Dada Faith Kutoka USA,MD mie ni mwana MD mwingine, PG county!..barikiwa na hapo umeamba kweli!..la mno ni kutiana shime..Mimi nilikuwa mwalimu wa lugha mle jamhuri zama zile,na nakuunga mkono kabambe!..fani ya lugha ni pana sana !..kuna vipengele vingi vyake kiasi kwamba hata sie waeledi wa lugha hatuwezi kuvipitia vyote..kila sehemu ya Afrika ya mashariki na kati ina mpangilio wake wa maneno.Pasina kutoleana changamoto jameni tukubaliane kwamba mchungaji huyu ana kipawa maradufu pasina shaka!
Bwana asifiwe Mchungaji Ushindi .Mimi ni ndugu Sammy hapa canada.Nafurahi sana kwa nyimbo zako zote ila nasikitikika sana ginsi uliibiwa zamu sana kwa kutukana munyimbo eti "wakisha kukatonga mimba",hapa ulipata ile katika Biblia gani? Tuwe pia na kiasi na hekima katika huduma . Ubarikiwe Pastor Sammy .
hi Pastor Sammy. Mimi naitwa Faith kutoka USA, MD. kiswahili saa zingine ni kigumu lakini naami alikuwa anamaanisha kutunga mimba. angalia nyimbo zote amechanganya lugha. usiwe mwepesi kuhukumu. fikiria mimi ni muimbaji pia, lakini sio mcongo sasa jaribu kufikiria nikijaribu kuimba kikongo lazima nitachemsha kidogo. hebu tujaribu kutiana moyo. na sio kuhukumiana tupendane na tusiangalie weakness tulizonazo. just try to make a point. be bless. peace.
Who is still watching this in 2024 yesu tu
😂
I swear
2023 who is still here??
Merci beaucoup Emanuel ushindi Congo 🇨🇩 drc 2023
I have loved this song,I used to only hear the audio but now I also watched the video, it's mwaaaa❤❤❤
Dunda na Yesu
I can't express the sweetness of the song wonderful i wish my mum was alive .
This is the only song that mattered that year.. God bless pastor ushindi met him in my home town in 2007 at a crusade .. it was fire
Dada Faith Kutoka USA,MD mie ni mwana MD mwingine, PG county!..barikiwa na hapo umeamba kweli!..la mno ni kutiana shime..Mimi nilikuwa mwalimu wa lugha mle jamhuri zama zile,na nakuunga mkono kabambe!..fani ya lugha ni pana sana !..kuna vipengele vingi vyake kiasi kwamba hata sie waeledi wa lugha hatuwezi kuvipitia vyote..kila sehemu ya Afrika ya mashariki na kati ina mpangilio wake wa maneno.Pasina kutoleana changamoto jameni tukubaliane kwamba mchungaji huyu ana kipawa maradufu pasina shaka!
Napenda hi wimbo sana tangu utotoni kitambo🙏🙏🙏
Toda honra e toda Glória é dado ao nosso Deus.Louvemos ao Senhor nosso Deus que lhe deu este talento. 🙏🙏🙏👏👏👏
Bwana asifiwe Mchungaji Ushindi .Mimi ni ndugu Sammy hapa canada.Nafurahi sana kwa nyimbo zako zote ila nasikitikika sana ginsi uliibiwa zamu sana kwa kutukana munyimbo eti "wakisha kukatonga mimba",hapa ulipata ile katika Biblia gani?
Tuwe pia na kiasi na hekima katika huduma .
Ubarikiwe
Pastor Sammy .
Penda sana
Greetings from lindi Tanzania
I really luv this song.God bless pasteur
Am blessed with this song and I get encouraged especially know I have God the Father,Son and Holy spirit behind me. Am protected
Eeeh amen! I really like this song i fel ok when am stressed.amen
Back When Quarantine Actually Meant Nothing!!!
Ubarikiwe mon pasteur
Amena Amena
Kiswahili chenyewe cha kuunga unga ila nimependa sana, mbarikiwe.
Kiswahili cha Congo hicho wewe
Mapishi inafatana na ratio.👌
ration... ingredients provided.
Iko powaaa!
Very good rhumba beat.
Amen
hi Pastor Sammy. Mimi naitwa Faith kutoka USA, MD. kiswahili saa zingine ni kigumu lakini naami alikuwa anamaanisha kutunga mimba. angalia nyimbo zote amechanganya lugha. usiwe mwepesi kuhukumu.
fikiria mimi ni muimbaji pia, lakini sio mcongo sasa jaribu kufikiria nikijaribu kuimba kikongo lazima nitachemsha kidogo. hebu tujaribu kutiana moyo. na sio kuhukumiana tupendane na tusiangalie weakness tulizonazo.
just try to make a point. be bless. peace.
Pastor Ushindi Nahitaji ule wimbo -- Eee Baba Tuko mbele zako tunakuabudu. Naweza kuipata vipi?
WIMBO HUU UNANIBARIKI NA KUNIFUNZA MENGI
Hallelujah
Amen 🙏
God bless you pastar
I hv been looking for this song now for over 10 hours., what is the name of the song please?
Brilliant!
𝑀𝑒𝑚𝑜𝑟𝑖𝑒𝑠 𝑑𝑢𝑛𝑑𝑎 𝑚𝑢 𝑌𝑒𝑠𝑢
Hizi nyimbo hasikosi radha
Mikono juu
nani yuko hapa baada ya kusikia huu wimbo tiktok
really nice !!
Ameeen🙏🙏🙏
nice
Wow 🙏🙏🙏
Pastor Faustin new album
look at dis
I AM LOOKING FOR A SONG AND THE WORDS ARE: YESU NI MWOKOEI WA ROHO YANGU EEH. PLEASE CAN YOU HELP.
Pastor emmanuel mshindi dundamu Yesu
@sctoweett Jesus Loves You!!
Amen