MGAO WA UMEME UKIWA KERO, RAIS SAMIA ATUMBUA MTU WIZARA YA NISHATI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 66

  • @deusmtiri6341
    @deusmtiri6341 10 месяцев назад +15

    Tatizo la umeme kuisha katika hii nchi,mpaka JPM afufuke

    • @HamisiMsami-ol3zk
      @HamisiMsami-ol3zk 10 месяцев назад +2

      Ndy kabisa

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @lodrickmwambene133
      @lodrickmwambene133 10 месяцев назад

      Hapo sasa

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis 10 месяцев назад +2

      Utamfufuwa ww uyo maguful

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 10 месяцев назад

      Na maji mama kariakoo hatuna maji mwezi mmoja sasa tunanunua maji hatujui wenye matoroli wanachota wapi jamani

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 10 месяцев назад +5

    Hii nchi bhana ukizingua kwenye wizara flani unakuja kupangiwa kwingine ukahaŕibu huko pia.😂😂😂😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад

      Me nakaa kimya2
      Lkn huyu mama siku akifa dah
      Sijui mungu atamlipa nini
      Kwa adhabu hi anayotupatia

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад +2

    Alafu mkitumbuawa
    Sisi yatuhusu nini
    Tunataka umeme
    Nasio mnatuletea umama
    Tunataka umeme

  • @EliasLitimba-hy1tg
    @EliasLitimba-hy1tg 10 месяцев назад +2

    Kubadilidhwa kwa mfanya Kaz. Sio ndo kuwaka kwa umeme

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 10 месяцев назад +4

    Usituzuge mama mnajua shida ya umeme inasbabishwa na nini

  • @peterjoseph4771
    @peterjoseph4771 10 месяцев назад +2

    Tatizo la umeme ni ubinafsi wahusika wanaingiza generators hili watengeneza pesa kwa manufaa yao wakati wanahujumu uchumi wa Taifa na wananchi bila uchungu kwao!

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 месяцев назад +1

    Na mtakoma kwa kihere here chenu cha kuichagua CCM Tanzagiza 🤣🤣🤣🤣👌👌👌

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 10 месяцев назад +1

      Tatizo siyo CCM, ni watanzania wenyewe

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 10 месяцев назад

      ​@@majaliwabwitonde6900kanywe soda kwa mangi nakuja lipa

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 10 месяцев назад

      @@majaliwabwitonde6900 tatizo ni CCM ndio sera zake zinaongoza Tanzania

  • @BugayeRenatus
    @BugayeRenatus 10 месяцев назад +2

    Aliye anzisha mgao kapanda ndege,za nje,Kalemani ndiye muharobaini wa mgao wa umeme

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад +1

    Kwahiyo kaharibu hapa kisha anapelekwa sehem nyingine akaharibu pia
    Au huko anakoenda sio tz nauliza2

    • @mmarandu2417
      @mmarandu2417 10 месяцев назад

      Wakati wa JPM aliyehakikisha umeme haukatiki arudishwe. Mabilioni yakununua mitambo mipya yamesaidia nini? Ongezeko la umeme wa Nyerere Dam umeleta tofauti gani? Tatizo uongozi na utendaji mbovu, rushwa na watu kupewa madaraka bila kustahili.

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад

    M2 ukilala usiku unageuka kinywaji😂😂😂😂😂😂

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 10 месяцев назад +1

    Tumlilie mungu maana haki zetu za msingi tunya,ngnywa tunateseka hatuna pa kusema maana kama ni viongozi tumeshalalamika mno hakuna mabadiliko wao kwao mgawo hakuna wanaona raha tu tukiteseka wananchi wa hali ya chini tuna nyanyasika mno bishara zetu ndogo ndogo zinaoza samaki zinaoza jamani mungu tusaidie kama ulivyowatoa utumwani wana wa israel mikononi mwa farao mungu nasi tuonekanie hatuna zaidi yako ee mungu geuza nafsi za hawa viongozi wetu kama ulivyofanya kwa farao tumechoka ndani ya nchi yetu tunateseka tunaumia tunakosa haki yetu mungu we ni wa pekee okoa mochozi ya watu wako tuokoe ee mungu kama ulivyomkoa lutu katikat ya sodoma

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 10 месяцев назад

    Kuna jamaa anadai JPM akifufuka tu leo mgao unakoma😂. Any way, Mungu wape busara viongozi wetu tunajua umewapa kibali watutumikie, wasaidie wanaposhindwa.

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 10 месяцев назад

    Achen Porojo Tunataka Umeme🚶🚶🚶

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 10 месяцев назад

    Mimi naona wanatuibia units kama hawapati faidia kwa nn waukate kila mara sasa ntakua naangalia salio wakati umeme unakata na pindi ukirejea niangalie salio langu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 10 месяцев назад +1

    ni wakati sasa Serikali aijiri expert toka Nje wa kutoa ushauri hapo Tanesco, nahisi uwe wa watalaam wetu umefika mwisho

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 10 месяцев назад

    Huyo Doto alie teuliwa Kwa vishindo kiko wapi?

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 10 месяцев назад

    Hata hamtengue mishahara jamaa anaendelea kupewa. Kama Kawa.

  • @Shairanikwahay
    @Shairanikwahay 10 месяцев назад

    serikali tumechoka umeme mtaa wa narungombe na ndanda transfoma kila Mara kuwaka moto hadi tumemaliza maduka yote fire tubadilishiwe transfoma serikali angalieni kwa jicho la tatu mamasamia kwakweli unatumbua watu Lakin sisi bado kiliochetu hapa kuwaka moto kilasiku daresalaam kariakoo ndanda na narungombe

  • @ImlashaZawadi
    @ImlashaZawadi 10 месяцев назад

    Hao mnawaonea tu swala ni usimamizi mbovu.

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 10 месяцев назад

    Miaka mitano Tena kukatika umeme lazima tutubu na Bado hatujaisoma namba ndo hiyo tunaisoma Cha msingi tumuombe mungu atupe kiongozi atokaye kwake na atusamhe makosa tumelalamika Hadi tumemkosea muumba wetu

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 10 месяцев назад

    Labra Azimio la Arusha lirurishwe lithibitishe kuwa Ili nchi iendelee vinatakiwa vitu vinne, watu, ardhi siasa safi na uongozi Bora. Hivii Sasa wanasema eti siasa ni mchezo mchafu, me kama siasa ni mchezo mchafu uongozi Bora utapatikanaje?

  • @yusufujemson9020
    @yusufujemson9020 10 месяцев назад

    Si dhani kama umeme utakuja kukaa sawa kwasababu hata hawa tanesco wao wenyew wanaona km utani tu

  • @Tarent-o8f
    @Tarent-o8f 10 месяцев назад +2

    Wamepewa hela ili jeneleta ziuzwe wanakata umeme ovyo ovyo wanatufanya kama sisi ni wajinga hatujui kinacho endelea

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 10 месяцев назад

    Hongera wewe uliyeteuliwa,ushaur wangu jaribu kufaa yebo yebo ya MAGUFUL ili tatizo la UMEME liishe.tulianbiwa kabisa na JPM....kuwa tatizo la UMEME tena basi,tutaishi kama ulaya,utauziana UMEME Kwa bei ya chini.UMEME SHIDA,MAJI SHIDA.....Kwa nchi YETU ni AIBU.

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 10 месяцев назад

    Kwakwer tena doto kawa mpole kama kaingiziwa ganzi ya ulimi vile lipolipo tu kama tofali isio na uhai

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 10 месяцев назад

    Juzi t kaondolewa january kawekwa sijui nani bado ujinga ni uleule yaonekana kuna watu wao ni zaidi ya taasisi serikali watu kama hao wasio jali maslahi ya ndugu zao wananchi wenzao hawafai kuwaamini na kuwapa kazi

  • @Rockstar-c7l
    @Rockstar-c7l 10 месяцев назад

    Upuuzi Mtupu Serikali inaujumu Vipato na maisha ya Watanzania

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 10 месяцев назад

      Na 2025 mtaichagua CCM tena

    • @Rockstar-c7l
      @Rockstar-c7l 10 месяцев назад

      Nani alikuambia Africa Kuna Democracia ya kwelii wanaochagua sio sisi maskini ndo Maana hawatujali tunapata Viongozi viburi hawajali maisha ya Watanzania

    • @Rockstar-c7l
      @Rockstar-c7l 10 месяцев назад

      Wanaochagua Maraisi wa Africa wako Ulaya ndo Maana wanawasikiliza na wakishachaguliwa wanaenda Ikulu za Ulaya

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 10 месяцев назад

      @@Rockstar-c7l kuna nchi zingine za kiafrika ziko vizuri haziko kama Tanzania

  • @Rockstar-c7l
    @Rockstar-c7l 10 месяцев назад

    kazi ya Kutengua Watu ndo Amefaulu mengine Yote Sifuri Bora amalize miaka Yake akafie mbele
    ipo Siku Mungu atatupa Mtetezi sio Lazima awe yy

  • @Mautammelody8197
    @Mautammelody8197 10 месяцев назад

    hii serikali haieleweki nafuu amtimue ana mbadilisha duuj nchi ya ovyo

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 10 месяцев назад

    Atunbuliwe mkuu sio msaidiz haimuhusu

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 10 месяцев назад

    Mmatuchezea akili nyie

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 10 месяцев назад +2

    Ni drama tu, as long as hakuna atakayeishi milele fanyeni mtakachojickia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 10 месяцев назад

    Unampangia kazi nyingine ya nn na hiyo aliokua nayo imemshinda nashangaa sana hawa wasomi wa nchi hii wanshindwana watu walioishia darasa la?saba kabisa yani

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 10 месяцев назад

    KALEMANI ALIWEZA, KWA NINI KUMUONDOA? ALIYECHUKUA NAFASI YAKE IMEKUWAJE?

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 10 месяцев назад

    Mi nikajua kuna cha maana kumbe ni mtu kapewa ajira?

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 10 месяцев назад

    Saize 43 saize 39 ni kindumbwe ndumbwe tu ila mbwa wangu nae mfuga na kumlisha Amelia mkali ananikoromea hata nae mrisha nauliza majirani nimfanyaje nami ndo namfuga na kumlisha

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 месяцев назад +1

    Tusiwe wajinga kivile lazima watu waandamane ili kuvunja gege la wahuni wasiojali maisha ya wananchi wao wapo kiupigaji na inajulikana toka zamani kuna wezi ndani ya tanesco lakini wanaangaliwa tu

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад

    Mtakavojiskia fanyeni2
    Sisi tunaotumia koroboi kwasasa baada yakufa rais
    Na nyie wala nchi mnaotumia mali za uma kuangaza kwenye hekalu zenu safari y2 nimoja mtakuja kutupea huko haki z2 wez watupu nyie

  • @EXCELMASTER-Wiseoption
    @EXCELMASTER-Wiseoption 10 месяцев назад

    Msitufanye sisi ni wapumbavu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 месяцев назад

    Muungano wa mikoa ya Tanzagiza 🤣🤣🤣🤣🤣 mnakula gizani mnakunya gizani mnatombana gizani Na asubuhi mnakunywa chai bila sukari 😅😅😅😅 Hadi Chumvi itakuwa shida Na hicho kibibi chenu

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 10 месяцев назад

      😂😂😂kabwela umetokea wapi niwache mie na mavi kunuka yangu. Hata hiyo chai inapikwa na nini na maji hatuna mwezi sasa km sio zaidi

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 10 месяцев назад

    HAPA NILIPO NIPO GIZA JOTO NI KALI NAVUJA JASHO!!HIZI STORY ZA KUTUMBUANA SIJAWAHI KUONA FAIDA KWANGU!!MUNGU AWANYOOSHE VIONGOZI WOTE UKIWEMO NA
    WW RAIS BINAFSI SINA CHA KUWAFANYA

  • @sebastianunderscore
    @sebastianunderscore 10 месяцев назад

    Madam we pumzika acha nafasi wakalie wenye weredi na kazi.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 10 месяцев назад

    Utahangaika sana kuteu tatizo la hi inchi ni wewe na ccm Yako meshindwa kuongoza hi inchi katiba mpya ndo tiba

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 10 месяцев назад

    MGAO WA UMEME KWA KILA MKOA NISAWA TU ILA MIMI MTANZANIA DEADLINE YA KULIPA KODI IKAZIDI SIKU MOJA NAPIGWA PENATI HAKI ZA BINADAMU ZIKO WAPI TANZANIA?IPO HAJA TANESCO KUWAPELEKA MAHAKAMANI IWE KWA MIKOA YAO

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 10 месяцев назад

      Haki za BiNADaMU Kwa MUNGU mkuu tz nimwendo wakusaga meno tuu😢😢😢

    • @GodfreyNgatunga-ps6pb
      @GodfreyNgatunga-ps6pb 10 месяцев назад

      Mamangu mrudishe.chande maharage vinginevyo. Hawa vjana watakutia lawamani Asante kwakunielewa

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад

    .

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 10 месяцев назад

    M2 ukilala usiku unageuka kinywaji😂😂😂😂😂😂