Kuzaliwa kwa Yesu_by Muungano Christian Choir

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @NasieliEmanueli
    @NasieliEmanueli 6 месяцев назад +1

    Ameni

  • @peninahngomo6809
    @peninahngomo6809 3 года назад +3

    Muungano mnakipawa Cha uimbaji enenzeni injiri ya yesu wengi wataokoka amen

  • @stanleymutangili6950
    @stanleymutangili6950 Год назад +2

    Wajameni nyimbo hizi unibariki sana. Mungu na awakumbuke haha waimbaji kwa.kazi nzuri waliotenda. Natamani kipawa hiking. Mchungaji mutangili.

  • @simonmacharia8738
    @simonmacharia8738 Год назад +3

    Leo yesu naomba uzaliwe moyoni mwangu...ili nipate njia ya kupata wokovu,,This song is a dime in my heart...may God bless you all..

  • @emmanuelkaswaka5789
    @emmanuelkaswaka5789 3 года назад +3

    Ujumbe kamili ahsante sana watu wa Mungu

  • @davidwanjala6979
    @davidwanjala6979 10 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri wa uvuvio wa moyo
    Barikiweni sana waimbaji

  • @jackobojackobo2743
    @jackobojackobo2743 Год назад +5

    Ndivyo Mungu anavyopendezwa na uimbaji wa namna hii, sio sasa watu tumegeuka na kuifatisha namna ya dunia ya Leo tukisahau Yale ya mwanzo, tukumbuke kuwa maneno ya Mungu hayatabadilika,japo watu tunajitaid kuyabadilisha Ili yaendane na wakati wa sasa,Mungu awabark na huduma yenu msibadilike .

  • @AlbertKiptui
    @AlbertKiptui Год назад +1

    ❤❤❤ God Bless You Christian Choir, Nitajaribu kuwaalika Hapa Kenya, mniobee tu

  • @MrKasumo
    @MrKasumo Год назад +1

    Mmenikumbusha mbali sana. Jina la BWANA lihimidiwe

  • @samuelmose4776
    @samuelmose4776 Год назад +3

    Muungano I wish the best

  • @josemutiso2059
    @josemutiso2059 2 года назад +5

    Mungu na awabariki watoto wa wa Mungu, kwaherini waliitangulia katika bwana . Nikiwaona wazee hao Kama Amos Ngombo ambaye alitangulia nafahamu ule wimbo "Natembea nikiwa marehemu" Mungu na awalinde.

  • @geoffreyomagwa9506
    @geoffreyomagwa9506 2 года назад +3

    Wote hawa ni wazuri

  • @nancynjoroge-w2u
    @nancynjoroge-w2u 9 месяцев назад +1

    Blessings ❤

  • @KijaSoting-ju7qq
    @KijaSoting-ju7qq Год назад +1

    Good

  • @jakee2041
    @jakee2041 2 года назад +2

    Ameeen. Ameeen. Congratulations for standing firm in presentations of all your Items.

  • @FelisterWatetu-ci9xp
    @FelisterWatetu-ci9xp 10 месяцев назад

    🎉🎉

  • @florencengigi375
    @florencengigi375 2 года назад +2

    I love this music since the '90s.Be blessed.

  • @samsonjuma5618
    @samsonjuma5618 2 года назад +3

    MUNGU apewe sifa kwa ajili ya nyimbo hizo zenye uvivio moyoni...MUNGU AWABARIKI nyote kwa kazi hiyo ya uimbaji.

  • @geoffreyomagwa9506
    @geoffreyomagwa9506 2 года назад +3

    Baba Mungu hawabariki

  • @millicentchege2891
    @millicentchege2891 2 года назад +2

    Great message, keep preaching.

  • @edwinnyaundi5482
    @edwinnyaundi5482 Год назад +2

    Mungu awabariki sana..naomba wimbo wa tunaishi nyakati za mwisho

  • @happynesspaul7553
    @happynesspaul7553 Год назад

    Beautiful song