Jamaa aliyekatwa sehemu za siri huko Embu azungumza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Familia ya mwanaume aliyekatwa kwa kisu na mfanyibiashara wa nyama kule Kutus kaunti ya Kirinyaga sasa inadai haki baada ya mshukiwa kutoroka. Jamaa huyo ambaye angali anapokea matibabu katika hospitali ya Kerugoya anasimulia jinsi deni ya ksh 50 nusura likate uhai wake. haya ni huku wakazi wa aneo hilo wakiharibu eneo la biashara la mshukiwa wakidai haki. na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Chrispine Otieno mshukiwa huyo angali mafichoni.

Комментарии • 28

  • @sylviawambui748
    @sylviawambui748 2 часа назад +9

    Hop pia huyu jamaa atachangiwe venye wamama wengine wanachangiwa,, huyu mwanaume abadilishiwe maisha pia🤩 justice for this man

    • @karutyericscomedies2783
      @karutyericscomedies2783 2 часа назад +1

      Usikue hivo Sylvia the guy is in pains 😂

    • @RebeccaWangeci-t7h
      @RebeccaWangeci-t7h 2 часа назад +3

      Hapo nakusupport, changieni huyu haki, wachaa tuteetee boy child pia

    • @sylviawambui748
      @sylviawambui748 Час назад

      @@karutyericscomedies2783 tukimchangia atapona 🙈

    • @Bru-q3r
      @Bru-q3r 18 минут назад

      Boy child is on his own.

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler 2 часа назад +5

    Huyo muhuni ashikwe, apelekwo kiwanjani akatweko sehemus zakes za nyetis ziwekwe kwa ngunia na apewe kichapo cha ubwa koko.

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 46 минут назад +1

    Sijawaiona unyama kama huu..lakini ninaimani ..anaezajificha polic..lakini haezi jificha mungu

  • @micaangote2138
    @micaangote2138 2 часа назад +7

    Heartless 😢

  • @karutyericscomedies2783
    @karutyericscomedies2783 2 часа назад +3

    Afadhali uachane na mtu kabisa kuliko kumfanyia unyama hivyo😢

  • @babewajeff
    @babewajeff 2 часа назад +2

    Hai 😢😢sasa nini hii...mbona sasa

  • @mercyserem1821
    @mercyserem1821 2 часа назад +1

    Pole baba , pole 😢

  • @JohnKiguru-s2z
    @JohnKiguru-s2z 50 минут назад

    Mbona police wanafanya ivyo watangolewa makende pia 😅😅😅😅😅

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 Час назад

    Kwani watu wamekua wanyama kiasi gani? Juzi tumeona kwa news mtu ameua mwenzake kwa madhabau..Leo 50bob unakata ..mwenzako sehemu za siri..je ukifunguliwa mashtaka ..na koti iamue adhabu ni pia wewe ukatwe yako utasikiaje? Usimtende mwenzako jambo ambalo ukitwenda ..utaona sio Aki...Pole sana ndugu..nakutakia uponyaji wa haraka.

  • @ThaddesusNyaenya
    @ThaddesusNyaenya Час назад

    Shiling hamsini😢😢😢

  • @tabithacharles8545
    @tabithacharles8545 19 минут назад

    Take care of yourself and people around you.lets love each other... devils at work let's pray alot

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 2 часа назад +1

    Jamani hizi ni nn Zina fanyika duniani watu wamefikishana hapa

  • @davismate6999
    @davismate6999 2 часа назад +3

    for 50 bob, unakata transformer ya mwanaume kweli, watu wamerogwa ama nini?

  • @daviinjue1012
    @daviinjue1012 2 часа назад +1

    Kutus ni Kirinyaga na sio Embu.

  • @Janice-x6c
    @Janice-x6c 2 часа назад

    Quick recovery bro

  • @rosalineruguru2816
    @rosalineruguru2816 2 часа назад

    Thanks God they saved him and his testis 😮😮😮..so sorry and may the attacker be arrested

  • @mpendaamani2251
    @mpendaamani2251 Час назад

    But mbona uende nyama na utoroke. Do something when you are ready to face the repercussions

  • @dicksonmurimi3457
    @dicksonmurimi3457 2 часа назад

    it's in kirinyaga not embu

  • @BlessedfavouredmaggieofChrist
    @BlessedfavouredmaggieofChrist 2 часа назад

    💔💔💔😭😭😭😭

  • @UncleJuju-r2w
    @UncleJuju-r2w 2 часа назад

    😬...atleast he's still alive....the perpetrator isnt a normal person...

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 2 часа назад

    😭😭😭😭😭😣😣😣💃💃💃💃💃

  • @MaryNyota-xh9rw
    @MaryNyota-xh9rw Час назад

    💔💔😭😭😭