DHAMBI YA KUVAA PETE, HERENI, MIKUFU, BANGILI, VIKUKU, KUZIMU INAWASUBIRI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 102

  • @PastorPeter00
    @PastorPeter00  3 месяца назад +3

    MUNGU AMEUMBA MADINI ILI TUYATUMIE KWENYE MATUMIZI MBALI MBALI NA BIASHARA YA MADINI SIO DHAMBI,BALI MUNGU AMETUZUIA KUVAA MWILINI HIVYO VITO.

    • @therezapetro5725
      @therezapetro5725 3 месяца назад

      Kama ni dhambi dhahabu au madin yoyote kuyaweka mwilini naomba unieelezee na wazee 24 nao wana dhambi? Maana wamevaa taji za dhahabu kichwani mwao. Ufunuo 4:4
      Pia ktk maono ya yohana Yesu alionekana amevaa vazi jeupe na mshipi wa dhahabu kifuani Ufunuo1:13 .Je hapo pamekaaje naomba unielezee.

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00  3 месяца назад +2

      ​@therezapetro5725 wazee 24 ni roho na mataji wamevikwa baada ya kuingia Mbinguni, pia lazima ujue kuna uchafu wa Mwili na roho sasa uchafu wa mwili unakuzuilia kuingia mbinguni ndio maana Mungu anakutaka ujisafishe,
      2 Wakorintho 7:1
      Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.

  • @rogersjoseph7363
    @rogersjoseph7363 3 месяца назад +5

    Ubarikiwe sana kazi yako ni njema sana Bwana akutumie zaidi ya hapo ili kanisa lizidi kutakasika na kuwa tofauti na mataifa wasioamini. Amen

  • @jonassafari7619
    @jonassafari7619 3 месяца назад +4

    Vema kabisa.
    Mungu aliumba vyote,lakini si vyote vifaavyo.

  • @SamsonMwangwego
    @SamsonMwangwego 7 дней назад

    Ameni mtumishi mungu akubariki hilo ndilo neno la mungu sisi tumehubiri sana walikuwa wanatubeza mungu akutie nguvu sana

  • @PatriciaNyaga-y2h
    @PatriciaNyaga-y2h Месяц назад

    Amen Amen mungu tusaidie asate mchungaji God bless you

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 3 месяца назад +3

    Ubarikiwe sana mtumishi hakika umenifundisha jambo hapa mungu akufunike na mbawa zake

  • @TumainiMbbise
    @TumainiMbbise 3 месяца назад +3

    Amina Mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukupa mafunuo. Roho wa uzima atufundishe maneno ya uzima katika Dunia hii iliyoharibika.AMINA.

  • @ElizabethSimon-g8n
    @ElizabethSimon-g8n 2 месяца назад +1

    Kweli njia ya mbinguni ni nyembamba inasonga kuelekea uzimani ee Yesu tusaidie tusiiache njia hii kwa mambo ya Dunia amen

  • @AlafsaKisinda
    @AlafsaKisinda 3 месяца назад +3

    Amina baba Asante kwa somo hili dunia ijue, ila kuna watumishi wengine ukifundisha watu wasijipambe et anasema kanisa litakua lakishamba, Mungu atusaidie niliwahi fundisha somo hili kanisani kwangu chungaji akajaiumalizia kuwa watu mjipambe tu kanisa nisije likawa lakishamba nilichoka kiukweli , Mungu anikumbuke tena amina

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 2 месяца назад

      Inabidi utoke hapo kwenye hizo madhabahu, usichezee muda wako BWANA atuongoze tuzidi kumtumikia yeye

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 3 месяца назад +5

    Mungu akubariki sana! Njia ya Uzimani ni nyembamba!

  • @DotoS12
    @DotoS12 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe pastor kw neno la uzima wetu wetu hautaki kuambiwa ukweli tunataka mambo laini tu

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 2 месяца назад

    Mungu akubarki mtumishi ni kwali huo urembo ni chukizo na shuhuda nyingi nimesikia

  • @SalomeRenatusi
    @SalomeRenatusi 3 месяца назад +3

    Kweli kabsa mtumishi Mungu akubariki 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariaMwasyila-mq6yc
    @MariaMwasyila-mq6yc 3 месяца назад +2

    Ameni ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU

  • @Marthamodest-l7q
    @Marthamodest-l7q Месяц назад

    Amina mtumishi ubarikiwe sana, hakika sitavaa pete kabisa hata nikifunga ndoa, kama mapambo nilivyoyaacha

    • @DottoPaschal-x4d
      @DottoPaschal-x4d 4 дня назад

      Naomba tuwasiliane martha maana cja oa na nnahitaj Mwanamk ambaye kwake mapambo ni adui yake.ukiji hisi AMANI tafadhal tuwasiliane,nahitaj mtu ambaye tutazungumza lugha moja,MUNGU 1 imani 1

  • @lindankurikiye9881
    @lindankurikiye9881 3 месяца назад +1

    Asante sana mutumishi wa MUNGU
    MUNGU aendereye kukubalikiya

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 3 месяца назад +1

    Asante kwe mtumishi kwainjli nzuri na yawazi

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 3 месяца назад +4

    Amen amen nikweli kabisa mchungaji

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 3 месяца назад +2

    NA SISI JAMI YA WAMASAI TUNAPENDA UTAMADUNI YETU YA KUVAA BANGILI MA SHANGA NA UREMBO MINGI SHINGONI. na Wahubiri wetu hawatukatazi. Hata wanakwaya wetu wanavaa sana urembo shingoni. Mungu fungua macho za kiroho za wahubiri wetu. AMEN 🙏.

    • @RehemaElias-el3jg
      @RehemaElias-el3jg 2 месяца назад

      Jmn wamasai urembo wenu sio vzr mbele za Mungu na wengi wameshuhudia urembo huu baki na nguo tu ili kujistili

  • @Gracemsomba-ic2xp
    @Gracemsomba-ic2xp 2 месяца назад

    Ubarikiwe mtumishi wat unataka maneno laini ongea yo te tupone

  • @edwinsimpokolwe-g5x
    @edwinsimpokolwe-g5x 11 дней назад

    hapo sawa kazana mwalimu

  • @TabizaAa
    @TabizaAa 3 месяца назад +2

    u gained a new subscriber thanks alot babaa God bless you 🙏🙏🙏

  • @TumsifuJoseph
    @TumsifuJoseph 3 месяца назад +4

    Amina pasit ukweli usemwe

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 3 месяца назад +1

    Amen glory thanks for the wonderful massage Amiina

  • @samuelnthia8858
    @samuelnthia8858 3 месяца назад +1

    Amen,Yesu asifiwe sana.

  • @AlimachusAdoph
    @AlimachusAdoph 3 месяца назад +4

    Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa
    Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca

  • @CrispusKadenge
    @CrispusKadenge Месяц назад

    Ubarikiwe

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 3 месяца назад +2

    Uzidi kubarikiwa ,na Mungu azidi kukutumia.

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 3 месяца назад +5

    Amen.

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana.

  • @MamaCynthia-oo6wg
    @MamaCynthia-oo6wg 3 месяца назад +1

    Hiyo ni kweli sana

  • @AllanBarbara-r6l
    @AllanBarbara-r6l Месяц назад

    Amen

  • @SweetStanford-jo8xj
    @SweetStanford-jo8xj 2 месяца назад +1

    kuvaa mapambo ni dhambi abisa mbingu huioni

  • @SofiaSofi-q6r
    @SofiaSofi-q6r 3 месяца назад

    Mchungaji nakosea Sana au nimekuelewa tofautu Sana vitu hivyo Nani aliviumba mbaona watu Wana chimba dhaabu na kutajirika hii nini Mungu ameweka hivi vitu ili viwe dhambi kweli mbona unatumia Sana agano lakale..sema twaweza kutumia vyote ispokuwa kuviabudu.

  • @MamaCynthia-oo6wg
    @MamaCynthia-oo6wg 3 месяца назад +1

    Ok amen

  • @SamsonMwita-m8g
    @SamsonMwita-m8g 3 месяца назад +2

    Ameeeen

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 3 месяца назад

    Imeandikwa uombe kwa jina la Yesu. Nasio kwa jina la bikra Maria
    Kwasababu Yesu alifufuka peke yake na Maria bado anasubiri kufufuliwa ile siku ya mwisho

  • @TeloAwor
    @TeloAwor 3 месяца назад +1

    Waaambieni watu waruke kwa Yesu

  • @NuruWilson-u8p
    @NuruWilson-u8p 3 месяца назад +3

    Wakristo Wanaoendekeza mapambo hawataingia Mbinguni, ni roho ya Yezebel, na ni ukahaba kwa namna ya rohoni.

    • @hellen9056
      @hellen9056 3 месяца назад

      Kabisaaa mtoto wa Mungu

  • @roselinemosha
    @roselinemosha 3 месяца назад

    Roho wa Mungu atufunulie haya mioyoni mwetu.

  • @claudinandonde3835
    @claudinandonde3835 3 месяца назад +1

    Hiyo ni kweli

  • @claudinandonde3835
    @claudinandonde3835 3 месяца назад +4

    Waenda mbinguni watakusikia kabisa

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 2 месяца назад

    Ubalikiwe mtumishi Kwa injili ya moto, na ukweri

  • @امزكرياالجابري-ه7ق
    @امزكرياالجابري-ه7ق 3 месяца назад +2

    Mm nilitoboaga pua na kipini kilikuwaga hakitoki lkn kuna sku nmelala nilikuta hakipo nikaona maajab

    • @TabizaAa
      @TabizaAa 3 месяца назад

      dear me adi nkivaa izo vtu ata dakika Tano ni mingi naanza kuwashwa😢😢😢😢😢aki Mungu alinikataza automatically wallah thanks Lord 🙏🙏🙏

    • @florencemuya
      @florencemuya 3 месяца назад

      ❤😢😢U​@@TabizaAa

  • @PetroMussasabuni
    @PetroMussasabuni 3 месяца назад

    Wew Kuna jambo ndogo mbele zamungu

  • @MamaCynthia-oo6wg
    @MamaCynthia-oo6wg 3 месяца назад +1

    Siku kuwa nabijuwa sawa

  • @AGATHACLAVERYMAKANTA
    @AGATHACLAVERYMAKANTA 3 месяца назад

    Amina

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa 3 месяца назад

    Hivyo tusivaeeeee

  • @FlorenceKainda-zo8ny
    @FlorenceKainda-zo8ny 3 месяца назад

    Kweli kabisa

  • @MjakaziUngwa
    @MjakaziUngwa 3 месяца назад

    Watu waMungu hii ni kweli kweli

  • @frereezechielsong5282
    @frereezechielsong5282 3 месяца назад +1

    Mungu akubariki

  • @GraceWanjiruNganga
    @GraceWanjiruNganga 3 месяца назад +1

    Sahii hakuna vire uta jua Nini Zuri ama baya atahio Guo umevaa nyingi zinatoka kuzimu, sahii nikutakaza kupita damu Yesu ? Na unavaa

  • @CatherineZakayo-m4o
    @CatherineZakayo-m4o 3 месяца назад

    Nikweli mchungaji

  • @BilhaElisha-h6f
    @BilhaElisha-h6f 3 месяца назад

    nikweli jamani tubadilike jamani yesu uponjiani anakuja

  • @DotoS12
    @DotoS12 2 месяца назад

    Waadventista wasabato wote watakao potea hakika utakuwa ni upumbavu wenu kwn ni nn ambacho MUNGU akasema kw kanisa lake?????

  • @CiprianoDDeusSimbasten
    @CiprianoDDeusSimbasten 3 месяца назад

    Mtumishi mungu akuinue saana Asante. Sasa Mimi Nina swali nje inatupasa tuvae Saa? Na pili Mimi Nina swali tena kuna kipengele ya bibilia ,kinasema .kujipamba kwenu kusie Kwa kusuka nyoele ,Sasa Natália kujuwa apo bíblia inakataza ama una turekebisha? Asante naomba muniele ivyo ivyo sijue sana Swahili.I fr. Mozambiqui.

    • @ElizabethSimon-g8n
      @ElizabethSimon-g8n 2 месяца назад

      @@CiprianoDDeusSimbasten kujipamba kwenu kusiwe kwa kusuka nywele inakataza neno kusiwe ni katazo turidhike na nywele zetu Mungu alizotupa fupi ndo mana wazungu wakapewa ndefu Sasa aliepewa fupi akisuka ili zirefuke anamkosoa Mungu tujikubali

  • @maryhakofa
    @maryhakofa 3 месяца назад +2

    Mwanamke asijipambe kwa kusuka nywele, kuvaa bali uwe wa rohoni. Tusome maandiko. Tusiviabudu vitu hizo

  • @robertkijanga3177
    @robertkijanga3177 3 месяца назад +1

    Upofu ni tatizo kubwa sana , umaskini wa kiroho ni mwanga wa Giza.

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi 2 месяца назад

    Mchungaji umegugi inategemea unavaa kwa nia gani? Kumbuka ester alijiipamba kupitia mapambo ya kidunia Mungu akajitukuza. mapambo si Mungu inategemea matumizi ngani.

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00  2 месяца назад

      Soma hayo maandiko Esta hakutaka mapambo yao lkn bali alijipaka tu mafuta, uwe unasoma Biblia.
      12 Basi ilipowadia zamu yake mwanamwali mmojawapo aingie kwa mfalme Ahasuero, hali akiisha kufanyiwa sawasawa na sheria ya wanawake miezi kumi na miwili; yaani, ndivyo zilivyotimia siku zao za utakaso, miezi sita kwa mafuta ya manemane, na miezi sita kwa manukato na vifaa vya utakaso wa wanawake;
      Esta 2:12
      13 mwanamwali huingia hivyo kwa mfalme; kila akitakacho hupewa kwenda nacho kutoka katika nyumba ya wanawake ili kuingia katika nyumba ya mfalme.
      Esta 2:13
      14 Huenda jioni, na asubuhi hurudi nyumba ya pili ya wanawake, mikononi mwa Shaashgazi, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda masuria. Wala haingii tena kwa mfalme, isipokuwa amempendeza mfalme, naye akaitwa kwa jina.
      Esta 2:14
      15 Hata ilipowadia zamu yake Esta, binti Abihaili, mjomba wake Mordekai, ambaye alimtwaa kuwa binti yake, ili aingie kwa mfalme, yeye hakutaka kitu, ila vile vilivyoagizwa na Hegai, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda wanawake. Naye huyu Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona.
      Esta 2:15
      16 Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.
      Esta 2:16
      17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.
      Esta 2:17

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 3 месяца назад +3

    Nikweli tupu uyasemayo

    • @GraceKiwelu
      @GraceKiwelu 3 месяца назад

      Grace Kiwelu was himo barikiwa mtumishi wa Mungu ni ukwel mtupu wanawake wamezidi kuvaa mapambo , na hawajui maana yake Barikiwa sanaaa

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 3 месяца назад +1

    Hamna kitu hapa. Hovyo kabisa.

    • @hellen9056
      @hellen9056 3 месяца назад

      Hamna kitu andika tar usipo tubu na kuacha Siku yaja hivyo ndo vinyago

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 3 месяца назад

      Pinga Kwa Hoja, Usiropoke😂

  • @marthambarikiwa7811
    @marthambarikiwa7811 3 месяца назад +1

    Amen Amen

  • @GambasonLuselegasi
    @GambasonLuselegasi 3 месяца назад

    Ndo mjue kuwa kwa nini wasabato hawavai pete wakati wa kufunga ndoa ukiona kavaa ujue ni yeye

  • @rosemerycharles
    @rosemerycharles 3 месяца назад

    Hivyo vingine sawa, sasa kwa Pete ya ndoa hapo mbona tatizo, Sasa utambulisho wa ndoa ni upi?

    • @ElizabethSimon-g8n
      @ElizabethSimon-g8n 2 месяца назад

      @@rosemerycharles Pete sio utambulisho wa ndoa si pete Bali ni lile agano kinachomatter ni tendo unaweka agano hautamwacha kama Pete ni utambulisho mbona watu Wana Pete na wasaliti ndoa zao? au Pete ikipotea ndoa inavunjika? jibu ni hapana ila mume afumanie mke anazini kama ndoa haijavunjika Pete si lazima

  • @florianruttahindurwa1189
    @florianruttahindurwa1189 2 месяца назад

    Hili kanisa lipo tanga?

  • @Stelaelias-i8o
    @Stelaelias-i8o 3 месяца назад +1

    Wewe acha ujinga imeandikwa wapi kutumia lozari au imeandikwa wapi kumuomba bikira maria acha upuuzi mtapigwa nyie Mungu hazihakiwi

    • @mwambakibucheche1119
      @mwambakibucheche1119 3 месяца назад

      Wewe unaukataa ukwel kwakuwa kanisan kwenu imejaa midori

    • @HariytAsd
      @HariytAsd 2 месяца назад

      Kumbuka yesu alisema yeye pekee ndo njia ya kwenda mbinguni mbona hakuseam Mariam nde njia ya kwenda mbinguni funguka macho

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 3 месяца назад

    Acha uongo tumeambiwa tukipambe Kwa vikuku heleni rozari ni sala kamili ya kumwabundu mungu aliye hai pia tunaomba mama bikra maria atuombee Kwa mwanaye kama alivyoomba kwenye harusi ya kana miujiza wa kwanza wa yesu kristo wahubiri watu wamjue mungu wa kweli usitishe watu mambo ya mapambo mavazi hayatupeleki mbinguni

    • @mesamale
      @mesamale 3 месяца назад +2

      Kuna vitu huwezi kuelewa mpaka uchukue gharama ya kumuomba roho mtakatifu akujulishe wewe binafsi,mi nilikuwa siamini lakini nilipoamua kumtafuta Mungu nilipata majibu .
      Ushauri wangu sio kwa mapambo tu hata jambo jingine ukiona utata nenda mbele za Mungu atakuambia

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 3 месяца назад +2

      KUMUOMBA maria NI MAFUNDISHO YALIYO MAAGIZO YA WANADAMU.
      Bali Bwana Yesu anasema tumuombe yeye:-
      YOHANA 14:13-14
      13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
      14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
      Na pia Bwana Yesu asema, tumuombe Baba yake kwa jina lake
      YOHANA 16:23
      23 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.
      WALA SIYO MAPENZI YA MUNGU WATU KUMKIMBILIA maria BALI MWANAWE YESU KRISTO
      YOHANA 6:40
      40 Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
      KUMBE MAPENZI YA MUNGU NI WOTE WAMWELEKEE MWANAWE.
      NA KWA WALE WASIYO YATII MAPENZI YA MUNGU (HAO WAOMBAO KWA maria) YESU KRISTO AWAAMBIA KAMA ILIVYOANDIKWA KTK :-
      MATHAYO 7:21
      21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
      Mathayo 7:21
      KWAMBA HAWATAINGIA KTK UFALME WA MBINGUNI KWASABABU HAWAKUYAFANYA YALIYO MAPENZI YA BABA YAKE, BALI YA WANADAMU.

    • @HappynessmafuruMafuru
      @HappynessmafuruMafuru 3 месяца назад

      Kweli kabisa pasta

    • @rosemerycharles
      @rosemerycharles 3 месяца назад

      Sio kweli biblia inasema tunaomba kwa jina la YESU peke yake sio kwa bikra maria ni fundisho potofu hilo soma biblia vizuri na MUNGU akusaidie kuelewa

    • @ElizabethSimon-g8n
      @ElizabethSimon-g8n 2 месяца назад

      @@VenerandaKundi-ph4hg soma maandiko vizuri mapambo ni miungu hiyo 2falme 32:1-6 na 33:1-6 ni mac hukizo mbele za Mungu

  • @wickymbugunde9298
    @wickymbugunde9298 3 месяца назад +6

    Hivyo ni vitu vidogo sana la msingi fundisheni kusudi lililomleta Mfalme Yesu duniani .nalo ni Ufalme wa Mbinguni na huko vitu vyote vitaeleweka.unachofundisha ni mambo ya dini na madhehebu ambalo sio kusudi la MFALME ELOHIM.mmedanganywa nama wa makahaba

    • @AgathaHaule
      @AgathaHaule 3 месяца назад

      Kanisa lako hawavai epete wakifunga ndoa? Jamani basi watu wot waliokwisha kufa wako motoni mbona hukufundishavtoka mwanzo kuokoa watu wengi? We Mungu anajua.

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 3 месяца назад

      Nihivi Ukiwa Karibu Sana Na MUNGU anakuelekeza Nakukuambia ​@@AgathaHaule

    • @Ruiru11Batian
      @Ruiru11Batian 3 месяца назад +3

      Fanya unachoona ni sawa kwako...
      Lakini andiko liko wazi hakuna kichafu , wala kufuru kitaingia mbinguni

    • @YuenPonsiano
      @YuenPonsiano 3 месяца назад +1

      Shida Yako ww uliecoment hivi ndio hutaki kuelewa .kama upo sawa,tofautisha YESU NA MUNGU na kama agano la kale unasema halina maana,je walioliunganisha na agano jipya tuwaite wajinga!kumbuka neno la MUNGU haliwi la kale au kuku

    • @HellenDana
      @HellenDana 3 месяца назад +1

      Usidanganyike dd!! hiyo ni moja wapo ya viegezo vya vizuizi vya kutoingia mbinguni, tiini wapendwa, achaneni na mahereni

  • @bettymuhonja9967
    @bettymuhonja9967 3 месяца назад

    Ameni ameni and ameni

  • @AlimachusAdoph
    @AlimachusAdoph 3 месяца назад +2

    Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa
    Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca

  • @AlimachusAdoph
    @AlimachusAdoph 3 месяца назад +1

    Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa
    Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca

    • @hellen9056
      @hellen9056 3 месяца назад

      Hiyo ni miungu migeni kumbuka dhahabu ili watu waipate lazima ifanyiwe manunga sasa huoni apo ukivaa unavaa mashetani
      Watu wana sema tutatakasa
      Mali ya shetani haitakasiki
      Na Mungu awi radhi na wapumbvu

  • @AlimachusAdoph
    @AlimachusAdoph 3 месяца назад +1

    Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa
    Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca