Yani kipara, mwanamke kwa kijumba hicho na vimaisha hivyo, ndio akufanye uteseke hivyooooo. Si uondoke. Au unashindwa kuwa na kajumba kama hako! Kwa maisha gaaaani rafiki yangu kipara. Ni bora maisha hayo penye kuku, Gari, vyoda nk...😅😅😅 njooo dar bhana
Naombeni mnieleweshe bwana huyu kipara alisema oro ni oro au oolo in oolo nisaidieni watu wangu afu usisahau ku dondosha like❤❤❤❤
Sandra napenda sana ujasiliwako unacezaga vizuli sana ukomakini nakaziyako
Kipara Mbona sauti unakata sana sio powa
Naitaji kuamungizaiji
Ni danger de mort kipara umegeuza danze demo 😄😄😄😄😄😄😄
😂😂😂😂😂jambazi yuwataka kujambaa😂😂😂😂
Mdada akigusa hii comment namtongoza❤
Kwan wewe unatumia hii movie kutafuta wa kuwatongoxa😅😅😅😅
Ety na mim namshangaaa😅😂😂😂
safii. sana. kipara. kwa. kusikia. kilio. chetu. kazinzuri
Kipara kazi yako iko Sawa na huzisha mwakatobe alfu allow is to download 😂
Mnazngua mnaweka mziki sehem ya maongezii acheni bangi
Kiparaa kimekulambaaaa😂😂
Lakini kipala na mmbea jmn yani kipala nikama kinyonga like kwake😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Raha ya movie ni mazungumzo ila kipara unazingua mziki umekuwa mwingi mazungumzo kidogo , kipara unazingua
kipala kwakwel yupo vizur.anaweza xan kuigizaa , nakuupa mauwa yako
Ila kipara sikuelewi na hicho kizungu😂😂
Ongera sana kaka kazi mzuri
Oro in oro😂😂😂watanzania jamani wachaneni na kizungu,anyway kazi nzuri kipara
Kipara unajuwa❤ sana😊
Oloo ini oloo bwana inapendeza kwakweli
Hongera Kipara kwa kazi nzuri👍
Vipi ile miwani ulio kuo unavaa kwanye Mistek umeacha wap yale yananifuraisha sana😂😂😂😂😂
Huyo mama an D zake mbl, cjui za masom gan mana kakazania
Sophia nakupenda sana we Dada jaman
Mmmmb masaa matatu 🔥
Huyo kipara haachagi unafki dah 😂😂🎉🎉🎉
Kampleti kazi yako ngumu😂😂😂😂😂 askari atakurupuku akupe uwaskari
Kipara anajitahidi hongera kaka umetisha hunaga umbea umbea
Hongeren sana kwa mapambano mimi huwanga napenda mukongorongoto
Natokea Kenya kipara ameharibu kizungu mara Concration ool in ool dah.
Ety asante kaka jambazi😅😅😅😅😅😅😅
Naomba mniajiri kiz
Mimi apa❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweri kunachanangamoto iramnacherewesha sana
kizungu ya watanzania inachekesha tu buree😂😂😂
😂😂😂😂
Afu kweli
Taas mmmmmmmm😊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na jee kiswahili ya kenya😅😅😅
Chiz anajipaka masiz uson jmn😂😂
Kama umeikubali hii kazi gonga like🎉🎉🎉🎉
Kipara na ww unachoma na hicho kizungu kweli eti oro in oro sasa ndio nn jmn😢
All in all😅😅😅
Niny team clam mnafel xana move inaanza paka inaisha hamna uwasilia wa move
Toa ya kwko
😂😂😂😂oro ini oro😂😂😂😂
Mwenyekiti bana😂😂 eti "huna jipya kipara umedoda"😂😂😂😂
Mmh!! ila hawa kwahyo na wew ni mama mbakaji
Aisee kipara mimi nikikuonaga tu naandaaga mbavu zangu 😅
Safi sana wa pili
😂😂😂kaz nzur ila kipara achana na kizungu
Hizi ngoma zenu zinaboa watu wanataka kusikiza maneno munatuekea ngoma zenu munaboa bwana kipara
kipara fanya umuoe
Kipara utatuonesha maneno😅😅😅
Uwaahh mnatumiaga D 2 bahana 😅😅😅
Hongera sana ❤❤❤❤
Kampiti Abby kichwa mumahhh et Nina ndoto kua tajiri namba moja
Nakubali kazi zenu
Kijiji kina2ahucka wale wale kijij hakna ata watt wazee au wa2 wengne m2nz wenu hajui kutengeneza uasilia
Ha😂😂😂 mbona nmejikuta nacheka Sandra mmaaa ,,,,, mi natak. Maj kaigza vizur sanaaa hongeren
Kipara,,, weka misamiati ya kizungu kweye maongezi yako bana
Kipara acha umbea
kipara kazi yako nzuri 👏👏
Ila abby na mambo yakiserikali jamani 😂😂😂😂😂😂😂
Kipala wanaman ushaanza kuwa Pdidy unamwambia zumba eti ni good launch😂😂naijua iyo
Yani kipara, mwanamke kwa kijumba hicho na vimaisha hivyo, ndio akufanye uteseke hivyooooo. Si uondoke. Au unashindwa kuwa na kajumba kama hako! Kwa maisha gaaaani rafiki yangu kipara. Ni bora maisha hayo penye kuku, Gari, vyoda nk...😅😅😅 njooo dar bhana
Uyu albino ni ule anachongoa wakenya
Mu sahau kumpeleka apige picha na mama Samia
Movi nzuri. Mko vixuri
Daaa ilakipara wewe nimnafki sana laa
Nina ndoto yakuwa tajiri number moja duniani
Ni wa uigizaji wa bongo anaenda kujiandaa anavaa ndala na penzi ili akapigane na jambazi
Duniani hakuna wema🎉🎉
NAKUBAL WANANGU MNAJUA SANA
❤
Yaaan basi tu move zenu bola tuangalie wakina kp na zebu na alakey mwambieni huyo vevo atoe bigg boss season 2 ndo tutamuelewa
Kampity mzee watoy😂😂😂😂
Respect braz kipala
anafaha kuigiza
Hiyo English maanina😂😂😂
Movie nzuri saana
kipara kaingia kwenye mfumo 😂😂😂
😂😂😂😂jamani nizuli san lakin uyo mkuu shikamoho 😂🎉
😂😂😂😂siku izi nko busy na mambo ya serekali
Naona kipara ameiva siku izi
Hey please over please kipara nenda English course maana unachekesha kweli kweli😂😂😂😂
Usisahau D2 😂😂😂
Unamtongoza
Kipara huyo
Chumba cha mwenyekiti kimefungwa ungo wa azam Tv
Kama umemkubali mtu wa serikali gonga like
Daaa
Waoooooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😅😅🎉
Ongeleni saana
Mdada atakae like comment yangu awe single
Kipara umbea usiache bhna
Mbona hamna sauti
Your people forever 💃💃
Hiii kali yamwak
Móveis Kali sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Yani kwa kweli nimebaki inje director na writer hawana flow sasa title na scene yenye Iko kwa movie haviendani sasa ni nani ana uliza who I'm surely
butua 😂😂😂😂😂 jamani
Sasa sauti ikwapi nimu sikiye kipala
2:28:42 😂😂😂😂 hapana uongo wamempiga 😂😂😂
Kwani imeishaje😮😮
Mmezingua sauti
Kampiti akili yake bofi 😅😅😅😅
tunataka kuona movie iwekwe free 🆓
Mtowe hii
Movie juu Haina maana hapa