Yona chilolo ~ mwaka huu {official video}

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 699

  • @aviosilona
    @aviosilona 5 месяцев назад +202

    2024, kwa yeyote anasoma hii comment, uwe mwaka wa baraka, chochote umeomba kwa siri Mungu akujibu kwa wazi, miaka yote ililiwa na nzike Mungu akurudishie mara saba sabini barikiwa sana Mteule wa Mungu we confess as we possess sending love from Kenya 🇰🇪 ❤️

  • @user-rg4pq5sk6q
    @user-rg4pq5sk6q 5 месяцев назад +11

    Amen the year of restoration nabarikiwa na nyimbo zako Yona mwaka huu naenda kiwango kingine I believe in might name of Jesus Christ 🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥🔥

  • @francyndunge6440
    @francyndunge6440 5 месяцев назад +5

    Wimbo mzuri ..viwango vingine tunakwenda sisi wenye Imani.Amen

  • @aidamwenda2781
    @aidamwenda2781 5 месяцев назад +3

    Amen maneno Yao tumeyasikia ila tumeyafunika kwenye sufuria na mwaka huu tunakwenda viwango kwa wenye Imani 🙏

  • @agnesmwikali5075
    @agnesmwikali5075 5 месяцев назад +1

    Amina mtumish wa mungu huu dio mwaka wetu wa kubarikiwa kwa yeyote akona imani atapokea baraka,mwaka wa ndoto zangu

  • @user-od2lb5zo3k
    @user-od2lb5zo3k Месяц назад +1

    Barikiwa sana kaka ujumbe mzuri mungu aukuinue viwango zaidi

  • @AnnastaziaMbuya
    @AnnastaziaMbuya 9 дней назад

    Mungu ameniinua kwenye kitanda cha.maumivu na amenipa nafasi nyingine mwaka huu nitakwenda viwango vingine ubarikiwe mtumishi wa.mungu

  • @HellenNyaboke-bz1bh
    @HellenNyaboke-bz1bh 5 месяцев назад +8

    Amen,napenda nyimbo zako from Kenya

  • @dkaanki
    @dkaanki 5 месяцев назад +4

    Wow, I really Love this song, ni wimbo wa baraka na matumaini 2024..🙏🙏🙏.

  • @rudiahosoro8010
    @rudiahosoro8010 5 месяцев назад +20

    Mwaka huu ntajenga in Jesus mighty name Amen 🙏🏿

  • @user-wl1ft2io5p
    @user-wl1ft2io5p 5 месяцев назад +3

    Amina 🙏🙏🙏🙏 Mwaka 2024 nimwaka wakufanikiwa kimaisha yangu kiujumla Mungu naomba nisimamie🙏 Amina 🙏🙏🙏🙏

  • @rosekililo8280
    @rosekililo8280 5 месяцев назад +3

    These is my year,in Jesus name

  • @allanhono
    @allanhono 5 месяцев назад +18

    I claim these prophetic declarations in THE MIGHTY NAME OF HIS LORDSHIP JESUS CHRIST.

  • @DorothyKerubo-lz4cd
    @DorothyKerubo-lz4cd 5 месяцев назад +1

    God bless u from TikTok finally nimepta huuu mwak ni wangu🙏🙏🙏

  • @mathiaskases7836
    @mathiaskases7836 4 месяца назад +2

    Mwaka huu ni mwaka wa kuinuliwa mwaka wa kufanikiwa wenye imani tunakwenda kwenye viwango 2024. Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @salehekabelege9730
    @salehekabelege9730 4 месяца назад +1

    Chilolo unastahili Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉 nabarikiwa Sana nyimbo zako mungu akubariki sana

  • @graceingaitsa6735
    @graceingaitsa6735 5 месяцев назад +2

    2024,,,a great year with viwango vya juu🙏🙏🙏🙏

  • @whitemanwilliam9879
    @whitemanwilliam9879 5 месяцев назад +22

    Bro we love your songs from Nairobi.. congratulations 👏

  • @masiachungwa
    @masiachungwa 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumish Mungu NIMEBARIKIWA sana Bwana aendeleee kukuinua mpaka atakaporudi

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 5 месяцев назад +3

    Hongera sana keep up brother yona ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @annetk5133
    @annetk5133 5 месяцев назад +3

    Amen 2024 it's my year,,,new levels,,and new prosperity,,,Amen

  • @adbellar338
    @adbellar338 4 месяца назад +3

    Mwaka huu namaliza masomo,naendelea na masomo ya faida na nitaomba ni napata kazi ya kudumu itakayo nisaidia mtoto wangu kuanza kusoma na kunijengeya nyumba yangu ya future. Mungu anisimamie mimi mwanzo wa mwaka huu. Amen. Mungu atatenda.

  • @salomechepkemoi2676
    @salomechepkemoi2676 5 месяцев назад +8

    Wauh!such a wanderful song 👍

  • @yonachiloloofficial
    @yonachiloloofficial  5 месяцев назад +26

    Kila kitu kinatoka kwenye ulimi wako... Jitabirie Kwenda viwango vya juu kupitia wimbo huu🙏🙏🙏 ubarikiwe... Naomba share Kwa wengine na ulike

    • @aviosilona
      @aviosilona 5 месяцев назад +1

      Amen ulimi una nguvu sana 🙏🏼 kazi nzuri barikiwa sana neema izidi kuwa nawe

    • @fancymalakwen5045
      @fancymalakwen5045 5 месяцев назад +1

      Amen 🙏

    • @Max-kl8hv
      @Max-kl8hv 5 месяцев назад +1

      Ameeeeen God bless you bro hakika nyimbo zako zinanibariki Tu sana🎉🎉🎉

    • @yonachiloloofficial
      @yonachiloloofficial  5 месяцев назад +1

      Mbarikiwe nyote

    • @millicentakinyi5504
      @millicentakinyi5504 5 месяцев назад +1

      Amen amen amen😅mngu anakutumih sana ili niujube🎉🎉🎉nikweli

  • @janefferkasimu934
    @janefferkasimu934 5 месяцев назад +1

    Such a nyce song ...nashikilia hii this year..2024

  • @faithwangari7583
    @faithwangari7583 4 месяца назад +1

    Wenye imani tunakwenda viwango.... Nabarikiwa nikiwa Kenya❤

  • @cherutoshantel7407
    @cherutoshantel7407 5 месяцев назад +9

    The way I love this song only God knows ❤barikiwa sana chilolo ❤❤🙏🙏🙏

  • @lucynyanchera3936
    @lucynyanchera3936 5 месяцев назад +2

    Hongera sana mtumishi chilolo 🙏🏽🙏🏽🙏🏽kwa wimbo mzuri

  • @JohnsonMpinga-gy5wt
    @JohnsonMpinga-gy5wt 4 месяца назад +2

    Huu wimbo yaani inabariki sana

  • @nellychepkemoi2
    @nellychepkemoi2 5 месяцев назад +3

    What a song 🎵 mwakaa huu 2024 ni mwaka ya double double blessing kwangu

  • @user-mi9mm5jm3l
    @user-mi9mm5jm3l 5 месяцев назад +1

    Nilipewa hii wimbo usiku kama nimelala l know God is going to do wonder's this year hallelluya.

  • @cyprienmanirakiza4735
    @cyprienmanirakiza4735 5 месяцев назад +2

    Wimbo wema sana.tunasikia ndani yao matamko ya imani kabisa.chochote tulichokosa mwaka uliopita lazima tutakipata mwaka huu.yaani ni mwaka wa ushindi na manufaa.Mungu apewe sifa.

  • @user-hn1pj9ut4y
    @user-hn1pj9ut4y 5 месяцев назад +1

    Thank you God bless you kweli mwaka wa 2024 utakuwa wangu niombeeni nimuone mungu thank you yona chilolo God bless you ameeeeeen!!!!!!!!!!!

  • @lillymwalongo1985
    @lillymwalongo1985 5 месяцев назад +1

    Amen ,!Amen mwaka huu tunaenda viwango vingine❤❤❤

  • @user-zb5zn4gp9m
    @user-zb5zn4gp9m 17 дней назад

    MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango zaidi na akupe kumaliza vema ❤🙏🤝🔥

  • @jackympangile-nt3js
    @jackympangile-nt3js 5 месяцев назад +1

    Amen,,ubarikiwe sn wimbo bora wakuanzia mwaka..❤❤❤❤❤❤

  • @veroamuri7711
    @veroamuri7711 5 месяцев назад +1

    Mwaka huu ni mwaka wa mabadiriko kwenye maisha yango . Niko Rdc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 na penda nimbo zako ubarikiwe sana kaka

  • @user-jc8jo2po9g
    @user-jc8jo2po9g 4 месяца назад +1

    Amen mwaka huu tunakwenda viwango kwa jina la yesu

  • @lucymumo503
    @lucymumo503 5 месяцев назад +1

    AMEN 🙏,,huu mwaka nitabarikiwa na kuinuliwa ..nimebeba afya ntaitumia mwaka huu,,kazi ntapata mwaka huu katika jina la yesu🙏🙏

  • @chadracknimbabazi5246
    @chadracknimbabazi5246 5 месяцев назад +2

    Mtumishi nanjengwa na ujumbe wako kupitia nyimbo zako mwenyezi Mungu azidi kuibariki kazi yako

    • @yonachiloloofficial
      @yonachiloloofficial  5 месяцев назад

      Ameen... Ubarikiwe nisaidie ku share hii link na wengine wabarikiwe Asante

  • @user-qj3fr6ot2g
    @user-qj3fr6ot2g 5 месяцев назад +1

    Amen najitabiria viwango vya juu😊😊

  • @paul-cb1yt
    @paul-cb1yt 4 месяца назад +1

    The best news year song so far tunapanda maze barikiwa sana chilolo ndugu yangu

  • @eddabalama3332
    @eddabalama3332 4 месяца назад +1

    Nabalikiwa sana na nyimbo zako Mungu akubariki sana

  • @sarahbuluma9837
    @sarahbuluma9837 5 месяцев назад +2

    Ameeeen hallelujah Glory 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 kweli kabisaa 🤗

  • @florahirene9690
    @florahirene9690 5 месяцев назад +1

    Amen,,,,we have alot of faith that 2024 is a year of change....

  • @mathewleonard8973
    @mathewleonard8973 5 месяцев назад

    Nami nasema mwaka huu Ni mwaka wa kufanikiwa katika biashara yangu ya forex ,Nina imani hiyo .Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @NaomieMasoka-xp4ob
    @NaomieMasoka-xp4ob 4 месяца назад +1

    Ni mwaka wa kurejeshewa baraka zote zilizo liwa na n’nge 🙏🙏

  • @michaelkakiuki1850
    @michaelkakiuki1850 5 месяцев назад +15

    Just saw a clip on tiktok and its the best song for me, will be coming back here kila siku,this will get to million views before the year ends 💯, amazing song,
    Blessings

  • @MwamikaziGentille-ke3mq
    @MwamikaziGentille-ke3mq 5 месяцев назад +2

    Ubarikiwe sana kaka yangu ❤

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 4 месяца назад +1

    Amen amen , utukufu ni Kwa mungu

  • @Dhore-jb5pb
    @Dhore-jb5pb 5 месяцев назад +1

    Ameeeeen❤❤🙏🙏🙏 mwaka huu wa 2024 si wa kulialia sitaki hushuni na mtu yeyote nataka furaha mwaka huu 2024

  • @nyakoboke
    @nyakoboke 5 месяцев назад +1

    Amen ❤❤❤❤❤❤happy 2024 thank you 2023

  • @barbrabiwot7287
    @barbrabiwot7287 4 месяца назад +2

    Be blessed alot your son's always gives me 1000 reason to smile🙏🙏

  • @marymuindi785
    @marymuindi785 5 месяцев назад +1

    2024 the year of restoration so God help me

  • @faidasikabwe1530
    @faidasikabwe1530 5 месяцев назад +1

    Amen nimebarikiwa Sana Mungu mkuu akuzidishiye Amen

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 5 месяцев назад +1

    Kali hii keep it up bro chilolo,mm n shabiki wako mkubwa toka Kenya 🇰🇪 pia muimbaji wa injili

  • @sherylmilowa1907
    @sherylmilowa1907 5 месяцев назад +1

    Sijui kutakuaje 2024 lakini tumaini yangu iko pale pale kwa aliyeniumba Mwenyezi Mungu hakuna linalo mshinda 2023 haikuwa rahisi kwa mkono wake amenibeba namshukuru.ubarikwe sana mtumishi kwa kweli tunakwenda viwango, kupitia huu wimbo nimegain ki roho na hata kimwili

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 4 месяца назад +1

    Yuuuuuumungu wangu❤❤❤amen amen amen amen saaaaaaan kwer

  • @PURITYPAUL-ls9io
    @PURITYPAUL-ls9io 4 месяца назад +2

    Nitapokea kazi katika jina la yesu

  • @nancyondieki4361
    @nancyondieki4361 5 месяцев назад +1

    Barikiwa sana my brother nice song 🙏🙏🙏🙏

  • @joycemomanyi6045
    @joycemomanyi6045 4 месяца назад +1

    Mwaka huu hata mimi lazima nitagawa pesa katika Jina LA yesu

  • @neemanyudike2320
    @neemanyudike2320 4 месяца назад +1

    Amen Amen. Mwaka huu mibaraka teletele😂😂❤❤

  • @user-qj5yj5fb3o
    @user-qj5yj5fb3o Месяц назад

    Ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zinafundisha hakikaa

  • @magrethmodest-yp6fg
    @magrethmodest-yp6fg 5 месяцев назад +1

    Ubarikwe sana Kwa ujembe mzuri 🎉🎉🎉

  • @ceciliawanga1248
    @ceciliawanga1248 4 месяца назад +2

    Wenye imani ya kibossboss ❤🙏

  • @mariasintamutajwaha1700
    @mariasintamutajwaha1700 5 месяцев назад +1

    Amina sana 2024 ,viwango hivyo

  • @carolynndanu9477
    @carolynndanu9477 5 месяцев назад +2

    mwaka wa kubadili historia na kuondoa aibu

  • @elijahgichumbi9971
    @elijahgichumbi9971 5 месяцев назад

    Kazi naipata, naoa na kuwa na familia na mafinikio katika jina La Yesu Kristo

  • @user-cm3hc8ew8c
    @user-cm3hc8ew8c 5 месяцев назад +2

    Blessings brother 🙌 sentensi ya mwisho inasema aje,wenye Imani......................

    • @janefferkasimu934
      @janefferkasimu934 5 месяцев назад

      Wenye imani tunakwenda viwango....

    • @user-mz4ws7vj4z
      @user-mz4ws7vj4z 4 месяца назад

      ...those with faith will to move into another stage

  • @Emilymwikya-ns8uq
    @Emilymwikya-ns8uq 5 месяцев назад +1

    Amen, nyimbo zako unibariki sana . Mwaka huu 2024 mwenye imani tunabarika na kuinuliwa

  • @simonkitendeikoxawa9387
    @simonkitendeikoxawa9387 5 месяцев назад +2

    Amen 🙏🙏,,may God bless you abundantly,,, amazing song

  • @zamdamwaipopo8064
    @zamdamwaipopo8064 5 месяцев назад +1

    Amina mtumish wa mungu nitafaniki❤❤❤❤❤❤❤

  • @loviewalter
    @loviewalter 5 месяцев назад +1

    Jamani am so blessed with this song
    Yani nausikiliza Bila kuchoka yani
    Be blessed YONAH🙏

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 4 месяца назад +1

    🙏🏽 🙏🏽 wimbo mzuri sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 месяцев назад +3

    Mim Muslim Lakin napenda Sana nyimbo zako Sana ❤❤❤❤

  • @jamesmwangi1793
    @jamesmwangi1793 4 дня назад

    This so blessing, may God take you to heights. Umenibariki sana na huu wimbo mtamu hivi

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 5 месяцев назад +1

    Huu kila saa nilikuwa nausikiliza ubarikiwe sana nafatilia kila nyimbo zako upo vyema sana kaka mungu azidi kukuinulia zaidi kipawa hicho aliokupa

  • @pendowagodfreykacholi1717
    @pendowagodfreykacholi1717 Месяц назад

    Amina amina mwaka huu hakika ni mwaka wa viwango vingine Yona, amina

  • @PURITYPAUL-ls9io
    @PURITYPAUL-ls9io 4 месяца назад +1

    I believe all shall be well this year in Jesus name

  • @andeyooo
    @andeyooo Месяц назад

    The message in your songs 🙏🙏... always following and listening them.na yesu wetu tunamsoma kwenye bibilia uweuh 🤗🙏.

  • @user-qh2ij4sj1j
    @user-qh2ij4sj1j 5 месяцев назад +1

    ❤🎉 congratulations 🥳👏👏👏 me already nimeanza kufunguliwa huu wimbo kutabiri ❤❤

  • @therezapantaleo467
    @therezapantaleo467 5 месяцев назад

    Mwaka huu nakwenda viwango vipya mm pamoja na familia yangu kwa jina la Yesu.

  • @Janetka3265
    @Janetka3265 5 месяцев назад +1

    Napokea Imani kubwa namafanikio idumuo mwaka huu 2024 Wooow wonderful 😊 msg video nzuri kweli mungu Akuinue zaidi nakuombee kibali mtumish ..we love you by the grace of God 🎉❤

  • @CarolyneOirere-gl1xr
    @CarolyneOirere-gl1xr 5 месяцев назад

    Amen 2024 by fire by force in Jesus name 🙏

  • @user-ks7zc6kd7u
    @user-ks7zc6kd7u 4 месяца назад +1

    Nupenda huu wimbo unaninuua viwango vingine❤

  • @njeriwilliam3016
    @njeriwilliam3016 5 месяцев назад +5

    Congratulations Sana mtu wangu.... Ujumbe ni mzuri na video iko poa. Kila mtu anabarikiwa Sana, I promise next video ukifanya nitatoa garama zote mimi.. Ntakutafuta mtumishi barikiwa Sana.

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 5 месяцев назад +1

    🕺🕺🕺💫💫viwangooo nimefikiaa

  • @maureenfranke6548
    @maureenfranke6548 5 месяцев назад +1

    Omg can't wait lyrics

  • @roserashidi3619
    @roserashidi3619 5 месяцев назад +1

    Ameeeeen ❤❤ hakika ni mwaka wa kufanikiwa

  • @jipambe2766
    @jipambe2766 4 месяца назад

    Very encouraging. God bless you servant of God. Ukija malindi nitafute nikukaribiahe kanisani mwetu msabaha

  • @elizaavira
    @elizaavira 5 месяцев назад +1

    Kwaka huu mungu nibariki nifanikiwe

  • @ShadrackWanyonyi-rp5bp
    @ShadrackWanyonyi-rp5bp 5 месяцев назад +1

    Kazi poa mungu akumbuke 👍👏🤲🙏

  • @hellenchepkemoi7730
    @hellenchepkemoi7730 5 месяцев назад +1

    Amina ndugu na barikiwa sana na nyimbo zako.

  • @juliemagawa8564
    @juliemagawa8564 5 месяцев назад +1

    Barikiwa sana make ww ni baraka kwetu❤ ubarikiwe sana Tena zaidi ya sana ❤❤

  • @Daizyjepkosgei-dn7vl
    @Daizyjepkosgei-dn7vl 3 месяца назад

    I'll not surrender until I see the presence of God

  • @janelizawangechi1567
    @janelizawangechi1567 6 дней назад

    Wooow amina.... getting blessed from Kenya

  • @Jeph_Theo
    @Jeph_Theo 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana Yona, kazi nzuri ya imani🙏💯💯💯

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 5 месяцев назад +1

    Amina jitabirie mema maana kinywa kina nguvu.

  • @pastordavidambani7773
    @pastordavidambani7773 5 месяцев назад +1

    Amen my brother keep it up more blessings ❤

  • @FfFf-yb9cp
    @FfFf-yb9cp 5 месяцев назад +4

    Be blessed my brother with your nice and powerfully song may god bless you so much ❤❤❤🎉