Mtenda Miujiza | Osborns Praise
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- The official video of "Mtenda Miujiza" by Osborns Praise.
Connect with Osborns Praise:
Instagram: osbornspraise
RUclips: / @osbornspraise
RUclips: / @pastortonykapola
Lyrics:
Mtenda miujiza yuko hapa
Mungu mwenye nguvu yuko hapa
Mtunza maagano yuko hapa
Mwanzo tena mwisho yuko hapa
Anatenda, anajibu, anatenda jambo jipya
Anarejesha, vilivyopotea, anatenda jambo jipya
Yuko hapaaaa
Yuko hapaaaaa
Yuko hapaaaa
Mtenda miujiza yuko hapa
Mungu mwenye nguvu yuko hapa
Mtunza maagano yuko hapa
Mwanzo tena mwisho yuko hapa
Mtenda miujiza tenda na kwangu leo hii 02/01/2025 nitoke kwenye madeni i put my trust in you JESUS MUNGU MWENYE NGUVU
Anarejesha vilivyopotea 2025 ananfanya jambo jipya
Mtenda Miujiza yupo hapa na mimi,Asante Yesu 🙏
Always following the Osborn virtually hoping one day I will come to Tanzania fellowship together and see y'all
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼😫😫na mm nasubr miujiza kutoka kwako Mungu niko apa🙌🏼🙌🏼
Mtenda miujiza ni nani kama sio wewe Mungu🔥💥🙇
miujiza niliyoomba on that particular day of live recording ,,,,Mungu amenitendea🙌 I glorify you my Lord.
I'm simply the living testimony of that mtenda miujiza yupo
GLORY TO GOD
Nyimbo inaimbwa unasikia uwepo wa roho mtakatifu waoooooh waoooooh may God bless this anointing gospel
More grace Osborn's Praise and the team. Mtenda miujiza Yuko hapa
Jesus is here, Covenant Keeping God is here
Wooow😢😢😢!!!,so touching and uplifting ooh my God😢😢😢
Hongera sana Osborns ,tuko pamoja Nawapenda sanaaaa ❤️🥰🥰❤️,Mungu azidi kuwabariki
GlorY 🎤🔥🔥🔥
The stage is astonishing...🔥🔥🔥...Osborn we are surely unstoppable
From Kenya thisis Big ....God Bless Team Jesus , Team Osborns
Mwanzo tena Mwisho...Yuko hapa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hallelujah hallelujah miujiza tiari huku kutoka kwa PT wetu baba yetu Tony kapola osborn🎉🔥🔥🔥❤
WHAT A SONG📌
I REALLY FEEL HIS PRESENCE EVEN AT HOME♥️
#GROLY TO GOD🙌
Miujiza inakwenda kutokea kwenye maisha yangu 🫠
Mtendaa muujiza
Wimbo wangu ninaoimba kila siku kwamiujiza mingi
Mbarikiwe sana watu wa Mungu
Neeeema uwiii Yesu akutumie saaana aisee sauti yako Ina nguvu ya Mungu itunze usiipoteze
this lady i wish i could see her she poured the anointing on the stage like fire
Aweee Glory 🙌🙌Glory to God as ur name 🥰🙌🙌
Hakika Mtenda Miujiza Yuko Kazin, Hata mimi amenitendea and am greatful 🙏 🎉
Mbarikiwe sana 🙏🙏
Shekindarkyosa mahadrekotrabakataya🙌
Slowly we taking over😊😊
Hallelujah 🎉
Hallelujah Hallelujah Mtenda miujiza yupo hapaaa Ni Mkuyuni to Kwa Baba etu Pastor Tony Osborn 💪💪💪💪💪💡💡🔥🔥🔥🔥📖🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Anafanya JAMBO JIPYA😢
Mtenda miujiza yupo kwenye maisha yangu
Mtenda miujiza🙌🙌
Mtenda Muujiza njoo na Muujiza wangu 😢
He is always with us. Thank you for the reminder. GOD bless you the Osborns
Wow am really waiting for this blessing 🙌 🙏🏻 hakika anatenda miujiza mbarikiwe sana 🙏🏻
Haleluya Glory to Jesus
Osbornspraise light of the world 🔥🔥
Hallelujah🎉🎉🎉
Mbarikiwe
I'm blessed 🙌
Amen
Thank you JESUS ❤❤
❤❤❤
Wimbo ninaouimba kutwa nzima uko hapa..
Glory to God
Wawoooo ewaaaa
Oooooh haleloyaaa
More grace Osborns praise team
The atmosphere 🙌
Me nawapenda 🙌🙌 🙏
Oooh Glory to God
I like to speak in tongue❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
We are Osborn 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
🙌🙌
Ooh this song❤
Cnt wait diz blessing from Osborn🥰
Mtenda miujiza yupo hapa❤
Woooooow God is here
Oooo this song😭😭😭😭😭🙌
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Am so blessed 🎉
🎉🎉🎉
Glory 🔥🔥🔥🙌
🙌🙌😭😭
🙌🙌🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤🎶🎶🎶🎸🎤🎷🎵🎹
Anarejesha vilivyo potea🇱🇧🇱🇧🙏🏿🙏🏿
God is good
❤❤❤
🔥🔥🔥
❤
🙏
🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
ruclips.net/video/AGrs0qNFkCg/видео.htmlsi=u8lWJ9KfdKTFYjFx
❤
❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤