Jmn! Had raha! Nakupendeje Lissu kwa kua na kumbukumbu! Mie furaha angu unapontajia watu wa wakat huo ambao nafkr kuptia kumbukz zako kuna watu wanapata kuwajua wakawa kzn hv! More respect 2 Lissu
Lissu ni daraja nyingine, wenye akili ndogo kama wewe, kuishia kunukuu propaganda za CCM na wasioweza kujibu hoja zake. Lissu ni mzalendo,asiye na shaka na asiyetia shaka, kutokana na historia yake ya kuwapigania wanyonge toka ujana wake. Lissu hainunuliki,akili yake ni zaidi ya pesa.
KKKT Wana jifunza sana mambo ya Maisha ya Kila siku. Kama Bibilia Inavyowaagiza kwenye Mithali 4:13: ' Mkamate sana Elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako'. Ndio maana wanafanya mafunzo tangu zamani kama alivyo eleza Lissu. Na Baba askofu alimuona kipaji chake, ndio maana akamuita aje afundishe! Na akaona ana kipaji Cha Uongozi, akamshauri agombee!
MWAMBA HUYU HAPA ❤❤❤❤❤❤❤
Dah ila Lissu ni mtu mmoja mwenye akili nyingi sanaaaa
Mheshimiwa umeongea vizuri sana you are very calm
My future president ❤
Huyu jamaa ana akili sana
Wewe ni bora sana lissu
Jmn! Had raha! Nakupendeje Lissu kwa kua na kumbukumbu! Mie furaha angu unapontajia watu wa wakat huo ambao nafkr kuptia kumbukz zako kuna watu wanapata kuwajua wakawa kzn hv! More respect 2 Lissu
Mungu akubariki na ushinde urais
Hakili kubwa Sana lissu
Akili kubwa sana Mh Lissu
Endelea mtoa taarifa mkuu
Unatumia mavi kichwani kufikiria hujielewi.
Hufai lolote wewe lissu. Ni kibaraka na Ni mtu mwenye kujitukuza na kiburi kingi.
Lissu ni daraja nyingine, wenye akili ndogo kama wewe, kuishia kunukuu propaganda za CCM na wasioweza kujibu hoja zake.
Lissu ni mzalendo,asiye na shaka na asiyetia shaka, kutokana na historia yake ya kuwapigania wanyonge toka ujana wake.
Lissu hainunuliki,akili yake ni zaidi ya pesa.
Stanslaus wewe ni takataka
wewe mujinga sana
Ongela sana jembe letu
Kwani huyu si aliugua uchizi hivi juzi tu
Kumbe kkkt ndiyo walikuwa nyuma yako
KKKT Wana jifunza sana mambo ya Maisha ya Kila siku. Kama Bibilia Inavyowaagiza kwenye Mithali 4:13: ' Mkamate sana Elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako'.
Ndio maana wanafanya mafunzo tangu zamani kama alivyo eleza Lissu. Na Baba askofu alimuona kipaji chake, ndio maana akamuita aje afundishe! Na akaona ana kipaji Cha Uongozi, akamshauri agombee!