ADAM MCHOMVU, B DOZEN KWAHERI XXL | WANAUNGANA NA GEORGE BANTU KWENYE JAHAZI | URITHI WA CAPTAIN
HTML-код
- Опубликовано: 7 май 2024
- Urithi wa Jahazi kwa hisani ya Captain G Habash uliosomwa na Mkuu wa Maudhui CMG, @sebamaganga amesema yeye mwenyewe (Captain) alipendekeza @adamchomvu aungane na swahiba wake @bdozen kuliendesha Jahazi ili lifike Pwani.
Urithi umeheshimiwa!!!
#CaptainWaGemu - Спорт
Kutokea 88.9 mhz Singidanian town , Naomba niyafikishe mawazo yangu mjengoni na mawazo yangu ni kwamba tusiangalie tu kuwapeleka B12 & AD + kwenye jahazi , Jee hatuoni kwamba ndo tunaenda kuiua XXL kwa sababu tumezibeba nguzo kuu zote za chama la wanaa , Mimi nafikiri Josee Mara & James Tupatupa wangefaa sana kuingia ndani ya JAHAZI kwa sababu ni watu wa mastory ya town halafu dawati la LEO TENA libaki kwa msemaji wa maisha ya watu DC MWIJAKU
Uko sawa sana kwa jose mara na James tupa tupa ila kuhusu dawati kumpa mwijaku apana yule baba ni mropokaji sana
@@sallynakey_tz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmezinguua sana sikilizeni ushauri wawa sikilizaji wenu adamchomvu na bi 12 wakiondoka xxxl imekufa na wakienda jahazi imekufa kwahiyo mm naona kwenyejahazi awepo joji bantu. Jose mara. Dj d omi na musahosein
Wale vijana waliokuwa wanasikiliza xxl saivi ndio wanasikiliza jahazi... Wapo makazini.. so wataendana kabisa na maudhui.. saivi dozen au mchomvu amuhoji jaymelody kuhusu mahusiano inakaaje😂😂😂
Jose mara,Musa Hussein,G. Bantu dj ommy
Whater are new sign on jahazi la clouds fm hii ht captain atapumzika kwa amani kabisa hom boys Twangala & Baba Jonii kila la herii wana
Hii iko sawa. B dozen na Mchomvu game ya bongo kitambo na age imeanza kukimbilia kwenye utu uzima japo wanaonekana vijana. So, wapangaji wameangalia mbali. It's good choice
Jose mara,Musa Hussen,G Bantu
George Bantu,Mussa Huisen ,Dj Fety, Paulo Jems Suya
Jmn tuachieni hawa watu kwenye XXL🙏
Hapana bhana msitufanyie ivoo bhana tafteni wengi wa jahaziiii aiseee hapanaaa 😭😭😭
Wanafaa hao sana tu❤
Wangekua b dozen,mussa Hussein na gorge bantu
Musa huseni Jose mara wanafaa kuungana na joji bantu hao wengine waacheni kwny XXL yao
Daaahh at a me imeniiumaaa jamn ilaa ndo familia yetu soteee
Hivi Kweli Barbara Hassani mmeshindwa kumrudisha kweli. V
Tuwekeeni basi redio kwenye dish ya dstv mnakwama wapi clouds!
Nakubaliii
Mimi nashauri George Bantu, Jose Mara, Musa Hussein na Dj Faty
Kati ya hawa..Dj fetty,Mussa Hussein, George bantu, Or Jose Mara kipindi kinamfaa saana..BIG NOOO ADAM kweli mmefikiriaje hapo?????
Feti au babra mmoja wapo angerudi na sam sosaliii hapo mmebugiii sana mmepotea
Sitaki yani sitaki apo pa mchomvu sitaki mbon mnakaua iv mwe, kwan Yan apan adam wang mim jamn mbona ad nalia
Dozen jahazi afanye kifaza aache ubrazameni
Adam muachen
Na bado karma is beach more is coming vibaraka na wanyonya damu za artist
Imekaa Sawa kabisa
yan hapa mmezngua kusema kwel kwa uchaguz huu xxl itapoa xana
Wapi Mussa husein jamani
Adam mchomvu
Ko! XXL itakuwaje naona vinala wote mme chukua
Kwa mm ninavyoona jahaz n kipindi cha watu wakubwa wenye fikra kubwa wenye kuwaza kwa upana zaid czan km watu waliochaguliwa wanafit ktk kipindi hicho dozen,adamu hawafit hk kbs yn laiti ningekuwa mm ningemueka yule mtangazaj w 360 y asubuh pj na masud kipanya
Wanajifanya wanajua sana Clouds na hawakuzingatia maoni yetu ila hao jamaa kwa hawafit kabisaaaaa hata wapewe karne coz vichwa vyao havina madini ya kihabari wana burudani tu, binafsi ni msikilizaji wa Clouds miaka 10 naushee sasa ila sikubaliani na hili n'gooooooooo na nasema kwa mdomo mpana kuwa JAHAZI tayari limezamaaaaaaa😭😭😭😭😭
Ibra kadabla alitakiwa awepo jahazini
Kimataifa hahaahaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Mmezingua mno jaman
Kwani mussa Husseni yuko wapi?
duu ngj tuone
Mussa Hussein mwenyewe huwa hajulkani kani kama n mtangazaji au vip
Yan vipindi viwili vinazama kwa wakati mmja
Hapa Naona Mmefail Seba Adam Kwel Kwann Fetty Asirud Pale Japo Na Huyo Siza Au Unaona Jahaz Inataka Watu Maarufu Zaid Kuliko Ubunifu Na Uelewa Wa Mambo Aswa Ya Nchi Ukiweka Hao Wakina Bdozen Na Adam Ni Tofaut Sana Kwa Iko Kpnd
Xxl inakufa magazine linazama maana mnaweka wa2 sii sehem yao
Labda B dozen ila kwa Adam Mchomvu kwenda jahazi kipindi ambacho hata watu wazima wanasikiliza so kwa Adam bangi nyingi atazngua
heshimu watu na kazi zao #ushauri
Adam mchomvu abaki XXL
Hapo Kwa adamu 🎉niwape hongeraa
kipindi kitawaka moto jahazi wanawekwa vichaa
Hahaaaa