Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
mtangazaji unajua kuhoji na kutoa nafasi kwa mtu kukujibu bila kumkatisha... big up
Well done Big fish. Safi Sana, Mimi nimekula Hawa samaki wa Big fish ni wazuri mnoooo.
R. I. P. BLANDINA DAAAH
jaman kumbe huyu mtangazaji amefariki jaman 😭😭😭
Florence jibu swali bana hapo unatangaza bisshara ya darasa
Nataka nianze ufugaji huu wa samaki..naanzaje?
Je mnafundisha namna ya utotoleshaji samaki?
Ndio tunafundisha. Karibu shambani kwetu. Piga namba 0789520883 kwa maelekezo ya jinsi ya kufika.
naomba kuuliza swali dada zena ukiwa na samaki mia 3000 unawapa chakula kiasi gani..
Mmesahau kuhusu hiyo technologia mpya ya waholanzi.
Tutaongelea technologia mpya kipindi kijacho.
huyu dada mtangazani anajua kuhoji vizur nimependa kusikiliza hiki kipindi maswal ni mazur
Sister weka namba zako tuje kujifunza
Namba zangu 0789520883 au 0758455284
Huyu dada anayliza maswali yafaida kabisa nimejifunza vingi
Hamjatuonyesha hata kambale au sato mmoja? mabwawa yalivyo? hizo machine zinafanyaje kazi?
Tutawaonyesha kipindi kijacho. Asante sana kwa maoni yako.
Musa, karibu shambani kwetu, Kigamboni, Kibada, kituo cha Sabato.
@@zenamndeme7144 Itakuwa jambo jema,asante kwa kujibu
Naomba unisaidie namba yako Dada zena
Nipo Dodoma