Hongera sana padre Kitima. Kanisa lazima lisimame Imara ktk kutetea hali za watu. Huo ni uinjilishaji toka kipindi cha Yesu...sisi ni mitume wa Yesu. Tusimame Imara ktk Kristu
Ongela sana baba pradir unaongea ukweli mazehebu mengine. Niwoga au nimachawa kwasabu sasaivi uchawa mpaka kwenye mazehebu ambapo ikiona ivo ni atali sana.
Watanzania tuamkeni acheni kulala Kama maziwa ardhi haiongeziki watu tunaongezeka iweje mbuga zote hizo ziwapelee wache kuturuga Tena waishie hapo Rais Kama unaakili timamu achana na mpango wa ngorongoro Taifa letu tunalipenda usituletee vita Taifa letu bado changa sana
Huyu anae wakosoa maasikofu anasahau kuwa nao ni wananchi kama walivyo wengine wanapoona viongozi wanafanya ya kuumiza watu,wewe unaona wakae kimya haiwezekani
Sasa Mimi ni mkatiliki mana huu ndio ukrito kuwatetea wanao onewa bila uoga baba uishi miaka mingi sio wachumia tumbo akina mwamposa na wengine wanafanya dini biashara
Tunalishukuru sana Kanisa Katoliki Kwa Msimano wao : Je Mathehebu au Dini nyingine mnasimamia wapi. ? Au ni huo unaitwa UCHAWA tuu Ali hali sisi ni wamoja ? Tusiangali miguu yetu imesimama wapi bali angalia inakwenda kutua au kukanyaga wapi Kwa maana ya Wajukuu na vitukuu !! ( Hii ni Shida ) "
Catholic church is the religious with the has capacity of understand things in wise catholic charch to reject ccm dimand pulling catholic charch from Loliondo catholic charch refiuse that is the good disition of tanzanian roman Catholic church stick on point because ccm leadership it has been saround by coruption politician who don't value Tanzania population only money from forenor country crubing Tanzania resources without consider Tanzania population in Loliondo

Safi padr kwa kujitoa kwa kuapamoja na wamasai❤🎉
Sante sana fr, wetu
Santii Sana mutumishi wa Mungu ubarikiwe Sana
Mungu akuweke baba
Ahsante sana fr, wetu
Ongela sana baba pradir unaongea ukweli mazehebu mengine. Niwoga au nimachawa kwasabu sasaivi uchawa mpaka kwenye mazehebu ambapo ikiona ivo ni atali sana.
Waache watu wale wahish
Kula hakupiti mumeshakur
Sana
Nyerere aliacha viwanda. Wameuza kila kiwanda.
Hakika RC ndo kanisa ambalo haliwezi kukaa kimia wanapo onewa watu tofauti na.wengne
Tungekuwa na viongozi wa dink wenye uelewa kama wako tungekuwa mbali
Hivi mnawatukana viongozi wa dini kisa wanawasemea wanaoonewa mnataka nani awasemee? Au hamjui maana ya imani na kazi ya watumishi wa Mungu!
Watanzania tuamkeni acheni kulala Kama maziwa ardhi haiongeziki watu tunaongezeka iweje mbuga zote hizo ziwapelee wache kuturuga Tena waishie hapo Rais Kama unaakili timamu achana na mpango wa ngorongoro Taifa letu tunalipenda usituletee vita Taifa letu bado changa sana
Huyu anae wakosoa maasikofu anasahau kuwa nao ni wananchi kama walivyo wengine wanapoona viongozi wanafanya ya kuumiza watu,wewe unaona wakae kimya haiwezekani
Wamasai kaa kwa amani kabisa. Hatuna imani na mahakama kwa sababu ni mahakimu ni wacha wa chama cha CCM.
Sasa Mimi ni mkatiliki mana huu ndio ukrito kuwatetea wanao onewa bila uoga baba uishi miaka mingi sio wachumia tumbo akina mwamposa na wengine wanafanya dini biashara
Mahakama zimeingiliwa nasiasa haki wanapewa ccm bas wengine wote hawanahaki
Tunalishukuru sana Kanisa Katoliki Kwa Msimano wao : Je Mathehebu au Dini nyingine mnasimamia wapi. ? Au ni huo unaitwa UCHAWA tuu Ali hali sisi ni wamoja ? Tusiangali miguu yetu imesimama wapi bali angalia inakwenda kutua au kukanyaga wapi Kwa maana ya Wajukuu na vitukuu !! ( Hii ni Shida ) "
Catholic church is the religious with the has capacity of understand things in wise catholic charch to reject ccm dimand pulling catholic charch from Loliondo catholic charch refiuse that is the good disition of tanzanian roman Catholic church stick on point because ccm leadership it has been saround by coruption politician who don't value Tanzania population only money from forenor country crubing Tanzania resources without consider Tanzania population in Loliondo
Maaskfu mmejiingaza kwenye siasa mtadaiwa kwa aliye watuma
Pole sana
Daa,nikikumbuka kifo Cha Dr.Mvungi nahisi kulia.
Kaka damu isiyo na hatia mvungi
Mvungi punzika kwa amani baba
Dr.senkondo mvungi, daa, kisangara juu.Yule jamaa alikuwa kichwa
Tete wanyuge baba hawana wa kuwa semea
😂😂😂😂😂 uchumi umeshuka sana pesa haina thamani ,huwezi kuongoza nchi kwa kutegemea mikopo ,hii nchi ina rasilimali nyingi sana ila uongozi mbovu
CCM MMMHHHH. !!!!!!
Huyu raisi ameleta mambo ya hovyo ambayo watangulizi hakuyafanya hayo
MNAMVIMBISHA KICHWA BURE.