MUME WA DIVA SHEIKH ABDULAZAK AGOMA KUMPA TALAKA DIVA ADAI MAHARI YAKE / ZAIYLISSA NI NDUGU YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 127

  • @manaratv__
    @manaratv__  5 месяцев назад +8

    UNATAMANI DIVA NA MUME WAKE WAYAMALIZE ILI WAANZE MAISHA MAPYA?

    • @aminajuma1156
      @aminajuma1156 5 месяцев назад +1

      Ndio

    • @wmarysella
      @wmarysella 5 месяцев назад +1

      Mwambie mume aache dharau eti nyota ilivyokubwa ananiweka wapi.. Kwa maana ya kupuuuza

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 месяцев назад +1

      Ni bora wayamalize. Na waache kuweka mambo yao mtandaoni. Kwa ushauri wng.

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 5 месяцев назад +1

      Kama walivyoowana Kwa wema waachane tu Kwa wema huyo Abdul ni Mariooo tu Hana loloteee amuache dada wawatu aache kuonekana kama mpuuzi manake watu wanamuona kichaa Kwa ajil yake why talaka mtu ukiamua kutoa unatoa tu huwez kusubir tamko la mtu talaka ya kiislam haipo ivyo mtu akifanya makosa husamehewa ila moyo ukishamchoka mtu Haina haja ya kutesana mwisho wa siku kuja kudhuriana bureee We Abdul muogope Mungu wako na sio wanaadam

    • @RoverRoom
      @RoverRoom 5 месяцев назад

      Huyu Jini kisirani Jibwa koko.sheikh WA mchongo, yaniameoza huyu

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 месяцев назад +22

    Daah nilichogundua Abdul ameamua kumkomoa Diva na talaka na Diva akiamua kutoa yeye kisheria hawana cha kugawana hapo ndiyo alipo muweka Diva kwenye mtegooo
    Mwnaume gani wa Kitanzania atukaniwe mama zaidi ya mara 3 tena hadharani eti ujifanye huwezi mpa talaka because kuna wazee wameingilia unasubiri wakupe rukrsa? Excuse us Abdul hebu acha uhuni

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 5 месяцев назад +12

    Huyu Abdul anapenda Sana kamera na usupastaa,Kiuhalisia huyu mwanaume Hana maajabu kabisa,anaingamgania tu ndoa kwasababu ktk hiyo ndoa yake na Diva,ye ndo ananufaika,anamtumia tu Diva,Diva kipenzi kaza buti ,ONCE A CHIETER ALWAYS A CHIETER

  • @lingakalibule1420
    @lingakalibule1420 5 месяцев назад +6

    Wazazi ndo wameoa bana we toa talaka au sema sitoi basi tujue moja

  • @Marjeby
    @Marjeby 5 месяцев назад +4

    Huyu mtoto hajitambui kabisa Diva ameongelea vizuri sana procedure ya talaka kisheria za Nchi hii Bakwata hawana uwezo wakuvunjwa ndoa chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama tu tena baada ya kupita kwenye Consiliation board kama vile ustawi wa jamii lakini pia bakwata ni moja ya Consiliation board lakini pia sheria ya ndoa ya Nchi hii ianatamka wazi kuwa mmoja kati ya wanandoa akiwa hataki kuendelea na ndoa hakuna jinsi upande wa pili unaweza kuzuia.
    Abdul hana shule hana uelewa hata wa kawaida so kuchambua issue ya ndoa hasa kwenye kona ya talaka kwake ni ngumu sana

  • @x7hia
    @x7hia 5 месяцев назад +7

    Ushamfirigisa weee alafu saivi unataka mahari yako ww chizi nini

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 месяцев назад

      😂😂😂😂yani umeni chekesha saana.

  • @neemakitegile5486
    @neemakitegile5486 5 месяцев назад +10

    Kwanini Diva aiende tuu mahakamani?atasaidika

    • @menshitunze
      @menshitunze 5 месяцев назад

      yeye mwenyeww diva anaitaka ndoa. Vinginevyo aitoe yeye, basi wanapendana.

    • @saudangalleni388
      @saudangalleni388 4 месяца назад

      Sio rahis sana ni kaz ngum vizir yey mwenyewe atoe talaka

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 5 месяцев назад +2

    Huyu niTapeli mshenzi alisema kamuoa kwa mauwa sasa anajitia arudishiwe mahari! Mahari gani? Hovyoo! Muache unambanabana tu. Kwasababu ni maarufu na kuna pesa ndio maana ana mg’ang’ania

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 5 месяцев назад +4

    Huyu Abdul keshamfumua marinda Sasa anaongea kwa maringo pole sana dive 😢😢

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 месяцев назад +6

    acha uhuni toa talaka

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 5 месяцев назад +4

    🤔🤔🤔🫣mr Abdul 🗣️🗣️🗣️🫣🫣Anasubiri kumuoa zaelisa ndio move inayokuja Tunasubiri sanaaa 🤔watuwazima wamepanga umuoe zaelisa 🥳🥳🥳🥳Pole Bungat 🫣🫣

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 5 месяцев назад +6

    Uyu Abdul namwelewa sana lkn mke ndo mtihani . Mwanamke alietimia ana heshima na adabu mambo yandani ni privacy

  • @esternjauzi6310
    @esternjauzi6310 5 месяцев назад +7

    Jamani diva si aliolewa na Juzuu tu sasa Diva ndo juzuu inamshinda kumlipa

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 5 месяцев назад +1

      😂😂

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад +1

      😂😂

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 месяцев назад +1

      Jamani wabongo mna maneno…?

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 5 месяцев назад

      Mwanamme wa hovyoooo! Muachee mnatuchoshaaa tushawachoka tuacheniiii shenzi wewe umeachaa wee kwa diva iwe ishu

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 2 месяца назад

      @@ummySheikh72😂😂😂😂😅 haki mecheka, umeongea kwa hisia kali sana! Kwa kweli!

  • @righitkileo
    @righitkileo 5 месяцев назад

    ❤❤❤ujinqa ni kitu kibaya sana bora uwe mpumbavu,ila ukilikuta janaume kila siku ni kudiskass ndoa yake mtandaoni huyo hatar kama Korona.Aisee mwanamke ukiona hii kimbia kama mbwa

  • @Naju645
    @Naju645 5 месяцев назад +4

    Diva ndio kamvuruga huyu Baba maana kila kitu alikua analeta mtandaoni sasa mjinga mwenzie kachoka kaona kama mbwai IWE mbwai

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      Ila diva kazidi kaingia mpaka Kwa wazazi lazima uchoke

  • @bellasharyzo6611
    @bellasharyzo6611 5 месяцев назад +1

    Kwa Abdul alitoa mahari shngapi kwa Diva
    Diva rudisha hiyo mahari uwe huru
    Not unless uko interested na hizi drama

  • @FaridaFaridaseif
    @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад +3

    Mkewe anamwita dada? Dah keshamchoka sema anafata hekma za dini tu. Wala diva asishtaki atapewa tu talaka yake

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 месяцев назад +3

    Diva usirudi nyuma

  • @MaiKasimu-xf4fz
    @MaiKasimu-xf4fz 5 месяцев назад +6

    Sasa umeulizwa........ 😂😂😂😂😂habar za zaylisa😂😂😂😂 jmn nimechek

    • @EmmanuelKawawa
      @EmmanuelKawawa 5 месяцев назад +1

      Hawaja post video nzima wamekata kata kama utaangalia vizuri

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Месяц назад

      Ameona fursa kuwa chawa/mganga wa manara

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 5 месяцев назад +3

    Hahaha lishenzii kweli dude suruali

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 месяцев назад +1

    Ulipowaacha hao wengine ulimuhusisha huyo Mama?wewe unataka kumtumia kwa manufaa yako,wengine uliwaacha chap maana walikuwa hawana kazi wala badhi ila huyo anakazi jina unataka kumtumia ili usikike mitandaoni.

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 5 месяцев назад +1

    Diva asikuchoshe huyo Mganga, cha kufanya rudi kwenye Dini yako na automatically hiyo Ndoa itavunjika tu. Kitendo cha kurudi kwenye Ukristo wako, hiyo Ndoa itakuwa imevunjika kirahisi sana.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 месяцев назад +1

      Arudi kwenye ukafiri?

    • @kessynurutajiri4940
      @kessynurutajiri4940 5 месяцев назад

      @@mohdkhatib223 Diva huko ndoko alikitoka.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 5 месяцев назад

      ​@@mohdkhatib223hivi nyie mnaonaga ufahari sana kuita imani tofauti na yenu makafiri,sasa kama nyie msio makafiri ndo sampuli hii ya huyu Abdul poleni sana.
      Huyo Diva bora arudi kwny ukafiri,sio kwa kufanya ngono ofisini pembeni ya misahafu ptuuuu......

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 2 месяца назад

      @@neemayatosha1618😂😂😂😂 asante!😅😅😅

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 месяца назад

      @Semnyawenda we huogopi mwenzangu😅😅,wakisikia neno kristo wanapagawa ,sasa si bora niwe kafiri kama dini ya haki na masheikh ndo hawa kina Abdulrazak. Hebu watafutage neno jipya hili la kafiri lishaexpire sasa,upuuzi mtupu,kuna maatheist,budha na mpaka Indians wanaabudu ng'ombe wamekomaa na ukristo,sijui wanauhofia nini.

  • @saudangalleni388
    @saudangalleni388 4 месяца назад

    Ila kama umtak usimsumbue mwenzio mpe talaka alatafute maisha kwengine nakama utak kutoa talaka mpetpet mkeo wanawake rahis kisamehe

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 5 месяцев назад +1

    Uyo Angali anapenda divo ,kama amechwa n'a diva atowe talaka,

  • @umukhuwelid9907
    @umukhuwelid9907 3 месяца назад

    Uogo ukiwa mwanamke anataka kujiachisha,anafaa arengeshe nusu ya mahari aliyo pewa

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 5 месяцев назад +4

    Sio mahali fidia qdogo ambayo mwanamqe anaiweza mahali ya mwanaume qwa mwanamqe inaisha pale tu anapomuingilia

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 месяцев назад +1

    Ipo iv mkigombana gombana kwenye mapenzi mara nyingi inakuwa sio salama na nzuri ni hatar ..inaongeza sana chuki na makovu ambao sio mazuri...hususan mkigombana on paplic..alafu kingine kwenye mapenzi mkikosa kuaminiana tu inakuwa sio mapenzi tena ...hao wanapendana ila wameumizana sana hivyo haaminian kutokana na mauzi waliofanyiana hivyo hapo hamna mapenzi tena na hakuna uaminifu dhid yao

    • @minacute3758
      @minacute3758 5 месяцев назад +1

      Nikweli kabisa

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 5 месяцев назад

      @@minacute3758 nikwer mina ipo ivyo..hata kama wakijalibu kumaliza ,,nilazima mmoja wao anakuwa na bady memories ambayo itasababisha visasi..hususan yule atakae taman kuyamaliza akiona tu mpenziwe hamsai na hamsikilizi..kwaiyo itazaa kisasi...nahuyu anayeombwa msamaha atakuwa hasamei halaka nakusahau kama jinsi mpenziwe atakavyotaka asamehewe na waanze moja..hivyo basi hayo mavutano yatasababisha kutokuaminiana tena Kati Yao au mmoja wao, itasababisha maugomvi yamalakwamala alafu hamuachan Kwasababu Bado mnapendana ila hamuaminian,itasababisha kuumizana Kwa makusudi marakwamara nakupelekea visasi na maumivu makubwa na kupelekea kuachana hata kama Bado mnapendana...ilo jambo ninaexpirienc nalo kabisa...ningumu kusovu ikishafikia hatua iyo ..kwamana wamekashifiana Sana on puplic Kwa maneno mabaya ya kukashifiana..kwaiyo hapo hamna tena future nzuri..azawais waamue wote kwapamoja kusamehana kwer nakusahau mabaya Yao ..pengine inaweza ikawa mwanzo tena mzuli..kama wataamua kwer kusamehana na Kila mmoja kujisakrifaiz kwer,pengine inaweza kusaidia mahal fulan na wamshilikishe mungu

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 5 месяцев назад +1

    Huyu Abdul marioo tu hana lolote huyo diva kama kwel hamtaki mume aende hata kwa kadhi kama mume hatak kutoa talaka huko atapewa vizur tu aache kujisumbua kichwa na hichi kimwamaume kihuni kinajifanya ostaz kumbe kiganga ovyooo kabisaa ndio hawa wanautukanisha uislam tunaonekana wa ovyo kwa baadh ya hawa masheikh ubwabwa

  • @Jane-fi8on
    @Jane-fi8on 4 месяца назад

    Kwani kwa dini ya Islam ukitaka talaka unanyimwa? The courts should be able to intervene in such cases where one spouse wants out and the other doesn’t sign divorce papers. Hii ni ndoa ya kulazimisha! Why stay where you are not wanted! Where is your worth in that relationship? The court should intervene.

    • @maimunajerome-bw4sw
      @maimunajerome-bw4sw 2 месяца назад

      Tapeli huyo SI mume,angekua kwetu🇰🇪angekua maharage ni mboga Talaka angeitoa sababu angepikiwa chungu mpaka kadhi akamlazimisha taliki,muhuni TU huyo,money maker

  • @khadijamansoor7415
    @khadijamansoor7415 5 месяцев назад +6

    Shekhe Abdu Razaki'usitoe talaka'hakuna sababu kubwa ya kuachana 'ALLAH awape subira

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +2

      Diva akamuobe msamaha mama mkwe wake

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад +1

      ​@@AmanaHusseineb nisimulie ndugu yangu, alimtukanaje mama mkwe

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      Fatiliya interview za diva zote za ndoa amechafua family zima Mungu to 😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 месяцев назад +1

      @@AmanaHussein yan yule dada akili hamna

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад +1

      Kuishi na diva ni kazi

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 5 месяцев назад +2

    Sasa wewe unatafuta umaarufuu tuu. Zaylisa anaingiaje hapo. Wewe bwege kweliiiii. Unaona kwa Diva unabwagwa unatafuta huruma kwa Zaylisa. Nyoooooooooook.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 5 месяцев назад

      Mjinga sana huyu kama mtoto

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 5 месяцев назад +1

    Uyo mwanaume anapebda sana interview ju niliwahi kuona interview yake alisema kuwa île ndo itakuwa ya mwisho naakatiya kiyapo ,Ila nyuma yaizo interview za tena kama 20,umaitapo tu ndo umemjaa

    • @RoverRoom
      @RoverRoom 5 месяцев назад

      😂😂😂

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 5 месяцев назад +1

      Ya mwisho ili mumsahau😂😂,yaani na talaka hatatoa. Maana kwny ushauri wa mapenzi watu washamuona tapeli,cha kumpeleka mjini ni hiyo ndoa tu. Akitoa talaka ,Diva akawa na mtu,upepo utamgeukia huyo ,yy tutamsahau kama Uchebe🤣🤣

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 5 месяцев назад +1

    Huyu Abdul hana ht presha km Diva. Anaongea na kucheka.

  • @sund2553
    @sund2553 5 месяцев назад +2

    Leo diva atapost Kama kichaa inst

  • @FaridaFaridaseif
    @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад +1

    Diva anataka kwa huyu jamaa abaki peke yake !! Tatizo huyu jamaa sio mtu wa kwenda club kwa hivyo starehe yake ni wanawake. Akitaka atilulie amruhusu aoe mke wa pili. Ndio atapumua.

  • @jsabood
    @jsabood 5 месяцев назад +3

    Huyu mshirikina, Diva atateseka sana kwa sababu inaelekeya ndoa yake alivutwa siyo kwa ridhaa ya Diva. Omba mungu sana kwani umeingiya
    katika dunia ya ushirikina.

  • @maimunajerome-bw4sw
    @maimunajerome-bw4sw 2 месяца назад

    SHEMON you,Abdrazak,unaibisha waislamu,akikuregeshea mahari na wewe uta mregeshea nguvu zake alizokua akikubeba,kukupikia,kukutandikia kitanda,ACHA tabia mbaya,DIVA my sister asikuuzie uoga huyo,usi muulize kitu Kwa mda wa miezi sita,utaachika ,akikupa ,waume matapeli wa mapenzi ndo zao,ingekua huna Senti angekua Asha kutaliki,yuwataka your money, SHEMON you again razak unaibisha waume wenzako

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 5 месяцев назад

    Huyo Abdul ana matatizo gani unamung’ang’ania wa nini mpe taraka yake. Ukiachwa achika.

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад

    Ukishamuingilia Mahari inaisha

  • @msagufana6505
    @msagufana6505 5 месяцев назад

    Wewe ulitoa Mahari gani

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 5 месяцев назад +2

    Swali langu ni kwanini wazazi wamuwe kuhusu talaka

  • @ConnieJohn-ts9rp
    @ConnieJohn-ts9rp 3 месяца назад

    Huyo bwana mshenzi Hana adabu Mke ushamtumia weeee Leo hii eti arudishe mahali nyooo ,,na wewe rudisha ulivyomtumia usiku kucha

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 Месяц назад

    Diva nenda bakwata anajifanya anajua dini amna lolote mnafiki sana

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 5 месяцев назад

    Alafu anasema anaijua dini sheria ukisha muigilia tu huwez kudai kahari unekaa nae miaka 3 yot alafu at unadai mahari we mwehu ehe nyie ndiy mnaaribu dini sheria kama ungekua ujamuingilia kimwili ni haki yako akulipe ushamkula sana tu alafu unadai mahari aya naww mlipe ulipo mtumia

  • @FaridaFaridaseif
    @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад

    Mange mwenyewe anampenda mganga. Maana kuna sehemu alimsifia kusa. Inaelekea hizo ndio pigo za mange wanaume weupe

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 5 месяцев назад +1

    Sahihi ndoa kwa sharia ya kiislamu🇰🇪

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 5 месяцев назад +1

    Mahari si ilikuwa maua au kuna kitu kingine?😂

  • @BarakaKisatu-pz4gh
    @BarakaKisatu-pz4gh 5 месяцев назад

    Ohoooo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 месяцев назад

    Shehe abduli sio aludishe pesa yote ya mahali akiwa anataka kujivua nonoo...inatakiwa iludishwe fidia..pindi mkioana pale unapomuingilia tu mahali yako ndo imeisha...kwaiyo inabidi aludishe fidia na sio mahari yote

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 месяцев назад +4

    😳😳😳😳😳

  • @righitkileo
    @righitkileo 5 месяцев назад

    Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 5 месяцев назад

    Shida mkianzaga mahusiano mnataka dunia nzima tujue kama nyie ndio wa kwanza kuoana....Tumejituliza na ndoa zetu tunangojea uzee nyie wa mitandao pambaneni kuonesha dunia kuwa ndoa ni anasa

  • @beauty2239
    @beauty2239 5 месяцев назад +1

    Tumewachoka mjue nyie watu gani jamn mtafikir wanzilish wa ndoa NCHIN PUMBAVUUU ALAAAA😂😂

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Ndoa inapumulia machine 🏃🏃🏃

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 месяцев назад

    Mbona wengine uliwapa talaka, huyu unacheza na akili yake ili umtumie kupata umaarufu

    • @minacute3758
      @minacute3758 5 месяцев назад

      Hao Ndio wanaume wSkuiz, ye mwenyew hamtaki Diva Ila alikua anamkera makusudi ILI Diva adai talaka mweenyewe ILI yey sasa adai mahari yake 😢😢wanaume wengi wao nishenzi sana😏😏

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 месяцев назад +2

    Nyooo umeshindw kumpa mimba unataka maharinmfyuuuu

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Mtoto ana toa ni Mungu sio abdul.mahari ata iwe Pini kisawa arudishe😏

  • @PeridaMtweve
    @PeridaMtweve 5 месяцев назад

    Hawezi kurudisha yote kama amezaa

  • @jadetoto
    @jadetoto 5 месяцев назад

    Aliolewa na ua tu ndo ashindwe kurdish ua

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 5 месяцев назад +1

    😂😂😂nilimiss hivi vitimbwi

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 5 месяцев назад +2

    DIVA. ASIPOANGALIA ATAPATA WEHU,HUYU. JAMAA NI NARCISSISTIC.

    • @FaridaFaridaseif
      @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад

      😅😅 tutafasirie

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 месяцев назад

      Waswahili wanasema asie ckia la mkuu. Mwisho huvunjika guu. Diva aliambiwa na wanawake wa mwanzo wa huyu Abdul. Walisema ni mnyanyasaji wanawake huyu. Sasa ndio aine Diva. Sbb hakuongea mwanamke mmoja.

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 5 месяцев назад

    Na yeye atarudisha utamu!?

  • @chemstry409
    @chemstry409 5 месяцев назад +1

    Arudishe Mzigo......😂😂😂

  • @KareemRezaki
    @KareemRezaki 5 месяцев назад

    Hiyo sheria n ya kiarabu,.mke akidai talaka arudishe mahar

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Sisi pia ni warabu wa mobasa😂😂😂

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 5 месяцев назад

      Sio kiarabu. Ni dini.

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 5 месяцев назад

    Mahari ilikuwa ni Mas-haf na Mauwa

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 5 месяцев назад

      Ata iwe Pini au sindano kisawa kidini ni arudishe

  • @FaridaFaridaseif
    @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад

    Hili jamaa mi nalipenda bwana . Mwanaume na nusu. Lina makomfidens km yote. Halafu halina presha. Halafu linajua km diva hapindui. Na hana maajabu kwake. Na sio lishamba la mapenzi wala sio mshamba wa wanawake

  • @davidmangilile3568
    @davidmangilile3568 5 месяцев назад

    Huyu mbona anyone kana kama yupo kwenye mfumo 😂😂😂

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 5 месяцев назад

    Dalali kipi kazini 😂😂

  • @chemstry409
    @chemstry409 5 месяцев назад

    😂😂😂

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 месяцев назад

    eti mf pank haha

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 5 месяцев назад

    This Man is very useless

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад +4

    Diva kamakweli umechona na vituko vya huyo unaemuita mumeo. Ww chukua mashahidi mlipe pesayake ya Mahari aliyokupa basi hiyondiyo shelia ya Dini ya kiislam. Jivuetu uwe.huru.

    • @Hawaa-cw6fl
      @Hawaa-cw6fl 5 месяцев назад

      Hakuna pesa ya Mahalia kulipwa kwani ajamtumia ni umaskini wa huyu mwanaume

    • @Hawaa-cw6fl
      @Hawaa-cw6fl 5 месяцев назад

      Ww ndio jliyetaka achike kisheria mwehu uyo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад

      @@Hawaa-cw6fl hatakama kamtumia hiyo ndiyo sheria ya Dini yakiislam

  • @FaridaFaridaseif
    @FaridaFaridaseif 5 месяцев назад

    Mange mwenyewe anampenda mganga. Maana kuna sehemu alimsifia kusa. Inaelekea hizo ndio pigo za mange wanaume weupe