Kila ninapomiss enzi za ukuaji general mpogo sauti yake inanirudisha mbali sna kifikra,kitu kinanipa furaha ni kuona watoto wa 2000 baadhi yao ni mashabiki wa huu mziki japo hawajawah kuwaona wenye mziki huu.. Nikiwa kama dj Ninaefata dream yangu huu mziki wa uswahilin lazima ndio uwe icon yangu🫡🏆
Naogopa kuchekwa mie najua ntachekwa tu, ameniambia imetoka mashetani yametoa mimba, Daah Juma Mpogo alikuwa na kipaji cha hali ya Juu.
Nakumbuka mbali sana
>>>Hii Nayo Diss track vilevile 🤣😂
Kila ninapomiss enzi za ukuaji general mpogo sauti yake inanirudisha mbali sna kifikra,kitu kinanipa furaha ni kuona watoto wa 2000 baadhi yao ni mashabiki wa huu mziki japo hawajawah kuwaona wenye mziki huu..
Nikiwa kama dj Ninaefata dream yangu huu mziki wa uswahilin lazima ndio uwe icon yangu🫡🏆
Du!kaburini kuna thamani kubwa.mziki wa asili ya kitanzania
Asiliiiiia
Kali sana
2003 ilikuwa moto sana
Naogopa kuchekwa mie
Mwenye ngoma ya Mchawi ndugu ,atupie humu
Ipo kaka imeshaa tupiwa muda2
Noma
🔥🔥
✌Tuwekeeni nyimbo ya juma mpogo inaitwa ujanja wa panya 🔊
tembelea channel yetu ya mnanda & mchiriku tv utapata vitu vyote
Moments 2012
🙌
Simchezo juma mpogo
2024
Nakumbuka mbali sana