Nashukuru sana ubarikiwe sana tena sana kiukweli nnakushukuru sana maana huko nyuma nimeangalia bila mafanikio nilikuwa namtumia sindano ya uzazi baada ya kuacha nikawa napambana kutafuta mimba haishiki baada ya kutumia hii mwezi ulopita na sasa nina mimba asante sana❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Assalaam Alaykum vipi hali yako?Dada ubarikiwe sana niliiiona hii video mwez ulopita nikatumia baada ya period nilihangaika uko nyuma miez minne natafuta ujauzito siupati yani baada ya kutumia hii chai imeleta miujiza kwa uwzo wa Allah.leo nimepima nina mimba ubarikiwe ww Dada.
Jamani dada ubarikiwe mimi nimemtumia simu hii ya mme wangu nimeangalia hii video mwezi ulopita nimemtumia cku 5 tu sasa nimepokea ujauzito ubarikiwe sana '❤❤
Nilitoa kijit mwez wa 2 wa 3 nikafwatish h kitu wa 4 nikapat mimba nashukuru ubarikiwe Tena hat sikunyw siku nyingi n kimt nimeish n vimt myak 5 k nilikuwa n sum y kutosha il Iman yangu kw hil imetenda japo kw sas namsubil mwanangu🙏
Aslam aleykum yote kwa yote alihamdulilah na mshukulu Allah nolitumia kijiti cha uzazi wa mpango nilikaa mwaka mzimanatafuta mtoto nilivo ona vidio ii nilimuomba allah uku nalia aniondolee sumu mungu mkubwa ombeni kwa allah atawapa na wanawake wenzangu tusitumie njia ambazo katika dini zimekataza anacho kataza allah kinamazala sasa nimjamzito baada yakumuomba mungu mnooo nina mimba kupitia kinywaji ichi namshukulu mungu sana kanionesha dada uyu atimae mjamzito nimekoma mtafata njia mungu ambazo katuelekeza
Habar nime kuja na mrejesho japo nime chelewa kuleta nilitumia dawa hii mwezi wa sita tarehe 30 ndo siku niliyo aza period jmhn jhnm mpk leo sijaona damu tena mi mjamzito wa miezi wili na wiki mbili tumii hii dawa na mimi ni barozi kwa lfk na ndugu zangu wanao teseka nime angaika ndani ya mwaka moja kutafuta mimba kwa jina la yesu nime pokea
assalaam alaykum warahmtullah wabarakatuh, samahni nina ndugu yangu alitumia uzaz wa mpango na akajatoa kabala ya miaka mitatu hivi sas anashindwa kupata mimba kwa miaka sasa je afanye nn ili aweze pata mimba tena?Allah akulipe kheri
Nashkulu sana dada Na Mimi nilikunywa Tena nilikunywa Nikiwa na blid zilitoka Damu nying sana Likin mwezi huu Mimi nimjamzito Nitumie namba Yako dada nikulushie hata ya sabuni tu Najua kukulipa siwez ila mungu atakulipa Nitumie namba yakoo
Nashukuru sana ubarikiwe sana tena sana kiukweli nnakushukuru sana maana huko nyuma nimeangalia bila mafanikio nilikuwa namtumia sindano ya uzazi baada ya kuacha nikawa napambana kutafuta mimba haishiki baada ya kutumia hii mwezi ulopita na sasa nina mimba asante sana❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Dada asubuhi kikombe kimoja kilichojaa na mchana unajaza kikombe na jioni hivohivo
Assalaam Alaykum vipi hali yako?Dada ubarikiwe sana niliiiona hii video mwez ulopita nikatumia baada ya period nilihangaika uko nyuma miez minne natafuta ujauzito siupati yani baada ya kutumia hii chai imeleta miujiza kwa uwzo wa Allah.leo nimepima nina mimba ubarikiwe ww Dada.
Asante kwa Ushuhuda wako kupitia wewe nimeamini namimi nitaitumia🙏🙏
Hongera sana! Nami natamani sana! Nahangaika na iyo Mwenyezi Mungu anifanyie wepes
Kweli anti
Jmn mm nina changamoto ya uzazi nahangaika xn napitia changamoto nyingi mpk natamn kufa kwa ajl ya mtoto sina ht amn nisaidieni namm
Mm nitashinda ya tube sijapata mtoto then nikimaliza period natokwa na uchafu Alf tumbo inaniuma Kwa chini nisaidieni
je natumia wakati nikiwa period au baada ya kumaliza pe
Asante mungu. Nimejaliwa kupata ujauzito. Ya Allah nikulipe nn mja wako. Mpe umri mlefu huyu dada anaetuelekeza kuhusu dawa hii
@@JohariMizigilo mashallaah naomba unisaidie mtu anae weza kutibia au kusaidia uzazi nina changamoto kubwa ntk mtoto
Baada ya kutumia karafuu na tangawizi ninatokwa na uchafu kama bleed inayomalizika na uchafu unakiharufu je ndo kizazi kusafishika?
Mashallah mashallah kipenzi hii muhimu sana kutumia shukran sana dear ❤
Jamani dada ubarikiwe mimi nimemtumia simu hii ya mme wangu nimeangalia hii video mwezi ulopita nimemtumia cku 5 tu sasa nimepokea ujauzito ubarikiwe sana '❤❤
Ni kweli dr inasaidia???
Nilitoa kijit mwez wa 2 wa 3 nikafwatish h kitu wa 4 nikapat mimba nashukuru ubarikiwe Tena hat sikunyw siku nyingi n kimt nimeish n vimt myak 5 k nilikuwa n sum y kutosha il Iman yangu kw hil imetenda japo kw sas namsubil mwanangu🙏
Mim milija imevimba je itasaidia?
Asalam alaykum jamani mm jamani naomba munisaidiye namba ya huyu dada
Asant dada lakini sijajua kipimo ninujazo WA hicho kikomne kikubwa au hicho kikomne ulichojaza unagawa mara 3? Nipe jibu
Dada mm nasumbuliwa na kiuno Sana nahitaji msaada wako
Jee unaweza kunywa ikiwa period zako ni chache hazitoki kwa ukawaida wake?
Nipeni no yke huyo dada jmn mwenzenu nahangaikia uzazi nina miaka 5 kwenye ndoa sijapata mtoto napitia changamoto nyingi yn mpk najikuta xn thamn
Aslam aleykum yote kwa yote alihamdulilah na mshukulu Allah nolitumia kijiti cha uzazi wa mpango nilikaa mwaka mzimanatafuta mtoto nilivo ona vidio ii nilimuomba allah uku nalia aniondolee sumu mungu mkubwa ombeni kwa allah atawapa na wanawake wenzangu tusitumie njia ambazo katika dini zimekataza anacho kataza allah kinamazala sasa nimjamzito baada yakumuomba mungu mnooo nina mimba kupitia kinywaji ichi namshukulu mungu sana kanionesha dada uyu atimae mjamzito nimekoma mtafata njia mungu ambazo katuelekeza
Mi sipati period inaweza kunisaidia nikapata?
Inasaidia ndii
Habar nime kuja na mrejesho japo nime chelewa kuleta nilitumia dawa hii mwezi wa sita tarehe 30 ndo siku niliyo aza period jmhn jhnm mpk leo sijaona damu tena mi mjamzito wa miezi wili na wiki mbili tumii hii dawa na mimi ni barozi kwa lfk na ndugu zangu wanao teseka nime angaika ndani ya mwaka moja kutafuta mimba kwa jina la yesu nime pokea
Ulikunywa hadi zile siku zahatar au ulianza kwazia uneona p ukanywa hadi siku ngapi
Shukran jazzakallahu kheir
Afwan
Kama hauna hasali
Asante kwa somo dear
Kama hauna asali
Hii unakunywa wakati gani dada.. ukiwa kwa period au ukishamaliza!?
Asalam alykum dada ukitumia ih dawa unabeba ujaizito hata kama upo sik salama
samahani mamy unaweza kunywa ya baridi?
Ni mhanga WA Kubeba Mimbaaa Mungu nisaidie
Habarini jaman? Samahan naomba kuuliza unatumia ukiwa period au wakati wowote?
Dada me nasumbuliwa na muwasho sana na pia tumbo la chin huwa linauma upande wa kulia mda mwingine wa kushoto nitafanya nn Sasa dada yang
Nenda hospital huyu sio daktari
Yani huko kikombe kimoja ndo unakunywa mara3 kwa siku?
Naomba namba zako
Na karafuu ya unga inaweza kutumika pia
Na me ntarudi kwa ushuhuda
unatumia kila siku au mpaka ukiwa hedhi dada
Dada nakosa hedhi yng kwa muda mrefu ni fanye Nini 😭
Omba Mungu
Haya yanasaidia km shida ni ya kawaida
Kama hauna asali waeza tumia tu tangawzi na karafuu
Asante kabisa inasaidiya n'a infections ??
Huu mwaka wa tatu nahangaika kupata mimba😢😢😢😢
Ukinywa vaad yakula kunashida
Samahan jmn nawez kuuliz
assalaam alaykum warahmtullah wabarakatuh,
samahni nina ndugu yangu alitumia uzaz wa mpango na akajatoa kabala ya miaka mitatu hivi sas anashindwa kupata mimba kwa miaka sasa je afanye nn ili aweze pata mimba tena?Allah akulipe kheri
Unapata ujauzito hata kama ni siku salama
Jaman dada sorry mimi huwa situmii asali nawez kutumia bila kuweka asali
Jamani na mimi mungu anione
Nami pia
Nashkulu sana dada
Na Mimi nilikunywa Tena nilikunywa
Nikiwa na blid zilitoka Damu nying sana
Likin mwezi huu Mimi nimjamzito
Nitumie namba Yako dada nikulushie hata ya sabuni tu
Najua kukulipa siwez ila mungu atakulipa
Nitumie namba yakoo
assalaam alaykum dada hali yako inasaidia pia mtu akiwa na uvimbe kweny kizazi
Ikiwa nimeanza kutumia siku ya kwanza ya Period italeta mafanikio?
Hi naitwa dayan ninashida period yangu inavurugika na nikiingia ni siku moja nifanyeje?
Tumia hii
Samahani nomba kuuliza je hii dawa unaweza kutumia ukiwa kwenye hedhi ua ukimaliza ndo unatumia
Mi nitakua natumia km chai tu
Sorry dada natumia nikiwa kwnye p au nikiwa nimemaliz
Sorry dada mim nipo p naruhsiwa kutumia prz dad naomb nijibu
Ukitumia ukiwa period Kuna weza kuleta shida dada
Soma comment ya ROSE utaelewa maan yy kaitumia akiwa katk mpk na kafanikiwa
Akiwa ktk ck zake
Dear naomba utupe somo ya kutatua tatizo la hormones imbalance
Kama unatumia kinga kuzuia mimba Ina maana utapata mimba?
Uwezi pata mimba kama unatumia njia za kuzuia mimba
Tunashukuru Sana dada.....sorry naomba niulize sasa ukiwa katkt ya doz ikatokea umeshika ujauzito bila kujua na ukaendelea kutumia haitoleta shida??
Ukiona umepata mimba acha
Dada je karafu ya unga inafaa
@@najlaskitchen1572mbona hujajibu mtu akiwa period akitumia inakuaje
Inakua vzr tuu unaweza kutumia ukiwa period
Na ukavu wakati wa tendo nitumie nini
Pita video zangu nimeeka ya bamia
Tunaomba utujibu maswali
Iyi unaitumiya ukimaliza piriod AO ukiwa kwenye piriod
Samahani dadaa unakunywa grass moja asubuh, au hiyo grass moja unagawanya mara tatu
Iyo video ukiskiliza vizur ndugu yangu hapo huwez uliza sawa, badala yake unakwenda moja kwa moja kutumia ili usichelewe,
Dada Nina tatzo la hormone imbalance vp inaweza kunisaidia
Ndio mbona amesema kweny hii video
Dada na dawa ya meno kufa ganzi
Ntakuletea inshallah
Unatumia ikiwa period ama
Ukimaliza period for 14days
Kipnz kam sina asali itkuwaje
Mamangu...unaweza kunywa hivo hivo
Iyo asali mbichi au
Unatumia ukiwa period au
Sorry dada nikikosa asali haita nisaidia
Itakusaidia.kama huna asali utakunywa hivo hivo
Asante dear
Unaanza tumia siku ya kwanza kumaliza period mpk lin dear
Ukimaliza period kwa siku 14
Sawa dear
Unaweza kutumia sukali kama huna asari
Asali ni nzuri zaid maa
Nauliza naweza tumia kw mda gani nd niwache kma mfano mume uko nje so nataka tumia n mda gani nitumie