HUZUNI MCHUNGAJI MITIMINGI AFARIKI DUNIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 393

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo 4 года назад

    Naamin kazi umeimaliza hakika unastahili kwenda kupumzika kwa BABA ,hata Baba mungu ana jivunia wewe.💪👋
    Tumshukuru mungu hata kwa hili
    * Asante Baba *
    Nami naomba nijalie mwisho mwema nifikie kusudi lako la kunileta Hapa Dunian,
    Naomba utusamehe tulipokosea ma utuongoze kataka haki yako.

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 4 года назад +12

    😭😭😭😭 rip duh jamanii mi sio mkristo lkn nilikua napenda kusikiliza sanaaa

  • @joycekulinda6621
    @joycekulinda6621 4 года назад

    Til dis time i can't believe BT RIP pastor! A servant of God!!

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 4 года назад +1

    Daaaah! Mtu muhimu sana kwa Tanzania, I can't believe, ooooh! My God. Aaaah! hamna namna pumzika kwa amani mwl. Nitamc mno mafundisho yako. RIP mwl Peter Mitimingi

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 года назад +1

    Mungu akampe kauli thabit,na amsamehe makosa yake na akampe pumziko jema la milele.Amiin.

  • @janethjackson374
    @janethjackson374 4 года назад +1

    Jamani Peter! Pumzika kwa Amani Mwl. Nilifaidika sana na mafundisho yako. Mungu akupokee kwenye raha ya milele

  • @janethcharles5917
    @janethcharles5917 4 года назад +1

    Uwii RIP pastor Mitimingi Vita ya imani umeipga,kazi umeifanya,,mwendo umeumaliza

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 года назад +6

    Its beautiful thin when man of God goes home ...rest in paradise mwl

  • @ibrahimjumanne678
    @ibrahimjumanne678 4 года назад +1

    Mungy akulipe sawa na kazi yako umenipa muongozo wa maisha yangu kwa huduma yako

  • @mpokijackson1421
    @mpokijackson1421 4 года назад +15

    Umeacha alama pastor, Voice of Hope ministry and WCC church. If you have fulfilled the purpose why abusing time in this destructive world Just rest.

  • @eddyboi8476
    @eddyboi8476 4 года назад

    najua inauma lakini inafaa uzoee R.I.P baba mwenye busara zako akika mengi nimejifunza kupia wewe ulipotoka umeacha pengo kubwa sana ila nakuhaidi kuyafanyia kazi nilijifunza kutoka kwako na bado uliyo yaacha nitaendelea kuyasikiliza na nitayafanyia kazi bwana alitoa na bwana ametwaa .Amen

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 года назад

    Aiseeeee!! Duuuuu!!! Jaman!!! Mafundisho yk yameniimarisha,,Mungu ushukuriwe kwa hili.

  • @shigulaart1198
    @shigulaart1198 4 года назад +10

    R.I.P MCHUNGAJI NA MWALIMU KATIKA WATU NILIOKUWA NAWAKUBALI SANA KUHUSU MAISHA YANGU NAMBA MOJA NI WEWE UMENIACHIA KITU MANINJA ZANGU WA Zanzibar GONGA LIKE

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 4 года назад +5

    R.i.p Poster.....mikonon mwake MUNGU akupumzishe kwa aman ....mazuri yko yatadumu mtumishi siku zote.😭😭😭😭😭😭😭

  • @mariesewakalunga4314
    @mariesewakalunga4314 4 года назад

    Pumuzika kwa Amani baba mushungaji.Mungu akupokeye umefanya Kazi kubwa duniani.

  • @rosetanimurere6027
    @rosetanimurere6027 4 года назад +3

    I can’t believe this man gone Rest In Peace my father in heaven be with you God accept him in name of Jesus 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 года назад

    Najiuliza sana hivi hawa viongozi wote walipangiwa kufa mfufulizo kipindi hiki, tukiiweka kando coronavirus?wachukue samlpe kuhakikisha ninini maana na yeye kakutana na wengi wasichukulie kirahisi rahisi hasa makanisani maana watu bado wanakutana coronavirus wanaweza kumpata yeyote.
    RIP mchungaji Mitimingi

  • @ikupamwaisoba4118
    @ikupamwaisoba4118 4 года назад +9

    Mungu tusaidie tuwe tayari mda unaofaa na usiofaa hakika shoka liko shinani kukata,Nenda kamanda wa Yesu tutaonana baadaye,haya yote yatokeayo yatufundishe kuwa na mahusiano mazuri na Mungu.

  • @najatmngazija1547
    @najatmngazija1547 4 года назад +5

    Innalillah wainnaillah raajiun 😭😭😭😭😭😭daah inaumaa JMN

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 4 года назад

    Dah!! Kifo akina HURUMA.
    Nilikuwa namkubali sana pastor mitimingi RIP papa!.😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @everlynespaete3074
    @everlynespaete3074 4 года назад

    Oh no...RIP Sir...thank you for the great teachings.

  • @hamuyohana6480
    @hamuyohana6480 4 года назад

    Kuishi ni kristo,kufa ni faida.
    *kweli,ulimuishi kristo kwa mafundisho yako ya neno la mungu,na imekuwa faida kwako pia kwani Nina imani na wewe kuwa,umekaa mbele ya mkono wa kuume wa YESU kristo,aliyekutuma kazi uliyoifanya imeonekana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania*
    Pumzika kwa amani commander wa Injili,tutakukumbuka daima.Tulikupenda sana lakini mungu ameamua kukupumzisha,mwenye sikio na asikie Yale Roho aliyokutumia kuliambia kanisa.
    Amen.

  • @tsongokauta5911
    @tsongokauta5911 4 года назад

    Poleni sana... taarifa hiyo imetufikia kama msituko
    Pole sana kwa jamaa na kwa kanisa lote. 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @mukalayvindicien4167
    @mukalayvindicien4167 4 года назад

    Mimi niko Congo nahuzunika sana ju ya kifo cha mchungaji, mungu amlaze mahali pema

  • @kedmochilewa761
    @kedmochilewa761 4 года назад +4

    Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe R.I.P Mch. Peter mitimingi...Amen

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 4 года назад

    Mwili mkubwa na kisukari ni shida niko na jirani yangu hapa ni mwembamba sana ameugua kisukari mwaka wa 5 nayuko sawa... Rip mzee mchungaji

  • @stevenlameck7044
    @stevenlameck7044 4 года назад

    Daima nitayasoma mafundisho yako,daima tutakukumbuka mwalimu wetu sisi tulikupenda lakin mungu amekupeda zaid

  • @butugaeve3300
    @butugaeve3300 4 года назад

    Dah inauma kweli pumzika kwa amani Pastor utakumbukwa daima.

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 4 года назад

    Nenda baba,kazi uliyotumwa umemaliza.Mbele yako nyuma yetu

  • @godotaru7088
    @godotaru7088 4 года назад +10

    😭😭soo sad nlikua namkubali sanaaa daaa

  • @hawakameta685
    @hawakameta685 4 года назад

    RIP kipenzi chetu mwalim pastor....Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 4 года назад +1

    Pole kwa family na kabisa Kuna baadhui ya Crip zake nilikua naziona istagram

  • @erickdavid5829
    @erickdavid5829 4 года назад

    Daaaah kwel mzee umeenda jaman😭😭😭😭😭pumzika kwa aman japo mahubir yako yamenitoa mbali sana camin kama ctackia mahubir mengine kutoka kwako😥😭😭😭...ulale pema mwlm.

  • @lindajeremiah35
    @lindajeremiah35 4 года назад

    Mungu ampokea mahali pema peponi mana mioho yawengi imepata majeraha sana Rest In Peace 💔💔

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 года назад

    Inalila wainalilahi rajiun pole sana sana ndungu zetu mungu amuake pema penye wema peponi inshallah

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 года назад

    Innah lillah wainnah illah rajiuna, CORONA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌mkiambiwa stay home hamsikii mambo kama hiv unaacha mke na watt unasepa zako kama hivyo sijui hata wanafamilia wako salama, Jmn eeeh kaeni nyumban mtulie mikusanyiko ni majanga, niwasihi masheikh jmn fungen misikiti mbak home kuepuka mikusanyiko waaachen hao wasio sikia maneno waandika R.I.P. tupo hatuchok .huyo ndio maarufu sababu tumejua kafa unajiuliza je wafuas alikuwa nao huko kuendesha shughuli zake wako salama na hata kama wakifa hakuna atakae jua sababu si maarufu viongoz wadin wahurumien waumin wenu nyinyi mkifa mwafa vzr mshajijenga mko vzr ndinga majumba mapesa kama yote na mirad pia so mnaziacha familia vzr, sasa kaz ipo kinamwayangu na mim, tusubir CORONA ipite muaze kuomba misaada kwenye media mbali×2

  • @doreenkanje9839
    @doreenkanje9839 4 года назад

    Nimeumia hadi miguu haina nguvu kwann jamn wachungaj walimu wa vijana wanatuacha uwiiii😭😭😭😭juz mama rwakatire leo mito mingi kweli hii dunia sio yetu daah.

  • @adelinaadoloph5311
    @adelinaadoloph5311 4 года назад

    Daaaaah tutakukumbuka daima jamn pastor me siamin 😓😓

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 4 года назад

    Mungu akulaze pema peponi, nilikuwa nafuatilia mafundisho yako sana kwenye RUclips.

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 4 года назад +9

    Dah! Umetangulia mzee baba "Mwenyez Mungu akueke pahala ambapo unastahl kukaa".

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 года назад +1

      Waislam acheni utani, wakati dini yetu hairuhusu kumuombea vyema asiyekuwa Muislam akifa naomba tukae kimya!

    • @abdallahjuma8168
      @abdallahjuma8168 4 года назад

      @@hajihassan5433 sw mkuu nimekuelewa lkn some mitandao inatia mihemko

    • @youmemeyou2976
      @youmemeyou2976 4 года назад +2

      @@hajihassan5433 . Kaongea hivi Mungu amueke panapostahiki. Hili sio kosa kusema hivyo Angesema amueke pema peponi hapo ni kosa.

    • @sarahirakoze9932
      @sarahirakoze9932 4 года назад

      Dini yaki christ haikatazi kuombeya mutu apumuzike Salam asante Abdullah juma kwakumutakiya heri

    • @abdallahjuma8168
      @abdallahjuma8168 4 года назад

      @@hajihassan5433 lkn nahc kw uombez huu cjakosea kw mujbu wa muongozo wa dn ye2

  • @davidwilliams9800
    @davidwilliams9800 4 года назад

    May your soul rest in peace Doctor Mitimingi, I still can't believe this. I just remember your last whatsapp message to me.

  • @rachelkavugho4371
    @rachelkavugho4371 4 года назад

    Ohoo my god pasta pumuzika kwa amani matendo yako ya fatane nawe tutakukumbuka daima tuna zoezi laku sikiya mafundisho yako ingawa tuko drc

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад

    Kila nafsi itaonja umauti siku yake imefika tumshukuru mungu kazi yake Haina makosa

  • @ezraplubwaza1538
    @ezraplubwaza1538 4 года назад +2

    Its painful Rest in Peace Pastor!

  • @charitykikoka6468
    @charitykikoka6468 4 года назад +1

    Dah jmn Mungu amlaze mahali pema peponi nlikuwa nakukubali sana baba tutakukumbuka daima 🙏🙏😭😭😭😭

  • @hasanipoy3976
    @hasanipoy3976 4 года назад +2

    Pole sana tena sana MUNGU akulaze mahali pema peponi

    • @gracemshani619
      @gracemshani619 4 года назад

      Mwe jamani Kifo hiki rip mtumishi Wa mungu

  • @tulizolazaro7928
    @tulizolazaro7928 4 года назад

    So sad mafundisho yako yalikuwa yananipa faraja nenda salama pastor😧

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 4 года назад +3

    Jmn hii korona imetumwaaa au nakumbuka Mara ya mwisho alipiga picha akiwa karantini😭😭😭😭😭

  • @wycliffeojijo3560
    @wycliffeojijo3560 4 года назад +1

    GOD why? oh kifo,am from Kenya I still can't believe this please

  • @dominianmpombe3640
    @dominianmpombe3640 4 года назад

    Maskini Pastor! Kweli wazuri hawadumu! Pumzika kwa amani Mchungaji.

  • @benedictojanuary5222
    @benedictojanuary5222 4 года назад +1

    Dah Mchungaji Mungu akupokee kwake

  • @neemakaonga1680
    @neemakaonga1680 4 года назад

    Mhh! Duniani tunapita , R.I.P pastor

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 года назад

    Ngumu kuamini lkn inatubidi tuamini 😢😢😢

  • @zawadigongo9495
    @zawadigongo9495 4 года назад

    R.I.P mungu ametoa na bwana ametwaa jina la bwana yesu libarikiwe

  • @emmanuelsaligwekibanda9952
    @emmanuelsaligwekibanda9952 4 года назад

    Poleni sana MUNGU awatie nguvu

  • @ericafrank2627
    @ericafrank2627 4 года назад +1

    Eee Mungu naomba ushuke ututetee naomba utetee wachungaji wetu nibalaa gani hili nimelia sana sana sana

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 4 года назад +1

    Kama siamini Ee Mungu
    ila wewe ni Mungu unayo toa na kutwaa jina lako libalikiwe

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 4 года назад +1

    Ee Mungu utusamehe utuondolee uchunguu huu 😭😭😭Kama naota jmn 😭😭iwe Ni ndoto tu jmn

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад

    RIP pastor. Nilkua napenda mafundsho yke

    • @anifermhando4847
      @anifermhando4847 4 года назад +1

      Bwana ametoa n bwana ametwaa jina lak lihmidie kikbw tujangalie na sisi itatkut tukiw wap

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 4 года назад

      Kbsaaa njia ya kila mmoja

  • @chantalemwamba7882
    @chantalemwamba7882 4 года назад

    Pole sana kabisa Mungu akupokee 😭😭😭

  • @herbertbavuma3058
    @herbertbavuma3058 4 года назад

    Eeee mungu huu mwaka unanini lkn mbona tanzia hazikomi juu ya waja wako let the mercy of u be with us please#RIP my best PASTOR jmn#

  • @willywilly5433
    @willywilly5433 4 года назад

    Mungu akupumzishe kwa aman katika nyumba yamilele

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 4 года назад

    Ni taarifa nzito kuzpokea na bado siamin jamani,kweli kafa? Mmmh dunia ni njia ya kupita tu,R.I.P Dr Mitimingi

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 4 года назад

    Mungu wetu akurehemu mtumishi

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 4 года назад

    Mungu ailaze roho yake mahali pema

  • @catherinegumbo1450
    @catherinegumbo1450 4 года назад

    RIP Mwalimu, tutayakosa mafundisho yako

  • @gracepeter3200
    @gracepeter3200 4 года назад

    Duniani tunapita tu jamani Mungu atupe mwisho mwema

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 4 года назад +7

    Poleni sana Rest In Peace Peter Mitti Mingi

  • @vickyjoseph6164
    @vickyjoseph6164 4 года назад

    Duh ! Inauma sana

  • @ignasclemens1763
    @ignasclemens1763 4 года назад +1

    Daaaah aiseee Mungu wangu..

  • @moshymgawe8153
    @moshymgawe8153 4 года назад +1

    Jaman 😭😭Dunia njia r.i.p

  • @janeobure1859
    @janeobure1859 4 года назад +1

    Polen Sana Familia. Corona inaua Tena haraka Sana. Tuchukue tahadhari zote. Hali si shwari. Ugonjwa huu ni hatari .jilinde Linda watu wengine.

  • @jaffarymkunga9300
    @jaffarymkunga9300 4 года назад

    2020 vp kifo unazidi kututenganisha kwann usisubili 2021

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +3

    Ooh jaman Innaillah wainaillah rajuun😧😭💔

  • @mwamlimaprisca3115
    @mwamlimaprisca3115 4 года назад

    speech zako zitadumu daima r.i.p pastor 💔🙏

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 4 года назад +2

    Jmn jmn tunatembea na kifo mkononi Pumzika kwa amani mch. Vijana wazee wanakupenda daima

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 4 года назад

    It's painful....rest in peace my Super Papa.

  • @catherineNyakanga
    @catherineNyakanga 4 года назад

    Very sad story ghaiii 🤔🤔🤔

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 года назад

    Dahhh mungu akupokee

  • @lindajohn2156
    @lindajohn2156 4 года назад +6

    R I P JAMAN MCHUNGAJI INAUMA JAMANI MUNGU AKULAZE PEMA NA AIFARIJI FAMILIA YAKO

    • @kulwasanyiwa6901
      @kulwasanyiwa6901 4 года назад +1

      Kweli inauma Sana linda

    • @lindajohn2156
      @lindajohn2156 4 года назад +1

      @@kulwasanyiwa6901 nimejifunza mengi kupitia huyu mtumishi na nitayafanyia kazi nisipo msikiliza na ugua ndio hivyo Mungu kampenda zaidi Mchungaji wangu Mungu amwekepema

  • @iammamaoshi734
    @iammamaoshi734 4 года назад

    Jamani poleni sana wafiwa... May his Saul rest in peace

  • @tumsifulema4296
    @tumsifulema4296 4 года назад

    Poleni sana Mungu awatie nguvu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 4 года назад

    Roho inaniuma mno!
    Mungu mpe nguvu mke wake!

  • @aldachale3624
    @aldachale3624 4 года назад +1

    Mungu umpokee mtumishi wako

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 4 года назад +1

    Duniani mapito lamsingi tengeneza na YESU mapema kwa TOBA NA KUOKOKA

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 года назад

      Hakuna awazae kuokoka huku akiwa anaishi duniani.. Soma biblia uelewe nini maana ya kuokoka

    • @desderymakoi6595
      @desderymakoi6595 4 года назад

      Juma Jaffary Huwezi Kumjibu MUNGU,Hujaielewa Biblia Tafuta wachungaji wa kipentekoste waliookoka watakusaidia.Na Waalimu kama mchungaji MitiMingi

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 года назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭apumzike kwa Amani mtumishi wa Mungu

    • @daudimagige6213
      @daudimagige6213 4 года назад

      Hakika vita umeipigana Mwendo umeumaliza MWENYEZI MUNGU AKUPUMZISHE MAHALA PEMA!!

    • @joyceobedi2113
      @joyceobedi2113 4 года назад

      We we utabaki kuwa mungu tu

  • @latefalatefa5594
    @latefalatefa5594 4 года назад

    Duh polen saana wafiwa nenda salama past nitakukumbuka binafsi

  • @keberenjamwa8207
    @keberenjamwa8207 4 года назад

    Ngumu kuamini daah rest in peace our dady

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 года назад

    Kweli duniani twapita 😭😭😭hata Kama kufa Ni faida Ila inauma😭pumzika baba kwa amani

  • @mwaminiwivine2840
    @mwaminiwivine2840 4 года назад

    Mutimishi munguakupokeye

  • @ameenasur656
    @ameenasur656 4 года назад +1

    Jmn huyu mchungaji hua napenda sana mafundisho yake sasa nimebak na mchungaji Daniel mgogo pumzika kwa aman peter

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 года назад

      Na mch eliona kimaro

  • @emelykinsindi9439
    @emelykinsindi9439 4 года назад +2

    Daaaa jamani nimeumiaje mweee sielewi nifanyeje naumia nilikuwa napenda sana mafundisho yake kweli kifo huna huruma mungu ampumzishe kwa amani

  • @farajapeter9707
    @farajapeter9707 4 года назад +1

    Mmh! Mungu wewe wachungaji mbona wanaondoka hivi jamani

  • @bobjohn3857
    @bobjohn3857 4 года назад +2

    April tena???

  • @stevstepha7723
    @stevstepha7723 4 года назад +8

    😭😭😭😭😭 sjaamin mwee no way RIP 🙏

  • @violethlupala8177
    @violethlupala8177 4 года назад +1

    Oooooh my God ctaki kuamin iiih kitu

  • @donme9308
    @donme9308 4 года назад +1

    Duu sio Aprili ni mei 😔

  • @irenembowe1747
    @irenembowe1747 4 года назад

    So Sad.nimeumia mno

  • @irenemtui2674
    @irenemtui2674 4 года назад

    Daaah R I P poster inauma sana kwan mazur ulifundisha now haupo tena daah puzika salama

  • @geeva99
    @geeva99 4 года назад +1

    April 3??