kw mkono wa kulia. Na sisi atupe mwisho mwema Amiin

    • @PaziTuktuk
      @PaziTuktuk 4 года назад +3

      Sheikh nyundo allahummaghfirlahu warhamhu waskanhu fil jannah🙏mi mkenya lakini nsuguyenu kwa dini 😭😭😭

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 4 года назад +83

    😭😭😭😭😭 Hakika sio znz tu au tz hata ss tulio. Nnje ya Zanzibar nyoyo zetu zime jawa na simanzi Allah amrithie sheikh nyundo.
    Alifanya juhudi kubwa za kheirat.
    Aliwafunza wanawake wengi na ss vijana.
    Allah amjalie awe kwenye furaha sasahiv Allah atujalie na ss atupe wisho mwema.
    Tangulia sheikh nyundo nenda nasi tupo nyuma yako.😭😭😭😭
    Bado tulitaman uwepo wako ila Allah ame kuhitaji.
    Hakika ni pigo kwa wenye Iman.
    Ewe mola wetu tuna kuomba uwalee mayatima alio waacha warahisishie riski zao.
    Wajalie wawe warithi wa elim njema.aaammin.
    Ewe mola wape subra wajane alio waacha warahisishie riski zao ya Allah.

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 4 года назад +3

    INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJICUUN SHEEKH NYUNDO FROM SOMALIA

  • @hajjatbintkhamis8913
    @hajjatbintkhamis8913 4 года назад +3

    "INNA LILLAHY WAINNA ILAYHI RAAJIOUN" Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Allah hakika tutarejea......waliofikwa na msiba tunawapa pole na Allah awape subra waqti huu wa huzuni,,,,mbele yetu nyuma yake

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 года назад +4

    Innalilahi wailehiraju,un Allah amueke mahala pema peponi ameen yarabby

  • @fatmarefai9209
    @fatmarefai9209 4 года назад +1

    Poleni sana familia ya sheikh wetu Nyundo.Mungu awape wepesi kwa huu mda mgumu.

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 года назад +18

    Innalillah Wainnailayhi Rajiun 😭😭😭nyoyo zimejaa huzuni macho yamejaa majonzi Ya Rabb mpokee mjaa wako ya Allah tujaalie n sisi tuliobaki mwisho mwema ya Rabb

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 года назад +1

    Allah amrahamu shekh wetu... sio msiba wa zazibar ni waislam wote kwa jumla ameacha mengi kwa mama zetu dada zetu yani sote kwa jumla

  • @hanifasilima4816
    @hanifasilima4816 4 года назад +5

    Allah amrehemu shekha wetu kipenz ampe qauli thabit atujalie mwisho mwema na SISI ishallah

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg6679 4 года назад +5

    نسأل الله ان يرحمه و يتقبله في جنات النعيم.
    كم أسعد كثير من المسلمين بخطبه القوية و المعبرة . عاش في خدمة الإسلام والمسلمين.
    يعظم الله عزائكم و يصبر أهله و ذويه في هذا الفقد الكبير .
    تحياتي عبدالله من سلطنة عُمان

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 4 года назад +7

    Allah.ampe.makazi
    Mazuri.katika.moja
    Yabustani.peponi
    Amin

  • @hamisihamisi5078
    @hamisihamisi5078 4 года назад +4

    Inna liLlahi wa inna ilaihi rajiuun.Allah amsamehe makosa yake sheikh wetu na amueke mahali pema peponi inshaAllah.

  • @TSUMAKATANA-dj2cj
    @TSUMAKATANA-dj2cj 9 месяцев назад +2

    ALLAH ailaze roho yko palipoa nawema peponi inalillah wainallileh rajiun 😭😭😭😭

  • @aligedi2869
    @aligedi2869 4 года назад +1

    Tukiwa ujerumani ni huzuni kumpoteza sheikh, but ni kazi ya Allah haina makosa, Allah amfanyie wepesi huko, ya rab.

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 года назад

    Hili kubwa has maan dah' sina la kusema kwa kweli .... mwenyez mungu amfungulie milango ya pepo .....sheikh wetu ya rabbi...

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 2 года назад

    twamkumbuka mpaka leo shekh nyundo mungu amuweke mahala pema na wote walotangulia

  • @hamadimuya7248
    @hamadimuya7248 4 года назад +5

    Ina lilallahi waina ilayhi raajioub.May Allah subhanahu wata'ala grant him jannah for the work he has done and may allah have mercy on his soul in sha Allah.

  • @saidmswahili8793
    @saidmswahili8793 4 года назад

    Dawa mpaka kiamaaaa, Allah amlinde, amsameh na amuepushe na fitna za masihi ddajjaal yeye pamoja nasisi aamin aamin aamin

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 3 года назад

    Allahuma ghufrlahu warhamahuu filjannah
    Allah akusamehe madhambi yako in shaa Allah cc tulikupenda Ila mungu kakupenda zaidi

  • @fatmamdidi8108
    @fatmamdidi8108 4 года назад +5

    Allah amsamehe na amrehemu shkh wetu.
    Na ajaalie kaburi lake liwe katika viwanja vya pepo na si katika mashimo ya moto.

    • @salummussa7364
      @salummussa7364 4 года назад

      Allah ampe kauli thabiti sheikh nyundo

  • @ediyngoto1811
    @ediyngoto1811 4 года назад +2

    Allah amlipe kheir In sha Allah

  • @anniyahfacebeat8937
    @anniyahfacebeat8937 4 года назад +1

    allah amrehem, amfanyie wepec kwa safar yake hii. mungu ampe noor kwny kabri lake, ampe pepo kwa rehma zake, afanye kabri lake liwe ni miongon mwa vyumba vya pepo. AMIIN

  • @husseinidris2879
    @husseinidris2879 4 года назад +1

    Ma sha allah.... Allah amlaze pema sheikh wetu

  • @rashidally1211
    @rashidally1211 4 года назад +3

    Yaarabbih ampokee sheikh wetu al maruuhm nyundo

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 8 месяцев назад

    Mja mwema huyu mashallah..Mufti kasalisha..

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад +14

    Allah amuepushe na Adhabu za kaburi, Allah awazawadiye subrah kubwa jamii yake yote

  • @suleimantora3131
    @suleimantora3131 4 года назад

    Shekhe msema kweli katika mambo ya kijamii Allah akulaze pema palipo na wema tutakukumbuka kwa ukweli wako sababu hakuna mashekhe wa kuyaongelea mambo ya jamii kwa kuona haya.
    Inna lillahi wa Inna ileyhi rajoun Poleni sana ndugu zetu Tanzania

  • @sungwizi3390
    @sungwizi3390 4 года назад

    Mungu amlaze pema peponi Amin Yaarabi Njia yetu soote yeye katangulia nasi tupo nyuma yake kila mmoja kwa wakati wake Alhamdulillah

  • @saudaomary9363
    @saudaomary9363 4 года назад +1

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu msamehe mazambi yake

  • @safarikarisa5912
    @safarikarisa5912 4 месяца назад

    Mwenyezi MUNGU Akujaalie pepo kipenzi chetu mwalimu

  • @suleimansaid1570
    @suleimansaid1570 4 года назад

    Allah amsameh ampe makazi mema amee.na ww shekh allah aibar kazi yko na atupe mwisho mwema ameen

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 2 года назад

    ALLAH amjaalie kaul thabit piah atujaalie mwixho mwemaa na cc tuliobak Amiiiin 🙏

  • @LaaajoAlhamdilillah
    @LaaajoAlhamdilillah 10 месяцев назад

    Inalilah wa inalilah ranjuni allah akupe pepo yake rhustaz wetuu

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 года назад

    Inalillahi wainna ilaihi rajiuun,hakika Sheikh Nyundo alikuwa haogopi kukaumiwa kwa hali yoyote ili kuwazindua walio kuwa wamepotea na kumuasi ALLAH.Kiufupi mie sikuona uso kwa uso lkn kupitia simu yamkono,nimejifunza mambo kadha wa kadha juu ya dini yetu ya kiisilamu.ALLAH amjalie pazuri insha Allah🤲🤲🇰🇪

  • @nusurashaban955
    @nusurashaban955 4 года назад +9

    Sheikh nilikuwaa nakupenda kwel kwel

    • @zillarajab7873
      @zillarajab7873 4 года назад +1

      Machozi yamenitika, mungu aiweke nuru katika kabri lake. Na sie atujaalie mwisho mwema Ameen ya Allah🙏🏿

    • @nusurashaban955
      @nusurashaban955 4 года назад

      @@zillarajab7873 Amiin

  • @MohamedMwaita-y4i
    @MohamedMwaita-y4i 2 месяца назад

    Sisi tulio kuwa uku Tanga tumeuzunika sana kuondokewa na sheikh wetu nyundo Allah amjalie Nuru ya milele ndan ya kabur lake🤲😭😭

  • @saheelameir4313
    @saheelameir4313 4 года назад +1

    yarabbi husni lkhatima

  • @fatummsagat5177
    @fatummsagat5177 4 года назад +1

    Napenda sn mawaidha yake, Allah ampe kauli thabit

  • @zalkhsule2617
    @zalkhsule2617 4 года назад

    Innalilah wainnailah rajiun. Allah akulaze mahala pema peponi na sisi atupe mwisho mwema inshallah

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 года назад

    Innalillahi wa Inailaihi ra jiun
    Mimi binafsi katika masehe niliotokea kuwakubari na kuwapenda ile ukweli wa kuwapenda kwa Ajili ya Allah number Moja ni marehemu sheikh Hussein Hassan nyundo.
    Kiukweli nimehudhunishwa sn na ninaeumia na naendelea kuumia juu ya kifo Cha sheikh Hussein Hassan nyundo Ila Sina budi kukubariana na Allah Alipotuambia kuwa kila nafsi itaonja umauti. Namuomea kwa Allah Amrizie mjawake huyo na Kaburi lake liwe viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Allahmma Amiin".

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 4 года назад

    Inalillah wainailllah rajiun.
    Tunaomba Allah wetu mtukufu Subhanah wataala amuweke mahala pema peponi Sheikh wetu mpenzi na kipenzi cha Allah, Inshaallah 🙏 kusema kweli hautasahaulika kamwe kwenye nyoy zetu. mawaidah yako yame badilisha wengi ulimwenguni kote. Allah wetu mtukufu Subhanah wataala alifanye kaburi lako kuwa pepo miongoni mwa pepo Inshaallah 🙏

  • @jumakombo404
    @jumakombo404 4 года назад +1

    Shekhe wetu nenda salama , Allah sw, Amekupenda zaidi, ila hatuwez kukusahau. Na sc tunakuja huko huko, Allah sw, Akulaze mahali PEMA. Amin.

  • @omar96-tz
    @omar96-tz 4 года назад

    Ya Allah amsameh na umrehem sheikh wetu ya rabbil alamiyn

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 4 года назад

    Inalilah waina ilaih rajiuwwn.
    Mungu mpokee Shekh Nyundo kwa mikono yako yenye Kheri

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 года назад

    Mungu akupe kauri thabiti Shekh wetu mbeleako nyuma yetu Amin

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 10 месяцев назад

    Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲

  • @mudiabeid3531
    @mudiabeid3531 4 года назад +1

    Innalillah wainna ilayh rajighun. Allah amlaze pahala pema . Kiukweli msiba umetugusa waislam wote ila ndio mauti ni haki kwetu sote na mauti yanakuja ghafla. Allah atupe khusnu lkhatima.

  • @medysaid1613
    @medysaid1613 4 года назад +59

    Hakika waislam tumeondokewa ni mtu muhimu kwetu zaid wazanzibar Allah amsamehe madhambi yake sheikh nyundo aifanye nyepesi safari yake

  • @saidshuaib7645
    @saidshuaib7645 4 года назад

    INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAAJIUUN Mwz mungu amlaze mahali pama insha allah. Mie niko Iraq ila hata watu wamehuzinika sana kwa kifo cha shekh wetu

  • @cookwithme7470
    @cookwithme7470 4 года назад

    Subhanallah ! Mola amllaze pema penye wema. Ameem

  • @abdubboru860
    @abdubboru860 4 года назад +7

    May Allah grant him Jannatul Firthaws

  • @saadarashid8174
    @saadarashid8174 4 года назад +1

    Innalilah wainnalillah rajiuun brother nyundo my Allah guide you in shaa Allah

  • @thauratmuhamed2218
    @thauratmuhamed2218 4 года назад

    Mungu akueke pema pamoja na wema tunahuzun kubwa maskitiko makubwa tunakupenda sana shekh wetu ila mola wetu amekupenda zaid

  • @halimabakari4174
    @halimabakari4174 4 года назад

    Allah amjalie kauli thabit inshaallah

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 года назад +1

    Subhanallah subhanallah wallah nashindwa la kusema

  • @kibelaame5178
    @kibelaame5178 4 года назад +2

    Amin inshaallah

  • @ghulamjuma2883
    @ghulamjuma2883 4 года назад

    Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi ameen

  • @abuubakarhaji3244
    @abuubakarhaji3244 4 года назад

    Allah msamehe shekh nyundo na ampe makaazi MEMA peponi Amin

  • @ffed1876
    @ffed1876 Год назад

    Tutazidi kumkumbuka kwa daawa zake zenye mafunzo mazuri na Mola amuweke na waliowema waliotangulia Aamin Inna lillahi wainna ileihi rajiun Mola amswameh yy na sie pamoja.

  • @shakilamathe2643
    @shakilamathe2643 2 года назад

    INALILAHI WA INA ILAIH RAJIUN 😭😭😭
    Mungu amuodole zambi. Amuwekeye Nuru kwenye kaburi lake. Amurehemu.

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 10 месяцев назад

    Innalillah Wainnalillahi Rajioooun Allah Ampe Kauli Dhabit

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 года назад

    INNALILLAH wainna ILLAYH Rajiunah hakika kila nafsi itaonja ummaut ALLAH amjaalie Qaul thabit naakuingize katika pepo yake ya firdaus aliangazie nnur katika Qabur lako uwe nimiongoni mwa wema walotangulia mbele ya khaq hakika umeacha alam ambayo niswadaq Jaaria kwa wanawake wakiislam nawanaume pia ulikua ukisisitiza saan stara nakukataza mabaya hakika kwamwenye kuelewa bs atakua amefaidi mmja wapo mimi ntakukumbuka saan shekhe nyundo,,,Rabbi tujaalie nasisi tulobaki mwisho mwema...Aamiin

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 года назад +3

    Allah amlaze pema peponi aameen yarabbi

  • @mwajumalugenja3895
    @mwajumalugenja3895 4 года назад

    Inalilah shehe yundo Leo upon kimy daa! Umaunt! Yaaa Allha tusamehe waja wako na utupe mwisho mwema.

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 4 года назад +1

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun Allah amsameh makosa yake na awape subra wafiwa. Kwa kweli tumeondokewa

  • @sekijajanjatv2047
    @sekijajanjatv2047 4 года назад

    Mungu amsamehe mazambi yake amuweke kwenye pepo yajuu shekhe wetu

  • @wm9669
    @wm9669 4 года назад +1

    Innalillahi wainaillahi rajiun. Good news inshAllah. Jannah tu fardows inshallah

    • @kombomohd4878
      @kombomohd4878 4 года назад

      Allah amsamehe makosa yake amin sheikh wetu nyundo tulikupenda sana lakini mungu amekuita ni Nazi yake allha haina makosa

  • @muniramohammad1788
    @muniramohammad1788 4 года назад

    Innalilahy waina ileyhi rajiun
    Allah ailaze roho yake pema peponi.

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 года назад

    Mungu mjaalie shekh nyundo

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 года назад +8

    yaani mwanangu miaka 6 namuuliza unamjua ananambia namjua yule anatoa mawaida kisha anachekesha namuonesha picha ananambia huyu namjua yaani mpk hivi aaubuh hajaamini km kafa mana kaniuliza maswali kuhusu mtu akifa sahv ananambia yule kafa kweli au watu wanasema tu kwahio hatumuoni tena akisema subhana llah mtto hakuamin km huyu mtu hayupo

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Yaallah tunakuomba tujaalie nasisi tulobakia mwisho mwema amiin

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 года назад +6

    Allah amrehem ampe kauli tabiti 🤲

  • @khatibumagambo1665
    @khatibumagambo1665 4 года назад

    Mungu ailaze roho ya marehem Mahala Pema amen

  • @allymganga3223
    @allymganga3223 4 года назад +1

    Mungu amreem ampe makazi mema kabuli lake liwe limiwangazie nuru

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 4 года назад

    Mashalwa shekh Rashid kwa mawaisha mazuri inalilahi wainailahi ilahi rajiun

  • @nakimanakhadija4329
    @nakimanakhadija4329 9 месяцев назад

    Innalillah wa innalillah rajiuni 😭 Allah amrehem uko alipo Sheik wetu

  • @amirhemed2483
    @amirhemed2483 Год назад

    Allahummaghfirhu warhamhu waaskinhu fil jannah

  • @harunahamis
    @harunahamis 4 года назад +9

    Innalillah wainnalillah rajun twakuomba yarab tupe mwisho uliokua mwema

  • @mtumwenikassim5245
    @mtumwenikassim5245 4 года назад

    Allah amlazeee mahalii pema peponii amiini....

  • @halimaothmann2352
    @halimaothmann2352 4 года назад +10

    SubhanaAllah. Kifo cha shekhe wetu NYUNDO kila muislam akiona mazishi yk machozi yanamtoka Allah tupe hatma njema wajawako Aamin😭😭😭

  • @khalidmudathir7801
    @khalidmudathir7801 4 года назад

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ.
    الله یرحم.