Wakenya wenzangu nawaelewa uchungu yesu sana nakini naomba twende kwa magoti tuombe nchi ipate amani amani ndiyo kila kitu kwa nchi tuwache kwenda kinyume na mungu najua mungu anauwezo waku badilisha nchi siyo vizuri kwenda nakifua tuombe mungu aregeshe kenya yetu tena kwa mapenzi yake,,,kwenda na kifua haisadi kitu, tusiharibu nchi yetu sababu ya watu wanao kuja nakutoka jemeni tuombe nchi,,mapenzi ya mungu yatendeke katika jina la yesu kristo mungu saidia kenya,,, tukichoma vitu tunaharibu nchi yetu sisi wenyewe na hakuna kitu Wakenya wanafaidi mungu saidia kenya 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭

Huku ni wapi,
sasa munachoma waizi wadogo na magovenor wanaiba millions😮 chomeni governors
Hapo kabisa 1:58
Atajua lini watu wamemchoka,afuate ring g
Jifunze kutokuabia watu vyenye kutaenda, movie hua tamu mtu akifuatilia yeye mwenyewe bt sikmshow yenye itahapen lnaixanga ratha bro
Tell us which place is this
Ilikuwa msafara ya kweda wapi
Hapa ni wapi
Nini inaendelea wapi?
Msituone waginga nugu isi, kwan atuoni ii vidio noyakimbo
Bro mjinga ni wewe, wewe nunuaga bundles ujioneage live, this thing happend. wewe ni nugu sana. b updated