MGOMBEA |1| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • #mgombea #mkojani #movie
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 168

  • @user-ls2cm8pw5x
    @user-ls2cm8pw5x 9 дней назад +7

    Ila Mkojani Na Cha Ndimu Wamefanana Sana😂 Sio Bure Pana Kitu😂😅 Kama Uneona Hilo Nipe Like Yangu Apo

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc 15 дней назад +14

    Pichaa ndo kwanza inaanza mkojani ushafumaniwaaaa😂😂😂😂

  • @jafarynchimbi1150
    @jafarynchimbi1150 15 дней назад +25

    Wakwanza leo kutoka mtwara tz gonga like

  • @user-dz2ch6nu5s
    @user-dz2ch6nu5s 10 дней назад +2

    Nakubali hii movie noma tunao mkubali mkojan gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 15 дней назад +8

    Kazi nzuri, INSHA ALLAH ikiisha hji muanze nyengine yenye mtaita KIONGOZI

  • @DavidOkinyi-dl6hc
    @DavidOkinyi-dl6hc 15 дней назад +5

    Kwa hiyo Mkojani umekosa njia mpaka kumruka mwamba au?? Acha dharau

  • @makoba478maheri3
    @makoba478maheri3 15 дней назад +8

    Baada ya kusubiria kwa muda Sasa imeanza rasmi

  • @user-fn7vm8mf9d
    @user-fn7vm8mf9d 15 дней назад +12

    Kali sana tuliwamisi sana 🇨🇩

  • @user-zu8yr7mh4h
    @user-zu8yr7mh4h 15 дней назад +3

    Nimechelewa kidogo nipeni like zangu tafadhali

  • @user-zc1qh6ti2p
    @user-zc1qh6ti2p 15 дней назад +7

    Hivi we Adam ushawahi salitiwa nini mana kwenye life yako ya muvi wake zako wanaupiga mwingi mno.

    • @MaroFredson
      @MaroFredson 13 дней назад

      😂😂😂😂😂 kwenye ubaya nako n hvyooo hvyoooo 😂😂😂😂

  • @alitante4279
    @alitante4279 15 дней назад +7

    Huyu dem mke wa haji ashakua bonge hv dah mashallah 😅

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 15 дней назад +6

    Ila mkojani ndio nini kumtambuka mwezako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Silvernite_255
    @Silvernite_255 9 дней назад +2

    Gang lakisenge saiv Hilo kila day migogoro mkojan fala

  • @emmanuelmwongi3152
    @emmanuelmwongi3152 15 дней назад +5

    Nakubali kazi unafurahisha mkojani by kutoka MITUNDU Singida tz

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g 15 дней назад +4

    Mimi leo ni wa 104 nahitaji like zenu kwa wingi sama hasa kwa nyie mliyo tangulia kuona

  • @adinanzacharia409
    @adinanzacharia409 15 дней назад +7

    Sema haji sijui kawakosea nn Wana wake yeye tuu Kila move Wana msaliti😂😂😂😂

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 15 дней назад +3

    Huyu haji movie zote anapigwa matukio

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 15 дней назад +3

    I'm form Kenya 🇰🇪

  • @fikiliibrahim9720
    @fikiliibrahim9720 15 дней назад +4

    Kma una mawazo maisha yamekupiga watazame awa jamaa utapenda

  • @user-vf6dw6vm7l
    @user-vf6dw6vm7l 15 дней назад +4

    I'm the first to comment naomba like zagu from Comoros

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 15 дней назад +8

    Tupo live kwa mara nyingine teeeeeeenaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elijahclassicboy8228
    @elijahclassicboy8228 15 дней назад +3

    From Kenya na miguu mpaka dar ❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪

  • @MekyArosto-os5gt
    @MekyArosto-os5gt 15 дней назад +3

    Mkoja I gang naeakubali movie Kali hamna baya ila muendelezo jitahdi mapema mana muda nilikua nasbiria hii movie

  • @bilaliabdallah9351
    @bilaliabdallah9351 15 дней назад +6

    Wakwanza

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 15 дней назад +3

    😂 mwanzo hadi mwisho mgombea ❤❤

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 15 дней назад +4

    Mwanamke mikono imejaza nyama kama kiboko😂😂

  • @user-kz7li4wg6c
    @user-kz7li4wg6c 15 дней назад +10

    Kama kawaida tumefika mkojani gang

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 15 дней назад +3

    Nilikuwa board bila uwepo wko kwenye cm yangu best comedian wangu

  • @jeremiahpeter5087
    @jeremiahpeter5087 15 дней назад +4

    Mkojan ze giant upo vizur eti simu kwa simu

  • @NYENJENDEU
    @NYENJENDEU 15 дней назад +2

    Nimewahi leo kutoka ruvuma tz😂😂😂😂😂😂

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 15 дней назад +2

    Ndizi imekatikia kwenye mchemsho😂😂😂😂😂😂😂

  • @masudmrisho6299
    @masudmrisho6299 15 дней назад +4

    First1😊😊

  • @CharrzTem
    @CharrzTem 15 дней назад +5

    Wakwanza leooo like 🎉🎉🎉

    • @fidelekahezi5175
      @fidelekahezi5175 15 дней назад

      Toweni maoni Kila Siku naomba likes naomba likes Sasa likes inawasaidia Nini?

  • @user-kh3kh8bx5g
    @user-kh3kh8bx5g 15 дней назад +2

    Ndy naingia Nikae wap

  • @FardeenIddy
    @FardeenIddy 15 дней назад +3

    Mbona vifupi Sana

  • @SalumuSaid-ny3kc
    @SalumuSaid-ny3kc 15 дней назад +3

    Daaah tumekaa kinyonge sana big up mkojan gang

  • @user-zc1qh6ti2p
    @user-zc1qh6ti2p 15 дней назад +2

    Nilitamani sana kazi mpya za mkojani asee nafarijika sana kuona umeleta hii.

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 15 дней назад +2

    Chandimu kawa kibaka😂😂

  • @MohmmedGandhi-zc9wo
    @MohmmedGandhi-zc9wo 15 дней назад +1

    Ilikua yataka mwanangu baga wapi like zangu mtu kunduchi

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 15 дней назад +2

    ❤❤❤

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb 15 дней назад +1

    Kwa mala nyengine tenaa❤

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 15 дней назад +1

    Pamoja sana wapendwa timu mkojani gang

  • @jaimessimeone6750
    @jaimessimeone6750 15 дней назад +1

    Bin kifaru Anafanya mazoezii😂😂😂😂

  • @SamwelYohana-qz8lp
    @SamwelYohana-qz8lp 15 дней назад +4

    Wakwanxa mm mwambie chandim nakubali

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 15 дней назад +1

    Mkojani gang tulikua tumewamiss kitu kimeanza. Mulipo tupo

  • @allyaseid3000
    @allyaseid3000 15 дней назад +1

    yan haji kila cku ww tuu nenda kauwe leo

  • @AbdullahNamachokole-gm3ub
    @AbdullahNamachokole-gm3ub 15 дней назад

    Kazi nzuri sana mkojani geng 🎉🎉 amn baya

  • @user-xv9rc7ye9l
    @user-xv9rc7ye9l 15 дней назад +4

    jiwe jipy kw fadhaaa kubw kuliko

  • @peterbahati
    @peterbahati 15 дней назад +2

    Ki2 kipy

  • @jumaramadhani7457
    @jumaramadhani7457 7 дней назад +1

    Uyo Mzee haji ata ximtamanigi kwenye maisha yang nlikua naishi na mtoto wakakaake ambaye ye ndo kamlea ikatokea bahat mbaya yule mtoto akapata ujauzito alimtoa kwalazima axeee mpk xaxaivi uyo mtoto yupogo anatexeka2 uko mwera pangangan

  • @user-ei4fv6pl5n
    @user-ei4fv6pl5n 10 дней назад

    Tobaaa ndio kimenuka sio mgombea hutoboi

  • @khamisyaa6927
    @khamisyaa6927 15 дней назад +1

    Shukran mkojani gang 🇶🇦🇰🇪🤝

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 15 дней назад +3

    Picha limeanzia hapa 😂🤣🤣🤣🤣

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 15 дней назад +2

    😂😂😂😂 we mkojani wewe eti ndizi imekatikia kwenye mchemsho

  • @bonnybitson2993
    @bonnybitson2993 15 дней назад +1

    Huyu bidada kanenepaaa bhana.

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 6 дней назад

    Huyo usimjaji sana anaitwa Sharkani wa nyumbani

  • @chriswanyonyi1483
    @chriswanyonyi1483 5 дней назад

    Nairobi Kenya tunaikubali🇰🇪

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm 15 дней назад

    Team mkojani gang mambo ni fire 🔥🔥 kazi iendeleeee

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 15 дней назад

    Haji mzuri MashaAllah mwanaume na nusu

  • @DaudyPapa
    @DaudyPapa 15 дней назад +1

    Mtwra moja

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 15 дней назад +3

    Tuliwamic😂😂

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 3 дня назад

    Kazi.nzuri...🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kajairolancaster7028
    @kajairolancaster7028 15 дней назад +1

    Mkojani mbona umetuweka sana hivo wewe

  • @alidullah207
    @alidullah207 15 дней назад +1

    Lakini Mkojani una ufala saana.
    Ulituwekea BIBI NA BWANA... Coming soon... mukiwa na dada Riama Ally..
    Mpaka leo hujatuletea...

  • @gemyemilian3239
    @gemyemilian3239 12 дней назад

    hizo like mnapeleka wap

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 11 дней назад

    Uyo dada kaigiza uongo kabisa eti mwizi anasua sua apo apo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @Joseph_ngei
    @Joseph_ngei 15 дней назад +1

    Chuma hewani nimemis sana vichekesho

  • @patrickokot6478
    @patrickokot6478 15 дней назад +1

    Kitu kipya gang mkojani

  • @saheemally1411
    @saheemally1411 15 дней назад +1

    Wa kati na katii leoo kutoka shinyqnga

  • @NassirynassibuNassirynassibu
    @NassirynassibuNassirynassibu 15 дней назад

    Sawa pia na sasa tuna kazini yetu tunaitaji sapoti zanu wakubwa

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r 15 дней назад +1

    Movie nzuri sana mkojani 🎉🎉

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 15 дней назад +4

    much love

  • @rehemaothaman486
    @rehemaothaman486 15 дней назад +1

    Mauwa kwa mkojani 🎉🎉

  • @RamadhanRamsobady
    @RamadhanRamsobady 15 дней назад +2

    Mkojan gang inatupa raha sana🎉🎉🎉

  • @pascalvenus3078
    @pascalvenus3078 15 дней назад +2

    like za mokajan gang tafadhal

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 15 дней назад +1

    Afadhali hadi tuli ku miss😊

  • @user-xq3xk1rf8q
    @user-xq3xk1rf8q 15 дней назад +1

    It is me 😅😅

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n 14 дней назад

    Mkojan una wasanii mpaka wengine unawawka pending aya tumemmiss mwa4 dad wa juni mahaba na pacha wa riyama ma mashem shem na rubby sijui ruzamaya

  • @suleimanadam4626
    @suleimanadam4626 15 дней назад +1

    Mkojan umezingua bob😮😮

  • @biggy163
    @biggy163 15 дней назад +1

    Mkojani gang is back!!!

  • @user-ln9ox4xi3u
    @user-ln9ox4xi3u 15 дней назад +1

    Goma limeanzia hapa

  • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
    @LovelyMountainLandscape-dd4xe 15 дней назад +1

    Kazi nzuri mkojan gang

  • @tigergilyofficial
    @tigergilyofficial 15 дней назад +1

    Safi sana wakurungwa 🎉🎉🎉

  • @user-lr1hg1bu2o
    @user-lr1hg1bu2o 13 дней назад

    Team mkojanii 💪 Napenda kazi zako 😍😍zinanifurahisha mpka basii👌

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga 7 дней назад

    😂😂😂😂haji upanga huo unanoa
    😂😂😂😂😂the best spiritually oppressed character chukua tuzo kaka🏆🏆🏆🏆💥💥
    😂😂😂😂😂😂

  • @JumaTofali
    @JumaTofali 8 дней назад

    Daa nimeipenda hii

  • @cattovan_tz228
    @cattovan_tz228 10 дней назад

    MKOJANI LIPA WATU ACHA DHULUMAA WEWE 😂

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 15 дней назад +2

    Kazi imeanza 🤣🤣🤣

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 14 дней назад

    Ila mkojani eti"eti hpa ndizi imekatikia kwnye mchemsho"😂😂

  • @user-it1yl4gf8n
    @user-it1yl4gf8n 12 дней назад

    mkojani umeatimba ap😊😊

  • @DickisonDesdery
    @DickisonDesdery 15 дней назад +3

    Unajua sana kaka 👍👍

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 12 дней назад

    mkojani bin darwesh bin tarbush

  • @isoboy2035
    @isoboy2035 12 дней назад

    Hio sound track punguzeni inaumiza masikio ukiunganisha kwenye bufa

  • @KakazKanda-bj6mq
    @KakazKanda-bj6mq 15 дней назад +1

    👁️👁️ mgombea 1

  • @MudiNdeu-ot9sw
    @MudiNdeu-ot9sw 15 дней назад +1

    mauwa mpewe mapema

  • @JacksonZephaniah69
    @JacksonZephaniah69 15 дней назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 5 дней назад

    Samofi nakupenda❤

  • @user-si9pb1us8d
    @user-si9pb1us8d 15 дней назад +1

    Good waork

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 15 дней назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-wq7zm9bo6l
    @user-wq7zm9bo6l 14 дней назад

    Dk chache sana