Kauli ya Padre KITIMA 'CCM WANAIBA KURA' yajadiliwa Bungeni, Spika aingilia kati 'atajibiwa kisiasa'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 711

  • @faustinesamani6359
    @faustinesamani6359 2 года назад +26

    Tangu lini jizi likakubali ukweli kuwa nijizi sugu mpaka libanwe kende.

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 2 года назад +14

    mmeambiwa kweli ili mfike mbinguni vinginevo mtaishia njiani mungu awape kujiewa

  • @vitusmapunda6691
    @vitusmapunda6691 2 года назад +14

    Msameheni, Huyo Deo sanga hata Sec.hakufika.

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 25 дней назад

      Yaani ukweli mtupu ndg Mapunda .Halafu ubaya huyu Speaka anatetea upuuzi wa Mbunge Deo .Elimu ya huyu Padri na Mdee ni ya Kiwango kikubwa na kizuri mno. Na Wanaonyesha weledi wao kila dkika katika hotuba zao .
      Ndio maana Nchi ytu inabidi ibadilishe sifa za wabunge at least mmbunge awe na sifa ya Chuo Diploma au Degree ya CHUO. SIO DEGREE YA KUNUNUA.

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 2 года назад +21

    Hongera father Kitima, kiongozi wa dini mwenye kusema ukweli wa kisiasa, anayesema ukweli bila uwoga

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад +19

    Halima Mdee nimekupenda bure. Hongera dada 👌

  • @onesmohmasuka3720
    @onesmohmasuka3720 25 дней назад +9

    Hata mimi nakubaliana na Kitima.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 2 года назад +10

    Thank you pastor, no research no right to speak.

  • @gracehaulemungubabafanyaki4028
    @gracehaulemungubabafanyaki4028 2 года назад +26

    Mtumishi wa Mungu usiogope sema ukweli hao CCM ni majizi sana

  • @LiboriTereba
    @LiboriTereba 25 дней назад +11

    Kweli fr msemakweli ni Mpenzi wa Mungu

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 года назад +17

    Ni kweli mnaiba kura Hata hivyo mnayemtuhumu alijua yatawaudhi

  • @gregoryogweyo4598
    @gregoryogweyo4598 16 дней назад +9

    Mwizi hakubali kuwa kaiba

  • @StewartUkason
    @StewartUkason 22 дня назад +7

    Asante Halima Mdee.

  • @Afsa-z2v
    @Afsa-z2v 3 месяца назад +10

    HamjawAh kushinda Banana wezi sana kitima hupo sawa

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 года назад +22

    Tulimwomba Mungu kwamba yeyote atakayeiba kura na afe😭😭😭😭😭

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 года назад +17

    Fr Asante kwa ujumbe huu

    • @theresiakaruhanga364
      @theresiakaruhanga364 2 года назад +2

      Fr alichokionge kibaya ni kipi? Kasema ukweli mtupu hongera sana kwa ushupavu

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 21 день назад

      Wee Mzee huna akili Nyie mnaiba kura Kwani uongo? Mf saizi mnakata Majina ya wapinzani Mbona hili liko wazi Mzee Jah People?! Nyie Ccm Hamtaki kushindana na Chadema Mnataka kubebwa, Na Usivo na Akili Ona ulivohama?

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 9 дней назад

      Halima wewe ni jembe

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 23 дня назад +6

    Weziiiiiii kweli muogopeni Mungu

  • @vicentmigodela190
    @vicentmigodela190 2 года назад +35

    Jinga kabisa hili, eti tumeshinda kwa kishindo🤭🤭🤭 halioni hata aibu Bora hata ungenyamaza.hata wenzio watakua wanakushangaa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 18 дней назад +5

    PADRI KITIMA AMESEMA KWELI TU,

  • @rabielulomi6716
    @rabielulomi6716 2 года назад +20

    Padre umesema Mungu akubariki tena umeongea with authority.

  • @genardmkude9598
    @genardmkude9598 2 года назад +9

    Unajifanya ujui au unajitoa ufahamu

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 2 года назад +14

    Mdee umetisha sana .

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 24 дня назад

      Ungekuwa muislam ningekuapisha halafu tukaona J4 mpk J4 ukivuka hapo kama hujafa ningekubali kufa mimi

    • @romanilyimo
      @romanilyimo 24 дня назад

      Kwahiyo nyie Mungu wenu kawapa dua ya kumuomba huyo Mungu wenu kwamba amuue mtu kwa sababu ni wa Imani nyingine siyo?😂😂😂 hi hatari sana na Imani yako. ​@@isaliisu3408

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 2 года назад +13

    Ww... mwenyew.. Tulia.. umepita kwa kuiba Kura

  • @FridaRemtula
    @FridaRemtula 18 дней назад +4

    Well sayed, i wonder Mp he is panicking from such a wisdom Man.

  • @silasponeka1773
    @silasponeka1773 2 года назад +23

    Padri uko sawa

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад +8

    Nawashangaa wabunge hawa wasiojielewa

  • @AdonaiFredy
    @AdonaiFredy 3 месяца назад +6

    Shalom!unabishana na watumishi w Mungu,Mheshiwa kwa uongo huo,next bunge hauta kuwemo.

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 21 день назад +1

      Huyu Mzee Hana akili Hataivo Jimboni kwake anataka kugombea Chongolo, Hiki Ki Spika Ovyo kabisa

  • @OscarBethel
    @OscarBethel Год назад +4

    Kwani niongo sinnaibaaga kura wachakujidanganya wananchi wanajua mliiba kura

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 2 года назад +6

    Jitafakari baba na Mungu akusaidie

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 3 месяца назад +5

    Mwogope Mungu na uwe na hofu ya Mungu.viongozi wa dini kazi yao ni kukemea maovu .

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 20 дней назад +3

    nakuombea PADRI umefikisha ujumbe mbashara....🇹🇿🇹🇿🇹🇿 MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.....

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 22 дня назад +3

    Dr.Kitima hongera Sana, umewatoa panya waliojificha kwenye shimo, hampendi ukweli lakini ndo huo.

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 2 года назад +13

    Kwenda Ng'ombe wewe, uwezo wa kushinda bila kuiba kura huna wewe !! Kwa hoja hiyo huwezi kushinda mpinzani.

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 2 года назад +15

    Hamuwezi kugombanishwa kwasababu hao wananchi wanajua kura zinaibiwa

  • @SaidKiganga-i3c
    @SaidKiganga-i3c 3 месяца назад +3

    Nchi yetu ingekua nawatu 20tu kama Hawa ingebadirika sana naingesonga mbele sana ,mungu akubariki father unatimiza wajibu wako wakusimamia haki nakweli,niuongozi uliotukuka

  • @tolutolu2970
    @tolutolu2970 2 года назад +9

    Sura ngumu Kama kweli

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo 24 дня назад +4

    Mdee point. Siyo. Hilo lamakambako hakuna kit

  • @GwakiKapyoka
    @GwakiKapyoka 18 дней назад +7

    Uko vizuri Sana padre

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 13 дней назад +1

    Majizi hayawezi kukubali kwamba yanaiba zaidi ya kutetea mitumbo yao Bungeni huku Wananchi maskini wakiteseka! Hili lichawa nalo hovyoooo kabisa!!! Asante Fr.Kitima kwa kuongea ukweli, asante Halima Mdee kwa kuongea vyema kumkosoa huyo chawa!

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 Год назад +5

    Nyie n Majizi Hilo linajulikna

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 2 года назад +7

    Jamani huyo mbunge ccm na ikulu mpuuzeni tu, maana hata mkiona ukweli ni kwamba huyu MTU asiye na hofu Mungu! Hana maana wala hana sifa ya kumkosoa Padre Charles Kitima aliye mzidi pakubwa zaidi Elimu.

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali2449 20 дней назад +3

    Father uliongea vizuri sana

  • @godfreymjuni3420
    @godfreymjuni3420 26 дней назад +2

    Hata mungu anajua mkivyoiba ni kweli . Ila kwa kuwa kuna usatani huwezi kukibali . Ila ukweli upo pale pale wizi upo wazi

  • @EssauMalangalila-e8b
    @EssauMalangalila-e8b 4 дня назад +1

    Hongera mdee cha dema akili sanaaaa

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 22 дня назад +1

    Asante Mungu kwa utukufu wako na kuonyesha ukuu wako weka utiisho kwa wasio itakia mema Taifa lako

  • @juhudijotham888
    @juhudijotham888 2 года назад +16

    Kapumzike huna hoja,hisia zako za uongo,Kura zinaibwa unakataa nini,

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 3 месяца назад +2

    Chukua maua yako 👏👏👏🙏🙏🙏🇹🇿🌹🌹❤️

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 8 дней назад

    Hilo ni haki wizi unakwenda kumwaga damu Wala siyo unabii unaodhaniwa,mpaka madhabahuni wizi upo mia kwa mia,tutubu tu kupona Taifa la Tanzania, pia wacheni kutumia madhabahu na kusema Mungu amewaonyesha.Amen

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 25 дней назад +7

    Asante father kitima

  • @michaelchombo9764
    @michaelchombo9764 2 года назад +15

    Mwongo mkubwa,unakumbuka raisi aliagiza wakurugenzi wasiwatangaze wapinzani kuwa washindi

  • @ShandaDaudi
    @ShandaDaudi 11 дней назад +1

    Kura mnaiba kila mwaka wa uchaguzi Siku ipoooo

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 11 дней назад +2

    Mwizi hawezi kukubali siku zote

  • @samwelizetii4479
    @samwelizetii4479 20 дней назад +2

    Kama hamkuiba Mungu ataamua na kila kitu kitawekwa wazi

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 2 года назад +5

    Naamini waliokupigia kura hawatakupigia kura tena.

  • @nicholausalois6387
    @nicholausalois6387 2 года назад +9

    Jamani kinawauma sana kwani nikweli ccm niwezi wakura

  • @NestoryPapaaMusoffe
    @NestoryPapaaMusoffe 11 дней назад

    Well done Fr. Kitima, you are very right Halima.

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 года назад +3

    Viongozi wa kiroho wanahaki ya kuikosoa serikali lakini na wao wawe wanakubali kukosolewa. Hao wanaoiba kura kama wapo ni sehemu ya waunini wao ambao ni ushahidi kuwa Dini zimeshindwa kuwalea kimaaadili hao waumini. Hawana tens hofu ya Mungu. Baadhi ya Viongozi wa dini wamejisahau kabisa na kujikuta wanashughulika na kutafuta pesa na umaarufu na kuwaacha waumini wao solemba na ndio hao Leo mnawaita wezi wa kura. Kama dini zingefanya vizuri hatungeweza kuwa na wezi. Upo udikteta mkubwa na unyanyasi ktk. majumba ya ibada na sio kwamba viongozi wa serikali hawajui lakini kwa heshima ya Mungu wameamua kukaa kimya sio kwa sababu ninyi ni waadilifu au ni watakatifu. Mkisemwa kidogo tu mnakasirika na kutamani kuleta gharika. Dr.Mwaka ni mfano hai Baadhi ya viongozi wa dini wanachangia katika kuharibu tabia na maadili kwa waumini wao na taifa kwa ujumla. Baadhi ya nyumba za ibada hats hiyo demokrasia haipo kabisaa. Huwezi ukamhoji askofu au Nabii hats kama ana makosa ya wazi. Utafungiwa huduma zote.

  • @petermkumbo5094
    @petermkumbo5094 2 года назад +5

    Rejea kauli ya Magufuli akiwa Morogoro."Kumbukeni nyie hamkuchaguliwa na watu..."

  • @OnesmoKway-g7w
    @OnesmoKway-g7w 12 дней назад +1

    Muogope mungu ww hata hiyo sauti hutakuwa nayo mungu akiamua

  • @heriel2002
    @heriel2002 2 года назад +2

    Padri Kitima ulinena vyema na ukweli wako utabakia kuwa kweli siku zote.
    Huyu ni unene unamsumbua

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 10 дней назад

    Hongera Padre Kitime. Mambo yakiendea kwenye uchaguzi yanatisha na yataliangamiza taifa kama maono yako yalivyo

  • @akwiliniqawoga.w3690
    @akwiliniqawoga.w3690 2 года назад +5

    Mbunge mwongo,bbora angesema tufanye maridhiano
    UWIZI WA KURA NI BAYANA.
    KAMATA KIUNDWE ILI KUCHUNGUZA AIBU YA UWIZI WA KURA.

  • @karimsewando1407
    @karimsewando1407 10 дней назад

    Mtumishi wewe ni miongon mwa watumishi wakuigwa, asante sana fadher

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 3 месяца назад +1

    Hongera sana mzee waambie hao wasio ona yafanywayo nchini mwetu tuzidi kuwaambia mashule tz nzima barabara , mahosptl yakumwaga ,madaraja ,duh!! Maji, umeme, sasa nini tena ccm oyeeee mitano 5 tenaaaaaa kwake Rais wetu mama Samia ❤🎉

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 месяца назад +2

    Asante Fr kitima

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Год назад +2

    Safi Sana mdee Mungu ndo atawatetea hata mkiwa wachache✌️🙏

  • @hoseakayinga2090
    @hoseakayinga2090 2 года назад +12

    Wewe Deo siku zako zinahesabika

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 Год назад +2

    Mmbunge mwizi huyu huyooooooo piga

  • @godfreymwesigwa9375
    @godfreymwesigwa9375 2 года назад +13

    njoo majimbo ya mwanza uone barabara,maji,umeme, ndo useme umeshinda kwa kishindo. sijui nikishindo kipi?

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 2 года назад +8

    Padre aliongea vizuriii sanaaaa Wabunge wengi wa CCM ni Wanafiki sanaa

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 11 дней назад +1

    Mungu akubaliki

  • @WemaShayo-p5c
    @WemaShayo-p5c 17 дней назад +1

    Padri upo sawa wez hao wa

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 25 дней назад +2

    Mungu.akuongoze

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd Год назад +2

    Huyu mbunge Hana Aya aibu wakati Kuna wabunge walioshinda walienguliwa

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад +2

    Wabunge wanaojipendekeza mbunge akimsifu raisi bas yuko sawa kweli maccm wezi wa kura nanyi mnajua ukweli viongozi wa dini msiogope kusema kweli ccm wameharibu nchi

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 года назад +7

    MTU MJINGA HUTUMIA NGUVU NYINGI ILI WATU WAELEWE NA MWISHO HUONYESHA ALIVYO UCHI! DEO SANGA ƗLELO ɄNWANG'ILE ɄKɄHƗTSA MWAHƗTSILE TENA KƗPELWAPELWA.

  • @apostlemussaonlinetv
    @apostlemussaonlinetv 24 дня назад +3

    Nyie wez sana

  • @LoshilaaMollel-qh5pb
    @LoshilaaMollel-qh5pb 9 дней назад +1

    Hamujawahi kushinda nyie ccm.kazi yenu munaiba kura huo ndo ukweli kabisa ccm mnaiba kura

  • @michaelmgwambe7256
    @michaelmgwambe7256 Год назад +4

    Kweli mnaiba kula CCM

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 2 года назад +7

    Kama mlishinda kwa kishindo kwa nini hamtaki katiba mpya na kwa nini mnapita kura kupingwa, nyinyi ni wezi wakubwa.

  • @FelisterBazil
    @FelisterBazil 24 дня назад +2

    Baba ubarikiwe

  • @FelisterBazil
    @FelisterBazil 24 дня назад +2

    Asante baba

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 Год назад +2

    Wabunge matahira majizi .chama cha majiz mnakana hatuwataki

  • @AkwilineKawishe-t3d
    @AkwilineKawishe-t3d 25 дней назад +2

    Ukweli unauma!

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 2 года назад +3

    Mbunge huyu ni Mnafikiiii Sanaa Padre ameongea ukweli Lini CCM ilishinda Kwa Kishindo bila Kofia sukari vitenge mashati na pesa

  • @DastanRwehumbiza
    @DastanRwehumbiza 25 дней назад +3

    Asante baba askofu

    • @PriscaPanga
      @PriscaPanga 14 дней назад

      Nipadri cyo askofu mpendwa

  • @patrickmapinduzi268
    @patrickmapinduzi268 2 года назад +9

    Mzee unapiga kelele Mimi nilikuwa wakala najua kitu gani tulikifanya siku hiyo usidanganye watanzania tunajua mambo kuliko unavyofikiri

  • @RaymondKilomeye
    @RaymondKilomeye 3 месяца назад +3

    Ukweli kwa spika huyu na rais huyu tutafeli sana na tz yetu hii

  • @ElyotKyando
    @ElyotKyando 3 месяца назад +3

    Padr 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 2 года назад +7

    Poleni sana sisiem.

  • @reubenmobe5961
    @reubenmobe5961 2 года назад +5

    Wezi wakubwa wakura nyie Kama hamuibi kubali time huru mbona mnakataa labda we nijini

  • @Nikolaus-q5i
    @Nikolaus-q5i Год назад +3

    Ukweli unauma lakini limewafikia.Asante sana baba kitima.

  • @melaniaanthony3263
    @melaniaanthony3263 Год назад +1

    Hamkushinda oneni ukweli ulioko mda huu bandari

  • @lothmoses8439
    @lothmoses8439 2 года назад +1

    Mbunge cc ndio wapiga kura muogope mungu

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 11 дней назад

    Padre barikiwa

  • @alexmaula7308
    @alexmaula7308 3 месяца назад +3

    Padri kasema ukweli mtupu ...hata nyani porini wanajua kuwa CCM waliiba Kura...ccm kubalini yaishe msiturudishe kule..mwogopeni MUNGU....

  • @papadimayo1chanel.747
    @papadimayo1chanel.747 2 года назад +13

    Hamjawahi kushinda kwa kishindo, mnashinda kwa mbinu chafu na matumizi ya nguvu ya dola.

  • @josephmbunda1181
    @josephmbunda1181 2 года назад +3

    Jizi no 1

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 месяца назад

    Tunaomba Padre Kitima athibitisheuwizi tajwa😊😊😊

  • @BenardLweikiza
    @BenardLweikiza 11 дней назад

    Mungu ndiyeanayejua ukweli

  • @fr.deolyakunga4984
    @fr.deolyakunga4984 2 года назад +6

    Shame on you CCM: Mbunge wa wapi wewe? Deo Sanga???!Wewe ni Jimi wa Freemasons! ?? Sawa Binti Halima Mdee! Sawa kabisa Speaker, Tulia. Waache wstu waseme wanayoona; Uhuru wa kutoa maoni, yeyote yule..